Nimefuatilia tokea epsod ya 1 mpka sasa bwana zabron anahitajika sana kwenye mambo ya misoc hasa kutoa promo kwenye mambo ya mahakuli yuko vizur aiseew
@violinenyakara50283 жыл бұрын
Hirizi si nzuri, noma sana, hela za hirizi mtu huwa hakumbuki kufanya maendeleo Pole kwa kifo cha Angel💔💔💔
@apolinemalungano91553 жыл бұрын
Zabron unajuwa kupiga stori, na unahakili Mungu aendelee kukusimamia mzee wa misosi
@suleymanally47293 жыл бұрын
Hapo kileleni mm nimefaham kivyang maan mhhhhh!! Ahhaahah lazim uanguk 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@hagurukamwana40953 жыл бұрын
Tunaomba vipindi viwe vilefu zaidi vitamu 🤣🧏💆💆💆💆💆💆
@babaalex50623 жыл бұрын
Mm mgeni naishije mnijali na vi like like 😋😋😋
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Karbu nyumban
@dorcaskidoti2493 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 me nilijuwa unaomba kabuku buku kumbe like 🤔🤔
Hiyi story iwekwe kwa movis aki uta pata faida wewe nimutu muzuri sana .zabroni tunagupenda sana
@aishahassan98123 жыл бұрын
Mm ndo nimefika leo wapendwa wang😥🤣
@IANA20303 жыл бұрын
Davista keep going👏🏿👏🏿👏🏿💪🏿🤗ubarikiwe sana
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Zabron kwa misosi ndio maana miyayo mingi hajawahi kufanyakipindi akapewa brek ya msosi
@vellarose25963 жыл бұрын
Oooh pole sana kwa kifo cha Angel Jamani😭😭😭😭
@abdulhalimhumud19173 жыл бұрын
Dah maskini kumbe angel alifariki kweli duniani binadamu Sie c kitu 😔😔😔
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Enjo kafariki !!! Innalilahwainnalilah rajiun
@suleymanally47293 жыл бұрын
Majin pes zao hazin maan hata waallh tunajifunz meng sana kwawal wapend mitelezo km zabron enz zake 😂😂😂
@wantangosaimon52953 жыл бұрын
Duh Mimi nilikuwa natamani kujua tu kuhusu enjoy duh pole sana jembe
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Nimeumia ulivyo sema Enjo alifariki 😭
@angelmilele47303 жыл бұрын
Ata mimi maskini
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
😭 oh yani kumbe Angel kafarikii!!! na nlikua nawaza hii story ulimdanganya na sumu eti waaa, thamira yangu .
@nyendochamwela30313 жыл бұрын
Hongera Sana Bro, Kazi nzuri Sana.
@aminsalimali7933 жыл бұрын
Ahhh sasa story inaanza kuboesha maelezooo mengi sana story inakua kidogo
@happykajeli54533 жыл бұрын
Pole sana kijana mpambanaji
@learnselfdefense7653 жыл бұрын
Nimeumia sana yaan kama ndo yamenikuta mm kwamba Angel ashafariki... R. I. P 😭 😭 😭 😭 Angel
@veeinn79653 жыл бұрын
Pole kaka Zabroni
@ibraah76793 жыл бұрын
Watu wapo fastaaa mmh😋
@aishahassan98123 жыл бұрын
😭😭😭😭jaman enjoy Allah akurehem mama ang😭😭😭pole san kaka zabron
@neemaomar763 жыл бұрын
Kumbe sekunde 25🤗 nimewahi
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
leo umetupea supper mapema
@chrissackland53693 жыл бұрын
Huyu Jamaa Namkubali Sana yani Mpaka raha
@badymsuya60933 жыл бұрын
Yeah
@happylife3493 жыл бұрын
Ewaaa🥰🥰🥰
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭kifo tena
@danieljoseph16103 жыл бұрын
Huyo mwamba kosa lake hakuishi kwa kujifunza kutokaana na makosa! Kwanza alipopata pesa angehakikisha anarudishiwa kwanza kimvuri chake ndo aanze maisha! Afu kuwa na maisha mazuri sio lazima utumie waganga! Ila kama unaumwa au unarogwa unaweza kutibiwa kyenyeji! lakini maisha komaa mwenyewe! Kama utadhibiti wachawi yatapatikana tu!
@hildaernest10903 жыл бұрын
Pole zabron kwa msiba wa angel
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
pole kwa majanga
@angelmilele47303 жыл бұрын
Mh noma sana
@alitoufik54773 жыл бұрын
Dah inasikitisha, inahuzunisha sana kwakweli enjo jmn dah
@didasrichard30683 жыл бұрын
Dope
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Wallah nimecheka leo mzee baba hiridh haina manukato haipumui tena imekufa mzee baba mzee baba mzee baba
@user-xf8px2ml6x3 жыл бұрын
Nakukubali Sana
@mimsbaibe6mimsgul7373 жыл бұрын
WaAah ubani makkah ama ya Makkah izi story tamu kweli nmekwama hapa kwa zabron.davistar sometyms punguza mziki nkiskiza na earphone inazingua jaribu kupunguza.
@hagurukamwana40953 жыл бұрын
Jama amastori matamu 🤣🙌 kutoka Canada 🇨🇦 musalimiye sana
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Mamb
@reubenlameck62253 жыл бұрын
✔️
@OmanCom-ky8tn3 жыл бұрын
Pole kwa kutumbukizwa picha za enjo chooni huyo alikuwa siyo mwelewa
@upendoluv71973 жыл бұрын
Our Best series 2020💥💣
@abassking94003 жыл бұрын
Sema bro zabron una roho ngumu mana hirizi ya kupuma ni binaadamu huyo uliye kuwa unatembeya naye .
@halimahali86843 жыл бұрын
Pole san zabro kufiwa na mpendwa wako inauma san
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Usitadhi mganga😢😢😢😢😢😢😢😢😢hirixi Mungu ninusiri na hili janga mana loo eti kichwaa chakuku mara hirixi rohoo zawatu🙆🏽♀️🙆🏽♀️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ndoinapumua ndoutajiri tobaaaaaaa
@susannyamwitha13543 жыл бұрын
Angel wangu pole, duu alikufa, hukupata mtoto na angel,
@maryamumapenzi12573 жыл бұрын
Jamaa hamlali ama hamuendi kazi
@ruthkwamboka90823 жыл бұрын
Watu tupande mlima kilimanjaro watu wa 254 mko wapi
@zumratsaidi73533 жыл бұрын
Tumejaa tele twalisongesha mdogo mdogo tu
@qelseykenya39333 жыл бұрын
Tupoo
@georgedavid99243 жыл бұрын
Davistar badilisha rangi ya hzo namba ili ionekane vzur kweny video ya Quality yoyote
@vellarose25963 жыл бұрын
Watu humu hawalali kweli 😂😂😂
@sadamhuseein29893 жыл бұрын
Sojaaa kaishia wap??😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@naifatabdulqadir43003 жыл бұрын
Me ningmtfta nikampga🤣🤣
@igurusitv65533 жыл бұрын
Hicho kitabu zabron angekiweka mtandaoni ili kununuliwe mtandaoni kama vitabu vingine wanavyoweka, Sio kila mtu kitamfikia hicho kitabu ila online kitamfikia kila mtu
@abbyadams86913 жыл бұрын
Ayayayaya!😩😩😩Sad news,Angel alikufa? Roho inaniuma km vile mimi ndo Zabron.
@wantangosaimon52953 жыл бұрын
Dah Mimi nasikitikia mwarabu wetu aisee
@happyoshea3 жыл бұрын
😂😂😂Eti kidogo niseme oya mazingambwe haya . Nimecheka
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Leo mapema, na mzee Wetu wa misosi 💃
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@farhathamdansalum97253 жыл бұрын
Mzee Baba uliharibu hapo aiseee😄😂😂😂 uliifua hirizi mzee baba
@wazomyakinifu23013 жыл бұрын
Oh, pole kwa maswaiba Zabron. Lakini kwa biashara zote hizo kwa nini usiwe unaweka bank sehemu kubwa ya pesa zako? Mbona kila mara unapoteza pesa zako zote?
@mwajiranimesalimu55093 жыл бұрын
kama umemsikiliza kwa umakini uwezi kumlaumu kwasababu yaonekana kama alikua na mkosi flani ivo na ukiwa ivo ata uweke pesa banki zitapotea tu. bahati alikua nayo lkn katika yake palikua na mikosi ya kutegenezwa na binadamu alaf akil za kitoto pia zilikua zinamsubua sana
@wazomyakinifu23013 жыл бұрын
@@mwajiranimesalimu5509 Asante kwa ufafanuzi
@aishahernandez42013 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@gablielsamwely10813 жыл бұрын
Zabron ni mtu mzuli sana mungu ambaliki
@jangombeboys45363 жыл бұрын
💪💪
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
akuwa na simu baba mkwe alimpingia wapi vile alifika hapa sielewi
@aishasaid67493 жыл бұрын
Umepitia mengi broo
@rukundoibrahim8073 жыл бұрын
huyu brodher nimpambanaji ila imani za kishirikina hazifai kabisa
@khadijaomari93443 жыл бұрын
duuh kumbe enjoy alifaliki 😢😢😢😢😢😢😢
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
R.i.p
@hajiabdalla57723 жыл бұрын
Sio ustaz huyo mganga mshirikina au mwanga mana ustaz hawez kufanya hivo . Ila waganga wengi au washirikina kujifanya kuvaa nguo za kidini . Ila mwenye dini ya kweli na kumuogopa mungu hawez kuwa na tabia kama huyo .mshirikina mana anajuwa kama kuna azabu ya moto . Wakat mwengine sema mganga au mchawi .usiseme ustaz .ustaz gani akawa rasta
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
angel morale ikaisha bana
@mr.jasonfxsignals48733 жыл бұрын
Msosi kabisa
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
Davista inavyomwangaliia uko usooni hapo kwenye utuuri 🤣🤣😀
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Mm katika mahusiano manamke ama mwanaume wakunichomea picha amakuchana picha huyo niwakumuachaa hapohapo alipo sasa picha za Angle huyo dada alixitupa choon kisa nn ashangae mwenye picha amtokee🏃🏿♀️🏃🏿♀️masikini hayuko duniani watu wengine bn kama chafya wakikutoka unasema Allahhadhilillah
@jeaninemugisha63953 жыл бұрын
Jamani nimependa story hiyi sana
@salhakhamis46293 жыл бұрын
Mh pole sn
@Oneofhiskind1233 жыл бұрын
😳😳😳😳😳Mzee baba mali inaisha siku hiyo hiyo duh noma
@susankomu89783 жыл бұрын
Ndani I sayy...
@abbyadams86913 жыл бұрын
Hi story inanifanya nisahau siasa za CCM na Chadema.😳😳😳
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Ndo kwanza tupo nusu ya story mpaka tumalize tutakuta Mboye nae kateuliwa Mbunge viti maalumu
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 😂😂😂😂😂
@abbyadams86913 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 Heheeee!!!😅😂😆😆🙉🙉🙉 Kwamba Mbowe nae avae Dela au unamaana gani?
@mamskiumbe40573 жыл бұрын
Pol sna bss
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
ushaunda filamu kulingana na hii habari?
@faustinaalukungu85113 жыл бұрын
🙏
@neemaomar763 жыл бұрын
Dakika 25 nmewahi
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Maskini we kumb. Mbe enjoy alisha fariki pole sana kaka zabroni
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Masikini ulikua anatembea najini bila kujijua pole sana mmh umejifugia jini bila kujua mzee baba nabora tuuh kama umelifulia hilo hiridh jini hilo hata ukienda kwa mgaga akakupatia chupa eti kachimbie chupa hii ujue katia jini humo
@pilimusa77703 жыл бұрын
Duh. Waganga balaa
@IANA20303 жыл бұрын
😂😂😂Maisha haya acha tu!Zabron kaona rangi zote.
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 kabsa
@babyfatma53393 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 pole sana
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
@@pilimusa7770 nimtihan sana
@matukicmagere33313 жыл бұрын
Huyu saidi makonyeza family moja ya kipenda bila shaka. Kwa hapa dar familia yake inaishi kigogo dar
@babymkuya3593 жыл бұрын
😘😍😍
@wazomyakinifu23013 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 Hapo mwisho pameniacha hoi. Eti akaja akanigongea, "Eh unaniita?"
@martinmaryogo60813 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa, alkuwa anahitaji mchezo huyo mama
@martinmaryogo60813 жыл бұрын
Huyu jmaaa amepitia magum jmn
@theunseen.believe56723 жыл бұрын
😁😁alikuwa na kiu ya hicho kitu mumewe alikamatwa 😂😂😂
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
ongea pole pole utaniua haki
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@moreenmbatha1147 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
za kwake yeye😁😁😁😁💣💣💣💣💣 sio za kwako tena watanzania mtanimaliza😁😁😁😁💣💣💣💣
@popoali66413 жыл бұрын
Leo mapema
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
tupewe part 33 kabla tulale nataka kujua alifungua mlango huyo akakalia kitanda ama kulienda aje💣💣💣💣💣💣💣😁😁😁😁
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
number1
@pilimusa77703 жыл бұрын
Hongera wa kuwahi😂
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
@@pilimusa7770 nashukuru
@moreenmbatha11473 жыл бұрын
@@pilimusa7770 kabisa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@moreenmbatha1147 wakwanza nlikua mie😥
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Leo na mapema
@martinmaryogo60813 жыл бұрын
Leo kawahi kuweka, pia kaweka ndef kwel
@mwajiranimesalimu55093 жыл бұрын
hapo kwa angel ndo nimehuzunika pole sana..kwel ukipendacho uwa hakidumu
@suleymanally47293 жыл бұрын
Hakun anaewez kujua roho ila muumba labd asem kun uchaw mwengn lkn roho hapana.
@sheikhaalmandhari1253 жыл бұрын
Daaaa nime wahi sana leo
@sheikhanasser47143 жыл бұрын
Sheikha Almandhri Salaam wajina 🖐
@agneskighenda37953 жыл бұрын
Story hii jamani 😁😁😁
@kenyanniggar3572 жыл бұрын
hebu tuone picha ya Angel brother😛
@matheothomas18913 жыл бұрын
I’v mbona utajiri waa kigangaa haukahagii kila mtu anakulaa bataa badaee unapukutikaa
@Zamb903 жыл бұрын
Hahaha kilele Cha mlima kilimanjaro, kikubwa zaidi