SIMBA TV 03/07/2024 | Mashine za kazi zatua Msimbazi na yaliyobamba Simba Day 2023

  Рет қаралды 7,356

Azam TV

Azam TV

4 күн бұрын

Simba SC imeanza kukifanyia maboresho kikosi chake kwa kufanya usajili wa nguvu ikianza na Joshua Mutale kutoka Power Dynamos, kisha Steven Mukwala kutoka Asante Kotoko, halafu Jean Charles Ahoua (MVP wa Ivory Coast) kutoka Stella Abidjan.
Ndani ya show utaanza kwa kusikiliza neno la matumaini kutoka kwa Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally akieleza mambo muhumi kuelekea msimu ujao pamoja na maandalizi kuelekea #SimbaDay2024
Hapo alikuwa akizungumza katika shughuli ya tawi la Pira Burudani, Dar es Salaam.
Pia unakumbushwa show iliyofwanya na Mfalme Alikiba kwenye Simba Day ya mwaka jana 2023.

Пікірлер: 6
@nengaboy-q8v
@nengaboy-q8v 3 күн бұрын
Nguvu moja
@SamsonSaruni-s3g
@SamsonSaruni-s3g 3 күн бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁🦁🦁♥️♥️♥️🦁🦁
@MashakaSabato
@MashakaSabato 3 күн бұрын
Ndugu mtangazaji nifikishie ujumbe huu kwa viongozi wetu wa simba watoto wananisumbuwa kuhusu fei toto kuja simba
@DorahAlbert-eb9zv
@DorahAlbert-eb9zv 3 күн бұрын
Me pia jamani nataman kujua Fei vip?!yupo Simba au❤😁😁
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 fei akija Simba kunawatu watakufa kwa plesha
@HelenaPerta
@HelenaPerta 3 күн бұрын
TAZAMA KOCHA WETU MKUU FADLU DAVIDS NA WASAIDIZI WAKE WALIVYOPOKELEWA  LEO
3:13
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 19 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 6 МЛН
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 82 МЛН
HIGHLIGHTS: SIMBA 1-1 ASANTE KOTOKO (SIMBA DAY 8/8/2018)
14:12
Azam TV
Рет қаралды 1,5 МЛН
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 232 М.
Ronaldo & Ronaldinho will never forget Zidane's performance in this match
12:54
VSP7 FOOTBALL EXTRA
Рет қаралды 5 МЛН
Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza
1:00:51
Сын Роналдиньо пошёл по стопам отца
0:59
Советский Эксперт 2.0
Рет қаралды 1,4 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 593 М.
Александр Карелин - Цена большого успеха🔥🔥
0:39
Человеческая Мысль
Рет қаралды 246 М.
Это самый УМНЫЙ вратарь в МИРЕ #shorts
0:29