Taarifa ya LEMA Yasambaa DUNIA NZIMA, Nchi YATIKISIKAA!!!!

  Рет қаралды 97,697

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

27 күн бұрын

Пікірлер: 282
@katunzikamara7989
@katunzikamara7989 24 күн бұрын
mimi ni ccm dam lkn lema unatufaa kuwa kiongozi wajuu nchini tanzania kweli tuna viongozi wanao alibu nchi yetu.lkn ipo cku Mungu atatutetea sisi watoto watanzania Mungu mbaliki lema mrinde lema mtunze lema kwaajili ya watanzania.
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye 10 күн бұрын
Tatizo mafisiem nimajambaz ht akiingia watamuua km walivyo wauwa wengne jambaz ni jambaz TU
@ImaniMasuwi
@ImaniMasuwi 25 күн бұрын
Saluti sana Kiongozi mungu akulinde watabusha lakini ukweli umesemwa
@AdotTanzania
@AdotTanzania 25 күн бұрын
Hayati JPM aliyaona yote haya kitambo lakini alipigwa vita hadi kifo. Ni nani alituroga watanzania haya ndio yalikuwa maneno ya hayati JPM enzi za uhai wake. RIP JPM 😭😭😭
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 25 күн бұрын
Nakupongeza sana Mhe. Godbless Lema, Leo umeongea mazito sana na Kusheheni Ukweli. Nategemea Wananchi Wamekuelewa
@obedimolel7938
@obedimolel7938 24 күн бұрын
Viongozi kama hawa ndio wa kutusaidia kukomboa ngorongoro ,bandari zetu na sehemu nyingi zilizouzwa na uongozi mbovu uliopo madarakani tunakuombea sana Mungu akutie nguvu maana unasema ukweli mtupu
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 23 күн бұрын
Darasa zito sana Lema! Watu wanashindwa kushangiria kwa sababu ya umakini wa kusikiliza hoja zako nzito! Mungu akulinde sana watanzania wanahitaji ukombozi kupitia watu kama wewe.👍👏
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 22 күн бұрын
Namtukuza MUNGU kwaajili yako kulijua hilo 🎉🎉🎉🎉
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 22 күн бұрын
@@upendoeliya9329 Amina Amina ubarikiwe 🙏🙏
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 22 күн бұрын
@@davidrweyemamu938 👏👏👏🤝🤝🙏🙏
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 25 күн бұрын
Tanzania tunajifunga kamba ya utumwa wa pili chini ya mikono ya waarabu iko siku kitakuja kizazi kitakachotaka kukomboa bandari za Tanzania kukomboa mbuga za Tanzania kitashindwa ndipo ipelekea Tanzania itamwaga damu nyingi kutokana na maamuzi mabaya ya viongozi wetu walioko madaraka Ieo wasio fikilia Nchi wanafikilia matumbo yao na watoto wao hakika iko siku maiti zao zitafukuliwa na kuchapwa viboko hadhalani.
@tomchiwalala8507
@tomchiwalala8507 24 күн бұрын
Maneno kuntu 🤙🏾
@SylivesterKasikila
@SylivesterKasikila 25 күн бұрын
Thanks Lema. You have brain.
@felixngwasi9469
@felixngwasi9469 24 күн бұрын
Brovo kamanda, Mungu ni mwema, hakuna lisilo na mwanzo lisilo na mwisho, hawa jamaa wameshajiaminisha kuwa wao ndio wao kuwa hawaamini kwamba kuna Mungu ambaye ndiye Mpangaji kwamba siku ikifika hata wafanyaje mabadiliko ni lazima, na mabadiliko ni sasa hakuna mwenyekuweza kuzuia Mungu akiruhusu....
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 25 күн бұрын
Pamoja nauccm wangu kwahili lema nisemeukweli ukosawa kabisa.
@RobertJonathan-jm5um
@RobertJonathan-jm5um 25 күн бұрын
Hongeraa ukweli mtupu
@user-vz3bb3ch3z
@user-vz3bb3ch3z 25 күн бұрын
Rema maneno yako yànachoma make nikweli mutupu
@errydeo8865
@errydeo8865 25 күн бұрын
Wanaosema anaongea UPUMBAVU,HAMJUI DUNIA INAVYO KWENDA!
@amaniringo5533
@amaniringo5533 24 күн бұрын
Hongera sana kamanda Lema piga misumari baba❤
@danysikira4302
@danysikira4302 23 күн бұрын
vibrant speech which wrapped by truth
@mohammedsaqry3036
@mohammedsaqry3036 25 күн бұрын
A clear message and delivery
@charlesmahuna
@charlesmahuna 25 күн бұрын
Sidhani kama Magufuli angekuwepo angeruhusu mkataba wa bandali, japo alikuwa na mabaya yake mengi Ila kuna mambo ambayo Samia anayafanya yatai kost hii nchi vinaya mno, mambo ya CCM kujiona kuwa wanapitisha mambo Kwa sifa ili waonekane ni wababe, mnatukosea saaana CCM Kwa matendo yenu mabaya mnooo
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 8 күн бұрын
Kwa mara ya kwanza Lema nimekuelewa umesema maneno ya kweli kabisa nimekumbuka hotuba ya mwl Nyerere kwamba mataifa makubwa na yenye nguvu yanaungana kuyakabili mataifa madogo hongera sana Lema
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 25 күн бұрын
Umeongea ukweli mkubwa sana Tanzania yangu die
@reginaldsmtui148
@reginaldsmtui148 25 күн бұрын
Bravo my brother Lema.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 25 күн бұрын
Lema, Lema mwanangu, umeongea hadi machozi yamenilengalenga. Maneno kuntu. God bless you!!
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 24 күн бұрын
Tunasikitishwa na kinachoendelea 😢😢
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 24 күн бұрын
LEMA NIMEKUKUBALI
@MariamCleinance
@MariamCleinance 22 күн бұрын
Umetimiza agizo ulilotumwa na mungu
@user-pj8cj7ps5b
@user-pj8cj7ps5b 25 күн бұрын
Safi sana lema tunahitaji viongozi wenye akili timam safi lema
@user-wk4br3rc6u
@user-wk4br3rc6u 24 күн бұрын
Nakufatilia San kiongozi wang Lena,mpina ,tundulisu ,wakili wangu mwambukusii nawaombea sana mwenyezimungu awatangulie nawaombea sana
@HadsonFanuel
@HadsonFanuel 24 күн бұрын
Ambaye hawezi kumuerewa Lema hana Akili timamu MUNGU akubariki sanaa
@AugustineLukumay
@AugustineLukumay 23 күн бұрын
Dah unaupiga mwing baba mungu akujalie upate uongozi utatufikisha mbali
@AdotTanzania
@AdotTanzania 25 күн бұрын
Hayati JPM alisema wazi kuwa ni kichaa tu angeweza kukubali mkataba wa bandari uliowazi kuwa ungeenda kumuondolea mwananchi uchumi na uhuru bali mlimpinga. Hayati JPM alishatueleza wazi kuhusu hatma hii. Apumzike kwa Amani
@anosiata8242
@anosiata8242 25 күн бұрын
Lema Uko vizuri
@justusngonyani165
@justusngonyani165 25 күн бұрын
Huo ni ukweli Lema.
@niyonzimakatama6516
@niyonzimakatama6516 22 күн бұрын
Roho wa Mungu afanye kazi ndani yetu wananchi tujuwe Lema anachokisema ili tujipange ukweli yuko sahihi
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 21 күн бұрын
Kuna vitu huwa unaongea nikiacha upinzan wa kichama nikakaa kama mtanzania mwenye fkiraa endelevu nakuelewa ila sasa ebu mtafute njia sahihi ya kuwadhilisha aya mawazo kwa mkuu wa nchi kwa heshima.
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 25 күн бұрын
Mzee mungu akujalie zaidi,
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 24 күн бұрын
God bless you as your name ❤
@neemamollel6057
@neemamollel6057 24 күн бұрын
Hatari sana inasikitisha maisha ya badae waarabu watakuja kutufanya watumwa tena 😢😢😢r.i.p.jpm
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 23 күн бұрын
Niambie muarab gani alikufanya mtumwa😢
@saidiotham7508
@saidiotham7508 24 күн бұрын
safi sana kk
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 20 күн бұрын
Wewe ni kichwa. Hongera chuga boy.
@danielkanso
@danielkanso 23 күн бұрын
Umeeleweka kiongozi nice speach
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 25 күн бұрын
kweli mh. Lema haya mambo ni magumu kwetu katika yote tunayopitia yafaa Sasa tuwe na katiba maana tumejifunza mengi
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 24 күн бұрын
WATAKANYIKA NI VICHWA MCHUNGWA. KAZI NI POMBE NA WANAWAKE TU, WAKATI WANAUZA NCHI YAO🤣🤣🤣👁️👁️
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 24 күн бұрын
Safi sana Kwa elimu yako
@godfreykisaka8562
@godfreykisaka8562 25 күн бұрын
JAMBO kubwa niDemokirasia sikiliza sera sio Matukano tu mungu hapendiAmina
@richardnganya2311
@richardnganya2311 23 күн бұрын
Mungu au mungu?
@roggoyacny
@roggoyacny 17 күн бұрын
Wapinzani kuchukua NCHI HII nindoto,,unatumia muda mwingi kukosoa hamsemi ninyi mtafanya Nini endapo mtapewa NCHI hii,, CCM itawaburuza sana mpaka muache unafiki wenu ndani ya vyama vyenu 👍
@IssaNyangasa-em9bt
@IssaNyangasa-em9bt 24 күн бұрын
Good messege
@S.SWarfa
@S.SWarfa 23 күн бұрын
Piga kelele chadema hampati kura ng'o. Mama mshindi 2025 In Sha Allah.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 23 күн бұрын
Irrelevant !!
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 21 күн бұрын
Bora vita tuhexhimiane
@allenmacha4131
@allenmacha4131 25 күн бұрын
Lema tunakutaka urudi bungeni
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 25 күн бұрын
Hii ndio siasa sio ubaguzi wa lissu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 24 күн бұрын
Lisu anatumia lugha nyingine lakini ujumbe ni mmoja.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 24 күн бұрын
Kweli kamanda pambana hiyo hoja murua sana br
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 25 күн бұрын
Hayo maneno yaLema niLulu viongoziwengi hasawakiafrika auwanafahamu au ni ubinafisitu watamaa naroho zakujitanua waobinafisi kulikowanaotawaliwa.
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 25 күн бұрын
congratulations
@Elesciahmdugo
@Elesciahmdugo 13 күн бұрын
Uko sahihi sana msigwa
@errydeo8865
@errydeo8865 25 күн бұрын
THATS the reality
@husseinwaziri2796
@husseinwaziri2796 20 күн бұрын
Tuacheni kung'a ng'ania chama,tuangaliye viongozi wenye uelewa na uchungu na wananchi
@hugholinemmasi1671
@hugholinemmasi1671 23 күн бұрын
Hoyeee God bless Lema,
@josephchege-bp3cd
@josephchege-bp3cd 25 күн бұрын
Sio Tanzania Hilo ni liko Dunia nzima
@anwares-haq6497
@anwares-haq6497 25 күн бұрын
Wanasiasa ni maadui wa maendeleo. Huyu anazungumza bila elimu, anachojali yeye ni Kiki ya Siasa tu. Watanzania wengi hatuna elimu, matokeo yake wanasiasa kama hawa wasio na elimu wanatupelekesha na njaa zao.
@CristinLyanga
@CristinLyanga 24 күн бұрын
Lema ni msomi, mangi,hakuna mtu ambae hajaenda shule anayeweza kuzungumzia features.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 18 күн бұрын
Bandari haijauzwa, imepewa DP Worms inaongoza bandari 80 Ulimwenguni mpaka Ulaya bandari zinaendeshwa na DP World.
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 18 күн бұрын
Lema wewe ni kiongozi kiukweli. Naipenda ccm ila Ukweli utabaki kuwa ukweli
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 25 күн бұрын
Umenena brother
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 24 күн бұрын
Kumbe sio tz TU hata ulaya Kwa wajanja
@isackyohana2707
@isackyohana2707 24 күн бұрын
Lema unaongea vizuri kabisa,,Mimi NI ccm Tena ya magufuri,,,magufuri alitufungua vichwa watanzania wote jinsi tunavyopigwa kiuchumi,,,we sema point zako tunakusikiliza na tunakuelewa Sana,,Ila aise utaonekana hufai unapojaribu kumzalau mpiganaji magufuri,,,,
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 16 күн бұрын
Magufuli alifanya Nini Broo wakati nae ni zao Lile Lile asingeweza kupambana na watu waliomweka,mfano kwenye kupambana na mafisadi aliishia kuwakamata wafabiashara, tu lakini wanaccm wenzake akawaacha WAkati wanaccm ndio walioshirikiana na wafanyabiashara, double standard hamna kitu,magufuli ndio wale wale broo
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 25 күн бұрын
Hoja zinapenya sna mwenyewe akili anaelewa nn maisha
@ezekieldeus6022
@ezekieldeus6022 14 күн бұрын
Kwanini tusiwatumie watz, wenye aikiu, yaani wenye akiri Kama lema ili kuiinua hari ya nchi hii, kiuchumi.
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 24 күн бұрын
Eti taarifa ya Lema chizi nchi itikisike, huu ni upuuzi mtupu
@samwelrobertmwakatobe6467
@samwelrobertmwakatobe6467 25 күн бұрын
Katika hili nikupongeze nchi Haina mpango kazi wa mda mfupi na mda mrefu
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 24 күн бұрын
Lema hapa umeongea kijituzima sio kama Lissu anaongea comedy
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 23 күн бұрын
❤ bigger up
@johnmboya7313
@johnmboya7313 19 күн бұрын
Lema nakupongeza Sana mungu akulinde
@user-lg6je8xh4p
@user-lg6je8xh4p 24 күн бұрын
Wakina Msukuma hao. Na Tulia anajiita Dr alafu anapambana kutetea huu ujinga.
@user-cq6nr8fq6m
@user-cq6nr8fq6m 24 күн бұрын
Haujawahi kuniangusha mwamba, facts tu.
@amidulyuma1833
@amidulyuma1833 24 күн бұрын
Kichwaaa Lema !!!🎉🎉
@peterjohnson167
@peterjohnson167 25 күн бұрын
Kweli ujumbe umefika kwa Tundu Lissu baba wa Uzanzibar......Na Utanganyika..
@patricksoko1279
@patricksoko1279 25 күн бұрын
❤❤❤
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 25 күн бұрын
Kuna watu wanakuangalia kwa jicho mbaya hapo ila wataona matokeo hapo baadaye watanzania wagumu kuelewa tukiacha ushabiki tutafika
@Mupaji-vz8ke
@Mupaji-vz8ke 21 күн бұрын
Lema mimi mara nyingi nakuelewa sana
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 25 күн бұрын
D P WORLD niya wa Marekani asilimia 100 hata KOREA aliko toka Rais samia juzi Baba Mungu akupe macho ya Rohoni uone USA wanafanyia kazi zao ESRAEL DUBAI KOREA FILIPINS TAIWAN NA JIBUT na kibaraka ni Kenya ukanda huu kwa sasa
@mwendamitheu8954
@mwendamitheu8954 25 күн бұрын
Eti wamenunua viwanja vya mpira vingapi na nje vinawaufasha wasaudi wangapi?
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 25 күн бұрын
Mwendawazimu alishindwa kuiendeleza Arusha unaongea utumbo😂😂😂
@shabanikimpinga6769
@shabanikimpinga6769 24 күн бұрын
Kweli.arusha.ilimshinda.akakimbia.arusha.hivi.waiwezi.tena
@kadijaa7771
@kadijaa7771 25 күн бұрын
Mzee ana sema kweli musikizeni waarabu wanajua biashara iliyofundisha na mtume wetu Muhammad tuamgalie vizuri
@martinakyoo148
@martinakyoo148 20 күн бұрын
Lema una madini lakini hakuna wakuyatendea kazi,kusema umesema utalipwa na Mungu
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Nchi yangu maamaaaaaa..
@abdallahmagomba4022
@abdallahmagomba4022 25 күн бұрын
Hina jipyaaa
@NelsonagustinoSwai
@NelsonagustinoSwai 22 күн бұрын
Lema uko sawa kabisa MUNGU akulinde popote uendapo
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 24 күн бұрын
Tutamkumbuka baba magufuri
@husseinwaziri2796
@husseinwaziri2796 20 күн бұрын
Tubadilike 2025
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 24 күн бұрын
Chura kuna ujumbe wako kutoka Kwa Mh Lema😂
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 24 күн бұрын
Sawa kama wamefanya mpaka canada sisi ni nani tuzuie fukwe tuu😅😅😅
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 25 күн бұрын
Agenda za Chadema ni dhaifu sana,, wao wana attack mtu binafsi failure kabisa,, Huwezi Kufananisha warabu uchumi wao na Tanzania,, mwarabu anaenda sambamba na mataifa ya magharib kila nyanja,, Magu alikuwa hapendi wageni mkasema sana ogopa technologies
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 25 күн бұрын
Shidaako wewe unawaza Uchawa wa Ccm tu pole
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 25 күн бұрын
@@TegemeaFutemakatifu hili neno uchawa hata maana yake Sidhani kama unaielewa
@1961nungwi
@1961nungwi 25 күн бұрын
Mwarabu ana mafuta, lakini Hana technology. Anatumia technology na wataalamu wa Magharibi kusogea mbele. Hajafikia level ya Magharibi. Amewakaribisha wa Magharibi wamsaidie katika Kila nyanja.....ndio anasogea hivyo.
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 24 күн бұрын
Ww hakuna hunalojua kabisa ety mwarabu yupo leval moja nchi za magharibi cjui hata la saba umemaliza tofauti na mafuta mwarabu anatengeneza nn duniani na Analima nini tofauti na tende
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 24 күн бұрын
@@ramadhanchenga4606 inaonesha jinsi gani hujui Rasilimali za warabu ni nini? Hata hujui neno kulima ni nn, usifikiri kulima ni mazao au nafatu,, warabu wanalima mafuta, warabu wana utajiri mkubwa wa dhahabu,, ndio maana mataifa ya magharib kila leo wanasumbuka na warabu,, warabu kwa sasa wana viwanda vyao kila aina, ndio maana vikwazo vya magharib haviwasumbui sana,, tofauti na nchi kama Tanzania,, huwezi kuweka sehemu moja Tanzania na nchi za kiarabu,, utakuwa unajikosea wenyewe,,
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 23 күн бұрын
Mwizi wa magari hadi SIASA.
@user-kp2jf5jc2i
@user-kp2jf5jc2i 23 күн бұрын
Umesema kweli, ht Mh. Rais ameliona hilo ndiyo maana BANDIKA BANDUA kuona nani amsaidie ni endelevu!
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 25 күн бұрын
Jamani Anachosema Jamaa yanamashiko Sana Tu.
@JesusFollowers-rm5rq
@JesusFollowers-rm5rq 24 күн бұрын
Good man 😂
@raymondkihaka1827
@raymondkihaka1827 23 күн бұрын
Lena bhana Kama nakuona nice
@saidjuma7878
@saidjuma7878 25 күн бұрын
Na kuna watu wanamshangilia anasema risiki inapangwa na mahesabu
@wanguwangu34
@wanguwangu34 24 күн бұрын
Lema nakuelewa sana ingawa mimi siyo Chadema, ni kweli kabisa imagine unatuma mtu kama msukuma std 4 aende kujadili mambo ya uchumi, ukweli ni matusi makubwa sana na watanzania tunazarauliwa sana, na siyo huyo tu karibu wote wameenda wapigaji.
@neemamollel6057
@neemamollel6057 24 күн бұрын
Nampenda lema kwani kuna unabii wa Mungu ndani yake. Wachache ndo wataelewa hili
@RamadhanMrimbo
@RamadhanMrimbo 23 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Tone255
@Tone255 24 күн бұрын
Utasubiri sana
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye 10 күн бұрын
Hakika akili ndogo ndio inayo tawala bongo
@AdotTanzania
@AdotTanzania 25 күн бұрын
RIP JPM 😭😭😭😭
@Renatusmethod-dy4bh
@Renatusmethod-dy4bh 24 күн бұрын
Nyie wote maccm mnaomtukana lema tukiangalia majina yenu na pata jibu kile anacho kisema lema matus mnayotoa ni dhahiri kuendelea kuamini ni matokeo ya ficm kufaulu kuwagawa watu maana ccm wanaitaji watu wajinga ili kuendelea kukaa madarakani
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 25 күн бұрын
Mlikejeri jpm leo unaongea nini
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 25 күн бұрын
Makonda piga kazi huyu Hana jipya marudio tu haya ya miaka 10 hakuna mabadiliko saidia watu wenye kuteseka bro achana na mambo ya ulaya na waarabu hapo hawakuelewi unapoteza muda bure bro siasa kwa Sasa ni kutatua kero majukwaa hayana faida tena saidia wenye shida msile ruzuku na misaada wenyewe leta na zile Land rover tulizopewa msaada wakati wa M4C hatujawahi kuziona barabarani ulipeleka jimbo gani?
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni,  mnyukano mkali watokea
47:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 74 М.
MBUNGE WAITARA ACHARUKA VIKALI JUU YA GENGE LILITUMIKA KUZOMEA
22:07
Nyamwaga Online TV
Рет қаралды 21 М.
MPINA YUPO TAYARI KWA LOLOTE 'ATOA TAMKO ZITO'
1:14:28
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 1 М.
I Almost Crushed The Poor Cockroach😵🥲🥺
0:20
Giggle Jiggle
Рет қаралды 10 МЛН
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Xavier Mortimer
Рет қаралды 20 МЛН
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
D1ashenka
Рет қаралды 4,9 МЛН
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
D1ashenka
Рет қаралды 4,9 МЛН
She saved others
0:20
V.A. show / Магика
Рет қаралды 4,9 МЛН