No video

ZEMBWELA ATINGA PARIS ya KAWE, AKUTA DUBWI LA MAJI - "Ukiweka Sh. 200/Yanatoka Lita 20" | MSWAHILI

  Рет қаралды 25,278

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

ZEMBWELA ATINGA PARIS ya KAWE, AKUTA DUBWI LA MAJI "Ukiweka Sh. 200/Yanatoka Lita 20"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 41
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Safi sana Mwamba❤nimependa sana hiyo huduma ya maji
@abdulkarimmaadhi9147
@abdulkarimmaadhi9147 Жыл бұрын
good
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
tz nch ya kupokea wagen na wanaishi vizuri uko marawi ukifka mtz wara hauwishi kama iv kwanza wanaubaguzi sana wamama wa marawi tz ipo kama jalalah
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Жыл бұрын
Nassi tukiwabagua wanaanza kullamika kumbe wanaanza ssi tukimaliza lawama kma zote
@NajmSadk
@NajmSadk 2 ай бұрын
Namba zake
@Chombezaflava
@Chombezaflava Жыл бұрын
Tanzania ingekua inawazingatia hawa wenye vipaji vitu vingi vingepatikana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha Paris ya Kawe😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@denisngowi8572
@denisngowi8572 Жыл бұрын
well done
@theosaimon6933
@theosaimon6933 Жыл бұрын
Jamaaa bwana mjanja sana process ya machine ya kufulia ndio kaweka ile sehemu ya kuingiza maji kwenye mashine ili ifue ndio inachota maji na kumwaga maji machafu baada ya kufua ndio ameweka inamwaga maji masafi na pesa ndio hiyo hiyo process wakati wa kufua unaweka pesa unaondoka zako ? Nguo zinaenaendelea zenyewe daaaaa tanzania wajanja sana but very creative congratulations
@user-wi7br5sj1f
@user-wi7br5sj1f 6 ай бұрын
Namba plz
@Kabeya410
@Kabeya410 Жыл бұрын
Kabuni lakini miaka ya 70 kulikua na MAGATI ya maji ya idara ya maji mijini kama kibanda hivi unatupia senti 5 unakinga maji inajaa ndoo moja ya chuma enzi hizo watoto wa juzi hawajui hii habari kwa hiyo haya ni marudio ila hongera kwake
@AminialiAli-vv4yk
@AminialiAli-vv4yk Жыл бұрын
Huu mfumo kama niko na ndoo 5 hela ya pamoja jee
@thomasotarimo5080
@thomasotarimo5080 Жыл бұрын
Hey
@NajmSadk
@NajmSadk 2 ай бұрын
Namba zake tafadhalin
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Жыл бұрын
Dumbwi au Dimbwi
@emilyjoseph36
@emilyjoseph36 Жыл бұрын
Nimesikia mchezA Dubu humu ndani
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂mbona dubwi mashaAllah
@ojeymollel6424
@ojeymollel6424 Жыл бұрын
Mngetoa no zake
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 10 ай бұрын
Dude litaibiwa
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha kayumba baby😅😅😅😅😅😅
@bacon-ze5pf
@bacon-ze5pf Жыл бұрын
Hapo sioni ndoo zinahoshwa wana ziosheya wapi ? Na mtu akiweka 500 yapamoja je hiyo mashine itampa mtu ndoo 2/1 ? au je ?
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Жыл бұрын
Mashine Haina risiti au kumbukumbu kuiba pesa ni rahisi huo ufisadi mwingine 😅😅😅
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Hiyo ni technology inatakiwa iboreshwe
@SiajabuNgokorome-yf1xg
@SiajabuNgokorome-yf1xg Жыл бұрын
Naomba namba yake nahitaji hicho kifaa dubwi.
@wakatv3704
@wakatv3704 Жыл бұрын
bado ana waibiya wana nchi. sh200 lita 20
@wolinet1
@wolinet1 Жыл бұрын
mtaani bei ndo hiyo maji , labda kama ulipo ni tofauti
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
Ekhee mbona kawaida sana
@afrieagle8314
@afrieagle8314 Жыл бұрын
N kwel anaibia watu maj ndoo kubwa100 ndogo 50
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Naona kutokana na sehem kuna pengine ni 50 lite 20 alafu kumi hamsini au pengine 20 hamsini pia ila ndogo mbili 50
@pound_tz7248
@pound_tz7248 Жыл бұрын
we maji ya azam unanunua bei gan lita moja
@bealplustv
@bealplustv Жыл бұрын
Mwenye namba ya huyu aliyebuni naiomba
@abdulkarimmaadhi9147
@abdulkarimmaadhi9147 Жыл бұрын
yess
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Жыл бұрын
Dumbwi au Dumbwi wataalam wa kiswahili mtusaidie.
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Жыл бұрын
Dubwi au kolo nijina tumelitunga watu ila linajina lake
@SiajabuNgokorome-yf1xg
@SiajabuNgokorome-yf1xg Жыл бұрын
Nahitaji hiyo dubwi naomba yake.
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Kweli bongo nyoso 😂😂😂
@TungoZaMswahiliJk
@TungoZaMswahiliJk Жыл бұрын
Kauiga mwingi
@jamaliabduli9385
@jamaliabduli9385 Жыл бұрын
Mbona uja tuachia namba yake ya sm
@abdulkarimmaadhi9147
@abdulkarimmaadhi9147 Жыл бұрын
YESS
@user-wi7br5sj1f
@user-wi7br5sj1f 6 ай бұрын
Namba zake
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 Жыл бұрын
Dumbwi au Dimbwi
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 293 М.
KILA WIKI NGOMANI
11:03
Joti TV
Рет қаралды 678 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16