#PART2

  Рет қаралды 153,464

Global TV  Online

Global TV Online

2 ай бұрын

#PART2: ''HAUONGEI na MCHUMBA WAKO HAPA - MIMI NINA MKE na NI MZURI - UNAFANYA DHARAU?'' - MAKONDA
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 527
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ndetiefredielmushi9978
@ndetiefredielmushi9978 2 ай бұрын
Uko vizuri saaaana Dada Mungu akujalie uende juu zaidi Waziri wetu Mtarajiwa❤❤
@maingwamaingwa9887
@maingwamaingwa9887 2 ай бұрын
Huyu ndo mwanamke super wangu wa mwaka 2024 very strong very talented very smart very important very education big brain mwanmke wa nguvu so biuty fully achana na wapaka poda dada nimekupenda bure by the way makonda nae ni binaadam
@upendosanga9205
@upendosanga9205 2 ай бұрын
Engineer nimekupenda unajiamini na hoja zako safi
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 2 ай бұрын
Professional and competent engineer, congrats sister!
@lulumatawalo7805
@lulumatawalo7805 2 ай бұрын
Hakuna mkamilifu,anafanya mengi mazuri ya kusaidia wengi.Hiyo weakness moja isiwe sababu ya kucrash mema yake mengi .Asiye na udhaifu hata kidogo na awe wa kwanza kumpiga mawe!
@davidmogaka7055
@davidmogaka7055 2 ай бұрын
Kabisa
@jaziramwimbo9145
@jaziramwimbo9145 2 ай бұрын
SAHIHI kabisa.Mungu amlinde usiku na mchana Mh: MAKONDA
@geoffreyanundatv9836
@geoffreyanundatv9836 2 ай бұрын
Mkuu Umejibu huyo dada vibaya, dada mwenyewe Mrembo na anajielewa sana.pole dada na hongera sana kwa kazi nzuri
@salminasalim5630
@salminasalim5630 Ай бұрын
My opinion is that we as strong females we have to avoid crush to males na hiyo ndio suluhisho peke yake maana yeye alikuwa akiulizwa alikuwa anacheke cheka kwa nini hii ndio CRUSH 💯 NA NDIO MAANA ALISEMA HIVYO MSITAFUTE CHA KUSEMA WACHA MH AFANYE KAZI MPENI USHIRIKIANO. ACHENI WIVU.
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 2 ай бұрын
Shida wabongo tumekalili sanaa wanaona kila viongoz wa mladi ni wapigajiii,, sio kwer huyu dada yuko vizuri ana confidence haogopi sijui mkuu wa mkoa!! Anajiamini
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 2 ай бұрын
Ingenia yuko safi, mzee wangu Makonda amejaribu kumugombeza lakini kajikwamuwa. Huyu dada anastahili na yuko makini.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 ай бұрын
Huyu dada ni msomi kweli na ana punch si kidogo, ametoboa maswali kwa kujiamini mno, na uzuri toka awali aligundua pesa isingetosha, hongera dada muhandisi.
@ndetiefredielmushi9978
@ndetiefredielmushi9978 2 ай бұрын
Jamaaani tujitahidi kuheshim fani za watu, Dada jipe moyo haya ni maisha tu hongera unajitahidi.
@wamburasungura6812
@wamburasungura6812 2 ай бұрын
Huyo dada hajazalilushwa ila kashindwa kujieleza Kwa sababu ya wizi wanao ufanya wanasababisha wananchi huku chini tuna pata shida Kwa ujinga Wa hao wajinga walio pata nafasi wanaitumia vibaya kutesea wananchi
@flova7022
@flova7022 2 ай бұрын
​@@wamburasungura6812ukipewa siku kusimamia ujenzi uttaelewa kuwaa umekosea kutyp
@petromgaya1746
@petromgaya1746 2 ай бұрын
Qddq wewe embu jitambue basi 17:38
@user-ns2jx7qs7n
@user-ns2jx7qs7n 2 ай бұрын
Makonda umemdhalilisha huyo dada sio poa
@HADSONPAUL
@HADSONPAUL 2 ай бұрын
Dada hongera umejiitaid sana maana maswali ya Mh makonda ni moto sana
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Pole dada umejibu vizuri sana, pia umejitahidi kuwa mpole na mwenye busara
@samuelemmanuel3400
@samuelemmanuel3400 2 ай бұрын
Dada yupo smart 🙌🏽 kajibu kwa facts, Ameku outsmart mkuu wa mkoa dah🙄
@hoseasteven6241
@hoseasteven6241 2 ай бұрын
Mdogo wangu Grace hongera sana kwa ujasili na kuwa competent kwenye field yako
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Amekuwa jasiri kujibu utumbo. Imeundwa kamati ya uvhunguzi utasikia majibu nyiebmko mbali na mradi. Hii shule inawaramba wote.
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 2 ай бұрын
Huyu Mwana Dada Engineer anafaa kabisa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri, mtulivu kweli kwenye kujibu maswali, hana panic, yuko calm. Safi sana
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 ай бұрын
Makonda usiwe mkali sana utaharibu
@evertheobald1811
@evertheobald1811 2 ай бұрын
Pia kuongea sana nako ni tatizo
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 ай бұрын
@@GeofreyKalo-ot3we Bila ukali bongo hii inakula kwako!!! Sishangai wanaotaka uzembe uendelee maana asilimia kubwa hawajielewi!!!
@steynjohnr5930
@steynjohnr5930 2 ай бұрын
Huyo dada pia ni mwananchi anayefanya kazi kwa jasho na kodi yake ndiyo imekuweka wewe mkuu wa mkoa hapo so you need to talk to her with respect. No human being should be embarrassed like this, this guy is not a leader, what lesson are you giving to the younger generation?
@rehemamapuga5789
@rehemamapuga5789 2 ай бұрын
Yaani nmeumia na kumhurumia sana huyu dada
@user-xg2kq4ym8w
@user-xg2kq4ym8w 2 ай бұрын
Naamini kabisa hata makonda alimkubari huyu Eng dada,Makonda unafanya kazi nzuri na safi sana.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 ай бұрын
Makonda yupo vizuri.kilichomponza.kuingiza maswala ya uzuri mm Nina mke.siyo.haiba ya uongozi.
@phoebembwambo2763
@phoebembwambo2763 19 күн бұрын
😂umeumia nn
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 19 күн бұрын
Uwazavyo ww.kwangu ni ushauri
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 2 ай бұрын
Nchi unapaswa kuwa na viongozi wa namna hii Safi sana mhe makonda
@vedastusmdapo3837
@vedastusmdapo3837 2 ай бұрын
Makonda Yuko vizuri saana,naomba tu awe mvumilivu asikate hoja ya mtu hasa watumishi katikati ,anawatoa kwenye hoja wanaingia woga.Injinia Dada naomba apandishwe cheo huyo nimempenda.
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 2 ай бұрын
UKISIKIA “MWANAMKE NA NUSU” (Harmonize” NI HUYU INJINIA. KEEP IT UP MAMA UNAWEZA!
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g 2 ай бұрын
Huyu dada safi sana.Mungu amjaalie
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 2 ай бұрын
Makonda hongera sana kwa ufuatiliaji huu,watu wanafanya kazi kwa mazoea wanafikiria ulaji na siyo kazi
@amaninyekele5002
@amaninyekele5002 2 ай бұрын
Kwenye mahojiano hayo umeuona ulaji??
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 ай бұрын
@@amaninyekele5002 acha kutetea uovu😯
@jaywi5681
@jaywi5681 2 ай бұрын
Mhe. Makonda kuhoji kwako kumesaidia kupatikana kwa ukweli juu ya changamoto ya wataalamu waliopo Wizarani kufanya makadirio ya kiwango cha chini ukilinganisha na gharama halisi za ujenzi wa Mradi. Matokeo yake miradi inashindwa kukamilika na kuonekana wasimamizi wamekula fedha. Hongera sana wanaokubeza wameangalia upande mmoja tu.
@user-gp2ue2ny6n
@user-gp2ue2ny6n 2 ай бұрын
Makonda the big brain 🎉
@HenrickNyahi
@HenrickNyahi 2 ай бұрын
Dada ni moto sana popote ana kaa huyu hajakubali kutingishika hata alipotingishwa dadeki nimeipenda sana hii Japo mwamba nae fresh anapambania wananchi Japo sikuona kama dada Kuna alichozingua kias Cha kumwambia maneno Yale ya mchumba sijui na nn
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 2 ай бұрын
Jamani sijapenda kabisa maneno ya Makonda huyo dada yupo kikazi hizo kashfa za nini huyu dada nae anamumewe mzuri tu unadhalilisha siyo powa
@williammakali1759
@williammakali1759 2 ай бұрын
Siyo lazima uyapende
@user-kg3wo9tl9k
@user-kg3wo9tl9k 2 ай бұрын
Hongera, Hongera sana Mh, Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mungu akupe maisha marefu. Kazi iendeleee.
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 2 ай бұрын
Itabidi tupige kura kwa Baba Mungu muumbaji, maana wajinga ama waliopachikwa pakacha la upumbavu nao ni wengi. Kura yenyewe iwe hivi " Wanaosema Mungu ampe Makonda maisha marefu na Wanaosema Mungu ampe Makonda chango la tumbo Afe tusimuone kelele zake za kinafiki kama Mwenda zake, tumuachie mwamuzi.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 ай бұрын
Makonda nimekuelewa kabisa unapokuwa mkali tiyari una taarifa mbele yake
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 ай бұрын
Huyu ni magufuli kabisa yani anakuuliza swali mbalo tiyari ana majibu yake
@johnmbatta9872
@johnmbatta9872 2 ай бұрын
Makonda, unakubalika. Chapa kazi, baadhi ya watumishi wa serikali wamekuwa siyo waaminifu.
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct 2 ай бұрын
HAWA WANAOSHANGILIA NASHINDWA KUELEWA VICHWA VYAO VINAFKIRI NN NAVINAUWEZO WAKUSMAMIA NN kiukweli nmeumia sana dada usifunjike MOYO Mungu yupa1 naww.
@lilylema5292
@lilylema5292 2 ай бұрын
Dada hongera kupambana na hiki chuma sio kazi rahisi. Bright with brain. Mm ningeshazimia
@tiffanymo9453
@tiffanymo9453 2 ай бұрын
Good questions Mh Makonda ,well done
@bensonmhone4822
@bensonmhone4822 2 ай бұрын
Madam Mhandisi has nailed it. Very composed
@margaretjoseph6501
@margaretjoseph6501 2 ай бұрын
Big up Engineer
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 2 ай бұрын
Mwalimu Uko vizuri sana una sitahili sana hongera sana
@isikezuberi4292
@isikezuberi4292 2 ай бұрын
dada huyu ni zaidi ya mkuu wa mkoa
@Godlove-yh5pp
@Godlove-yh5pp 2 ай бұрын
Hongera sana mdogo wangu Grace, keep it up with calmness
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 ай бұрын
Injinia hongera huko vizuri sanaaaaaa unafaa kapandishwa cheo hongera hongera
@MichaeliSimwinga-fd1fo
@MichaeliSimwinga-fd1fo 2 ай бұрын
Your the best makonda God bless u
@FatumaTupa
@FatumaTupa 2 ай бұрын
Pole Dada izo ni changamoto tu za kazi
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 2 ай бұрын
Da!we acha hakuna kazi rahisi kwakweli
@user-bm5zm8ls2d
@user-bm5zm8ls2d 2 ай бұрын
Uongozi ni kazi hivi angekujibu na mimi nina mwanaume handsome ingekuwaje sasa nadhani hata mkuu amejutia tumsamehe bure sisi wanawake maana wanawake wote ni wazuri kwa namna ya uumbaji wa.Mungu
@user-gt5yd4no7c
@user-gt5yd4no7c 2 ай бұрын
Dada huyu very intelligent kabisa
@JennipherGabriel-rx6jc
@JennipherGabriel-rx6jc Ай бұрын
Huyu dada naamini alilia sana jamn pole ndo maisha tujitahidi kufanya kazi jamn
@devisshirima6780
@devisshirima6780 2 ай бұрын
Yani ninamuona makonda kama Rais wa Arusha, yani najihisi kama nipo kwenye nchi iitwayo Arusha ambapo Rais wake anakagua maendeleo ya wananchi wake !! Yani ukuu wa mkoa ni kazi ndogo sana kwako unastahili kuihudumia nchi nzima kwa mamlaka kamili isiyo na kizuizi. Ninamuomba Mungu siku moja nimshuhudie Amiri Jeshi mkuu anayeitwa Paul Christian Makonda !! Viva Baba viva
@lightwilliam4443
@lightwilliam4443 2 ай бұрын
😅dada kampa mrejesho huo muuliza maswali,kampigapiga na vingereza vya kikazi muuliza maswali hoi umbea wote kwisha.ndio maana anakuuliza kwa hasira mwenyewe hajielewi😂😂😂 safi sana dada eng.
@AyshaMussa-xs2ut
@AyshaMussa-xs2ut 2 ай бұрын
Engineer yupo vizur tu mbona
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
Huyu engineer ndiyo chanzo cha kuliwa hela za shule,makonda piga kazi
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 ай бұрын
Huyu dada ametulia YUKO VIZURI makonda amejaribu kumbabaisha LAKINI YUKO VIZURI
@franciskassanga7999
@franciskassanga7999 2 ай бұрын
ukiwa mtaalam, unatakiwa kutoa majibu manyoofu, sasa watendaji wengi wana majibu ya siasa, Dada anaulizwa, mil 400 za ziada zinatoka wapi? sikiliza jibu lake,...blaaa blaaa nyingi, hapo ndipo Mh. Makonda anapokerwa, maana anahitaji jibu nyoofu, mfano alitakiwa kusema...tutafanya funds raising event kupata mil 400, ...Jambo lingine la msingi, wao kama wataalam + kamati ya Ujenzi walitakiwa kukaa kikao, kuandaa muhutasari wenye hoja za kusema mapema kwamba makadirio yaliyofanyika na TAMISEMI hayana uhalisia, so mradi hautaweza kukamilika kwa wakati wala kwa ubora ambao umetarajiwa sababu ya mfumuko qa bei, so way forward wapatiwe ongezeko la pesa ama maelekezo ambayo yatawaongoza kutekeleza mradi kwa budget iliyopo ambayo ni pungufu. ! (Tupeni kazi, tuchape kazi !!)
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 ай бұрын
Hujamwelewa huyo dada kajitahidi sana kujibu
@paulpaschal4798
@paulpaschal4798 2 ай бұрын
Sure hajaelewa
@paulpaschal4798
@paulpaschal4798 2 ай бұрын
Binafsi mkuu wa shuke na engineer waamejtahd sana gharama zao zipo secified kuna mrad mtu anakutajia ghrama had maini yana cheza mwl mkuu anasema gharama ambazo taasisi za serikali zinadhibitsha kwannza mkuu wa shule kajjtahid kuongonza waliomzd elimu
@barikimollel7890
@barikimollel7890 2 ай бұрын
​@@GeofreyKalo-ot3wehamna Kitu Huyo Dada kilaza
@stevenmrama3123
@stevenmrama3123 2 ай бұрын
Umeongea vizuri nyongeza ni kwamba ukishaona umepewa kazi ambayo mwisho wake unaweza kupokea lawama unapaswa uiandikie tamisemi barua ya aina ya mapungufu kwenye budget yao waliyotoa ,huku ukibainisha changamoto ya kimanzingira .mfano gharama ya ujenzi dar ni tofauti na shinyanga , mwanza,Arusha ,moshi.kutokana na mazingira ya kijiografia.sasa wataamu wetu .awaendi zaidi .
@juliusabdul-cc9wn
@juliusabdul-cc9wn 2 ай бұрын
tunaitaji kiongozi kama makonda, tumeajili wote kwanzia raisi mpka mwenyekiti, ahsante mama kwa zawadi hii ya makonda
@johnsway5253
@johnsway5253 2 ай бұрын
Engenier ndio amekuja kuokoa wenzake
@MechtildaNshange-ye8zy
@MechtildaNshange-ye8zy 2 ай бұрын
Engeneer mama uko vizuri unajisimamia
@WillyKasala255
@WillyKasala255 2 ай бұрын
Mheshimiwa piga kazi,usiwasikilize hawa wasojua lolote zaidi ya kupinga haki za wananchi zisitimizwe upo sahihi kuhoji swali lolote maana huo ni wajibu wako ndani ya mkoa kwa masilahi ya Watanzania@kazi iendelee👍
@isayakalinga6475
@isayakalinga6475 2 ай бұрын
Huyu mama anaongea vizuri sana jamani anajua kufafanua Mambo
@lilylema5292
@lilylema5292 2 ай бұрын
Mwalimu umepambana hongera huyu jamaa ni moto
@HatibuHatibu-cd7hs
@HatibuHatibu-cd7hs 2 ай бұрын
Aisee kwanza nimecheka...huyu jamaa ni mwanaume..ana maswali nondo
@LeonilaBerikali
@LeonilaBerikali 2 ай бұрын
Congratulation professional eng.
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 ай бұрын
ingeneer yupo vizur dada mashaallah
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 2 ай бұрын
Boc anafanya kazi nzri sana. Ila hapa kama binaadam na nikijana alikengeuka. Maybe totoz lilimkomfuse. Si unaona anamashauzi ya kibinti lazima udenda ukutoke.❤😂
@annemateo2999
@annemateo2999 2 ай бұрын
Daaaaajh najuta kuagalia hii leo Brother Makonda this isBig Noo, muombe msamahaa huyu dada kama unampenda Mungu
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr 2 ай бұрын
😂😂 hapa Makonda ameomba poo….. mdada ako safi sana kitaalamu. Amesoma na amenyooka.
@kigwashokanyelele8721
@kigwashokanyelele8721 2 ай бұрын
Safi sana Engineer
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 2 ай бұрын
Halafu kuwa na cheo haina maana mtu una akili nyingi kuliko wengine.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
🎉
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 ай бұрын
Mwl.kufanya kazi mbili.inasumbua
@dastansimpanzye4019
@dastansimpanzye4019 2 ай бұрын
Daa! Kazi sana
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 2 ай бұрын
Engner mama SSH teua uyo binti yuko Vizuri mpe nafasi akusaidie kazi siyo kilaza msomi mzuri
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 ай бұрын
Vzur dada , hapoo n kaz kaz ,makondo anafanya kaz ajari n kwaidaa tuu usjar
@user-be7tj5su4z
@user-be7tj5su4z 2 ай бұрын
Safi sana dada umejitaidi ❤❤❤
@telesphorymajumbi
@telesphorymajumbi 2 ай бұрын
Ni mkuu wa mkoa moja tu Mh. Makonda anae ongea na wananchi waka sana kujuwa na kutoa ufumbuzi wa shida zao bila kuingilia Sheria (maamuzi ya mahakama) fanya kazi Mh. Achana na wababaishaji hao na wakandamizaji tu. Etaga milimo wa ng'wa Mami.
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 2 ай бұрын
Safi engineer umefanya vyema sana
@user-hb9pv2pt8x
@user-hb9pv2pt8x 2 ай бұрын
Sema Ngoma imeenda droo,nipe nkupe in short sijajua imeishaje kwa kwel
@leahngerageza
@leahngerageza 2 ай бұрын
Majibu ya kitaalamu kabisa Hongera dada
@jumahalfani6789
@jumahalfani6789 2 ай бұрын
Sometimes viongozi tumieni busara mtu anjibu vizuri una intaract as if hukutaka hayo majibu...tuheshim kaz za watu
@saidisheha5366
@saidisheha5366 2 ай бұрын
Majibu yapi hapo yaniumwache mtu ajiandae kudanganya. Chapa wafujaji wote
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o 2 ай бұрын
Sababu ya Interaction haikuwa ufujaji bali maringo. Mm nimetazama hii clip, sioni maringo kuhusu huyu Engineer.
@dezruh
@dezruh 2 ай бұрын
Hakika
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 ай бұрын
Yes tena anamuongelea maneno yakukaraisha ila injinia kasimama vzr yuko vzr anamjibu kila kona
@YusuphLyatenga
@YusuphLyatenga 2 ай бұрын
Makonda anavuka mipaka mda mwingine
@DandasiKundi
@DandasiKundi Ай бұрын
Raisi wetu mama Samia tunaomba utupe sisi wananchi wa mkoa wa pwani utupe makonda awe mkuu wetu wetu wa pwani angalao Kwa muda wa mwaka mmoja tu ili tusonge mbele namkubali sana ni mtendaji mzuri sana na ni mfuatiliaji Kijiji Hadi Kijiji atatupa maendeleo sana. Tunakuomba mama Samia.
@abcosecomartialarts4321
@abcosecomartialarts4321 2 ай бұрын
Engineer Safi Sana anastahili
@samlutubija1229
@samlutubija1229 2 ай бұрын
Makonda yuko sahihi na mama Engineer yuko sahihi
@judicamunisi1548
@judicamunisi1548 2 ай бұрын
I like the confidence of that woman I call her ( IRON LADY) Bible inasema " wenye haki ni majasiri kama simba. Mkuu wa mkoa amejaribu kumpa pressure lakini Eng. anatoa point safiiii Big up dada, Mungu akutunze sanaaaa
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 2 ай бұрын
Mh naona maneno yako yamekua makali kidogo! Mchmba tena jamani! Hapo anaongea kwa kujikaza! Wewe ni mtu mkubwa lazima mtu awe na kiwewe na ndipo anapoharibu! Msamehe bure huyu Eng wetu!😢😢😢
@isaacvtv547
@isaacvtv547 2 ай бұрын
M 1 amesema hawadaiwi mwingine 80 millions 😢😢
@JaneLaizer-tb6zl
@JaneLaizer-tb6zl Ай бұрын
Dada pole. Kwa kukwazika but upo vzr congratulation
@dannysix4475
@dannysix4475 2 ай бұрын
Mh. uko sawa kabisa: sio mambo ya kuangalia sula ya mtu. Swali ulikuwepo.!! sikuwepo sasa unajibu nn.
@user-ze2nk8cw5s
@user-ze2nk8cw5s 2 ай бұрын
Makonda mungu akulinde unafanya kazi. Naomba siku moja uwe mkuu wa mkoa wa Tanga
@officialdalinaatz.
@officialdalinaatz. 2 ай бұрын
Awe raisi
@SHIJADAVIS
@SHIJADAVIS 2 ай бұрын
Wapendwa tutumie lugha, nzuri. Haijalishi mtu unamzidi kazi.
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Kabisa
@missarepafra3973
@missarepafra3973 2 ай бұрын
Ulimi huteleza na ikitokea yafaa kuomba radhi
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 2 ай бұрын
Eti ana mke mzuri ,Mungu tusamehe hatujui tutendalo.dharau iyo
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Yaaani mambo ya mke wake sijui yanahusikaje hapo daaaah
@user-bq7rl1fi6t
@user-bq7rl1fi6t 2 ай бұрын
huyu jamaa ni genius
@livingstonekabantega
@livingstonekabantega 2 ай бұрын
Injinia hongera Kwa ujasiri
@RoseMshana-pm8op
@RoseMshana-pm8op 2 ай бұрын
Dada yupo vzr anajiamini sanaa
@estherdalleiy1461
@estherdalleiy1461 2 ай бұрын
Dada wawatu kajibiwa vby maskini sjui vipi ee mungu naomba mwanangu awe natabia nzuri zakumpendeza mungu na jamii asiwe namajivuno kam mwafulani
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 ай бұрын
DADA SMART SANA
@dorambaga2667
@dorambaga2667 2 ай бұрын
Mimi huyu mpuuzi hajanijibu hivi
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 ай бұрын
Yaani,hii style mmh,ila nampongeza huyu Injinia kwa ujasiri na KUSIMAMA kwenye professional yake.
@loikimdemu-xu1ug
@loikimdemu-xu1ug 2 ай бұрын
Kaka piga kazi Makondo oyeeeerr🎉
@ALEXLOTAN
@ALEXLOTAN 2 ай бұрын
Safi sana makonda Niko Mombasa jamani nawafuatilia sana
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 ай бұрын
Hongera dada hukupanic, wala hukuruhusu hasira. Una shule ya maana.
@StellaMwasha
@StellaMwasha 2 ай бұрын
Umeona ee huyo ni kiongozi kabisa
@rehemamapuga5789
@rehemamapuga5789 2 ай бұрын
Daaah!! Nimemhurumia huyu dada jamani 😢
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 2 ай бұрын
Maana kama budget ipo hivyo na kabla ya mradi walikieleza kwamba mzigo hautoshi mpaka wakazama kwenye force account lakini bado akachengwa akiwa kama mhandisi halikua na maulizo nikulianzisha mje mkikuta limesimama kama hivyo mchanganue na mpaka hapo mtaelewa kulazimisha upigaji na eneo lenyewe ni uwanda wa rift Valley lazima nguzo ziwepo kama hivyo tena imara so on this broo nasimama na mhandisi yupo sahihi maana kiforce ili hela yenu itoshe likishukia watoto mtamtafuta na kesi ya kuuwa so bi dada nipo nyuma yako tujipongeze wakike kwa wakiume tunaosimamia misimamo ya haki na uhalisia
@aminamaulid7371
@aminamaulid7371 2 ай бұрын
Kashtuliwa jamaniii siunaona kaweka microphone 🎤 vizuri??? 😂😂😂
@user-uv1gk9og4n
@user-uv1gk9og4n 2 ай бұрын
makonda hunaakili achakudhalilisha wanawake kama unamke mzuli wakwako nyumbani kwako
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 ай бұрын
Kweli
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 24 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН