Davista huyu Jamaa amepitia mengi. Nimeona mkono wa mungu juu yake
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Amen acha Mungu aitwe Mungu
@jesusismyking52923 жыл бұрын
Mungu yupo
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaaa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 kabsaa
@mursallusinde91893 жыл бұрын
Kabisa yani huyu kma ni kifo kingekua karibu yake angekufa kipindi kile anapewa kisago na mzazi wake mpka anazimia au wakt anaenda kenya bila yule binti angetolewa kafara au kule disco wenzake walikufa akabaki yeye.
@mickeytv36913 жыл бұрын
Naombeni like mashabik wa davi
@jazzymkalitv55353 жыл бұрын
Dah! Mpe pole sana, huyu ndugu yetu. Amepitia mazito sana
@highnesseverest36193 жыл бұрын
Ahsante sana Davistar unatusaidia kujua mazila yanayowapata walimwengu wenzetu Maana tunaweza ona watu wanatembea kumbe wana mambo mengi
@Footballer-19923 жыл бұрын
Eeeh waaaau! Waiting part 22 angusha Mr Davista.
@egospeltz94863 жыл бұрын
Radi ya ndege ni ya kichawi ya Mungu si ndege Hallelujah
@tracyirene89173 жыл бұрын
Duhh !! Gambosh tena🔥kweli Zabron umepitia mengi bado nafuatilia mr.Facts tuko pamoja 👍
@highnesseverest36193 жыл бұрын
Zablon kiukweli wewe ni mwanaume maana ni mpambanaji pia uchaguh kazi Mungu akubariki pia tafakari yooote uliyopitia aliyekuvusha siyo mzim Ni Mungu pekee
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaa
@thegreat.98693 жыл бұрын
Hahahaaa. Hata mizimu ni ya mungu pia😁😁
@oneclick20233 жыл бұрын
Hatimaye Bwana Zabu kazinduka...Baada ya kuona maiti zimezagaa Chumba nilicho lala...Mr. D ,,,,itaendeleaa..
@avierastevens51413 жыл бұрын
Oooh dk 35. Lov u davistar story nzuri lkn zablon umepitia Magumu sana pole.
@tadeymdota84803 жыл бұрын
Najifunza mengi kuhusu ukuu wa Mungu.
@susannyamwitha13543 жыл бұрын
Kwa majanga yote Bona hukuomba maombi, umalize nguvu za sheteni
@suleymanally47293 жыл бұрын
Kwani hv mkiomba like zinawapa nn??? Naomb kila anaeomba like apelekwe gamboshi
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Gamboshi tena mmmm
@haikaelazakiel97313 жыл бұрын
😆 😆 😆 😆
@jazzymkalitv55353 жыл бұрын
😂😂😂
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@josephinemumbua1593 жыл бұрын
😂😂😂😂
@obedmwakipesile30483 жыл бұрын
Mr fact muulize Kama walivyokua katika hali yakutooneka walikua hawaendi toilet? Na walikua wanatumia nini coz hawaruhusiw kugusa maj
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Mwakipesile nyamaza
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Mbn huongelei kuduu
@florencerose8593 жыл бұрын
Nangonjea number 22 adithi nzuri sana🇰🇪
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Hii ndio funga mwaka, story nzuri Masha Allah
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Kabsa 😍😍
@somoeawadh77743 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😄
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 😍😍😍
@bahatikatembo71723 жыл бұрын
Nipewe like kufuta hii story sio mchozo masa yakwetu tofauti na tz
@cliffordmaboi22983 жыл бұрын
Davistar keep up SIR.
@thegreat.98693 жыл бұрын
Kisanga kinaanza upyaaaa.. gambushi upya
@beatricekweka66833 жыл бұрын
Mmmhh aisee
@sultanaswaleh47083 жыл бұрын
Haki... davistar mata..my son .usi tucheleweshe kutuwekea part 22.nauwe uki tuwekea angalau part mbili mbili kwa mpigo, plzzzzzz !!!! my son .
@merycharles27073 жыл бұрын
Ahsantee sana
@badymsuya60933 жыл бұрын
Yeah
@estatekisombola92513 жыл бұрын
Story iko vizuri sana 🇨🇩🇭🇲🇭🇲🇭🇲🇭🇲🇭🇲
@sultanaswaleh47083 жыл бұрын
Huyu kijana anapitia maisha ya mabonde na milima ..kuamzia nyimbani kwako Hadi watu baki...maskiniii.. Na, ana IMANI NA SUBRA ! Ya hali ya juu! Story yake ina ni sikitisha sana'a. Kulingana na IMANI yake ndio ana NUSURIKA Kila wakati..kwa hakika MUNGU ! Ana mpeda mja kwenye SUBRAA !!!!
@ummysalma35613 жыл бұрын
👏👏👏
@judymweniofficial26673 жыл бұрын
Wa kwanza Leo all the way from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦
@zamzamhassan26513 жыл бұрын
Nitafutie kazi huko saudia
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Somoe pili Amina mimi mimi violine aiyam sapan🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭 rizik cute emmy njooooooon mambo tayar💃
Kama ushuhuda huo ni wakweli than huyo mjamaa aokoke amwishie Chrito maisha yake yote Yesu pekee yake ndio alieye mwokoa Yesu pekee
@highnesseverest36193 жыл бұрын
Unavyopenda kula sasa yahani linapokuja swala la kula uchezagi mbali
@marysteven6053 жыл бұрын
Me nawashangaa kwan Kula dhambi?
@Blackie_blackie93273 жыл бұрын
Hahah zabron kwa insue za misosi yuko vizuri ✋✋
@thegreat.98693 жыл бұрын
Oya zablon nataka kwenda gambushi kutembea tu. 😂😂
@nurudaud39932 жыл бұрын
tusali tu tena kwa imani🙏
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
Obedi mwakipesile nimecheka Hilo swali lakoo😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Daaaaah
@allykibabe81823 жыл бұрын
Jamaaa alikuwa anapga show bila kutahiriwa duuuh..!!!
@halimaaa38603 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌
@mariamfritsi49433 жыл бұрын
Zabron amepitia mapito mengi, ila ni mtu asiekata tamaa.
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaa
@salummzee97393 жыл бұрын
Aaah, ndogo cha huyo alipelekwa uchawini kutumikia wachawi
@evasaimon67642 жыл бұрын
Mungu amempigania sana tena sanaaa amekua upande wake siku zote
@miriamngosha68563 жыл бұрын
Dah uyu zebron walai mungu anampenda nyie Jesus kurudishwa Tena gambosh DAMN 😳🙆♀️🙆♀️🙆♀️🤦♂️
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Huyo chacha mungu ambariki kiukweli maana km sio chacha zabron na aseme, kwanza nimejfunza kitu uchawi upo ila watu wanautumia vibaya ase na huyo babu jamn RIP
@coolmum78123 жыл бұрын
Pamoja sana👊
@faridairema87903 жыл бұрын
Naendelea kujifunzaa kwa kweli dah ya duniani ni mengii pole kaka
@michaeleustach97693 жыл бұрын
Hyo mamaake mdgo angemfaham zabron amekutana na mizimu,islaer,majini,gamboshi,treni za kuzimu angemuogopa Sana
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
waa dav hapo nakupendea sana kwa gamboshi na msosi
@kulthumally8733 жыл бұрын
Hahahahhahaha
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Kiranga kikakuisha chakukupeleka hospt pole sana kaka
Davista muhulize jamaa wakati unakula kwa waisiramu tunasema bisimirahi kwa wakilisto wanaswali kwaji LA baba na mwana je hapo mchawi au mitunga au msukule anaweza kugusa Chakula
Pole kak sas yan kipindi chote icho ulikua ujatailiwa hadi unaingia kwenye mausiano duuh noma san part 22 tafadhal
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@hadijashabani8903 жыл бұрын
Leo mimi wa kwanza da bado nipo adi kieleweke mambo yanazidi kunoga
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Du noma
@beforwardtanzania5163 жыл бұрын
Davista Aisee ngoma imepamba moto tunaomba sehemu ya 22
@jangombeboys45363 жыл бұрын
MR
@hamadwaziri1213 жыл бұрын
Mpo active ndugu zangu humu hahaahah
@oglinetv39413 жыл бұрын
Nimewai leo
@josephmaganga19312 жыл бұрын
Zabron anapenda sana misosi 🤣🤣🤣🤣🤣
@faridaahmed26713 жыл бұрын
🧐
@dotosalim50903 жыл бұрын
Tuendelee tuNakungoja
@user-me3ee4fu8w3 жыл бұрын
Maskini babu aliliwa doh😷😷😷 kweli Mungu yuko na chacha ni rafiki wa dhati kweli mwezi mzima hajawahi choka
@mariamripiti21373 жыл бұрын
13
@rastamabuki1853 жыл бұрын
Kwahiyo ungechelewa kidogo tu lile zee lingezipiga zile nyama aisee
@thegreat.98693 жыл бұрын
Hahahaaaa. Nmecheka yan... et lingezipigaa😂😂
@sultanaswaleh47083 жыл бұрын
DM..my son.. part 22... Plzzzzzz ! Umet uwacha na kiyu 😀
@travellingandadventures25493 жыл бұрын
Huyu jamaa Bana si story za kutunga yupo emotional kabisa akisimulia ni mambo aliyopitia kwa ulimwengu WA giza.. Na kingine yupo deep Sana anafwatilia mambo meng na kuhusisha na Yake. Na hata wazungu wameonyesha Sana uchwi hata kwa movie ila wanaita sayansi.
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Mungu alikua nawe kaka
@shazminefeysal69513 жыл бұрын
Davi fanya mpango wa episode nyingine tumesubili sana banah plz🙏
@karrolleschon39863 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤
@barakanyunza63083 жыл бұрын
Mamdogo alizingua kumnyima chakula zabron misosi
@aonicamligo95313 жыл бұрын
Wa kwanza
@idanysedrc12003 жыл бұрын
Hatari sana
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Sanaa
@haikaelazakiel97313 жыл бұрын
Nasikitika kusema story imeisha 😜🏃♂️🏃♂️ THE END
@ayoubsanga74053 жыл бұрын
weka mwaisaaaaa
@daudiwilfred20763 жыл бұрын
Inaitwa fantastic 4 hiko kidude kipo kwenye part 4 kinaitwa silver board
@naifatabdulqadir43003 жыл бұрын
🤣Nilikua sijapta pcha mpka ulipoisema ni fantastic 4 now ndo nimeielewa dah
@marthamaligo4583 жыл бұрын
👊👍Pomoja sana
@Sarahsaid26486 ай бұрын
😢😢😢
@wantangosaimon52953 жыл бұрын
Miujiza duniani ipo tena sana
@nelsonpatricioestanislaus71443 жыл бұрын
Rendi com este jovem a sua história é tão boa.
@meckylucy2153 жыл бұрын
Ama Nimeisubiri
@shristinangitu26073 жыл бұрын
Hii stor hinatisha Sana Aiiise
@mariamshabani68533 жыл бұрын
Asente
@fadhiliswalehe92863 жыл бұрын
Beby
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Aisee Kama move vilee
@nancygitau52683 жыл бұрын
Ehee🤔
@tamranadiya29623 жыл бұрын
Duh mpaka davista kaguna
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Ulikuwa na kiu kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣msosi hata jirani analalamika humkaribishii yani uko vixuri nakuropoka kimyaa😷😷😷😷
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Aya aya
@richardjoseph33473 жыл бұрын
Upo vzur ulikua unasubr hiyo story tu ww duh
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Joseph nilikua namalizia ile number 20..yan natoka KZfaq naona notification ya number 21😂😂😂😂😂😂😂😂
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Aya mimi mimi wetuuuuuuuuuuuuuu
@brenda10833 жыл бұрын
Tuendelee
@aishasaid67493 жыл бұрын
Mizimu hiyo radi haikubebi na radi ni mwanga kama umeme
@Mpakauseme3 жыл бұрын
sio mchezo
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Mata naomba mtupe Jina kamili lahuyo zablon mana kila niki search fb yanakuja majina mengi tupeni Afhabet🤣🤣😨😨😨😨picha inaaza tena gambushi kwamara yapili aisee hapa str ndo ndoinaazaa
@aminaismail42213 жыл бұрын
Tafuta zablon c mwaita ni blog utaona picha yake
@upendoluv71973 жыл бұрын
Tupo tunaendeleeaaaa
@bakarimbonjo71823 жыл бұрын
22 tafadhar mr DM
@salumbunga2403 жыл бұрын
Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wng
@matthewjohn51083 жыл бұрын
We jamaa sio wa dunia hii, utakuwa ni mtoto wa mizimu sio bure aiwezekani uvishinde vikwazo vyote hivyo.
@abbyadams86913 жыл бұрын
Ndugu yangu kuna mengi saaaana yamefichika katika ulimwengu wa giza, tofauti na jinsi tunavyozania
@matthewjohn51083 жыл бұрын
@@abbyadams8691 kweli kabisa, haya mambo sio ya kawaida.
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Mwenyezimungu yupo pamoja nae
@happyoshea3 жыл бұрын
😂😂😂Eti mtoto wa mizimu
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
@@happyoshea mtt wamzim gani mungu kamsimamia kwani mzim sikiumbe chamungu