No video

SAKATA LA UAMSHO: SHEIKH PONDA AMTEGA RAIS SAMIA/AMTAJA PROF. KABUDI

  Рет қаралды 110,828

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

3 жыл бұрын

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Taasisi za Waislam Tanzania, amesema, hekaheka kuhusu viongozi wa dini ya Kiislam kushikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za ugaidi, lilianza mwaka 2002.
Amesema, ilikuwa ni makosa kupokea sheria zilizoletwa kutoka mataifa ya nje ili kutumika kusakama viongozi wa dini, kwa kuwa mazingira yaliyotumika kuandaa sheria hizo hayakuwepo Tanzania....
Akizungumza na MwanaHALISI Online kuhusu kauli ya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (CCM), aliyoitoa hivi karibuni, bungeni kuhusu tuhuma za ugaidi kuelekezwa kwa masheikh, amesema wabunge wenyewe mwaka 2002 walipinga sheria hiyo.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 516
@iddyramathan4507
@iddyramathan4507 3 жыл бұрын
Kiongozi wa kweli wa dini ya kiislam nchini Tanzania, Allah akuhifadhi
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Amiin
@alikutenga3303
@alikutenga3303 3 жыл бұрын
Ana msimamo sio mbabaishaji Kama mashekhe wa wanoi2mikia ????.
@ayubukassim9914
@ayubukassim9914 3 жыл бұрын
@@bandaisihaka1231 sheikh ni wew ingia jannah
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 3 жыл бұрын
@@bandaisihaka1231 kwani ni wewe ndo sheikh? Acha utumbo wako tunajua kua wengi wenu mnamaradhi yamoyo ila nakuomba msije nyie wa Tanzania mkalana kama nchi nyingi duniani unaona amani ikimwagika hutopata nafasi uliyonayo hapo leo mtamwagana damu na hatopatikana mtu moja au wawi kwenda kanisani au msikitine basi chungeni ulimi wenu mnawaonea wa Zanzibar wakati hakuna muhimu yakua pamoja na tanganyika ni nchi na Zanzibar ni nchi mungano wenu hauna mantiki ktk wa Zanzibar na hawapendi nawatu wasiojipenda hutosema kupenda wengine
@professamuddy5407
@professamuddy5407 3 жыл бұрын
Shekh PONDA wewe ni mkweli kabisa MAASHA ALLAH . Sijui bakwata wana kazi gani!!
@habibuhumud1442
@habibuhumud1442 3 жыл бұрын
ALLAH AWAFANYIE WATOKE NDUGU ZETU WAKASHIRIKIANE NA FAMILIA ZAO INAUMA SANA INSHAALLAH.
@shawalmohammed6059
@shawalmohammed6059 3 жыл бұрын
Daaa 😓😓😭Allah ajaalie yaliyo mema katika nchi yetu Mana tunakoelekea Hali haitakua nzur muwatoe mashekh wetu tu
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 3 жыл бұрын
Kila mtu anakimilia Alla muweke flani mm nasema ifike wakati waisilamu tupaze sauti zetu sio mungu mwenyewe kazi ya kupaza sauti tumewaachia masheikh
@depaolo3461
@depaolo3461 3 жыл бұрын
Kila jambo linaanza na ww
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 жыл бұрын
Inshallah vilio vya wenye nia njema watanzania wenye madhehebu mbalimbali,wasio na dini kabisa vimesikika tumeachiwa ndugu zetu,poleni sana mola wenu atawafidia atawarehemu,atawabariki,yeye ni mwema aijua mateso yenu,atawapa faraja mkaendelee na kazi ya kitume,angalizo kwanini waislamu tu wanahusishwa na ugaidi? mbona nchi zingine magaidi hawana dini,wapo wakristo,wapo wengine Wana siasa.
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 3 жыл бұрын
Sk Ponda Issa Ponda ilitakiwa awe ndie Mufti Mkuu wa Tanzania, siyo wale makada wa CCM wanaovaa makofia ya Kiiran..
@professamuddy5407
@professamuddy5407 3 жыл бұрын
Mwandishi hongera sana kwa kuuliza maswali ya msingi. Na pia shekhe PONDA Hongera kwa majibu ya msingi na point muhimu. ALLAH akupe ujasiri zaid na Atuongoze aaamiiinn.
@binbaya923
@binbaya923 3 жыл бұрын
Allah akuweke Sheikh Ponda na uwe ni mtu wa kusimama ktk haki siku zote. Coz ni mtu unaye jitambua maa shaa Allah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum sheykh hizo njama tu za baadhi ya watu wasiyoipendelea dini yetu ya ki8slam ndiyo mana wanafanya juu chini chini juu ili watugawe waislam subhanallah mungu awazidishiye subra
@swaibujafar1377
@swaibujafar1377 3 жыл бұрын
Pepo haipatikani kilahisi Allah atuhifadh
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
kbs
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU EBU WAHURUMIE HAO MASHEIKH WAPEWE UHURU WAO 🙏
@sikapendinakapenda4170
@sikapendinakapenda4170 3 жыл бұрын
Hili jambo linaweza kuacha Doa kubwa sana ambalo kulifuta kwake ni mpaka vizazi vitano vipite.... lakini historia haitafutika.
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 3 жыл бұрын
Uyu kina Samia ndio wale wale tu rangi ya kijani na manjano. masheikhe wetu watatoka kwa uwezo wa allah
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Je wakrsto waliouawa mnawasemeaje???
@babanahya1126
@babanahya1126 3 жыл бұрын
Usione ukadhani mbn wametoka
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
Ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga Kikwete, babu alliy shen, seif ali idi, Magufuli hawakuwa naniya safi juu ya mashekh na waisalamu lakn Kipenzi kilicho sawa kwa ukombozi Mama samia Amewatowa mashekh Allah Amjlie kher na uwongozi mwema 🌷🌷🌷# Samia suluhu hassan
@twaariqahmad7249
@twaariqahmad7249 3 жыл бұрын
Watu Wana chuki na dini hii jamani Na hamjui tu Enyi makafiri wenye chuki na uislamu hamtafanikiwa kamwe Na mjiandae na adhabu za Allah (BRR) ewe mola wetu mtukufufu ambaye haujazaa wala kuzaliwa,uliyeumba mbingu na ardhi naomba uwadhalilishe viongozi wote wenye chuki n vitendo vya chuki dhidi ya dini ya kiislamu hapa duniani n akhera Aamiin
@shamiryporoto8732
@shamiryporoto8732 3 жыл бұрын
Amin
@hassnhaji8585
@hassnhaji8585 3 жыл бұрын
Kila anaehusika na dhulma hii Allah atamlipa Allah awafanyie wepesi inshallah
@SHOLLAH804
@SHOLLAH804 3 жыл бұрын
Sheikh ponda may Allah grants u jannah for ur responsble of islamic ummah
@sabihasalim942
@sabihasalim942 3 жыл бұрын
Allahuma Ameen
@hassanaly3688
@hassanaly3688 3 жыл бұрын
Masha Allah mwenyenzimungu atawasadia
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Watolewe jamani mungu awasaidie
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 3 жыл бұрын
Inshaallah mwenyezi ataleta khery
@kondeisiaka7736
@kondeisiaka7736 3 жыл бұрын
mungu hawafanjie wepesi mashekhe wetu insharaah
@suleimansaidy2546
@suleimansaidy2546 3 жыл бұрын
Hakika tutambue dini ya haki ni uislaam pekee na ndio maana tunasakamwa sana na makafili mbali mbali ili kuisambalatisha dini hii ya uiislaam kwa kupitia hawa mashekhe zetu,ko nawasihi waislaam wenzangu tuzidi kumuomba allah (s.w)atupe nguvu kubwa katika kuujenga uislaam pamoja namashekhe zetu awaondolee vikwazo vya kila namna inshaallah.
@rokiroki1825
@rokiroki1825 3 жыл бұрын
Poleni sana masheh ALLAH atasimamia haki zenu InshaaAllah ni miaka mingi kitajulikana kwakweli
@jinaabdullah4107
@jinaabdullah4107 3 жыл бұрын
Inauma sanaa
@salehalzakwani3283
@salehalzakwani3283 3 жыл бұрын
Allah Karim Inn shaa Allah
@asyasaid9828
@asyasaid9828 3 жыл бұрын
Muheshimiwa rais Tusaidie watolewe
@wenderine
@wenderine 3 жыл бұрын
Mungu awape wepesi ktk janga hili ili waweze kutoka na kuungana na familia zao🙏🙏
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Dunia tunapita tu wako wapi vidume miamba wa miamba wakuogopwa
@saidiomar6642
@saidiomar6642 3 жыл бұрын
Alhamdulillah leo tayari washatoka sheikh ponda ww ndie sheikh wa kweli na sio bakwata masheik wa nyerere na magufuli laanatullah
@razackkhan2441
@razackkhan2441 3 жыл бұрын
Sas mama samia wakat wko macho ya waislamu yapo kwako na mung anakuangalia na nimoja ya mtihan kwako utaulizwa ukifika kwa allah
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Mmhhh kwa uweza wa mungu watatoka sio wa binadam
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 3 жыл бұрын
Mtu wa kwanza mbaya zaidi ni mstafu ki Kikwete na mkapa ila Wallah mungu atawalipa mabaya sana na moto wajahanama ndomakazi yao wame waua waisilamu sana na wa Zanzibar bila huruma na masheikh kwa ajili za siasa ila mungu yupo maradhi mabaya huku duniani na aghira itawasubiria wanafiki bakwata ni wote sawa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Shehe Upo sawa maashaallah
@ajimalmtumb9896
@ajimalmtumb9896 3 жыл бұрын
Kwabahati nzuri Kuna Allah ndomtoaji hukumu,, na ndiomana anauwezo wa kukuondoa uhai wahao walohusika kuwatia ndani mashekh nakwahili Alhamdulilah wamokufa viongoz wakubwa wanohusika na mambo Hyo na Allah awadhibu wale woote walohusika na kukamatwa mashekh
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
Na waliohusika hajafa hata mmoja. Magufuli hajamfunga mtu kwa kesi hii aliikuta. Na kifo cha kila mtu na sio afya kufurahia kifo cha binadamu mwenzio wote tutakufa
@simeonnyabenda5207
@simeonnyabenda5207 3 жыл бұрын
Magaidi siyo Mashehe Wala Waislam, Magaidi NI Polisi, Askari wa Wanyamapori na UHAMIAJI. Wanadhulumu watu kwa kutumia vyeo vyao na Uaskari wao. MUNGU Anawaona wote mliowaonea Mashehe.
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 3 жыл бұрын
Huruma mungu hanaona
@salehtessema5894
@salehtessema5894 3 жыл бұрын
Wallah Allah atatulipia iko siku. Mtajuta
@rashidkhalfan7556
@rashidkhalfan7556 3 жыл бұрын
Sheikh wetu uko vizuri sana
@naimaswai999
@naimaswai999 3 жыл бұрын
IPO siku ukweli utajulika mbele ya allha Allah awape ushidi mashekhe wetu
@abuumrisho204
@abuumrisho204 3 жыл бұрын
Wanataka kuizima nuru ya Mwenyezi Mungu na watashindwa tuu, Allah atawalipa kwa maovu yao hapa duniani na akhera
@amourabdallah4517
@amourabdallah4517 3 жыл бұрын
Shehe ponda Mungu Akupe maisha marefu inshalla
@kasandaally6906
@kasandaally6906 3 жыл бұрын
Wale ote walohusika kukamatwa kwa mashekhe wa uamsho na watanzania nzima na kuwaweka jela bila ushahiid wowote Allah awape maradhi mazito na awafishe hali ya kua madhalili kwa kitendo cha kudhalilisha viongozi ktk dini yake
@hashimmussa6832
@hashimmussa6832 3 жыл бұрын
sheponda munguakujalie kwakirahali fikira Afya himani huruma kiishamungu hukuepeshena Azabuzakali hakuepushena moto kwamisuko sukouliyohipata kwakutetea wanadamu wezako likiwemo hiliramashe
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 3 жыл бұрын
Mungu atawalaan killa zuluma wanayo wafanyia wanazuoni wetu . Eeee allah wape laana kila alie changia kuwakamata wanazuoni wetu.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Awaongoe Hao watu
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ndOdl8uVzce1nIU.html
@mwadinifakisaleh5405
@mwadinifakisaleh5405 3 жыл бұрын
Lllllll P
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Mungu msaidie
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 жыл бұрын
Kweli inauma Sana mwenyezi mungu iangalie dhuluma hii
@kamalmukaddam1297
@kamalmukaddam1297 3 жыл бұрын
Subhannalaah kwann mnawatesa masheikh wetu bila sababu Ina maana chombo kikuu Cha kiislam jumuiya imeshindwa kuita kikao Cha nchi nzima Cha maimamu wakatoa msimamo wao mmoja thabit Hadi kesi inachukua Miaka Tisa bila chochote kinachoendelea wanaumia Hawa wenzetu tunahitaji maelezo Hawa wanakosa gani na mbona kesi mamiaka mungu mkubwa na mjuzi atawasaidia mazaalim
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
Bakwata ndio taasisi kuu ...sjui kama tulisha wahi kuskia tamko lao kuwatetea waislam hawa na wengine
@togomaster337
@togomaster337 3 жыл бұрын
Dah inasikitisha sana hii kitu
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
Wanafikiri wanawakomoa hawajui kuwa ALLAH SW.anawaruzuku jambo kubwa sana.makafiri hawajui hili.ila wangapi wao wako huru lakini kwa miaka yote hii ya masheikh kuwa gerezani washaiacha dunia?Hongera sana sheikh ponda kwa kuwapigania masheikh wetu mwanzo mwisho.sisi hatuna cha kukulipa ALLAH SW atakulipa
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Amiin
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Aliyowaweka gerezani ni muislamu mwenzao Kikwete na sio Hayati Magufuli. Na Hii ni musukumo wa America kule wapinzani wanakokwenda kuomba democrasia. Hii imetokea hata Kenya. Mashehe wa Tanzania wana bahati Kenya wameuwawa wengi.
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
@@gracemima5234 Asante sana
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
@@gracemima5234 sio Kikwete tuu na Shein
@shebyabdallah5854
@shebyabdallah5854 3 жыл бұрын
@@gracemima5234 huyo magufuli ni.kafiri Kama ww endeleen kuleta udini inshallah mutajibiwa
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
*Nakuamini ww sio mnafiki Ponda Allah akujalie umri mrefu uiseme haki bila woga*
@moshimgaza5642
@moshimgaza5642 3 жыл бұрын
Ila ipo siku moja tu.hao waliowaweka ndani bila ushahidi wakutosha,m.mungu atawapa adhabu kali. Viongozi ogopeni sana mungu hasa kwa wacha mungu.mungu hana msamaha kwa hili
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Allah atuvushe kwa hili Janga lá kupandikiziwa na watu wa maghalibi
@wanyooshetv9987
@wanyooshetv9987 3 жыл бұрын
MAKAFIRI WACHOKOZI HAO
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Allahu yaalam 👏 (MUNGU ndiye ajuaye ukweli ndani ya Mashekhe wetu maana alowakamata ni viongozi wetu wa nchi ambao ni waislamu huko Zanzibar Rais wao muislamu alikuwa na huku bara Rais alikuwa muislamu kwa hiyo hao ndiyo wajuaye chanzo cha kuwakamata pamoja na mola wetu ndiye ajuaye kikubwa kuwaombea dua mungu awafanyie wepesi mahakama itowe majibu sahihi kww haraka maana hata ponda nawe ulikamatwa kipindi cha nyuma lakini Allah akakufanyia wepesi upo huru mpaka sasa Alhamdulillah kikubwa Subra na kuwaombea dua Allah afanye wepesi kwa hilo
@koroshobiboembefamilyhadij8009
@koroshobiboembefamilyhadij8009 3 жыл бұрын
Nampenda sana huyu baba shehe Ponda🙏😍
@raymahssirymahssir3084
@raymahssirymahssir3084 3 жыл бұрын
Allah akubarik sheikh ponda
@salimalrashdi1937
@salimalrashdi1937 3 жыл бұрын
Ameen Ameen sheikha ponda huyu ndio anafaa kua mufto wa tanzania
@salimalrashdi1937
@salimalrashdi1937 3 жыл бұрын
Sorry mufti
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
@@salimalrashdi1937 aaaaa weeee acha hzo
@salimalrashdi1937
@salimalrashdi1937 3 жыл бұрын
@@junioryasin5306 kwanini lazima tuseme ukwele hii sio haki masheikha miaka tisa bila haki hamna haki ya ubinadam kikwete na dr.ali sheni na jaji mkuu na huyu kabudi ss hawa ndio sababu vibaraka ya waleee walio wachukia watu wa dini wanapewa msaada wa madollah kuwaangamiza masheikha wetu
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Aameen
@kasandaally6906
@kasandaally6906 3 жыл бұрын
Mpigania haqi mpenda haqi kiongozi wetu shekh ponda issa ponda katibu wa jumuiya na taasisi za kiislam tanzania kiongozi aliejaa hofu ya Allah mpenda amani mwenye huruma na mwenye mapenzi na ndugu zake nafsi zenu zashuhudia dhahiri kwa kazi anayoifanya ya dini ya mollah wake mlezi,sasa nawaambia andaeni majibu ya kwenda kumjibu Allah kwa kuendekeza matamanio ya nafsi zenu
@hassanmbarouk2959
@hassanmbarouk2959 3 жыл бұрын
Yaani angalia hii video machozi yanantoka😭.walwah serekali yetu ya uonenvu hivi jaman mahabusu miaka 7 kwa kosa lisilo julikana.duhh sote tutarudi kwa allah washaaza na watazidi endelea .
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Upelelezi miaka 9?
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Mama Samai waurumie watowe hii ni dunia twapita jamani In Sha Allah mola atawajalia watoke
@moridohome4790
@moridohome4790 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekheponda
@hechechacha4032
@hechechacha4032 3 жыл бұрын
Shekh ponda ni miongoni mwa viongozi wa Dini ninaowaelewa sana
@sayeedsaleem6395
@sayeedsaleem6395 3 жыл бұрын
Silimu kupitia yeye sasa
@karimukiwaka2549
@karimukiwaka2549 3 жыл бұрын
Kwakweli sheikh Ponda ndiomfano halisi wa kiongozi bora.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Karibu KATIKA uislam baada ya kuiona haq
@professamuddy5407
@professamuddy5407 3 жыл бұрын
Shekh PONDA wewe ni mzalendo na no mkweli kabisa MAASHA ALLAH. Sijui bakwata wana kazi gani ofisini kwao!! Yani ni bora mkristo gwajima hili limemgusa kuliko bakwata na mufti zubeir na mashekhe wengine!.
@shebyabdallah5854
@shebyabdallah5854 3 жыл бұрын
Allah atawatia nguvu alshabab na mutajibiwa tu ishallah endeleen kuwashikiria inshallah mutajibiwa ila musilalamike
@abuumrisho204
@abuumrisho204 3 жыл бұрын
Sheikh Ponda Allah akuhifadhi
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 жыл бұрын
Tatizo ni mfumo kristo source sheikh Ilunga
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 3 жыл бұрын
Ipo siku mbichi na mbivu zitajulikana. Innallaha maaswaabiriina
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 жыл бұрын
BAKWATA ni kirusi cha uislam kwa waislam that y huwez nikuta naifollow BAKWATA milele
@husseinrashidi9904
@husseinrashidi9904 3 жыл бұрын
Alah tunakuomba ueasaidie mashekheh watoke nampe afwanjema ponda isaponda
@Sekenke123
@Sekenke123 3 жыл бұрын
Serekali ya tz inadhulumu sana Waislamu.
@aliujendo
@aliujendo 3 жыл бұрын
Ewe Allah mpe kazi ya kufanya kabudi pamoja na wote walio shirki hapa dumiani na kesho akhera in sha Allah
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
AMIIN
@omarbyz8695
@omarbyz8695 3 жыл бұрын
امين👏
@omarbyz8695
@omarbyz8695 3 жыл бұрын
هي دني ان متهن 🤗
@omarbyz8695
@omarbyz8695 3 жыл бұрын
😭
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Mhe. Kabudi anahusika je, yeye kaelezea tu hali ilivyo LAKINI wakati wanakamatwa na kushitakiwa iwe KIHALALI au KIHARAM yeye alikuwa jalalani. Naomba sana Masheikh wetu watolewe.
@jumaahmadi632
@jumaahmadi632 3 жыл бұрын
Sheikh ponda tupo pamoja sisi waslam mwenzako ktk jambo ilo inshaallh
@salmamustapher6021
@salmamustapher6021 3 жыл бұрын
Jaman Allah yupo na hukum ipo wallah nataman qyama kije tu kuliko kuishi haliyakuw wazeewetu wako ndan mpaka Leo wanakuta tunawajukuu nasisi dah!!!
@salmawais2778
@salmawais2778 3 жыл бұрын
Manshalla ponds I salute you!!!!!
@idrismkwinda8087
@idrismkwinda8087 3 жыл бұрын
Sheikh Zubeir na Alhad Mussa kimya kazi kuswalisha tu
@shamiryporoto8732
@shamiryporoto8732 3 жыл бұрын
Zuber na alhard ni mashekhe wa mwezi wanaonekana mwezi ukiandama ndio wana wasemea waislaam😂😂😂😂😂
@idrismkwinda8087
@idrismkwinda8087 3 жыл бұрын
@@shamiryporoto8732Natamani Askofu Ngwajima angekua msemaji wa Waislamu kuliko kuwa na ALHAD MUSSA mtangaza mwezi
@shamiryporoto8732
@shamiryporoto8732 3 жыл бұрын
Niwanafiki hawana mchango wowote dhidi ya waislaam myaka yote
@yussufumusso6737
@yussufumusso6737 3 жыл бұрын
Shekhe wapambanie mashekhe wa uamsho kisheria ili watoke .wanadhulumiwa sana
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 жыл бұрын
Nasi tuwapambanie pia
@professamuddy5407
@professamuddy5407 3 жыл бұрын
Waziri kabudi na wenzio. LaanatuLLAH.
@shafiqmohd1491
@shafiqmohd1491 3 жыл бұрын
Mm nisemetu kila alieshiriki ktk dhulma hii akiwa yyote hakika allah atahuhukumu hukumu ya haki sana tena mda upo karibu sna sna kwahili kabudi na wenzako jiangalieni sna
@bashirumtoro6601
@bashirumtoro6601 3 жыл бұрын
Allah Atie wepes kwenye jambo hili
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
Sheikh Ponda anaelezea vizuri sana lakini alikua anatakikana alitizame suala hili la Uamsho inda long vision Serekali ya Tanganyika there drummer player ukweli hasaa ugaidi hauna maana yoyote ile kwa serekali ya Watanganyika kwasababu wao wenyewe hio Serekali ya Watanganyika ni magaidi sawa?ugaidi mkubwa kwa serekali ya tanganyika ni kutaka kuvunjika Muungano na ishaallah lazima utavunjika, sasa wamewaeka ndani masheikh wa kizanzibar wa Uamsho kwa sababu za kuukataa Muungano,na kama m'navyojua kwa Wazanzibar Uamsho sio Masheikh tuu bali wao ni viongozi wenye thamani kulikoni Rais wanacho sema maimamu maamuma yao wanafuata tuu kama Swala vipi sawa¿
@shebyabdallah5854
@shebyabdallah5854 3 жыл бұрын
Munatuletea Vita ya udini mbn mwaposa ameuwa na Hana kesi
@mwitahassan1934
@mwitahassan1934 3 жыл бұрын
Allah anayajuwa yote sisi tusiyoyajuwa
@mohamedmohemed6459
@mohamedmohemed6459 3 жыл бұрын
BAKWATA WANAFIKI WAKUBWA HAO!
@shamiryporoto8732
@shamiryporoto8732 3 жыл бұрын
Nibaraza la wanafki tanzania
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
sio vzr
@abdukadiliissa8076
@abdukadiliissa8076 3 жыл бұрын
Free Them
@victormtani7170
@victormtani7170 3 жыл бұрын
Kikwete aliwaonea hao Mashekhe wanzuoni Miaka 9 yote hiyo bila kuwapeleka Mahakamani na walipopelekwa huko Mahakamani haki haipo. Mnawashikilia ili iweje huku Mnatuibia mamilioni ya pesa zetu za Umaa Mungu anawacheka sana
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 3 жыл бұрын
Bakwata kamwe haiko kwa ajili ya kutetea waislam wala maslah ya waislam, bali bakwata iko kwa ajili ya maslah ya watu binafsi na maslahi yakanisa tz
@iddiqassim3083
@iddiqassim3083 3 жыл бұрын
Tuzid kuwaombeya dua kwa Allah awatoe gerezani
@belgieboys9867
@belgieboys9867 3 жыл бұрын
Hakuna chochote hawa sio wagaidi. Uamsho. Kuukataa muungano ni ugaidi. Hawa viongozi wengine wana uchungu na uislam. Na wana nia mbaya na waislam na zanzibar sababu ni waislam. Maneno ya yesu alihubiri ktk sinagogi na hadharani.
@saidsalum6729
@saidsalum6729 3 жыл бұрын
Uislam ni Dini ya haki,wakati Dunia ya sasa haitaki kuendelea katika mfumo wa haki. Dunia ipo kwenye dimbwi la maasi,ushenzi,unyama. Uislam ni Dini inayosimamia haki za sheria kutoka kwenye vitabu takatifu hali ya kuwa Dunia haifuati sheria zilizoainishwa na vitabu takatifu.
@mosesshelukindo6478
@mosesshelukindo6478 3 жыл бұрын
Hii ni dhuluma na sio haki kabisa... ila Mwenyezi Mungu aliyeumba Mbingu na nchi anaiona hii dhuluma waliofanyiwa hawa masheikh na atawalipa wanaohusika hakika.
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 3 ай бұрын
Kabudi laana ya Allah inakutafuna upo wapi sasa umezimika km mshumaa
@ishrak3112
@ishrak3112 3 жыл бұрын
Dah kwa kweli inaumiza
@yonasimbo2945
@yonasimbo2945 3 жыл бұрын
Kweli
@kasandaally6906
@kasandaally6906 3 жыл бұрын
Bakwata nafkiri mmemuona anaefaa kuwa mufti wa tanzania msema kweli mwenye huruma mwenye tauheed ya kweli
@alingurudu6491
@alingurudu6491 3 жыл бұрын
Watatuhukumu duniani Ila akhera zamuyao
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 жыл бұрын
Huyu kabudi huyu Mungu atamlipa hapahapa duniani kwakweli
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 жыл бұрын
Naaam kaka atalipwa hapahapa dunian na kesho Akhera pia atalipwa zaid ya hapa duniani
@adammakame2154
@adammakame2154 3 жыл бұрын
Kabla haja lipwa na Allah tunge mpata uyu mikonon mwetu akajieleza vzr kupinga amr ya raisi kua kesi zsizo na ushahd zfutwe yy anajifanya mjuz mpeni Salam Sana anaichafua nchi uyo jamaa atatutia kwenye vitaaaaaa sooon
@adammakame2154
@adammakame2154 3 жыл бұрын
Kabla haja lipwa na Allah tunge mpata uyu mikonon mwetu akajieleza vzr kupinga amr ya raisi kua kesi zsizo na ushahd zfutwe yy anajifanya mjuz mpeni Salam Sana anaichafua nchi uyo jamaa atatutia kwenye vitaaaaaa sooon
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Ndo maana hana mvi ni laana tayali
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
@@adammakame2154 kama maagizo yametoka nje ya nchi basi kuna watu kati yao ndani waliotoa waalifa nje sizani kama America walitaja majina yako from nowhere
@ramadhanjuma5551
@ramadhanjuma5551 3 жыл бұрын
Kuitatua kesi hizi hakuna nia njema kwa upande wa serikali
@salmamustapher6021
@salmamustapher6021 3 жыл бұрын
Allah atawahuku km wamewekwa kwa hira hawa masheikh sa nane hii usiku namuomb molawangu awaangamize wote ambao wamehusik kwa hila m
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 3 жыл бұрын
Yaani kuutaja muungano unainyonya znzbr imekuwa ttz kwao mateso makubwa wanayapata kwa kutaja haki ifikie hatua ccm itoke madarakani maana haitaki ukweli kuanzia nyerere mpak walio salia Leo kawaambukiza ....abedi aliposema muungano nikama koti likinubana navua akalimwa lisasi akafa kipindi cha nyerere
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 жыл бұрын
mimi naona uwongo mtupu eti ushahidi utoke nnje wapi wakati kesi ipo tanzania duuu siyo sawa kabisa duuu
@seiftaji8817
@seiftaji8817 3 жыл бұрын
Hatukuelewi kabudi unaongea pumba tu. haingii akilini yani miakaa 8 munatafuta ushahidi? tendeni haki nyie duniani tunapita rohombaya imewajaa kama wadudu.
@fatumarajabu810
@fatumarajabu810 3 жыл бұрын
Hakika sheikh wetu ponda unapmbna we pmoja na walio nyuma yko .. Allahu akbar
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 3 жыл бұрын
TUNAOMBA WAWE HURU, BASI
@selemanimlahagwa4730
@selemanimlahagwa4730 3 жыл бұрын
Shekhe. Ponda Allah hakupe uri i mrefu inshallah nyiye ndio viongoz wa haki mashekhe wengine ni minafiki tu mashekhe wetu ndg zetu wanateseka kama shekhe mselem Alla hampe uri mrefu inshallah mashekhe wengine kazi kupigana vijembe na kuangaliya masila tu minafiki kabisa
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Munatia aibu viingozi wallah siku ya kiama mutajibu maswali wallah wabillah.
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 Жыл бұрын
MAJIBU YAKO NA Sefu Alli Iddi alivyo rithi kauli na amri ya Nyerere (HAKUNA ZANZIBA NA ZANZIBARI) 2
@siloomar7699
@siloomar7699 3 жыл бұрын
Mama etuu😥😥😥😥😥
@japhetlaisangai8682
@japhetlaisangai8682 3 жыл бұрын
Mmmh
@shabanimohamed7353
@shabanimohamed7353 3 жыл бұрын
Tatizo watanzania nyoyo zao ngumu kiimani laiti zingekuwa laini watu wangekuwa wanaongea mengine hivi sasa.
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 жыл бұрын
Utawala wa doct shein-- aliwakamata na akamkabidhi Kikwete...
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Kumbe kumbukumbu unayo sasa nani apewe ubaya huo wakukamatwa hao mashekhe??
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
JPM:MAKONDA/"NILIKWAMBIA UACHE TAMAA/NILIJUA UTAKOSA KURA ZA MAONI KIGAMBONI"
19:30
BANTAHAN HABIB RIZIEQ ATAS PERNYATAAN RHOMA IRAMA TERBARU
25:56
Hidayah Robbi
Рет қаралды 48 М.
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН