PART33:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 17,155

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 310
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 3 жыл бұрын
Yesu yu mwema sana. Maombi ndio ngao yetu wanadamu. Hakuna cha marasta wala kivuli. Yesu ndio JIBU Zabron. Okoka. Nguvu ya Mungu ndio imekuponya kwenye majanga yoote 🤲🙏🙌
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 3 жыл бұрын
Aisee hii story inachekesha, inahudhunisha na kufurahisha pamoja👍
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@jongoathumani3690
@jongoathumani3690 3 жыл бұрын
Leo nimewahi wajombaa like zangu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Nimekupa 😍😍😍
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Davistar umeanza kuchoka🤣💪jembe Zabron yupo na energy za kutosha
@zawadihamadi7588
@zawadihamadi7588 3 жыл бұрын
S S4zzlz is wzlml , but w, poor l zzoooo. I w. Zzo 9 zangu 97zdt tz zygote tz z
@boazmwaipungu8989
@boazmwaipungu8989 3 жыл бұрын
Muhubiri mzungu miaka hiyo aliyekuwa akiongea kiswahili vizuri kabisa aliitwa Elgon Falk
@seeboman3106
@seeboman3106 3 жыл бұрын
Asanteeee
@icekidzsafari9469
@icekidzsafari9469 3 жыл бұрын
Mr fact big love frm kenya..
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Pole sana mura umepambana sana kweli umekutana na matatizo sana ili nimejifunza kupitia ww,haujaonyesha kukata tamaa
@barakaalbert8987
@barakaalbert8987 3 жыл бұрын
Stori nzuri brother 👌👍💯
@eliasmasanja6690
@eliasmasanja6690 3 жыл бұрын
Wa kwanza kucomment
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@kheryartist5322
@kheryartist5322 3 жыл бұрын
Big Chaw..keep 💥✌🏽
@samirasamiramalogo8500
@samirasamiramalogo8500 3 жыл бұрын
Daah hiyo maji kunawa siku3 sio poa
@mathiascharles471
@mathiascharles471 3 жыл бұрын
Hahahahaha!nafuatilia hii story nikiwahapa kabahelele katoro duh!
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Dav mwanangu umechoka sana tafuta kifaa cha kuwekea mike. Vinginevyo mikono itakuwa hoi.
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Davista oyeeeeee👌🏿💪🏿👏🏿👏🏿
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo Jamani, huyu mzee baba si atoe movie hii story yake pambe tu sana.
@rehemalaizer7123
@rehemalaizer7123 3 жыл бұрын
movie sikuhizi bongo hazilipi atoe tu tamthilia watu watafatilia ndo walikohamia waigizaji😂😂😂
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
@@rehemalaizer7123 ni kweli kabisa maana hata Mimi napenda Sana Tamthilia lakini Kwa kusoma kitabu sipendi
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@rehemalaizer7123 Ohh ni vizuri pia
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Hhahaahaaa hatar et mtu anataka kujiua anatangaza huyu jamaaa kaniacha hoi hhahaaaaaa
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Pole kaka
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Stori nzuri sana zabroni uko pw sana
@venahsithole6463
@venahsithole6463 3 жыл бұрын
Pole sana mzee baba
@linkreuben5804
@linkreuben5804 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@esthergasper8086
@esthergasper8086 3 жыл бұрын
Story nzur sana...iendelee tu' 34 tunangojea
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Mashaallah Zablon una hadithi safi sana na ya mafunxo
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Sio Hadith ni ushuhuda wa kweli
@guddannaika9778
@guddannaika9778 3 жыл бұрын
Leo wa Kwanza na cm yang mpya itel jaman time Davista like zenu
@acruxe5810
@acruxe5810 3 жыл бұрын
Ao wa dada walio pita apo nyuma aise 😍😍
@bajunially-im3pg
@bajunially-im3pg 7 ай бұрын
Polesana ndugu
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
On time story tamuu sana nataka nijue zabron mwisho wake
@priscakabonge5343
@priscakabonge5343 3 жыл бұрын
1st
@victoriamwalonde8626
@victoriamwalonde8626 3 жыл бұрын
Aisee!maisha hayana formula
@didasrichard3068
@didasrichard3068 3 жыл бұрын
Dope
@innocentmussa9724
@innocentmussa9724 3 жыл бұрын
Leo nimewai mapema,kama unamkubari zabron no1 kwa stori ya kidunia auchoki kuisikiliza...
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Davister umechoka sana, naon unataka kusinzia 😉 pole 😁
@angelokihaka7216
@angelokihaka7216 3 жыл бұрын
#davistar leo umechoka sana pole
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
GOD is good
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 3 жыл бұрын
Number 3😀
@aminsalimali793
@aminsalimali793 3 жыл бұрын
ASHAANZA KUBOESHA WATU ZABRON COS ANATOKA NJEE YA MADAA SANA SANA ANAJISAHAO SANA🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 3 жыл бұрын
Mungu anakusudi na wewe Zabron. Mtumikie Sana Mungu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Umeona ee
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
😅😅😅zabron mmh mtu akiamua kufa huwa hajadili sheytwan kasimama hanaga kupinga
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Davista vip broo mbona umechoka mapema kama unachoka kushika mic fanya mpango upate cha kuekea hiyo mic
@perismande7759
@perismande7759 3 жыл бұрын
Naona huyu akipata tu pesa lazima kitu kitokee ili pesa ziende .ndugu unahitaji mungu na mwanaye walioumba bingu na nchi. Hakuna njia nyingine.
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Nipo 👍
@abdulhalimhumud1917
@abdulhalimhumud1917 3 жыл бұрын
Mr Facts pamoja 🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
mzeee chifu gikalo😊
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Kweli broo pole sana . Yani umepitia hali ngumu I say
@hazayusufu7546
@hazayusufu7546 3 жыл бұрын
nahis huyu mzungu anaitwa egon anaongea kiswahili kiufasaha zabron unavituko niliacha kunywa sumu angalau sku 3 niinjoi kigodo
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Tuned 🇰🇪🇧🇭
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Nimecheka sana
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Yaani hii story mwenzenu huwaga naisikiliza wakati wa kula yaani ubwabwa unateremka tuu
@latifahissa1114
@latifahissa1114 3 жыл бұрын
Zabron kapata wafuasi wa kula kula 😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kama mie😂😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@latifahissa1114 kabisaa
@jesusismyking5292
@jesusismyking5292 3 жыл бұрын
Number 1 kabisa
@faustinaalukungu8511
@faustinaalukungu8511 3 жыл бұрын
🙏
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Niliwaepa lakn nmerudiii
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@Zamb90
@Zamb90 3 жыл бұрын
Pamoja
@twahilchaurembo9946
@twahilchaurembo9946 3 жыл бұрын
aaaahaaaha asa bro uyo jamaa kila tatzo linamsua adi leo si wakulazwa
@haikaelazakiel9731
@haikaelazakiel9731 3 жыл бұрын
Hahahhaha nikinunua liyes nikamix nakufa taratibu 😅😅😅😂😅😂 Uwiiiii 😅😅😆
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Mashaaallh watu wako fasta🤣🤣
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Pole kaka ila hapa davistar unaonekana umechoka pole na kazi
@allymtamilwa6321
@allymtamilwa6321 3 жыл бұрын
Ww haukutaka kufa unatafuta sehemu ya kufia😁😁
@jandpelectronics363
@jandpelectronics363 3 жыл бұрын
Ni Ergon Fork bana yuko Arusha
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 3 жыл бұрын
Pole sana Zabron😭😭😭😭😭🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Umejitahidi
@caimedia
@caimedia 3 жыл бұрын
Watu mpo makini, hii ni story ya kufungia Mwaka. Asante David na Zabron
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
😂😂mwaka utaisha haijesha itakuja ya mti mkavu
@caimedia
@caimedia 3 жыл бұрын
@@kawtharsaleh9229 Sawa lkn, ndiyo tutafunga nayo na kufungua nayo ikiwa tamu zaidiii, kipindi cha sitasahau 2007, nilikuwa nikitoka kanisani nakuta ndiyo kinaishiria sikufaidi kabisa hata chembe na kiredio changu cha Kitchibo sasa hivi ni muda na bando langu tu.
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@caimedia me sikuimalizaga nilishindwa kuifatilia
@sitinassy8772
@sitinassy8772 3 жыл бұрын
@@kawtharsaleh9229 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@sitinassy8772 ila asimlete mti mkavu wamisifa
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 3 жыл бұрын
Leo wa 53, davi tafuta vile vi mic vidogo
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Hapo sio kweli,eti unaruhusiwa kwenda kwa mganga,
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Kumbukumbu la Torati 30:15 Angalia, nimekuwekea leo mbele yako uzima na mema, na mauti na mabaya. Mithali 18:22."Mauti na Uzima huwa katika uwezo wa ulimi,nao waupendao watakula matunda yake." Hivyo Mungu amekupa uhuru wa kuchagua Mauti au uzima. Kwenda kwa mganga au kwenda kanisani ni hiari yako.Jamaa yuko sawa.
@ruthkwamboka9082
@ruthkwamboka9082 3 жыл бұрын
Woeeee maisha
@beatricekweka6683
@beatricekweka6683 3 жыл бұрын
😊😊😊😊
@thequeenawifeofking8518
@thequeenawifeofking8518 3 жыл бұрын
Duu yaani kuna watu wanapitia magum duniani hy kaka ana moyo wa peke yk nilijua mie nini matatizo kumbe kuna watu mpaka wanatia huruma sana m mungu ni mwema😂
@stivenmgonja5908
@stivenmgonja5908 3 жыл бұрын
Daaaah watu hampoi jmn marahii mia na usheee tayar
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Mzee bb kujiuwa simchezo resi zote kujiuwa tu ulikuwa bado hujataka kufa
@fadhilngimilanga1828
@fadhilngimilanga1828 3 жыл бұрын
Huyo Mchungaji Mzungu ni Egon Falk
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Lete part 34 . Tupo hadi tati DST
@isayadaub3855
@isayadaub3855 3 жыл бұрын
😱😱😱😱😱
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Davista mata msalimie Zablon mwambie napenda anavyo cheka
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Wanawake buana,unaacha kupenda pesa unapenda mtu anavyocheka? Jamani!!😂😆🙉🙉🙉Ndio maana huwa tunawanunulia maua badala ya kuwapa hela😜😜
@juliusphabian6336
@juliusphabian6336 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 😂😂😂
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Hela ninnazo
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
@@zedianagasper9475 😀😀 no comments😃😃😃😃
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Dah jamani watu amchelewi
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
mbona hukuwashitaki idara ya umeme?
@merycharles2707
@merycharles2707 3 жыл бұрын
Kabahelele nimesomea huko shule ya msingi
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Zabron jamani this is too much pole sana
@kenyatuktuk2853
@kenyatuktuk2853 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anapenda t-shirt ya arsenal sana?
@allymteba253
@allymteba253 3 жыл бұрын
Wa kwanza
@salmasalma8203
@salmasalma8203 3 жыл бұрын
Makin davistr
@haikaelazakiel9731
@haikaelazakiel9731 3 жыл бұрын
😆 😆 Mkuryaa anakaza moyo upo kwa mtot Angel
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Yani nimecheka balaa leo eti leo nisipoteze muda leo nijiuww ngoja nichanganye najuisi ili nife pole pole nisife haraka haraka😂😂😂
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu jamaa kaniacha hoi leo af anavocheka mimi hoi 🤣🤣🤣🤣
@mayoota7889
@mayoota7889 3 жыл бұрын
S.a za mchana
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
tafuta stand ya kuweka mic
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Hilizi limesababisha hâta Enjo kunyanganywa,lkn mafanikio ya Shetan hayafiki mbali, Hilo halipingiki kabisaaa
@Mrdcobraa11
@Mrdcobraa11 3 жыл бұрын
Ulisha Wahi kuishi Zamani?? 🤔
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Zabroni umepitia mengi sana pole
@shanizshanta7787
@shanizshanta7787 3 жыл бұрын
hamlali
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
😅😅😅eti unaniita 😅😅 mzim gani huo jini hilo nawee baba kauzu nae hana huruma looh
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Misosi mizur zablo ujiue utamuachia nanii
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Ulisahau ukifa utarud gambosh?
@seeboman3106
@seeboman3106 3 жыл бұрын
Hahahaha marehem anatafuta pahali ya kunywea sumu heeh iyo nomaa zilaili alikua bado yupo mbali nawe
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@faridaomari5000
@faridaomari5000 3 жыл бұрын
Aaaaa unachezea kifo weye
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 жыл бұрын
Kanyama nusu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Wakwanza Leo 💃💃💃💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🙄
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Oyoooo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@aiyamhassan1321 oyeeeeeeeeeeeeeee💃
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 shkuran chidada changu 😍😍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 karibu kindugu changu😍😍😍
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
Hao waraaabu hawakuwa wanakupenda waltaka mtoto wao aweze kula na kuısh bas .
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Mimi wanne leo
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Duuu jaman mko fasta
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Amina njooooooo
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
Ndio naingia sasa hivi shoga yangu✌✌
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@bintimrope Nmefurai kukuona😍😍😍
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😍😍😍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@bintimrope 💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
How a sexual assault case unmasked the Malayalam film industry| Dileep
22:21
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Makambakotc
Рет қаралды 9 М.
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 13 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 8 МЛН
БУКЕТ МЕЧТЫ НАСТОЯЩЕЙ СЛАДКОЕЖКИ😂😂😂
0:19
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 3,3 МЛН