BAADA YA KUFELI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 20,696

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 69
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
Kitabu cha THINKING AND GROW RICH cha napoll Hill kilitafsiriwa zaidi ya lugha 12 duniani . Kwanini waandishi wa tanzania 🇹🇿 hawatafsiri vitabu kama hivi? Kwa lengo la kuwasaidia wale wasio juwa kusoma kingereza, mwalimu joel nanauka fikiria kufanya hivyo leongo ni kusaidia jamii ya walio wengi shukran
@dankirunda3368
@dankirunda3368 2 жыл бұрын
Ni kweLi kaka AbduL
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
@@dankirunda3368 umeonaee wenzetu hawaoni aibu kutumia wazo la mtu mwingine kwa kusaidia jamii yake ndio mana tunawaona wana maarifa kutuzidi kwasababu wao wanarahidisha kuwapa watu wao maarifa, tanzania 🇹🇿 wandishi kutafsiri vitabu sijuwi wanaona aibu hata sielewi...
@hussenicharles3032
@hussenicharles3032 2 жыл бұрын
You hit the point 😎 vitabu vipo vingi sana vinavyotakiwa kutafsiriwa hata vya taaluma mbalimbali 🤔
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
@@hussenicharles3032 wandishi wa tanzania bado hawajaliona hilo wanatumia nguvu nyingi kuwa washawishi watu wasome vitabu vya kingereza wana sahau asilimia kubwa hajuwi kusoma kingereza
@hussenicharles3032
@hussenicharles3032 2 жыл бұрын
@@abdulrahmanhassan9254 still mabadiliko makubwa yanahitajika kama walivyofanya rotary international kutafsiri kitabu flani cha kidaktari kwa ajili ya maeneo ya vijijini ambapo upatikanaji wa huduma za afya ni ngumu.🤔
@AYUBMWANGOKA
@AYUBMWANGOKA 2 жыл бұрын
Nata siku moja tuje tuonane Na uwe mlezi wangu kukua kifkra hasa ktk career yangu
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 жыл бұрын
Tunafeli ilitubadilikeee♥️
@issanamangaya1852
@issanamangaya1852 2 жыл бұрын
Asante kwa somo mzur
@selemanijuma546
@selemanijuma546 2 жыл бұрын
Kweli kabisaaaaaa kaka mungu akubari sana amen.
@lcysrk6744
@lcysrk6744 2 жыл бұрын
Hii nikweli kabisa Kaka wewe ulijifunza wapi haya yote?! Mbona wengine mpaka yatukute ndio tunajifunza?! Asante Sana inasaidia wengi
@manjalentugwa409
@manjalentugwa409 Жыл бұрын
Asante mwalim wangu JOEL NANAUKA Kwa SoMo zuri ambalo limejinga Sana kwanza nimelisikiliza kwenye wakati sasahi kabisa
@victorchiwai8831
@victorchiwai8831 Жыл бұрын
Asante Mr Joel nanauka unatupatia hope sana,ubarikiwe
@husseinchai4112
@husseinchai4112 2 жыл бұрын
Ahsante kaka
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
to fail in attempting doesnt make u a failure indee.bro joel u nailed it brother 👌
@patrickapolinary2949
@patrickapolinary2949 2 жыл бұрын
Kufeli ni muhimu ktk maisha,see you at the top
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
kufeli sio mwisho
@sharifsaidshoka8684
@sharifsaidshoka8684 Жыл бұрын
Habar kk naomba somo la kudai watu nadai pesa nyingi sana hadi nimefilisika nataka kudai pesa yangu ila sijajua nifanye nn
@annamallya8756
@annamallya8756 2 жыл бұрын
Ahsante Sana🙏🙏🙏
@abdiabdi2830
@abdiabdi2830 2 жыл бұрын
Asante sana kwa soma lko
@lightmawalla9096
@lightmawalla9096 2 жыл бұрын
Thank you hakika unanifundisha sana
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 2 жыл бұрын
Master.. umesema kuna fail and failure.. hii fail kuna neno unalitaja sijaelewa unamaanisha kitu gan.. naomb ufafanuzi kidg apo..🙏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Awesome Ahsante sana my brother Joel 😍💃
@moshiramadhan1082
@moshiramadhan1082 2 жыл бұрын
My all time genius
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Elimu yako Haina Mipaka
@FredrickClaudInsurer
@FredrickClaudInsurer 2 жыл бұрын
Thanks 🙏,,see you at the top 🔝 brother
@niriacatering172
@niriacatering172 2 жыл бұрын
Asante sana
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 жыл бұрын
Waoooooo fantastic ni kweli kabisa brother J
@elimikatv
@elimikatv 2 жыл бұрын
Thank you brother
@mukreemhassan7347
@mukreemhassan7347 2 жыл бұрын
ASant Mr
@rehemaramadhani2223
@rehemaramadhani2223 2 жыл бұрын
Asante san
@joshuatai40
@joshuatai40 2 жыл бұрын
Wiseman like Daniel ❤️
@amaaissa9713
@amaaissa9713 2 жыл бұрын
Asante kaka jol kufeli sio mwisho wa maisha
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Asante sana MWALIMU kwa mafundisho Haya (Zaburi 32:8, Waefeso 3:20.Ubarikiwe sana
@AfiSoul103
@AfiSoul103 2 жыл бұрын
Asante. Mwenyezmungu akuweke...na haya masomo unayotoa tuweze kuyafanyia kazi
@japhetgaraba1351
@japhetgaraba1351 2 жыл бұрын
Asante
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@farajakusipa3118
@farajakusipa3118 2 жыл бұрын
Thanks
@watakusifiatv1273
@watakusifiatv1273 2 жыл бұрын
shukrani kka, maneno yako yameniludisha katika hali chanya
@donnyrwezaula
@donnyrwezaula 2 жыл бұрын
Shukrani sana kaka mkubwa nmelipenda sana somo lako
@hawamusumba431
@hawamusumba431 2 жыл бұрын
Failure is a school dnt give up
@arafatdua166
@arafatdua166 2 жыл бұрын
Asante Sana bro
@arafatdua166
@arafatdua166 2 жыл бұрын
Tunakuitaji masasi mtwara Kaka Joel kwa masomo yako
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 2 жыл бұрын
Many falling ,wake and moving a head
@bonifacemoses6774
@bonifacemoses6774 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@kelvinmsuya6937
@kelvinmsuya6937 2 жыл бұрын
Big up brother 💪🏿
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Nakusubir 25 timiza malengo tour
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 2 жыл бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu
@aaSs-yf8oq
@aaSs-yf8oq 2 жыл бұрын
Amen brother be blessed.🙏🙏
@ramadhanmkenda5918
@ramadhanmkenda5918 2 жыл бұрын
Genius
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Shukraniiii
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 Жыл бұрын
😥🙏
@lovenoor988
@lovenoor988 2 жыл бұрын
Thanks Brother Joel🙏
@julianalaly2095
@julianalaly2095 2 жыл бұрын
Asante brother Joel.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Ahsante brother Mungu Abariki kazi zetu Amin
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@ngalo3705
@ngalo3705 2 жыл бұрын
Shkrn xan my beloved bro Mwnyz Mung akubrk xana,piah awez kuxikilz maombi yko na kyjib kdir ya mapenz yke,namwomb xan Mung xiku Moja nweze kukuona live my bro npnd ilo litimie
@veronicawamutua7532
@veronicawamutua7532 2 жыл бұрын
Thank you bro
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 2 жыл бұрын
Truth
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 2 жыл бұрын
Yaan unasema fail halaf sijuw ni neno gani hili.. 2:53
@mishentown9645
@mishentown9645 2 жыл бұрын
Ok
@amanimakury9686
@amanimakury9686 2 жыл бұрын
Kaka unanua
@syliverysalvatory4255
@syliverysalvatory4255 2 жыл бұрын
Thanks brother Joel
@daudbernad7248
@daudbernad7248 2 жыл бұрын
Coach nisaidie real account yako maana nmelipia kitabu tang juz sijatumiwa wahsup
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Watsapp kwenye namba hizi 0742 112 946
@twinsdiba_1696
@twinsdiba_1696 2 жыл бұрын
@Joel Nanauka ok
@adammbena4899
@adammbena4899 2 жыл бұрын
Thanks
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
UKIZIONA DALILI HIZI 4 NI TATIZO LA AFYA YA AKILI - JOEL NANAUKA
9:40
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 192 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 12 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
VITU VITAKAVYOFANYA UTAJWE - JOEL NANAUKA
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 2,8 М.
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 32 М.
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 2,8 М.
Kutawala Hisia Zako - Joel Nanauka
11:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 58 М.
LIFE WISDOM : FIKRA 4  ZINAZOWAFELISHA WATU  - JOEL NANAUKA
13:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
MAMBO YA KUFANYA UNAPOKUTANA NA CHANGAMOTO - JOEL NANAUKA
9:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 9 zitakazokuongezea ujasiri maishani
12:13
Wakati Wa Mpito Katika Jangwa - Joel Nanauka
6:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
EDWIN SIFUNA || I  AM SORRY
21:49
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 8 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН