Hongera sana mkuu wa mkoa Iringa tunakupenda unafanya kazi nzuri Mungu akukinge na mabaya yote
@yelamasele58885 жыл бұрын
Pole sana mkuu ndo kazi zenyewe nakukubali sana
@gregorychogelo20135 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 huyu dada ni shida yaani..! Mume wake ana kazi
@yusuphmbago36645 жыл бұрын
Hapo ndio naelewa vizuri ule usemi "kukopa harusi, kulipa matanga".
@f.a60435 жыл бұрын
Kweli hasira ni hasara! Kiburi si muungwana! sasa huyu Mama angeongea hata kwa busara nzuri Mh. Mkuu wa mkoa angeweza kumsaidia pengine amesha mvunja moyo hata RC kwa namna yake hio anayoonyesha! sasa yeye anaongea kwa jazba hivyo sijui kama ataweza kusaidiwa masikini pole mama!
@allykiwembo95535 жыл бұрын
Pole muheshimiwa mkuu wa mkoa irnga kwel unapambana na changamoto nyingi
@fainnamvungi43645 жыл бұрын
nimeweka earphone masikio yote yananiuma we mama wewe unaniumiza masikio...😂😂
@priscasiame91795 жыл бұрын
Kujitoa muwanga sio tu kujivesha mabomu..hata kupaza saut pia ..mama safi sana waajir wengi washenzi mungu anaona mama wa wawatu kateseka lumande moyo wake umejaa hasira
@samueljr91055 жыл бұрын
Mama ulikopa pesa ukafanyia nn? Hata sasa wapiga kelele hapa usaidiwe kuweni makini mnapo kopa maana ukijua utarudisha sasa ww unakopa pesa nyinge utumie kwa njia chafua hata biashara hutaanzisha alafu hutaki kudaiwa ama KWELI washwahili walinena KUKOPA HARUSI KULIPA MATANGA
@user-br4tl7jv9j
😂😂😂😂😂😂nmecheka sanaaaa
@juliaslengai33234 жыл бұрын
😂😂😂😂😂ww dada punguza mdomo dawa ya deni ni kulipa
@wazirisukari51784 жыл бұрын
Alieskia rc kasema anadaiwa na bank laki tatu tunyooshe mikono juu
@aminarashid62865 жыл бұрын
Huy mkuu wamkoa nampenda sana
@upendohalisi805 жыл бұрын
Chezea mhehe wewe atakula sahani moja na huyo mama uwii
@benedictmgaya73005 жыл бұрын
Mama lipa pesa za watu mdomo mrefu wa nn
@lucky92855 жыл бұрын
Dawa ya deni ni kulipa dada Nyodo haisaidiiii
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
Hapo chachaaaaa!!!!😁😁😁😁
@florachrist96024 жыл бұрын
Nyie mi kam namuelewa vile😂😂😁😁😀jmn nyie deni linachosha mjue😁😁😀
@radhiasalum71565 жыл бұрын
Nilichobaini hapa tanzania wenyewe wenyewe tunaekeena roho mbaya makazini
@fatimamohammed23325 жыл бұрын
mama na ww wenge knoma hahahaha unaombewa kaz una mbwera hap kwakuwa mm tayar nna kaz nngekuwa cna ngekutafuta hahahah