WACHUNGAJI WAMJIA JUU NABII KIBOKO YA WACHAWI,WASEMA NENO ZITO KWA PROPHET LUTUMBA NA MZEE WA UPAKO

  Рет қаралды 9,403

DUNIA Digital

DUNIA Digital

Ай бұрын

#kibokoyawachawi #mzeewaupako

Пікірлер: 17
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 26 күн бұрын
Wengi wao ni wale wale tu watumishi wa adui wakiwa katika vazi la ukristo. Mikutano yao imelenga kujikusanyia sadaka kwa njia ya kufanya miujiza ambayo lengo ni hatimae wasisite kutoa sadaka, na pia masomo yanayohusiana na kupata mibaraka ya Mungu wakishawishiwa kutoa sadaka. Hawafundishi amri za Mungu na maagizo yake na ahadi zake ili watu wajue habari ya dhambi haki na hukumu.
@BalakaLyode
@BalakaLyode 12 күн бұрын
Sisi tunaomba mungu manabii feki kazizao azinamda zitakufa
@nadiatanzania
@nadiatanzania Ай бұрын
Mungu tunaomba utujalie faham
@user-cr6fc7nt8k
@user-cr6fc7nt8k Ай бұрын
Hii dunia kuna wa2 wako na macho na awaoni
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Ай бұрын
Chawa kweli anatetea ujinga
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Ай бұрын
Kumbe Yule alikuwa mchungaji alimfumkuza just kanisan
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Ай бұрын
Na watu wamejaa😂😂
@righitkileo
@righitkileo Ай бұрын
Sikujua huyu mzee wa upako ni walewale.mapepo
@BalakaLyode
@BalakaLyode 12 күн бұрын
Kanisa alikemei zambi icho niko
@MichaelPhilbert-q5j
@MichaelPhilbert-q5j Ай бұрын
Huu mnao uleta ni ujinga sana
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s Ай бұрын
Hayo ni Mavazi tu, kwani YESU alivaa suruali? Musa alivaaga suruali? Sasa mtaanza kuuliza choo cha kukalia, Hakuna vazi la dini fulani Fulani
@samuelmhando4914
@samuelmhando4914 Ай бұрын
Anavibali vya kukaa na kufanya kazi tanzania?
@user-mg7wk7wt2e
@user-mg7wk7wt2e Ай бұрын
Nivigumu yeye afanye kazi apo inchini tanzania asipokuwa na vibali vyakumuruhusu afanye iyo kazi
@Daudshatta-zu4kq
@Daudshatta-zu4kq Ай бұрын
Wakati. Washetan kufanyakaz ameachiliws kufanyakaz miaka alfumoja
@kellysmith4095
@kellysmith4095 Ай бұрын
Kunanjia ya kibibilia yakutatua ugovi,alicho kifanya sisawa,halafu,iwe vipi mchungaji kuvaa madhabauni kislamu, hajui kristo hana mahusiano na miungu yeyote,kiboko ya wachawi kivipi ?wakati waslamu niwashirikina,kwa kuamini majini wema kiyume na kristo, watanzania mtatushangaza
@HamisMzava
@HamisMzava Ай бұрын
Ata hujielewi kwani yesu alikua anavaa suti acha akili za kimasikini
@MichaelPhilbert-q5j
@MichaelPhilbert-q5j Ай бұрын
Huu mnao uleta ni ujinga sana
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 28 МЛН
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 111 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 69 М.
KIJANA ALIYETUMWA KUMJARIBU NABII KIBOKO YA WACHAWI AUMBUKA MADHABAUNI
4:17
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 124 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 76 М.