No video

Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

  Рет қаралды 1,236,673

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HAYA HAPA MATUKIO MATANO YALIYOTIKISA KATIKA MKUTANO WA JPM NA WAFANYABIASHARA
June 7, 2019 ilikuwa ni siku ya tofauti sana kwa wafanyabiashara nchini ikiwa ni baada ya Rais Magufuli kuamua kukutana nao Iku,lu jijini DaR ES Salaam kwaajili yakufanya mazungumzo huku kipaumbele kikiwa ni kusikiliza kero zao.
Kama ilivyokuwa Ada mazungumzo hayo yalikwenda salama salmini ndani ya masaa 9 Rais Jpm na baadhi ya wafanyabiashara walioziwakilisha Halmashauri zao walikuwa na wakati mzuri kweli kweli kwaajili yakuhakikisha mambo yanakwenda sawa katika biashara zao pamoja na maslahi ya nchi kwa upande wa kodi.
MTAZAMAJI HAPA NIMEKUANDALIA MATUKIO MA5 YALIYOTIKISA KATIKA MKUTANO WA JPM NA WAFANYABIASHARA
Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 408
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 3 жыл бұрын
Sio siri nimpenda sana magu lakni allah amupenda zaidi😭😭
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Mimi Rafiki Yangu Alinipigia Simu Usiku Kama saa 23:30 Ananiambia kwamba JPM wetu Mzalendo Amefariki dah roho iliniuma Sana to be Honest Nililia Sana , Durban Yaan Wacongoman na Waburudi wanatuheshimu Sana Kwa sababu Ya JPM Na vitu Vya Maendeleo anayoyafany a Hapa Nchini Kwetu Tanzania
@clinton3168
@clinton3168 2 жыл бұрын
Nani kasema Alla alimoenda zaid
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 3 жыл бұрын
Like kwa tunao rudia kuangalia hotuba za JPM
@malimarobert8698
@malimarobert8698 3 жыл бұрын
Na Mimi pia nagalia mikutano ya jpm
@messihenry9431
@messihenry9431 3 жыл бұрын
Vlb
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@messihenry9431 magu mwendazake mjinga tu hao hao wanaishi kama malaika yeye atawashusha waishi kama mashetani. Sasa hapo anajiosha dikteta huyo marehemu.
@raymondjohn1876
@raymondjohn1876 3 жыл бұрын
Magufuli nilaisi wakipekeeeee🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@dianaelias517
@dianaelias517 2 жыл бұрын
Milo usituletee chuki zako za kibwege,uliku mwiz,au ulitumbuliwa au vyeti fake
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 2 жыл бұрын
Magufuli was a HEROO! Nimejifunza jambooo...kwa wale wanaotaka usawa...wa 50/50 wenzangu tunadanganyanya....mwanaume NI mwanaume TU....na hii inaoneshwa kwa haya yanayotendeka Sasa! Tuache kudai uhuru tusio na UWEZO nao wanawake wenzangu! Rest in peace magufuli!
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx 7 ай бұрын
2024 wangapi tunaenderea kumucheki mzee
@MoN_KaDO
@MoN_KaDO 2 жыл бұрын
Wangapi tumerudia kumuangalia Hayati magufuli? R.I.P BABA
@shinguhunge9177
@shinguhunge9177 Жыл бұрын
Selikar hii sichoki kuisikiliza yaani nahisi bado inaongoza
@user-ux3it4bh7b
@user-ux3it4bh7b 3 ай бұрын
Sichokagi kumskiliza na kummombea. Mwenyezimungu akustirie mazambi yako huko ulipo🙏🏿 Na akulindie familia yako.🙏🏿
@princessagy1552
@princessagy1552 3 жыл бұрын
I'm really going to miss JPM..mchapa kazi
@paulondiek1345
@paulondiek1345 3 жыл бұрын
I miss him already
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
@@paulondiek1345 Asante sana Ndugu Yangu comment Yako tuu lnaonyesha Tu wewe Mzalendo
@moshikilimanjaro5660
@moshikilimanjaro5660 5 жыл бұрын
" Mungu akulinde baba, na kukutunza ukweli utabaki kuwa kweli, Mungu ibaraki Tanzania.
@sharifasaid4068
@sharifasaid4068 5 жыл бұрын
Fatima. Karum
@merryjulius4098
@merryjulius4098 5 жыл бұрын
Amen
@zahrasaleem4259
@zahrasaleem4259 3 жыл бұрын
Amin yarabi amin mungu atuekee mtetezi wetu
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 3 жыл бұрын
Inna lilahi wa inna ilahi rajiun.. Nlimpenda sanaa Magu toka kenya hadi wa leo sijarecover
@venantmatamba7302
@venantmatamba7302 2 жыл бұрын
Aisee mungu alitupa zawadi kubwa ambayo tumeshindwa kuitumia. Asante kwa uongoz uliotukuka, nitakukumbuka daima baba.
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Huyu mzee kaniacha hoi. Eti wanagawana kama wamechanga wow! Hii kali.
@abdullahchabukila6686
@abdullahchabukila6686 3 жыл бұрын
😂😂😂
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
kanifurahisha sana
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Hongera Singida oyeee uko straight sana
@emmabroy1209
@emmabroy1209 3 жыл бұрын
Ama kweli MUNGU atabaki kuitwa MUNGU milele na milele raisi wangu nilikupenda sana na ndani ya miaka niliopo duniani nilikua nikitamani kuwa na raisi Kama huyu ambae anaipenda nchi na watu wake wote ila hatuna la kusema maana upendo wetu kwako imedhihilika Ila MUNGU kakupenda zaidi pumzika salama Nam Kama mwanaichi wa kawaida nilioko duniani nahidi kufuata nyayo zako za kumtegemea MUNGU pumzika salama Baba
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 5 жыл бұрын
@MagufuliJP. Hongera Sana Kazi unayoifanya Rais Magufuli hajawahi kufanya yeyote kabla yako. Kura kwa hakika 95%✓✓✓★★★★★★★♥️🇹🇿🌻👏🏽 Magufuli Daima Juu Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻👍🏽👏🏽 UBaarikiwe Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mzalendo Mwadilifu Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie Daima na AkuLinde Daima na Milele ♥️
@uepbuburundi2288
@uepbuburundi2288 3 жыл бұрын
viswer
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@uepbuburundi2288 wacha akajibu mashtaka mbele ya Mungu huko ahera dikteta huyo.
@restitutalucia9009
@restitutalucia9009 2 жыл бұрын
Inaumiza sana kuangalia. President of my life eti.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Dada nimeisikiliza yote yaani umesummerize vizuri sanaa
@godfreymassawe388
@godfreymassawe388 5 жыл бұрын
I love Jesus
@rajabmahungu9493
@rajabmahungu9493 2 жыл бұрын
This is very fantastic ofcourse you was born to lead go baba is our daily song God paradise u
@felicianluvanda9672
@felicianluvanda9672 5 жыл бұрын
Lukuvi hakika ni mtu mmoja afanyaye kazi nzuri mno....wengine baadhi nishida kwa mzee wetu.....msukuma ni balaaa nawenzio hao wanajikanyaga kanyaga tu hoja hazipo na mzee anataka changamoto wao ni hoi daaaaaaaaa! Kwakweli mzee pressure lazima aje apate
@lindameibaku939
@lindameibaku939 10 ай бұрын
Naumia Sana mpaka Sasa. Jpm ulikuwa mtetezi wa watanzani. Mungu akulaze mahali pema peponi
@olemollel5565
@olemollel5565 5 жыл бұрын
Umefanya kazi nzuri yakufupisha endelea utafikambali
@godwin5884
@godwin5884 2 жыл бұрын
Still watching R I P FATHER
@Mrpromotiongroup
@Mrpromotiongroup 7 ай бұрын
2024 watching. Magufuli
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 2 жыл бұрын
Mungu akusamehe sana magufuri history yako ni vigumu sana kufutika ulikuwa rais wa mfano africa nzima na hata tokea wa aina yako
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 5 жыл бұрын
Vijana wa mejieza vizuri mheshimiwa lazama kuna kitu nazan ameji funza kitu na Tanzania inaweza ikabadilika Sana hongera
@angelthomas7290
@angelthomas7290 5 жыл бұрын
Mungu akulinde Rais wetu
@lameckkamana122
@lameckkamana122 5 жыл бұрын
Mwadishi taarifa yako umeipanga vizuri sana.
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 4 жыл бұрын
Uyu mzee Mahenge yuko innocent sana, 😂😂😂😂😂 kutoa rushwa tunatoa😂😂😂
@hamadnganzo7761
@hamadnganzo7761 5 жыл бұрын
Tanzania ilichelewa sana kumpata Rais wa aina hii.Wafujaji watamkoma Msukuma huyu.
@charlesmlangwa4232
@charlesmlangwa4232 3 жыл бұрын
Kuapishwa maeaziri
@mudykisangi8926
@mudykisangi8926 5 жыл бұрын
Raisi anajitahidi kuwa krb na wananchi/ wafanyabiashara lkn wasaidizi wake kenge KBS. Hongera mh. Lukuvi uko vzr
@mosesedwardmagembe9657
@mosesedwardmagembe9657 3 жыл бұрын
Baba! Tutakukumbuka daima.
@kibiritikisuj228
@kibiritikisuj228 5 жыл бұрын
Mungu Akubariki Mh.JPM
@rosemongi5273
@rosemongi5273 3 жыл бұрын
Kwa kweli kila ninapo isikia sauti ya mwamba wetu jpm machozi yananitoka tu hadi leo hii amejaa kwenye ufaham wangu haaaa RIp baba nitakukumbuka daima.
@timothysamweli8808
@timothysamweli8808 3 жыл бұрын
Still watching in 2021 march, from U.K REST IN POWER JPM
@nshomamayungu2326
@nshomamayungu2326 5 жыл бұрын
Jamani mungu akupe maisha marefu sana baba yetu magufuri
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@sheikhasalim9124
@sheikhasalim9124 5 жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen yarab
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
huyu wa mbeya kiboko. asante kwaukweli wako wote. barikiwa
@mbwanaomary7537
@mbwanaomary7537 5 жыл бұрын
Mh Raisi bora ukutane na hawa wafanya biashara mara kwa Mara, hii ni zaidi ya bunge hawa wanatoa ya moyoni
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
Koti limetoboka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani Magufuli huyu jamani, natamani ungetuongoza mpaka mwisho wa uhai wako babaa🔥🔥🔥🔥🔥
@ramaccr7525
@ramaccr7525 4 жыл бұрын
Mutalemwa Gabriel 😂😂😂
@hamedabashir9
@hamedabashir9 4 жыл бұрын
Tena mm naomba awepo mpk uzeeni
@Ty125y
@Ty125y 3 жыл бұрын
Katuongoza hadi mwisho wa uhai kweli😢
@clementbabuu4811
@clementbabuu4811 3 жыл бұрын
😭😭😭maneno yanaish jaman
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Hahaha. Huyu magu wakati mwingine huniacha hoi
@olosokwaniolosokwani4800
@olosokwaniolosokwani4800 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana rais wetu wa jamuhuri wa muungano wa tanzania mungu akubariki udumu miaka 300 nakupenda sana unapo simamia haki ya wanainchi wako ubarikiwe sana
@olosokwaniolosokwani4800
@olosokwaniolosokwani4800 4 жыл бұрын
L
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Yaani mimi ananimalizaga utadhani comedian 🤣🤣🤣🤣
@sadickathuman8068
@sadickathuman8068 3 жыл бұрын
Kama unangali 2021 sema r l p
@pauloregina2878
@pauloregina2878 2 жыл бұрын
R.I.P mtetez wa wanyonge
@gracegaspal1167
@gracegaspal1167 2 жыл бұрын
Samia hakia ya Mungu mikutano yake sijui km atapata watu wengi hivi.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
subutu
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Yaani baba wa mbea alinimaliza ni msema kweli zaidi ya masai 🤣🤣🤣
@priscajoseph7178
@priscajoseph7178 5 жыл бұрын
Jamani Naskia alitoa no zake mwenye nazo Naomba plz
@edigamwagala7463
@edigamwagala7463 5 жыл бұрын
Beautiful ones are born in Tz. Magufuli is beautful one
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 5 жыл бұрын
Ediga Mwagala handsome not beautiful
@mawazomawazo959
@mawazomawazo959 5 жыл бұрын
Wabunge hawana jipya,zaidi yavijembe. Wafanyabishara oyee.
@fredchuwa8445
@fredchuwa8445 2 жыл бұрын
TUTA KUKUMBUKA SANA JPM
@mr.remedy2128
@mr.remedy2128 5 жыл бұрын
JPM RESPECT
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Napenda hoja za msukuma . Akitoa hoja hadi raha. Yuko vizuri yani hoja zake ziko nkoki.
@raymondjohn1876
@raymondjohn1876 3 жыл бұрын
Nikama yukohai daaaaaa inauma saana😭😭😭😭😭😭
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 5 жыл бұрын
Safi sana Mheshimiwa Rais.
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Jamani watanzania mlipata rais kwa hili 2020 jpm hana mpinzani . Watanzania tutamuchagua asilimia 100. We mungu mbaliki rais wetu.
@ernestsaguti6690
@ernestsaguti6690 5 жыл бұрын
Hapa ndio nimesikia ukweli kutoka moyoni. Tukienda hivi nchi hii itaenda.
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 3 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi😭😭
@zakiarashed144
@zakiarashed144 3 жыл бұрын
Allah amrehemu shujaa wetu
@dickmlawa8843
@dickmlawa8843 3 жыл бұрын
Amina
@dickmlawa8843
@dickmlawa8843 3 жыл бұрын
Amina
@dicksonchauganga5325
@dicksonchauganga5325 3 жыл бұрын
Amina
@muebraniamuebrania145
@muebraniamuebrania145 3 жыл бұрын
Du rais anavaa kitu limechanika Mungu akutunze na kukuhifadhi.
@dickaugustino2214
@dickaugustino2214 5 жыл бұрын
Huyu rais the best in world!!
@kdpretoria780
@kdpretoria780 3 жыл бұрын
Hatutokuja kupata raisi kama huyu jamani
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Watanzania wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu wote kwa mwenyez MUNGU kwa imani zetu
@edwardmdee5669
@edwardmdee5669 3 жыл бұрын
I love you Daddy mh John Joseph pombe magufuri
@dastansimpanzye5558
@dastansimpanzye5558 4 жыл бұрын
Daa kazi kweli
@jumamaganga5064
@jumamaganga5064 5 жыл бұрын
ety kwa miez minne viwanda 10 😁😁😁hata kama sijui viwanda ila niache2 bora tu hata ulinyimwa
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 4 жыл бұрын
Magu nampenda sana
@raziambwana2145
@raziambwana2145 5 жыл бұрын
Safi Rais wangu MTU akiamuwa kuleta wawekezaji akapiga chake nakodi ikalipa kunaubaya gn sinipesa za wachina hizo wairudishe Tu hati hiyo .
@vedastusukovzrmrnaykiyoger5978
@vedastusukovzrmrnaykiyoger5978 5 жыл бұрын
utasikia mengi sana, yapo mengi huku chini
@nicklassshaypanga8794
@nicklassshaypanga8794 2 жыл бұрын
Rais wanguuuuu wa nguvuuuuu💪💪💪💪
@user-gr9kx8hz6t
@user-gr9kx8hz6t 5 ай бұрын
Chema hakidumu mwenyez mungu mlaze mahali pema mtetez wetu
@bakarimlagilo5060
@bakarimlagilo5060 5 жыл бұрын
Nampenda sana rais Wangu Magufuri
@King_186
@King_186 5 жыл бұрын
safi sana
@salehemkomwa4400
@salehemkomwa4400 5 жыл бұрын
tuongoze miaka 30 mambo yatanyooka
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 5 жыл бұрын
Pamoja sana!!!👍🏽👍🏽👍🏽 Magufuli Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻
@elimishanyamoga1301
@elimishanyamoga1301 5 жыл бұрын
Kapimwe akili ww unayeshinikiza mtu kuvunja katiba
@machaineomahe6697
@machaineomahe6697 5 жыл бұрын
kwa sheria ipi we kuku???
@stellapeter1261
@stellapeter1261 5 жыл бұрын
Bora rais wetu uendelee kuwaita na kuongea na wananchi wako kuliko kuendelea kutengemea bunge letu ambalo ki ukweli unajionea yanayoendelea!!!!
@richardmuhina1284
@richardmuhina1284 5 жыл бұрын
Ukweli mh rais tunaumia sana na hawa jamaa wa tra
@alexanderpius1992
@alexanderpius1992 3 жыл бұрын
R.I.P JPM hakika tutakukumbuka
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 3 жыл бұрын
We miss you president
@kilimanjaro255
@kilimanjaro255 3 жыл бұрын
More and more
@mwilesimbeye9486
@mwilesimbeye9486 5 жыл бұрын
T. R. A wafanyakazi wengi ni wachaga na kama unavyojua wachaga wanavyopenda hela wao wanapata nyingi na serikali inapata kidogo. Mh Rais atumbue wakubwa wa T. R. A kodi ikiwa halali inalipika ila kodi ikiwa nusu ya mtaji ni ngumu kulipa.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 жыл бұрын
Nakumbuka wakati tumaliza chuo,ile harakati za kutafuta kazi....kuna baadhi ya sehem ukiomba kazi unaambiwa kabisa km we sio mchaga usipoteze muda! Tra,crdb bank nk.... Tena kuna mdada alikuwa na certificate anatuambia kuanzia babu yake wote wapo tra
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 5 жыл бұрын
her jamani
@wannaproducts
@wannaproducts 5 жыл бұрын
Ubaguzi plus wivu
@wannaproducts
@wannaproducts 5 жыл бұрын
@@christinewomanoffaith5479 kweli?
@santrumlay3952
@santrumlay3952 5 жыл бұрын
Wivu tuu
@gmavoice1893
@gmavoice1893 3 жыл бұрын
Mweshimiwa Rais napia Baba yetu ,Tuna amini unachofanya, Ila pia ili swala la mkuwa wilaya kuchapa raia naomba ulifuatilie atakama mtukakosa Sheria ichukuliwe,nasiyo Raia aliye pewa madaraka kuanza kuadhibu wananchi na hii inaleta udhalilishaji wawana nchi atakama kakosea nidhahiri sana kumchukulia sheria zilizo wekwa,naomba Muheshimiwa uangalie ili.watu wachukuliwe sheria zilizowekwa siyo kuchapa watu na KU Post mitandaoni Tuna kuamini Sana Rais wetu,Mungu akulinde.
@solanuskomba82
@solanuskomba82 5 жыл бұрын
global tv very nice👊
@masawemilton2558
@masawemilton2558 3 жыл бұрын
R. I. P Jembe umelala pumzika kwa amani Sauti yako bado tunaisikia masikioni mwetu,we ni mwambaaaa
@BrunoKarangali
@BrunoKarangali 3 ай бұрын
Mungu akupokee jpm kipenzi
@bakarihassankassim413
@bakarihassankassim413 5 ай бұрын
4yrs ago and am still here.. RIP mzee
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 жыл бұрын
Raisi huyu nilimpenda sana heshima ilirudi katika taasisi za serikali na tulilipwa stahiki Mungu akupe kila la kheri
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 жыл бұрын
The true leader of Africa, R.I.P JPM 😪😭
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 жыл бұрын
Mh rais tre Wametufiris reo wafanya Biashara tunarubaruba tu mhe rais
@patrickmgoya130
@patrickmgoya130 5 жыл бұрын
Nampenda huyu mzeee san jamaniii
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 2 жыл бұрын
Hivi viongozi wa leo hawaini hizi klip wajifunze
@nabiimwanjela3960
@nabiimwanjela3960 2 жыл бұрын
Maisha ndani ya Yesu
@euniceoguri1284
@euniceoguri1284 3 жыл бұрын
The great leader he was,rip JPM the best leader I have ever come across....hope others will follow your footsteps.Uongozi wako ulikuwa ni wa kipekee I have not come across like you.
@Saintman1966
@Saintman1966 5 жыл бұрын
Dada umetishaaaaa san
@florashauri9228
@florashauri9228 3 жыл бұрын
Yaaaani Rais wetu mpendwa Dr.JPM tutakukumbuka daima utendaji wako ulikuwa very unique, Pumzika kwa Amani baba yetu
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 жыл бұрын
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bofu
@gabrielmbunda5731
@gabrielmbunda5731 5 жыл бұрын
Nakupongeza sana mh.Raisi unajenga Tanzania mpya tuliyo ingoja kwa muda mrefu sana
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 5 жыл бұрын
Wanawake tupige kazi jaman naona suti na mabichwa makubwa tuu hapo
@halimushabani9480
@halimushabani9480 3 жыл бұрын
Huyu ndiye mzalendo baba mungu ilaze mahala pema
@jumaabdalah5705
@jumaabdalah5705 5 жыл бұрын
Good good huyu ndiye Rais
@devothafilbert2347
@devothafilbert2347 3 жыл бұрын
Kweli TRA waangaliwe.. Yani unaanzisha biashara ndogo unaambiwa kodi ambayo hailipiki.. Na hawaangalii biashara wanajikadiria tu kodi mezani bila kuon biashara na kufuatilia muenendo wa biashara..
@salehejongo2799
@salehejongo2799 4 жыл бұрын
Jpm noma yupo vzr sana god bless always and Ccm hoyeeeeee.
@sonymusa5333
@sonymusa5333 5 жыл бұрын
Nampenda raisi
@kevinpelomgeni1445
@kevinpelomgeni1445 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🔥🔥Magu hoyeeee❤️🔥🔥🔥👌👌✌️✌️
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Napenda jpm hadi raha.jpm majariwa ni kiboko yao. Hawana mchezo . Wako siliasi . Watanzania tuwaombee waishi milele.
@hemediabdala2760
@hemediabdala2760 7 ай бұрын
Kwakweli tumekukumbuka sana mungu àkuweke peponi kwani hatutakusahau jpm Ric
@user-hn4ut5tw2b
@user-hn4ut5tw2b 6 ай бұрын
2024 bado naangalia, R.I.P my president
@kalidushimathias7236
@kalidushimathias7236 5 жыл бұрын
Nice
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Magufuli Oyeeeee
@gablielmuhenya3325
@gablielmuhenya3325 5 жыл бұрын
Huyu ndie Rais tulie muomba kwa Mungu ongoza miaka 40 Baba ili tupate Tanzania mpya
@zakiarashed144
@zakiarashed144 3 жыл бұрын
Inauma sana😭😭😭😭
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
@@zakiarashed144 iume nini wewe kwa huyo dikteta mkuu sukuma gang? Mwache moto wa milele umuangazie
@ashuramtutalainaumasanajpm2341
@ashuramtutalainaumasanajpm2341 2 жыл бұрын
Mungu akulinde huko uliko rais wetu
@joharihessen1143
@joharihessen1143 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaa ety mnagawana km vile ulichanga nao.
@halimasatara2667
@halimasatara2667 5 ай бұрын
You were born to be an excellent leader,
@williammbwaiki5547
@williammbwaiki5547 5 ай бұрын
Lukuvi ni kichwa sana, mfuatiliaji na mtendaji.............
@eliyawilliammagesamarwa8413
@eliyawilliammagesamarwa8413 5 жыл бұрын
Hongera tata jpm
@lucasalexanderr
@lucasalexanderr 5 жыл бұрын
ndio mzee baba...lekebisha nchi
@frednyangwechi774
@frednyangwechi774 2 жыл бұрын
Alikuwa mzuri kweli hayupo kama yeye kwa sasa....
Mwanafunzi ‘AMKUNA’ MAGUFULI, ATOA MILL 5, Ampandisha Kwenye GARI!
13:43
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
12:08
Global TV Online
Рет қаралды 139 М.
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 109 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 606 М.
RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4
34:13
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 303 М.
"NAKUAGIZA MSIMAMISHE KAZI LEO, AMEUA, ETI ALILEWA, KHAA" - MAGUFULI
8:19
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН