PART11:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 21,924

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 202
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
Huyu kaka pamoja na misukosuko yote ana nyota ya ,kupata rizk sana. Mashallah
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
sanaaa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Saana
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 жыл бұрын
Hv nyota ni nin sifaham mnifahamishe
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
@@butondodavid2105 Ni usemi tu ,wengine wanasema nyota wengine wanaiita bahati
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 жыл бұрын
@@happyoshea ooooh thanks for explanation
@alitoufik5477
@alitoufik5477 3 жыл бұрын
Anaekubali Zabron ni genius like
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Yaani nilichokukubali ulikuwa huchagui Kazi mola akujalie
@satinotino481
@satinotino481 3 жыл бұрын
Nampongeza sana kwa kuto chaguwa kazi.na ana roho safi sana ndio maana mungu hamuachi
@mimisir5717
@mimisir5717 2 жыл бұрын
Ile ishu ya bank na majambaz aliikataa ila ndo ilikua kazi ya kupiga sasa iv angkua dubai
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Unawez kusema umekulia maisha magumu kumbe Kuna waliokuzidi 😭
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Kwa kweli
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 жыл бұрын
@@shantellemwanakombo3703 yaan kabisa mamy
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
@@aishahassan9812 ndiyo tukaambiwa tuseme All
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Allihamdulillah
@dianatessie8172
@dianatessie8172 3 жыл бұрын
Kabisa yaani....
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Jamaaa noma sana ni genius
@terrellbraxton19
@terrellbraxton19 2 жыл бұрын
Instablaster
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Huyu kaka nimchapa kazi pia anajuhudii,,Kapambana sana.
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 kweli kakipata?? Namimi namtaka jmn nyota yangu imepolwa pia roho yakukataliwa...namtaka anisaidie
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 Mungu nimwema kila wakati ipo siku yao hao wachawi
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 kweli kabisa.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 kabisa yani
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 3 жыл бұрын
Mie ni genius na nina kumbukumbu kali ila zabron umenizidi big up bro
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Jamaa ni genius kinoma achagui kazi kbs zotee kafanya zotee zile vjna wa sasa awawezi yy kapiga...umepitia magumu mnooo jamani aiseee daah..pamoja ba yotee lkn Mungu ajakuacha bado anakubariki kwa njia tofauti
@chopsmediatz
@chopsmediatz 3 жыл бұрын
huyo zabron story yake tam sana na anajua kuelezea, vizuri kwa utaratibu, kazi nzuri davista
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Maashaallah huyu jamaa nmempenda story zake tamu mungu amfungulie rzk zake
@oprahsalum8185
@oprahsalum8185 3 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu you are not a quieter
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Niliku naisubir kwa hamu ndio kwanza nmewek bando nmekimbilia you tube 🤣 nashkur nmeikuta 😂🥰
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Mimi nilikuwa naiwaza tu sasa nimefrahi
@biambarak5298
@biambarak5298 3 жыл бұрын
Hii story nzuri sana na refu Kama Ile ya juma 17
@JOZELDOTz
@JOZELDOTz 3 жыл бұрын
HIVI MMEJIVUNZA NINI KWENYE HIYI VIDEO? Comment down Tuone
@oprahsalum8185
@oprahsalum8185 3 жыл бұрын
From South Africa huyu kijana ni nguvu kazi, mvumilivu ,ana upendo and he is very patient Mungu ambariki sana and he is not a give up type
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Usikate tamaa mapema mtihani ipo na kila mtu humkuta
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Nimejifunza mengi moja apo binaadamu tusikate tamaa yote ni mitihani tu tusimkufuru Mungu
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Kweli mejifunza mengi lakini makubwa ni Watu wenye roho mbaya,kutokata tamaa katika maisha, Uvumilivu, Upendo, Kutochagua kazi, Ubaya wa ushirikina, Nuksi na Mikosi yaani mambo mengi ukiachilia mbali burudani na mafundisho.
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Nimejifunza katika Maputo mazito,mtegemee Mungu wala wewe usifanye mabaya itafika mda Mungu atakutetea tu utashinda,
@jamilaally3172
@jamilaally3172 3 жыл бұрын
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Hii stori naipenda
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Umepitia magumu sana pole Zabron
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
Kichwa kiko poa sana brother uko genius sana be blessed bro thanks Mr everything davistar mata na mikas na story za kijanja naelimika sana😊
@mwaisanyonyoma416
@mwaisanyonyoma416 3 жыл бұрын
TAZAMA VICHEKESHO VYA USWEGE KUPITIA LINK HIIkzfaq.info/get/bejne/rKx5bNh1x9vSZJ8.html USISAHAU KUSUBSCRIBE....
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema akikupangikitu binadamu kamwe hawezi pangua hata kwa ndumba haiwezekani : vijana tujifunze kujitumana na hakuna kuchagua kazi wala kukatatamaa💪
@caimedia
@caimedia 3 жыл бұрын
Zabron Leo unanirudisha nyuma kabisa katka kipindi cha sitasahau cha RFA, hongera kwa simulizi nzuriii
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Nipo bado 👍 Duhh !!Mr.facts
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 3 жыл бұрын
Duh sio kwa changamoto izo ulizopitia Kaka pole
@joycejoseph8863
@joycejoseph8863 3 жыл бұрын
I was waiting for it#🇰🇪
@daudimziwanda9536
@daudimziwanda9536 3 жыл бұрын
Me 2
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Me 3
@barakamakongo6184
@barakamakongo6184 3 жыл бұрын
And here it is
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
No matter the hard life this guy passed through, he looks very young and handsome tuned 🇰🇪 🇰🇪
@barakamakongo6184
@barakamakongo6184 3 жыл бұрын
True
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Wanaume wa Bongo siku zote tuko handsome. Diamond platinumz ndo mwanaume pekee mwenye sura mbaya.🙉🙉🙉😅😆😆😅
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 hahaha 😄 😄 you've made my night, i mean amejitunza hajachiachilia coz watu wa rika lake wamezeeka Sana hata utapata wengine wa born 80s but wamechapa sana
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
@@carolinetalam5832 🤸🤸😜
@matabarohm3167
@matabarohm3167 3 жыл бұрын
Story ndefuuuu saana, ila nimekuwa nasubiri history ya gamboshi. Mimi ni mrundi tena gamboshii ao the Triangle. Mukuwe makini
@salehfarid1003
@salehfarid1003 3 жыл бұрын
DAVISTER kapelo hizo zinakutulia saaana ✅✅✅👍🏼
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Saana
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Unamsfia
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 3 жыл бұрын
Ni story yako nzuri na inaskitisha pole kwa kupitia magumu
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Wow! Nimewahi
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Hiyo t-shirt ya Arsenal 💃💃💃
@sallo27.70
@sallo27.70 3 жыл бұрын
Kwa kweli Mitihani Ipo. Ila MUNGU Hamtupi Mja wake. (Speed).
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
Miaka 15 ya Zabron enzi hizo alitakiwa asalimiwe na wanaume miaka 30 waliokuwa wanaishi kwao.... Kama maisha hayo bora wali maharage kuliko wali mwengu
@theunseen.believe5672
@theunseen.believe5672 3 жыл бұрын
😄😄😄Davista anakatiza stori anakuwacha na hamu ya kujua kilichofuatia(suspence)
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Misukosuko yote lkn Mungu alikua upande wako
@patriciakamugisha2294
@patriciakamugisha2294 3 жыл бұрын
Dah!maish yako kama story huamini kama yametokea kweli. Umezaliwa na bahati sana. Tuletee nyingi kwa mfululizo bac
@salumosman4056
@salumosman4056 3 жыл бұрын
Mzee Davy usicheleweshe sanaaaa k🇩🇪🇹🇿
@zuhuraimran3659
@zuhuraimran3659 3 жыл бұрын
Leo nimewahi wa 75
@sharifusaidi461
@sharifusaidi461 3 жыл бұрын
Yes....ipooo vzr
@juliusgeorge5158
@juliusgeorge5158 3 жыл бұрын
Thanks for uploading this episode bro
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Jamani uyu kaka kapitia misuko suko sana..mimi nilizani nipo peke yangu ti kumbe kunawatu wamepitia zaidi...
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Ubishi ndouliwafanya mnyolewee mana hamkusikia kumbe mlienda mkatumishwaa ndomana ulisema mlienda masaa mengi chaajabu kurudi 30mn😂😂😂😂😂
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Masikitiko maskini Kaka wawatu du
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Nasubiri part 12
@aysherkitoi1845
@aysherkitoi1845 3 жыл бұрын
Leo inabadilisha na shati😁tuma hta 3 leo duuu
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Kweli kabisa 🙌
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisa
@is-hakayussuf9981
@is-hakayussuf9981 3 жыл бұрын
*Big Up Davister matter*
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Doh yani Zablon uko na akili kweli ndio maana bibi aliamua kukuroga
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Shukrani kwa simulizi, yaani kila secta wewe lazima upate mikasa, umepitia mitihani mingi sana, ila Mungu bado anakupenda sana,
@sadequeentyra8513
@sadequeentyra8513 3 жыл бұрын
Wakwanza apa🇧🇮🇧🇮
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
😂😂🤝
@sadequeentyra8513
@sadequeentyra8513 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 🤣🤣🤣
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
@@sadequeentyra8513 🙈
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 жыл бұрын
Yeah
@kelvindaudi6765
@kelvindaudi6765 3 жыл бұрын
Sawa sawa
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Atr sna
@user-cr9mf7dg4k
@user-cr9mf7dg4k 3 жыл бұрын
Pole sana
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Traffic imekula kwake yani kuna wakati mtu unaiba bila kupenda kutoka na shida una zokumbana nazo
@deogratiousfaustina375
@deogratiousfaustina375 3 жыл бұрын
Nipo bariadi mazingira yote hayo nayafahamu,,,!ongera sana kwa stor hii
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 жыл бұрын
Jamaa apenda msosi Sana hahaaa
@sheikhaalmandhari125
@sheikhaalmandhari125 3 жыл бұрын
Nainjoi
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
Nimefika
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Yan tutasimuliwa adi 20.nituuge kivurushi fresh wadau.
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 жыл бұрын
Yaani uyo tolu namjuuwa saana
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
Nimewahi leo 🙄🙄🙄🔥🔥🔥🔥
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
davi wapenda nyama sana
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Jamani huyo dada nyuma na kijana mbn wanavutana
@josiangamagila
@josiangamagila 3 жыл бұрын
Daaah
@victorsimundwe2518
@victorsimundwe2518 3 жыл бұрын
Aisee huyu jamaa kapitia magumu saaanah ..... Ila story ni kweli kabsa
@salumbunga240
@salumbunga240 3 жыл бұрын
Davistr kijan wako hp mtu mweny utu wangu
@hildaernest1090
@hildaernest1090 3 жыл бұрын
Yaan kptia mateso ya hayr
@rachelcharles5190
@rachelcharles5190 3 жыл бұрын
Wa mwisho leo ....so sad 😥😥😥
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Dah jamaa alikuwa na bahati ya michongo ya pesa lakini bahati mbaya haidumu Kama nuksi fulani hivi
@linazuke5838
@linazuke5838 3 жыл бұрын
Wa 11 cjachelewa sana
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@jeaninemugisha6395
@jeaninemugisha6395 3 жыл бұрын
Jamani nimengojea part 12
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
huyo brodher nimpambanaji atatoboa tu.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@philipmbaabu6169
@philipmbaabu6169 Жыл бұрын
I wish he could summarize hii story.
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Duuu wajamani mmeshawahi
@humphreykiveu9428
@humphreykiveu9428 3 жыл бұрын
Episode 12 please
@salumosman4056
@salumosman4056 3 жыл бұрын
Kilina, ( cleaner)kanikosha huyu mchiz daaah😂😂
@biambarak5298
@biambarak5298 3 жыл бұрын
Mengine makorofii hahaha hatari kwakweli
@teddyrichard4589
@teddyrichard4589 3 жыл бұрын
Nipo Na ww davista na mm wa kwanza leo
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Ай бұрын
Kuna pisi apo nyuma inajishaua atari
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Msela ana bidii shida kivuli kilichukuliwa kule kaburini
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 жыл бұрын
Hv kivuli kiki chukuliwa inakuwa na maana gan kiroho
@sheikhabdallahiddi3350
@sheikhabdallahiddi3350 3 жыл бұрын
Je walichanjwa wapi na wapi ilikuwaona wachawi
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Ila wachawi dah!😂😂😂😂
@matheothomas1891
@matheothomas1891 3 жыл бұрын
Leo nimewahii mamaeeeeeeee
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Hongera
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 hongeraaa
@ericklukumay1777
@ericklukumay1777 3 жыл бұрын
Kweli nimepitia magumu lakin hata sijamsogele hyu jamaa hata tone
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Dooh
@salehfarid1003
@salehfarid1003 3 жыл бұрын
Jamaa anamtongoza demu nyuma ya camera fresh demu kishalainika
@agnesssanga5327
@agnesssanga5327 3 жыл бұрын
Hahahaha
@saidjuma25
@saidjuma25 3 жыл бұрын
treni imepitaa kwenye uwanjaa wa shulee
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Tushaingia gamboshi sasa
@ibrahimmohamedi4498
@ibrahimmohamedi4498 3 жыл бұрын
Gambush kumenoga story ndio kwanza inaanza
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Endelesha
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
Wa mwisho hapa🏃🏃🏃
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Pamoja
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Bado nipo na mimi
@aysherkitoi1845
@aysherkitoi1845 3 жыл бұрын
Cku nikija Tanzania ntanunua kitabu chake au mulixe anaweza kunitumia nje ya nchi na ni bei gani
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
0628 638 308 ndio anaweza kukutumia hata nje kwa njia WhatsApp mpigie namba yake hiyo
@aysherkitoi1845
@aysherkitoi1845 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM barikiwa na asante
@barakamakongo6184
@barakamakongo6184 3 жыл бұрын
Kama siakosea niliwahi msikiliza akisimulia radio free Africa miaka ya nyuma kidogo kabla hajatoa kitabu chake
@nurdintembo7480
@nurdintembo7480 3 жыл бұрын
Wa 41 du
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Mpaka nyampala kamtongoza du
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Sasa mbona ujatuambia kama uliwaona wachawi????
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Usiwe na haraka endelea kufuatilia stori
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM Pw
@juliusphabian6336
@juliusphabian6336 3 жыл бұрын
😂😂😂
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
@@juliusphabian6336 😂😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
mashitaka yenu ni uharibifu wa mazingira..kweli sio kweli?. 😝😝😝
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Maskini wee . Mpaka kukamatwa tena..😭😭😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Huyu jamaa story yake na yule juma lazima utulie usikilize
@salomebrand1647
@salomebrand1647 2 жыл бұрын
Juma yupi bro
PART 1-3 CHURCHILL SHOW S1E3
20:29
Churchill Television
Рет қаралды 260 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 6 МЛН