Muoshaa huoshwa yeye alisababisha ray najohari waachane naleo yeye kaachwa malipo hapahapa dunian
@mwakahassan87424 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 ndio ivo alizani kafika kish mwili wa twiga kisha mweupe HAHAHA
@sabringwal30794 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 ndio kila mchimba kabur nayey huchimbiwa
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hawasandale55953 жыл бұрын
Wasanii bwana yani mkigombana tu mambo yoteee hazarani halafu mda kidogo wasikia wapo wote looh ..hebu mambo mengine mfanyage siri zenu bhana na kama mmechokana muachane kimyakimya
@innocentbugomola5494 жыл бұрын
Et maarufu ko sisi tujifunze nn ikiwa ww mwnyw unaaribu aaah
@rahmahussen54333 жыл бұрын
Duu kaz munayo
@sarahogama95403 жыл бұрын
Sasa Chuchu si ulimuaribia Johari so tulia hapohapo Na ww pia uumizwe kumbavu ww!!!!
@innocentbugomola5494 жыл бұрын
Ww umeanza Kiki kama za shilole na uchebe eeeh wasanii wa bongo mna Kiki
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Yan ukafanyiwe cancel kwasababu ya dudu au nn🤣🤣🤣cjaelew mie
Ni kwa vile hujampenda lakini ni mzuri kwa anayempenda
@tatuhongeranurushaus4854 жыл бұрын
@@danneismail5442 jibu konki 💪💪💪💪💪💪💪
@hasnaabduly49454 жыл бұрын
@@danneismail5442 asanteee
@simbazmnyama12584 жыл бұрын
Mbona txt zakutongozana amja post
@nbmax14054 жыл бұрын
Kama ucebe vil
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
Kiki tu😝😝
@musayahya7023 жыл бұрын
Oil chafu haijawahi kumuacha mtu msafi
@fatmakhamis78764 жыл бұрын
Ndo mana kila siku nasema wanaume afadhali ulidanganye ila ukilipenda kwa dhati kuna siku utalia tu sijui kwa nini hawa watu hapendelei jamani duuh
@danneismail54424 жыл бұрын
Mpende lakini husimwonyeshe kuwa wampenda sana atafura bichwa lakini husijaribu kumdanganya hasa kama mko kwenye ndoa @ Fatma
@alicenice17114 жыл бұрын
Awa wanaume sio wa kuaminiya saana
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Hao ni wazazi jamani tusiongee sana, na hapa mtu anasema kila kitu kwa mtandao kumbuka hawa wasanii maisha yao ni humu kwa mitandao,
@salamakombo32574 жыл бұрын
Huyajui wewe muoshwa,,,,,,,,,,,,
@aishaiddi83264 жыл бұрын
Kweli
@queenwinnie2564 жыл бұрын
@@salamakombo3257 hahahaaa umenifanya nicheke,
@queenwinnie2564 жыл бұрын
@@aishaiddi8326 anavuna alichopanda,
@mwakahassan87424 жыл бұрын
@@queenwinnie256 haswaaaa ukilima mpunga utavuna huo huo mpunga wala hauvuni mahindi
@farhatmuhanna73514 жыл бұрын
Mhh
@mmn74803 жыл бұрын
aNini
@Iambabamusic4 жыл бұрын
Like nyingi sana
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Alitaka mtoto kutoka kwako akuna kingine😂😂
@sniperbogo62104 жыл бұрын
Kwan anaweza kuzaa pekeake tu au yeye ni mzur kuliko wengine jaman kuna wanawake wazur nyie watu acha kabisa
@wemaomarywema68524 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 kabisa tuko wengi wazuri sema tuko mikoani 🙈🙈🙈🙈🙈
@sniperbogo62104 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 si ndio hapo sasa mko vizur hatal
@wemaomarywema68524 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 😂😂😂🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@sniperbogo62104 жыл бұрын
@@wemaomarywema6852 unajua watu wanaojipiga picha mara kwa mara afu ni wasanii wanajionaga kama wao ndio wazur kumbe kuna vitu viko mikoan huku vizur hatar had tabia zao ni tam had mume unajidai kuanae
@danielhumble42924 жыл бұрын
Kweli kabisa huyu mwanamke ni mwenye akili na anajua maana ya mambo ya ndani hayapaswi kuwekwa hadharani
@ckuugudeh68214 жыл бұрын
Mbna nahisi kama ni kiki manake eti wamekosana kwa wakati mmja na wanatambulisha kazi zao? Hii ni kiki
@amissahassan4954 жыл бұрын
Ujika mtupu looooh kiki tu hizo.ili mtowe hizo.Kazi zenu
@mmn74803 жыл бұрын
nini
@judithkataraia73054 жыл бұрын
kama unatatizo la kukosa hedhi , umehathirika na dawa za uzazi wa mpango, harufu mbaya sehemu za siri, mvurugiko wa hedhi, fangus sugu , UTI sugu, pid sugu na kukosa hamu ya tendo karibu inbox tuzungumze na tiba. 0652223888
@mzalendootv29394 жыл бұрын
Hebu angalia pronounciation yako hiyo ya especially