PART30:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 16,811

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 408
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Kwenye episode hii kuna vipande tumeviondoa kwa sababu maalum na usalama
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
asante kwa kujibu swali tunashagaa
@rehemalaizer7123
@rehemalaizer7123 3 жыл бұрын
khayiiii
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 3 жыл бұрын
Dah! Davista umezingua weka vitu hivyo tutamlinda kwa namna yoyote ile.
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 3 жыл бұрын
Hii nchi sio ya waarabu mzee wacha woga.
@zbtn517
@zbtn517 3 жыл бұрын
Mnaogopa waarabu Mn😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@veronicaseiyo4057
@veronicaseiyo4057 3 жыл бұрын
Hapo sasa zablon. Davista this guy has it all. Expression kwa misosi Jo!! Ako chonjo.
@omanoffroadriders747
@omanoffroadriders747 3 жыл бұрын
Katika channel za youtube za tanzania zimenivutia hii namba moja devista big up unafanya kitu kikubwa story zina elimu na mafunzo mengi i am big fan from MUSCAT OMAN 🇴🇲
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Davistaa wew mwenyew kwenye msos upo makin sanaa 😂😂😂😂
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Storry za uyu kaka ni nzuri sana..Davistar weka back to back tunasubiri 31
@rachelsika9588
@rachelsika9588 3 жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu,,hakika katikati ya mateso unaonekana
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Davista uwe unatulia kwenye interview. Sasa ukitoka toka unakosa maswali ya kumuuliza Zabron. Simu zimeni hizo. Ziwe baada ya kazi tafadhali
@jumakyere4958
@jumakyere4958 3 жыл бұрын
nakubali zabron mzee wa misosi aka sharukhani ha ha davista bless up sana mzazi tunakufatilia sana🙏🙏
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Story ya mwaka ndio hii Sasa nipo hadi mwisho Dav na Zab hongera sana 💓💓💓🇧🇭
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
This guy can narate all😄😄👌👌hadi kitanda
@chrissackland5369
@chrissackland5369 3 жыл бұрын
Mko vizuri Sana huyo jamaa amekutana navitu vingi Sana na ww nimpambanaji
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Kweli bwana misosi inapendeza umenikumbusha mpenzi wangu alipo kuwa mgonjwa alikataa chakula chakwao akala chakula nilompelekea mimi 👏👏👏🤦‍♀️
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Jamaa mvumilivu kweli watu nikama hawa ...zabron weka mungu mbele nakuombea baraka
@eddyboi8476
@eddyboi8476 3 жыл бұрын
story nzuri hii ila nakushauri uwe unatafuta sehemu iliyotulia isiyo na makelele ili sitory inoge zaidi maana hii story zaidi ya movie za kihindi
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Davistar kweli huyuu kaka braza ikifika wakati wa msosii ana sifia sana
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 жыл бұрын
🤣🤣
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 жыл бұрын
Uyo ni bwana msoosi
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
@@raheemaraheema5453 I say !!
@luciamutongore799
@luciamutongore799 3 жыл бұрын
Umeonaee😂😂😂anapenda msosi tena msosi mzuriiii
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
@@luciamutongore799 lakini pia kula ni mhimu sana . Usipokula vizuri hata afya yako haitakuwa nzurii .
@paulkahigi8351
@paulkahigi8351 3 жыл бұрын
Kwel ,kwenye msosi huyu jamaaa anasifia sanaaaaa
@GoldenDave01
@GoldenDave01 3 жыл бұрын
Golden Dave from Nairobi Kenya,story ya Zabroni inapendeza
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Hiyo donas bwana mzee baba misosi inaendelea😋😋😋😋
@g.d.d1481
@g.d.d1481 3 жыл бұрын
Manayake iyi histoire kali sana kwakweli
@oneclick2023
@oneclick2023 3 жыл бұрын
Nani anaye jua kuwa bwana Zabu Alikuwa Rasi ??😜😜 Sema yule mtoto mzee baba Ni mkali nimemtafuta pc yake fb nimekuta ,pia Bwana Zabu kwa msosi daa nimenyosha mikono 😂😂 #TeamZabu#TeamZabuMadiko🍝🍜 Mr.Fact endelea kushusha Ep tu hapa ni home sweet home..😌
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Kweli ni mzuri mno mashallah
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo
@aminsalimali793
@aminsalimali793 3 жыл бұрын
Ubarikiwe davistar mata
@faridampatani1394
@faridampatani1394 3 жыл бұрын
Utamu wa hadithi yooote umeitowa Davista slitokaje jela??turejeshee kidigo nyuma umeikata seheme muhimu pls
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
kweli kabisa msosi lazima unasifia sana
@husseinramadhani1345
@husseinramadhani1345 3 жыл бұрын
Like zangu, nimewah
@kenyatuktuk2853
@kenyatuktuk2853 3 жыл бұрын
Mzee baba anapenda biriyani.
@amalog361
@amalog361 3 жыл бұрын
Story yenu nzuri mimi na follow up kilasiku
@innocentmahende2113
@innocentmahende2113 3 жыл бұрын
Pamoja kak.
@biblenakoranmatuhuhu9904
@biblenakoranmatuhuhu9904 3 жыл бұрын
We call such kind of personality souls as a 'destinated soul' A soul movie Am Rachel in Kenya and has been following every part of his life ,like a movie based on a true story
@zefamange7281
@zefamange7281 3 жыл бұрын
Sasa si uandike kiswahili
@biblenakoranmatuhuhu9904
@biblenakoranmatuhuhu9904 3 жыл бұрын
Hayo maneno nimeeoezea na kizungu siyajui kuelezea na kiswahili.Nataka sana ila kama (personality) (based) sihui unaita je na kiwahili
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kwan we ni mzungu
@jacobmwacha7285
@jacobmwacha7285 3 жыл бұрын
Aya ndo mambo sasa yani ungejua tunavorefresh youtube kila mda acha tu
@1lakiisha
@1lakiisha 3 жыл бұрын
Kapokea sim. Sio professional banaaa endelea story
@fatumamohamed8645
@fatumamohamed8645 3 жыл бұрын
Hizo ni Bakora za Bwana Harusi yaani uli Enjoy kweli😋😋😋😋
@Bongostarsearch-jj8nj
@Bongostarsearch-jj8nj 3 жыл бұрын
Jamaa ana chekesha sana
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Kwahio demu wakiarabu kakaazaaaaa mwish kanogeshw kanoga hahahhahahah mapenz kwel nom daaaah!! Yan inatokea t maskin hahaa😂
@channynsabimana1997
@channynsabimana1997 3 жыл бұрын
Davista lusha Épisode kama 3 kwasiku kwamaana tunahamu sana yakuona hii story
@shepherd1x84
@shepherd1x84 3 жыл бұрын
Kaka msabato anafahamu msosi vi smart sana
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Walau mwanga mpya waibuka Sasa. Pole sana Zabron
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Yaan kipande kikikatwa, ni kama story inakua hainogi eti? Kama sielew vizur
@rubenbenard3615
@rubenbenard3615 3 жыл бұрын
Kweli asee
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Davistar uwe una edit na kuondoa maeneo yasiyo muhimu bwana. Mfano hata simu ikiita bado unaacha tu!!
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Kuna maneno tumekata kwa sababu ya usalama
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM Asante kwa ufafanuzi
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM brother hapo ana maana kuna wakati anawasiliana private camera director hakati hizo parts zisizo husika kweny simulizi
@frankcharles3881
@frankcharles3881 3 жыл бұрын
Mfano ata upepo unapovuma ilibid uedt🤣🤣
@chiffjastini1196
@chiffjastini1196 3 жыл бұрын
Mzeee baba kwenye menyu mmmmh yuko vizurii
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Jmn hata mie napenda kujipikia misosi mizurii mizuri tu...Tusimuonee Zabron 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumakyere4958
@jumakyere4958 3 жыл бұрын
nice
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
number1
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@rashidhemed5738
@rashidhemed5738 3 жыл бұрын
Nani alisikia kirimu
@bkkingkibatz3345
@bkkingkibatz3345 3 жыл бұрын
Ni mepeda sitoriy🥰🥰🥰
@zeramohamed9672
@zeramohamed9672 3 жыл бұрын
Zabroon nikijamza nitakutafuta kwakweli nikupikie biriani😁
@linkreuben5804
@linkreuben5804 3 жыл бұрын
Nice
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
Angel ni mzuri balaaa
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Sanaa mashallah
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
The guy is so romatic
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Mnawaza mapenzi tu
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
👌🔥
@sharifusaidi461
@sharifusaidi461 3 жыл бұрын
Yes
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
Davistar hamia Mwanza kabsa mwanang...naona pamekupendeza sana brother...😅😅😅
@shadrackbenzo7978
@shadrackbenzo7978 3 жыл бұрын
Nimetokea kukuelawa San channel yako na story ya mshikaji appreciate
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Wwoooooow weweweeeeee apo sawa kabisa
@mkombelwamodeste8886
@mkombelwamodeste8886 3 жыл бұрын
njama anapenda msosi sana
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
Zabloni tuko tunaishi na waarabu huku kweli kwa mwanae wa kike wapo Makini sana wanawalinda sana
@hagurukamwana4095
@hagurukamwana4095 3 жыл бұрын
Jama anapenda musosi sana 🤣🤣🙌👏🧏
@fellyxkhan1890
@fellyxkhan1890 3 жыл бұрын
Asante sana kwamuendelezo Kaka’angu Davistar ❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@shukranikasese2306
@shukranikasese2306 3 жыл бұрын
Sero alitokaje Davistar au ndo usalama umesema
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Davistar leo umeuwa eti ukifika kwenye swala la misosi unakazia huruki😀😀😀. Coment nyingi
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Hahahha
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 жыл бұрын
Ninaomba kujua huyu jamaa alizaliwa tarehe ngapi mwezi wa ngapi.
@abassking9400
@abassking9400 3 жыл бұрын
Mr zabron , nikijaga tz ntakutafuta bro
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Jamani mwacheni tuu zabron asifie misosi maana gamboshi alikula unga 🤣🤣🤣 ila zabron we mtu mbadiii hhahahaaa
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
Vile nimengoja 🥵🥵💃💃💃
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mmb
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 3 жыл бұрын
Gud gud
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Aaah Zabron Mtoto wa kiarabu tena unachelewesha duh yaani Mimi hapo hapo namaliza shughuli mambo mengine mbele kwa mbele ila mwarabu yumo ndani
@mathiascharles471
@mathiascharles471 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Zabron anapenda kula tena vyakula vizuri vizuri 😁 hivyo anavyosema aliletewa vitu vitamu tam vimenakshwa ni (visheti vinaitwa)
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Hahhahaha
@peninapenina4498
@peninapenina4498 3 жыл бұрын
Jamaa la msosi
@esthermaluko5621
@esthermaluko5621 3 жыл бұрын
Davister unapenda sana msosi wewe 😆 😂
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 3 жыл бұрын
Pamoja like sana
@salumulesso6355
@salumulesso6355 3 жыл бұрын
Mi naomba uwe unawahi kuapload kaka Davistar,yan nikikosa hii story hua siku haiendi bro
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Zabron mkumbuke na chacha mama ako baba ako ulimpotezea baisikel
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Biliani mzee baba ukapiga
@tadayodisala4391
@tadayodisala4391 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@ibrahimmohamedi4498
@ibrahimmohamedi4498 3 жыл бұрын
Sio sir kwenye miloko misos ahaa anapangilia
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
mmmh jamn 😢
@aalyahnasser225
@aalyahnasser225 3 жыл бұрын
Bunda Basi kipindi hicho walikuaga na kauli chafu sana walikuwa wanajiona wame shika barabara zote za kila mkoa lakini Mungu huyu acheni aitwe Mungu kila kitu kina mwisho wake
@alitoufik5477
@alitoufik5477 3 жыл бұрын
Safi Davistar 31/32 tuekee kwa pamoja
@shanizshanta7787
@shanizshanta7787 3 жыл бұрын
💃💃💃💃💃no 40
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Jamaa anapenda kulaaa 😂😂😂😂😂
@askaounga6456
@askaounga6456 3 жыл бұрын
Post the all story
@danielthadei7184
@danielthadei7184 3 жыл бұрын
Nimeanza kukusikliza tangu nipo primary ukiwa R F A na stosahau nikiwa mdogo Hadi leo
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
nimeweza leo
@adamnasango1743
@adamnasango1743 3 жыл бұрын
Tunasubiria Part 31 sasa bwana davista
@mayoota7889
@mayoota7889 3 жыл бұрын
Visheti hivo vinaitwa baba
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
Ndio maana naangaika kuangalia tulipoishia lkn Mada nabaki siielewi kube kunamaneno mmeyaruka hapo sawa davista tuko pqmmoja aisee
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
Kufinya Msosi kutamu lakini! 🥧🍰🍪🍩🍜🍝🍛🥪🥑🍏 😋😋😋😋😋😋
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 3 жыл бұрын
hahahaa huyo anapenda misoc mizuri asee hahaha
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
4
@danielthadei7184
@danielthadei7184 3 жыл бұрын
Anajiongeza saana
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Kipindi hicho vocha ziliitwa Dola
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
Kweli kabisa yaani msosi...😂😂😂
@ezekiaandrew8420
@ezekiaandrew8420 3 жыл бұрын
Leo nipo 20 bora
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Team data on
@farhathamdansalum9725
@farhathamdansalum9725 3 жыл бұрын
Hayo mazulia yanaitwa Majlis
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
Davistar na Zablon mukisikia misosi mwacheka tu wallahi
@frankmakomba378
@frankmakomba378 3 жыл бұрын
Naona Davista, umeruka part, akiwa hapo Polisi akikutanishwa na baba wa msichana wake... Ilikuwaje??
@fridahkarimi5510
@fridahkarimi5510 3 жыл бұрын
🇰🇪🤣😂kweli Davistar hapo kwa food Dah!
@fatumamohamed8645
@fatumamohamed8645 3 жыл бұрын
Yaani hapo kwa msosi nikija TZ Lazima nishukie kwako Zablon C Mwita, Yaani kwa Misosi Wow Mwisho🤣🤣🤣🤣🤣💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Umesikia wapi ukienda kwa Zabron utatoka salama,we umesikia wapi?🙉🙉😜😜🤸🤸‍♀️
@tonywambua9505
@tonywambua9505 3 жыл бұрын
DM mbona umechelewa kuweka part 31
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 48 МЛН
Dunia Yetu Leo | Agosti 01, 2024 | Asubuhi
7:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 1 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
PAVLOV
Рет қаралды 20 МЛН
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 6 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
0:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН