MTOTO ATAKA KUMUUA MAMA YAKE na KWENDA KUMTUPA BUZA - AJICHOMA BISIBISI ya TUMBO na SHINGO AFE!

  Рет қаралды 259,361

Global TV  Online

Global TV Online

3 ай бұрын

MTOTO ATAKA KUMUUA MAMA YAKE na KWENDA KUMTUPA BUZA - AJICHOMA BISIBISI ya TUMBO na SHINGO AFE!
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 272
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 3 ай бұрын
dah laana gani hio kijana kuuwa mama yako hautakuwa salama tena katika maisha yako
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 3 ай бұрын
Aisee kweli damu ya mtu ni nzito Na haipotei bure jambo kalifanya Kwa Siri lakini Bado kajulikana
@maryumamapunda8910
@maryumamapunda8910 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu tusaidie na hivi vizazi vyetu mtoto umzae mwenyewe kwa uchungu aje tena akuue mmmmh jamani inaumiza sana
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 3 ай бұрын
Mmmh tuzae tu Mungu ndio anayejua
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 3 ай бұрын
Nimekata tamaa ya kuzaa, Mungu tunusuru
@marygregory7566
@marygregory7566 3 ай бұрын
Kichwa cha habari sasa Anataka kumuuwa au ameshamuuwa
@susanjoseph1270
@susanjoseph1270 3 ай бұрын
Yaan Hawa waandishi bogus
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
Yani mwenyewe sijaelewa
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Hata ayaeleweki yasemwayo mara kachukua mwili naakufa mara alila wapi mara awaeleweki
@kiri5807
@kiri5807 3 ай бұрын
Ahsante kuliona hilo . Nilikuwa najiuliza hivyo hivyo .
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 3 ай бұрын
Innalillah Wainna ilayah Rajiun 😭😭😭 inaumiza sana MUNGU ailaze mahala pema peponi mama huyu
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 ай бұрын
Laana iyo wenzio wanataman mama zetu wabak wewe unamuuwa mungu atakulipa
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 3 ай бұрын
Duh angejua kama uyo mtoto ake atamuua angeitoa tu iyo mimba
@aishahussein9348
@aishahussein9348 3 ай бұрын
Hahahaàa kweli kabisa
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje Ай бұрын
Aky usilo lijua nikama usiku wa giza
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 ай бұрын
Mama wa watu kafa kifo cha kikatili sana na Mungu ailaze Roho yake mahali pema
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 3 ай бұрын
Ameeeeen 🙏🙏🙏🇰🇪
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 3 ай бұрын
Ameeen.
@chescoeliutakilemile3633
@chescoeliutakilemile3633 3 ай бұрын
Ilp
@chescoeliutakilemile3633
@chescoeliutakilemile3633 3 ай бұрын
😊O
@chescoeliutakilemile3633
@chescoeliutakilemile3633 3 ай бұрын
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 3 ай бұрын
Ila jamani mmeshasikia kelele anasema ananiuwa mmelizika na maelezo yake wanadam sasa hivi wana roho mbaya
@user-ih7nl5nv3c
@user-ih7nl5nv3c 3 ай бұрын
Alikua anataka kumbaka mamaake uyo mashalti ayo
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 3 ай бұрын
Mtangazaji punguza pombe Kali. Sura inaonesha Sungura Konyagi zimekuathiri sana
@stevenndossi
@stevenndossi 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@rasutz8344
@rasutz8344 3 ай бұрын
😂😂 akili huna
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 3 ай бұрын
😂😂😂😂kheee
@aishahussein9348
@aishahussein9348 3 ай бұрын
Duuù makuvwa
@masoromashauri1256
@masoromashauri1256 3 ай бұрын
😅😅😅😅Nhuuuuuuuuuuu!!
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
😢😢😢😢mama mama mama hana maisha tena😢😢😢 khaaa
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 3 ай бұрын
Kweli kuzaa siyo kupata!
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 3 ай бұрын
Innalilah wainnailah rajiun😢😢 watu wanataka wazazi warudi wawafanyie mema huyu anaua mama 😢 kama umesikitishwa na hili like
@newstarpeterkalugira3632
@newstarpeterkalugira3632 3 ай бұрын
5:15 5:18 5:19
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 3 ай бұрын
😢😢😢inallh wainaillh rajiwona
@user-cj1ur7gn2p
@user-cj1ur7gn2p 3 ай бұрын
Si ungeandika tu jmn sio mpka like kheee
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 3 ай бұрын
Silazima mpendwa
@user-tb4ol6yp6c
@user-tb4ol6yp6c 3 ай бұрын
Kulike tena😂 khee
@user-ko6lg9tw6w
@user-ko6lg9tw6w 16 күн бұрын
Yarab tupe vizaz venyeher na ss 😢 auliwe t nayeye alikisasu haku hafay ktk jamii
@totodavis1949
@totodavis1949 3 ай бұрын
🇰🇪 samahani ila hapa nina swali kwanza inakuaje mtu anauliwa na kuna majirani then 2 inakuaje mtu anapakiwa kwa pikipiki kama amekufa hio time yote na majirani walkua wapi na walikua wanamushuku 3 mbona hawakukiza mama yake yuko wapi hapo siamini hii story hatakama majirani wangekua mbali wakesikia hio kelele inaeezekana hii ni story za jaba.
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 3 ай бұрын
Mama mwenye nyumba bogaz, majirani bogaz, kichwa cha habari bogaz, maelezo bogaz!
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu 3 ай бұрын
Umekiona kichwa cha habar
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 3 ай бұрын
Sikiliza maelezo.Usivuruge mada.
@MkudeRimot
@MkudeRimot 3 ай бұрын
Jaman mungu atusamehe sisi watoto ambao hatujielewi mungu tusamehee
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
DUNIA UMEKWISHA VITU VIGUMU KUMUUA MAMA MZAZI VIJANA WATU WANAELEKEA WAPI? WAKITAKA UTAJIRI WANAUA FAMILY WAKIFUTA NA KULEWA WANAUA WAZAZI TENA MUNGU WABALIKI VIJANA WATU WA TANZANIA ☝️☝️☝️🤲🤲🤲
@NassorSaidy-hr6xm
@NassorSaidy-hr6xm 3 ай бұрын
Mama uyo mungu amweke mahari pema peponi inasikitisha sana Au uyo kijana Ana vuta unga na bangi
@HamisiAbdallah-vu7fz
@HamisiAbdallah-vu7fz 3 ай бұрын
❤huyo mama HATA anayoongea hayaeleweki
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 3 ай бұрын
Mimi mwenyewe nimeshikwa sitofahamu 😂😂😂
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 3 ай бұрын
Uwezi juwa labda sintofahamu imemshika kweli.
@dorahkyomah8560
@dorahkyomah8560 3 ай бұрын
Jamani mtu anapiga kelele nyie mnarudi barazani badala ya kumsaidia jmn
@suzanfelix6320
@suzanfelix6320 3 ай бұрын
Matani yakizidi yanamazara san😢
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 ай бұрын
Huyo kijana ni mvuta bangi jamani 😮😮
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 3 ай бұрын
Sasa nyinyi mmefika kwenye tukio harafu mkaondoka mkarudi barazani mlishindwaje kumwambia funguwa mlango Ili mjue Nini kina endelea yaani watu wa uswahili ni shida sn ha!
@AbbasHussein-zq3yi
@AbbasHussein-zq3yi 3 ай бұрын
Tupo wepesi wa kuamini tunayoambiwa.Badala ya kuchunguza ukweli wa mambo yalivyo.huwa HATUJIONGEZI.
@Saidiamiri-lp8lw
@Saidiamiri-lp8lw 3 ай бұрын
Dah aise nini hii,kwanni vijana tunakuwa hivi hata kama kunashida fulani hama ondoka kaishi mbali naye 😢😢😢😢
@user-bh6rt7xm6w
@user-bh6rt7xm6w 2 ай бұрын
Kweli kabsa kaka angu mzazi wako hata kama anamapungfu mzoeee ndo kakuzaa😢😢
@barakakusa7606
@barakakusa7606 3 ай бұрын
Tatizo hii hukumu ya kunyonga haitekelezwi katika nchi hii.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Wanakwambia haki za binadamu
@maryamtan682
@maryamtan682 3 ай бұрын
​. Ni upuuzi kweri, ndo maana mauwaji hayaishi kl sk.
@barakakusa7606
@barakakusa7606 3 ай бұрын
@@user-lt1bi5nr1x Haki gani mtu anaua mwenzake kwa kusudi na hajaona kama mwenzake anayo haki ya kuishi.
@GloriaJohn-pc8wz
@GloriaJohn-pc8wz 3 ай бұрын
Mungu tusaidie dunia inaisha😢
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 3 ай бұрын
Mzazi hauwi mtoto hta kma awe kwenye wakati mgumu ila mtoto anaua mama yake mzazi 😢😢.
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 3 ай бұрын
Hawa watu wapuuzi,kwann usipigesimu polis?
@user-gq2yp2tp1orafaeli
@user-gq2yp2tp1orafaeli 3 ай бұрын
Pole I sana wazazi ushauli uyo mirjana 🙏🙏🙏🙏
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 3 ай бұрын
Hongera mtangazaji kazi nzuri
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
Ongera na yasemwayo ayaeleweki
@chikujuma18
@chikujuma18 3 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajighun
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 3 ай бұрын
Dunia simama nishuke mungu ponya kizazi chetu
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 3 ай бұрын
ALLAHU AKBAR ! .. ALLAH ! ATU HIFADWI NA VIZAZI VYETU. AMEEN ! 🙏😭
@suzanfelix6320
@suzanfelix6320 3 ай бұрын
Wakati mwingine matani yakizidi yanaleta mazara 😢😢 ona sasa mmeshindwa kumsaidia mtu ivi ivi 😢😢
@kinyanyaonline3658
@kinyanyaonline3658 3 ай бұрын
Majirani wa hovyo sana mtu anapiga kelele nyi mko zii.
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 3 ай бұрын
Sana
@khamisswalehe
@khamisswalehe 3 ай бұрын
hawa waongo bwana wanataka view
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 3 ай бұрын
Hii nchi inawaandishi wa hovyo saaana sijui bangi
@Elickkosani
@Elickkosani 16 күн бұрын
Kesi hiyo rabda aje makonda maana nimeshindwa kuelewa mwanzo ilikuwaje maana maelezo mengi mno
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 ай бұрын
Taarifa za huyu jamaa huwa sizielewagi.nilitamani kujua walijuaje kama ni mama yake na je mama yake alikuwa akiishi hapo?na je huyo mwenye nyumba anamjua mama yake huyo jamaa?how sure they are kama ni mama yake?na nyumbani kwa mama yake ni wapi na walishacheki kama yupo hai?huyu jamaa Ana exaggerated saana .
@theresiachacha5180
@theresiachacha5180 3 ай бұрын
Yaani haieleweki mwanzoni alisema mama yake huyo kijana amepanga kwake na alikuwa mcheshi Sasa wakati anaomba msaada walishindwa kujua hata kwa sauti kuwa huyo ni mama Fulani?
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 ай бұрын
Millard Ayo ndo abarey mjin
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 3 ай бұрын
Yaani nyie washenzi mlishindwa kumsaidia wakati Wa msaaada?
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
NA WEWE UNAONGEA EI ULIRUDI MKAKAA KWANN HAMKWENDA KWA MJUMBE? MLISHINDWA KUMSAIDIA HADI ANAKUFA. MUNGU TUSAIDIE DUNIA IMEISHA.
@annaandrea2812
@annaandrea2812 3 ай бұрын
Da inatisha kurudi kibarazani kukaa kusubiria mtu afe
@mariamngoha639
@mariamngoha639 3 ай бұрын
Daa dunia imekwisha😭😭😭😭😭
@user-er9xv9yz7b
@user-er9xv9yz7b 3 ай бұрын
Wewe mama mwenye nyumba na wapangaji wako wote mnatakiwa muwajibike mtu kapiga kelele anasema mama we nakufa mkashindwa kuchukua hatua pumbavu zenu
@DanielYae-kw6dr
@DanielYae-kw6dr 3 ай бұрын
Hawa watu mtu anapiga. Kelelee hampi ushirikiano
@user-yc1sh6ow8k
@user-yc1sh6ow8k 3 ай бұрын
Innallillah wainna illah rajiun 😢😢
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 3 ай бұрын
Jamani usimkatie tamaa mtu mwanaisha mbembe sikuhizi unavaa majuba mungu akuongize leo nimekumbuka matangini mama uwezo mama mwinyi mambo nimefurahi sana
@upako4598
@upako4598 3 ай бұрын
Mungu atusaidie
@dorahy1579
@dorahy1579 3 ай бұрын
Looo!!!! Yaani alipata na mama yake kiisha kamiya. Na huyo mama alienda kufanya nini pale kama kijana alikuwa haeleweki?
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 3 ай бұрын
Mbingu huwezi kuinusa kwa matendo maovu ni bora ufanye kosa ambalo unaweza kujutia huku ukimuona ulie mkosea unauwa badae unajutia ilehali maiti uliemtoa uhai huwezi zungumza nae tena
@khamisswalehe
@khamisswalehe 3 ай бұрын
story za kutunga hzi
@HalimsadiaHalimsa
@HalimsadiaHalimsa 2 ай бұрын
Sio story za kutunga
@aloycelucas1823
@aloycelucas1823 3 ай бұрын
Mbona unamkatiza maelezo Kaka!!
@MugishaGasore
@MugishaGasore 3 ай бұрын
Poleni jamani
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 3 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 3 ай бұрын
😢😢😢hakika vijana mnajitakia nuksi wenyewe mama yako ni nguzo na tegemeo hakua na hofu ya MUNGU huyo kijana aLaniwe na na kua mwehu na makazi yake na chakula chake ni Tamboni huyo kijana😢😢🙏
@shafiisultani7759
@shafiisultani7759 3 ай бұрын
Daa mungu amlaze mahali pema
@SHIJAMUSSAAbudala
@SHIJAMUSSAAbudala 24 күн бұрын
Mungu atusaidie jaaman ss vijana
@Erico_254
@Erico_254 12 күн бұрын
Amemdunga au amemchoma? kiswahili pia Tanzania ongeeni sanifu basi apa kwetu kuchoma ni kwa maji moto🇰🇪
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 ай бұрын
.IVI VIJANA MNAFELI. WAPI IVI MAMA YAKO HATA AKUKOSEE BADO HUPASWI KUNYANYUA MKONO YAANI KIJANA UTAKUFA KIFO KIBAYA WEW ALLAHU AKBAR... MNGU WAPE HAWA VIJANA UFAHAMU WA KUTAMBUA UMUHIMU WA MAMA...🙏😥😢
@Kingmashirika
@Kingmashirika 21 күн бұрын
Diuuuh kiukwer kijana huyo Mungu amlani .
@Chemba67
@Chemba67 3 ай бұрын
Tangu stori inaanza mpaka inafikia kwisha huyu mama hajataja Polisi, funzo gani tunapata hapa?
@irhamseif
@irhamseif 3 ай бұрын
Me mwenyewe nimeshangaa hadi mjumbe ety anapigia sugusngu badala ya polis dah
@Ambwene
@Ambwene 3 ай бұрын
Polisi washaonekana wahuni tanzania 🇹🇿 😅😅😅😂😂😂
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 3 ай бұрын
Watanzania wapuuzi hawajitambui
@ubongosahihi
@ubongosahihi 3 ай бұрын
Yaani haya yote ni mfano hai, mnahisi kitu siyo sahihi mnaingiza uchesi na kuulizana maswali wakati kila kitu mnakijua 😢😢
@Chemba67
@Chemba67 3 ай бұрын
Umeona enhee.....yaani hata video ya pili mwendelezo polisi wamejulishwa siku ya pili......@@irhamseif
@aishahussein9348
@aishahussein9348 3 ай бұрын
Apo mmefanya vizuri mmemkamata,uyo kauwa mama yake,apimwe akili, kama ni mzima atakuwa amekusudia,na mkimuachia atauwa wengine,uyo afungwe maisha ikiwezekana anyongwe
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 3 ай бұрын
M/MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEM MAHALI PEMA PEPONI YANI ACHA AKAFILWE JELA NAWENEAKILI NYINGI
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 3 ай бұрын
Pumbafu saana nyieee Hamna jipyaaa mlitakiwa muwekwe sero woteee
@AtuMahenge
@AtuMahenge Ай бұрын
Mungu atuhjrumie upendo kwawazazi umepitea❤
@josephinegagai
@josephinegagai 3 ай бұрын
Dunia imeisha,who does that !!!!!!!!!!!!??????????
@SamwelMitalami
@SamwelMitalami 2 ай бұрын
Achukuliwe hatua maana siyo vizuri
@sund2553
@sund2553 12 күн бұрын
Saf sana majirani kwa kuwa ma spy wa kujitegemea....
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
ninyi pia wangese....Kama mlisikia kelele kwann msifuatilie huyo mwanamke gani na aliondoka salama au lah?
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 3 ай бұрын
Kichwa cha habari kinasema kijana anataka kuua ilihali ameisha ua tayari. Jamani waandishi msituchanganye!
@AminaJuma-ho1ig
@AminaJuma-ho1ig 12 күн бұрын
Allah awaongoe watoto wetu
@solangebagal149
@solangebagal149 3 ай бұрын
Awa wote waswahili wakujali Maisha ya mwenzie😢😢😢
@AsiaSaidi-dw6hy
@AsiaSaidi-dw6hy Ай бұрын
du jaman mungu atusaidie maana tunaelekea kubaya san
@user-xp6xl9mv3t
@user-xp6xl9mv3t 3 ай бұрын
Mungu atmlipa haphp duniani
@rehemaabdy2830
@rehemaabdy2830 19 күн бұрын
Ulichokiandika umekielewa kweli? KIJANA ATAKA KUMUUA MAMA YAKE MBONA NENO ATAKA MAANA YAKE HAKUFA NA WEWE UMESEMA KAMUUA? KISWAHILI SIO SAHIHI
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Mama?😊
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 ай бұрын
Mama huyo kosa gani katenda mbona halisemwi.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 3 ай бұрын
Nyinyi majilani niwazembe sana mtu mnasikia nisaidieni nakufa mlishindwa kuita watu mudahuo sikunyingine msifanye ivo.
@user-gv1op1oh2c
@user-gv1op1oh2c 3 ай бұрын
Kwani hakuna police station hapo
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 3 ай бұрын
Waandishi wetu sasa! Unaandika alitaka kumuua mamaake na huku kaisha muua! Unaposema alitaka manaake nikwamba hajafanya! We mtu tiari kafanya! We unasema alitaka!
@MfaumeZubeir
@MfaumeZubeir 3 ай бұрын
Mtangazaji jitahid kuandika vichwa vya habar vinavyoendana na habar husika, mfano apo unaandika, ALIETAKA KUMUUA, ALAFU TAARIFA INASEMA TAYAR KAMUUA
@MaggieIbrahim
@MaggieIbrahim 3 ай бұрын
Dah hana akili
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 ай бұрын
haaaaa bongoo mtafuteni mungu mupate hofu kuna imani hazitii hofu sibure wabongo utu hauko
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 3 ай бұрын
Huyu mama akamatwe tu kwasababu alisikia nahakutoa msda wowote.
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 3 ай бұрын
Innalilahi wainnailahi rajighun
@doricadominic5095
@doricadominic5095 11 күн бұрын
Mungu kinusuru kizazi hiki 😭😭😭
@nicksonnewton1540
@nicksonnewton1540 3 ай бұрын
ndo maana sipend kupanga ushawahilini umbea ndo umemponza
@user-xw9ym3cs8r
@user-xw9ym3cs8r 3 ай бұрын
Wapi???
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Ungepanga uzunguni ungembaka mamako?
@AdiniKuziganika-wg4ns
@AdiniKuziganika-wg4ns 3 ай бұрын
huyomama mwenyenyumba akamatwe kwann ameekaa kimya zaidi ya saa nawamesikia kelele wanaujasili huo kukaakimya bilakupiga mayowe
@user-vk5nb4uz6h
@user-vk5nb4uz6h 3 ай бұрын
Mwandishi unazingua, Muache mtu Atoe story Ili ieleweke siyo kumkatisha
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 3 ай бұрын
Uwongo hiyo picha mloiweka ya zamani mtoto mgonjwa aliuliwa na Baba yak
@juliuslengai5089
@juliuslengai5089 3 ай бұрын
Kaweka tu picha kama mfano lkn sio huyo mama
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
😢😢😢
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 3 ай бұрын
Police hawapo mpaka Sungusungu analazimishwa kuchukua mtuhumiwa.
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 ай бұрын
😢😢innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun Dunia hiii Subhanallah 😢😢
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 3 ай бұрын
Mmmh imekuaje mtoto amuee mama yake kama utajiri hana 😊😊
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 ай бұрын
Katoka na bukta itakuwa kamfanyia kweli mamayake kisha kamuuwa.duuu
@user-nd2yf7vi8f
@user-nd2yf7vi8f 3 ай бұрын
lnnalillah wainalillah rajion
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 3 ай бұрын
Kumbe ndani kulikuwa na watu! Waliona nini au kusikia nini? Wasitoke kusema mtaani?
@idrissa573
@idrissa573 3 ай бұрын
Ila kichwa Cha habar tofauti na maada kumbe kaua mmeandika anataka kumuua
@edwinpius7328
@edwinpius7328 2 ай бұрын
Kitendo cha u-single mother mtauawa sana
@AwaziRajab
@AwaziRajab 3 ай бұрын
Majilani Kwa Kujua Kuchunguza Walio Wasela Wenye Kuleta Wachumba Wako Vizuli Yani Mpaka Wanauliza Leo Kaja Nani Apo
@joycekalago532
@joycekalago532 3 ай бұрын
Laana gani hii hata kama kanikosea siwez kumuua namuacha na Mungu atanilipia tu
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 464 М.
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,1 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН