Dr. Chris Mauki: Dalili 6 za Penzi linaloegemea Upande Mmoja

  Рет қаралды 67,921

Chris Mauki

Chris Mauki

3 жыл бұрын

Utajuaje kama penzi lenu limeegemea upande mmoja? Utajuaje kama wewe unalemewa au mwenzako analemewa na kwamba mnaweza msifike mbali? Hizi hapa dalili 6 zitakazo kuonyesha kwamba penzi lenu limeegemea upande mmoja. Zifuatilie ili mjirekebishe.

Пікірлер: 216
@GloryStanley
@GloryStanley 6 ай бұрын
Asante sana kaka kiukweli naguswa sana na mafundisho yako 🥰 Mungu azidi kukubariki 🙏🙏🙏
@drvidah7030
@drvidah7030 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu,,,mimi nikishaonq kuna mabadiliko basi.....sibembelezi maana what I know love haifundishwi popote,,ni automatic thing qmbayo Mungu ameweka ndani ya mtu.....hata mtoto mdogo ana upendo na mapenzi coz anaona.........And ukishamove on wanajifanya kurudi yakishawashinda huko.......hakuna mwanqume au mwanamke ambaye yupo bisy hakuna kitu kama hicho......no one is bisy kuliko watu wengine
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Nakwasasa sisi wanawake ndio tunaegemewa sanaa ndomana nimetulia tuu nangojea mume mwema
@ValentinaSalingwa-zo4lg
@ValentinaSalingwa-zo4lg 8 ай бұрын
Asante mtumishi kwa somo Zuri mungu akubariki sana maana hili ndio ninalopitia mimi
@hussnattwalibu2250
@hussnattwalibu2250 3 жыл бұрын
Somo nzuri mungu akubaliki kwa kutuelimisha
@blaitonamani8589
@blaitonamani8589 3 жыл бұрын
Asante Sana dr nimejua mengi sana Mana toka nimeingia kwenye uchumba na mwanamke nilie mtolea na balua na nusu ya mahali amani ya penzi imepotea niko tofauti na nilivo tarajia
@oliverkim6760
@oliverkim6760 Жыл бұрын
Asante sana chris mauki najifunz mengi iwish nikuon siku moja
@remigiuswilla881
@remigiuswilla881 2 жыл бұрын
Somo zuri Dr. Mauki, lakini inabidi upunguze matumizi ya kiingereza ili watu wote waelewe vizuri. 🙏🙏🙏🙏🙏
@aminarashid4647
@aminarashid4647 2 жыл бұрын
Asnte Dr ,dah nimeelewa vizuri sana
@neemammassy8072
@neemammassy8072 2 жыл бұрын
Nimekuelewa vizur mauki ubarikiwe Sana
@drcosmetics9978
@drcosmetics9978 2 жыл бұрын
Naomba unisaidie sana Dr mauki.
@azizakombo376
@azizakombo376 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa masomo yako yenye ukweli ndani yake
@samiajoseph4340
@samiajoseph4340 3 жыл бұрын
Asante kwa somo lako bro
@alfayotumaini
@alfayotumaini Жыл бұрын
Asante kwa mafunzo mafunzo yako doctor
@adellaritte3558
@adellaritte3558 Жыл бұрын
Thank mauki learning more 🙏🙏🙏🙏 nampendaa mwanaume lakinii yupo bizeeeeeeeeeee
@susannaikuni8595
@susannaikuni8595 2 жыл бұрын
Ahsante xna Dr nlikuwa kwa mahusiano kama hilo one side relationship
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@user-di5rw2md4l
@user-di5rw2md4l 10 ай бұрын
Asante sana umenifungua akiki
@meryfrank5272
@meryfrank5272 3 жыл бұрын
Mmmm mungu atusaidie tu mana . Tunakutana na ayo mambo kwel
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
On point.... nimeumizwa sana
@faridansemwa1884
@faridansemwa1884 3 жыл бұрын
Aya Mambo ,mungu atusaidie tu sio olewa
@veramruma4465
@veramruma4465 2 жыл бұрын
Hasante Sana Doctor, hakika uliyoongea ndio ninayoyaface, it real hurts
@jovinmutakumwa9611
@jovinmutakumwa9611 2 жыл бұрын
Du Dr Umepiga mle mle ✊🔥🔥🔥🔥🔥
@ibrahimelias57
@ibrahimelias57 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maujuzi uzidi tufunza👏👏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@janethcharles1601
@janethcharles1601 3 жыл бұрын
Dalili zote jamaa anazo hahaha Mungu nisaidie dk ni kama unamuongelea yeye
@mankarichard5851
@mankarichard5851 2 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅umenichekesha ulivocheka
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 2 жыл бұрын
Pole dadangu
@chozilasamaki5473
@chozilasamaki5473 2 жыл бұрын
Naona tuko wengi lakini nilazima tuchukuliane na zaidi ni kuweka subira na kutoyazungumza njee kwa watu na majirani sababu utakuwa umekwisha kuziaamsha zile hisia za shetani, hakuna subira mbaya lakini pia hizo subira ziko na mipaka yake! , Mimi mwezenu yalinishinda njiani kwa usalama wa afiya yangu na ruhu yangu moja! Pole pole nilisema simamisha Gari ni shuke!
@shikshik9766
@shikshik9766 Жыл бұрын
😂😂😂
@MaaneML
@MaaneML Жыл бұрын
@@chozilasamaki5473 ♥️♥️♥️😀😀😀
@hussenalisa7211
@hussenalisa7211 2 жыл бұрын
Asate sana ni mejifunza mengi kupitia kipindi chako mungu akubarik
@neemamustapha9705
@neemamustapha9705 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@samiamohammad7281
@samiamohammad7281 2 жыл бұрын
MashaAllah hapo ni kweli kabisaa
@layanalafifi5548
@layanalafifi5548 3 жыл бұрын
Asante sana.umeongea ukweli.kabisa
@twilumbageorge5426
@twilumbageorge5426 Жыл бұрын
Barikiwa unatuzibua masikio
@yvonneatieno1320
@yvonneatieno1320 2 жыл бұрын
Asante sana Dr nmejifunza napenda somo lako mungu akubariki
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Nashukuru sana sana rafiki
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Asante sana dr umeongea ukweli kabisa babaa so sad
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@macrinycostantine5634
@macrinycostantine5634 2 жыл бұрын
Dalili 4 zmenigusa sn ahsante dr mauki
@user-ip7jx3dn3l
@user-ip7jx3dn3l 5 ай бұрын
asanthi kwa kutueleza vile tunaelekea
@chozilasamaki5473
@chozilasamaki5473 2 жыл бұрын
Nimechelewa kukufahamu Doctor!lakini I wish ningekujuwa kitambo yasingenifikia haya nnayopitia kwa zaidi ya miaka 28 sasa nilikuwa nnayaona lakini sikuwa na mtu wa kunipa mwangaza,muelekeo au kunizunduwa akili yangu yasingenipata yalio nifika 😭😭😭, sasa nimepata DR, wa kuutuliza moyo na Akili yangu. thanks! GOD BLESS you and your family Amin!
@marrydamian2854
@marrydamian2854 2 жыл бұрын
Habar Dr masomo yako yamenigusa sana naomba mawasaliano yako nahitaji msaada zaid
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 2 жыл бұрын
Thxz dea for that advice
@thomasferdinand8769
@thomasferdinand8769 2 жыл бұрын
God bless you dr kwa ujumbe wako mzuri nahitaji msaada wako
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@philonombo8623
@philonombo8623 Жыл бұрын
Learning more!!
@jovinmutakumwa9611
@jovinmutakumwa9611 2 жыл бұрын
Miaka 💯 Mungu Akupe 🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@nyanginyamhoza1106
@nyanginyamhoza1106 Жыл бұрын
Dalili 6 za penzi linaloegemea upande mmoja( one sided relationship) (sio la afya) 1.Mahitaji na matakwa yake ya kwanza 2.Wewe ndo unaonekana kuanzisha mawasiliano 3.Anatanguliza vingine( marafiki)zaidi wewe ndo ufuate 4.Ratiba zake zinafuata ikishakamilika ndo zako zinafuata 5.Kuwa na hofu sana. (Taharuki) 6.Anapopanga ratiba za future hakuwazi wewe!
@drcosmetics9978
@drcosmetics9978 2 жыл бұрын
Somo zuli Dr mauki .Nilikua naomba ushauli Dr mimi nipo kwenye mahusiao na nashukulu mungu nimepata mwanaume anae nijali kwakila kitu lakini tatizo lipo kwangu kama hili somo la leo linanizungumzi mimi kabisa .mimi katka mahusiano yangu nimtu mwenye dhalau sana na ninajijalimimi kuliko mtu nilie nae naweza nikakatazwa jambo baada ya mda naludia kosa lile lile .Dr naomba unisaidie ili niwe sawa na mwenzangu🙏🏼maan kila siku tunagombana
@rehemabenson3311
@rehemabenson3311 6 ай бұрын
😂😂wewe upo kama mimi na nashindwa kubadilika 😢😢naweza kukosea mimi then nanuna mimi😢
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Kweli kabisa yani umegusa moyo wangu hapo. ila kwa sasa nime move on natafuta life yangu
@hasmahassani6263
@hasmahassani6263 3 жыл бұрын
Wa Kwanzaa🥰🥰🥰
@fatumamohamed2229
@fatumamohamed2229 2 жыл бұрын
Nashukuru nililijua mapema.nikasepa zangu.
@khadkhad2339
@khadkhad2339 2 жыл бұрын
Swadakt 💚💚💚
@snakhilnassoro4322
@snakhilnassoro4322 3 жыл бұрын
Duh! Umenena, nifanyeje ili kuokoa hli???? Inaumiza sana
@sarahmackenga3868
@sarahmackenga3868 2 жыл бұрын
Point dr
@dancansaka5004
@dancansaka5004 Жыл бұрын
Good 👍 work brother keep it up brother
@franzoonlinetv3641
@franzoonlinetv3641 4 ай бұрын
Nice one and I like it
@azizakwileka1686
@azizakwileka1686 3 жыл бұрын
Eeh Mungu saidia
@fatmaomary3981
@fatmaomary3981 3 жыл бұрын
Yani mm kabisa huyu😭😭😭harafu unakuta umelipenda basi unaumia sana ila kwa sasa nimechoka kujipendekeza 🤔🤔🤔 kwalenyewe
@louismwero7842
@louismwero7842 3 жыл бұрын
😭😭😭
@abouassifmabrouk8110
@abouassifmabrouk8110 2 жыл бұрын
Nilizani peke yangu kumbe nnao wenzangu 😭😭mimi pia nayapitia haya kwa mume wangu tulieoana miaka 20 iliopita na watoto 3 lakini daah inauma siku hizi na mie najikaza simulizi ata hali nimechoka kwa kweli
@munaalhilali8558
@munaalhilali8558 2 жыл бұрын
Upo vizuri kipenzi nikwerikabisaa
@sarahmackenga3868
@sarahmackenga3868 2 жыл бұрын
Hii imenigusa sana
@user-ku3ie5xn8z
@user-ku3ie5xn8z 7 ай бұрын
Izo ulizotaja zote nizakwangu Asante Sana
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 4 ай бұрын
Ww Ndio una Subri kusalimiwa au ww una salimia yy hana muda
@salome8774
@salome8774 3 жыл бұрын
Hii ni mimi Doctor! ata mzee wangu hana haja na mimi hata kupiga simu na anakaa akienda kule anahitaji kwenda
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@addo2149
@addo2149 3 жыл бұрын
Mh...hili langu ni one sidedzzzzzzzz ngoja nianze kutafuta mwamvuli mwingine so so painful...o!
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Jitahidi inawezekana
@user-cd8rc5jp2i
@user-cd8rc5jp2i 5 ай бұрын
🙏🏾
@user-ml1zv2iu9d
@user-ml1zv2iu9d 4 ай бұрын
Daah haya mapenz kwakweli kikubwa uzima tu mie nimesha choka kwakwel 😭😭😭
@Nimriysbabe984
@Nimriysbabe984 2 ай бұрын
😢😢wasema ww yaani bx tuh
@otabengacannabino6982
@otabengacannabino6982 2 жыл бұрын
Dah😭😭 ni kwel kabisa,kwahy niache nae shobo
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 2 жыл бұрын
Sana tu
@bahatikahogo5502
@bahatikahogo5502 9 ай бұрын
Asant sana
@matha7750
@matha7750 3 жыл бұрын
Very good lesson
@martinabyeilango9817
@martinabyeilango9817 3 жыл бұрын
Asante Kaka nimekuelewa, umenifungua
@onlymama2981
@onlymama2981 Жыл бұрын
Yan kama unamjua vile 😄this life no balance at all
@papricahbeauty2136
@papricahbeauty2136 2 жыл бұрын
imenigusa sana aisee na dalili zote kuna mtu anazo and am leaving🙏
@officialmrdy7979
@officialmrdy7979 2 жыл бұрын
Good
@mussakaembi5706
@mussakaembi5706 3 жыл бұрын
Habar Dr, mimi naitaji vitabu ili niwe najisomea Mara kwa Mara hususani vitabu vya saikologia mbalimbali ikiwa soft copy itakuwa vizur
@shadowhatory154
@shadowhatory154 2 жыл бұрын
🤔🤔 Mahusiano mengine ni bora liende tu uko kwenye mahusiano lakini hujui hata yanahusiana na nini Mungu tuhurumie tu maana ni mtihani, anitafute sawa asiponitafuta pia sawa ili mradi nimelala nimeamka napumua napata riziki yangu ya kila siku🤔 hayo mahusiano naona mbwembwe tu kwangu 🤔🤣
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali Sana aisee Yule ex wangu wa zaman mule mule nashukuru baada ya kugundua nkampoteza kimya kimya ni MIAKA miwili ssa Nmempata mpya na ashakuwa mamtto Wang tayali
@nbmax1405
@nbmax1405 3 жыл бұрын
Kabisa
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Hali hiiii siitaj mwanamme, bora nijikaie pekeangu
@josephgeorge4032
@josephgeorge4032 2 жыл бұрын
Nini cha kufanya ukiwa kwenye mahusiano ya aina hii?
@rosenelima8618
@rosenelima8618 3 жыл бұрын
Naumia sana doctor huu ni mwezi wa saba naomba usaidizi
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Labda unahitaji ushauri, 0713407182 call
@najmahamiri6889
@najmahamiri6889 2 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 kaka nihitj msaada wako nipo na wakt mgumu sana naomba nikupgie
@francinercaliste4474
@francinercaliste4474 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa,kukuona unafanyaje kuna gharama zozote!!!!
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@Matlidadeus-wt5yq
@Matlidadeus-wt5yq Жыл бұрын
Daa isee kweli kabsa nimesikiliz mamb meng San mtumish lakin yot Ana yo na mim natamn Leo kesh nimwache Likn nikimweelez tuachane Hatak kabsa tuachan halaf kun wakat namwelez tu ukwel naomb tuachane akinion naongea na mwanaume yoyot yan anapt wivu hat hat ana kaz anaifany anashindwa kabsa kuifany yan mi nashindwa kabsa kumuelew naomb unisaidie nifanyej dokt
@jacksonbenetson1201
@jacksonbenetson1201 2 жыл бұрын
Umenenaa Kaka Mauki.Mimi Ninae Rafiki Wa Kike Yani Uyoo Nimzito Katka Mawasilianoo Kuna Nambaa Alikuwaa Nazo Ukizipiga Unaambiwaa Inatumikaa. Nikimwomba Nyinginee Mpk Sasa Ajanipaa
@salmaomary80
@salmaomary80 3 жыл бұрын
Dr chris mimi yani mpenz wangu nisipo mtafuta mimi yeye hana muda yani hata salamu yeye hajui kuliza umeamka vp wala lolote yanj uki uliza ana sema hapend mtu ana ongea sana yani mpaka nakata tamaaaa kabisa na hisi kama na fossii love hiv😔😔😔
@morisianestory5527
@morisianestory5527 3 жыл бұрын
Yaani kama mm saiv nataka niache tu
@salmaomary80
@salmaomary80 3 жыл бұрын
@@morisianestory5527 me nimesha nawa mikomo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@morisianestory5527
@morisianestory5527 3 жыл бұрын
Yaani mumy ndo mm saivi maana mpaka ww uanze kumtafuta alafu hamna maongez marefu kila muda niambie yaani yeye hana la kusema ni ww tu akikukosea hasemi samahani ndo kwanza ananunaa mmmh hapana kwa kweli
@salmaomary80
@salmaomary80 3 жыл бұрын
@@morisianestory5527 yani me hizo niambie ndo zili nishosha usipo kuwa nala kuongea na yeye hana muna kata cm muna lala akiiii me hapana niko sing na nina amani ya moyo kwa sasa
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 2 жыл бұрын
Salma omary nitafute
@twillahbenaiah2879
@twillahbenaiah2879 2 жыл бұрын
Dalili 6 ya penzi lililoegemea upande mmoja.Maana yake ni ile hali MTU anajihisi anampenda/kujari zaidi/kutoa kipaumbele mwenzie kuliko mwenzake Unatakiwa kujitathmini ili uweze kufanya maamuzi - Mahitaji na matakwa yake ndo yanapewa kipaumbele kuliko yako - Wewe ndo unaonekana ndo wakuanzisha mawasiliano kuliko yeye. - Anatanguliza vingine zaidi alafu wewe ndo unafuata.mfano marafiki zake ndugu zake watu wake wa karibu - Ratiba yake inaanza inafata ratiba yako Akishafanya yake wewe ndo unafata - Unakua na hofu sana ukifikiria atakuacha Anakua anajua unahofu juu yake kwamba utaachwa lakini yeye anakua hana hofu yyte - Yeye anapopanga ratiba zake au future yake hawazi kuhusu penzi lenu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@chozilasamaki5473
@chozilasamaki5473 2 жыл бұрын
Hapo ume-muelewa vizuri mwalimu, ninavyo kuona kwa somo hili wewe ni mwanafunzi mzuri nikitaraji one day utakuwa kama huyu mwalimu wetu GOD BLESS kwa ufafanuzi mzuri 👌👍⚘take care
@singasinga2663
@singasinga2663 3 жыл бұрын
Well said bro , , vyte kweli tupu
@zainabukesi2885
@zainabukesi2885 2 жыл бұрын
Duh mtihan kwel
@aminaally7229
@aminaally7229 2 жыл бұрын
Inauma xna
@jeniferkalemela99
@jeniferkalemela99 3 жыл бұрын
Yaani cris kunywa soda kakangu, hii imenigusa Sana.
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 2 жыл бұрын
Mimi kabisa hii 🥺
@wardadallu1820
@wardadallu1820 3 жыл бұрын
Huyu ni mimi kabisa naumia sana😭😭
@thozyceethemama6052
@thozyceethemama6052 2 жыл бұрын
Tuko wengi siz ata mm ntajitoa tu
@emmysantos5323
@emmysantos5323 3 жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa
@angelpima5286
@angelpima5286 3 жыл бұрын
Nifanyaje hizi tabia zote anazo mme wangu
@raulruben2295
@raulruben2295 2 жыл бұрын
Poleee sana du
@nkandijoseph3786
@nkandijoseph3786 2 жыл бұрын
Chris jamani umeongelea mahusiano yangu kabisa kwali nimekuwa wakulia Kila siku najaribu pia kumwambia anakuwa mkali kweli na kuanza kunilaumu kuwa me napenda kugombana na kipindi tunaanza mahusiano hakuwa hivi amekuja kubadilika mpaka nahisi anamtu mwingine
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 жыл бұрын
Pole sana nivema uchunguze kwa busara kujua nini kimesababisha mabadiliko yake. Hakuna mabadiliko yasiyo na chanzo
@najmahamiri6889
@najmahamiri6889 2 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 naomba nikutfte Dr nipo na wakt mgumu
@LevinaSlivanus
@LevinaSlivanus 8 ай бұрын
Dah mbona sasa naisi kuchoka baada ya mafunzo yako 😭😭😭😭😭😭 nakoelekea sijui kama toboa kwenye mahusiano, na uko nina mimba 🤰 nifanyeje sasa mimi
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 Жыл бұрын
Mmmm
@mouking-kondeboynahimana419
@mouking-kondeboynahimana419 Жыл бұрын
Yani umeniongeley mimi kbsa,, na sasa amenambiy nimpe muda wa mwezi mmoja bila kuongey kuhusu mahusiano yetu
@alghamsalim3952
@alghamsalim3952 2 жыл бұрын
Namba
@dominastephen9689
@dominastephen9689 2 жыл бұрын
Apoo nimeelewa dr dahahaa imenigusaa
@macylineomoding1648
@macylineomoding1648 4 ай бұрын
Nimeamua kukaa peke yangu
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Sio lazma, ikiwa Kama mimi ndo kipaumbele kwa salam,,,,, hainipi shida, najiongezatu,,,,, hapo nikujiondoa,,,,, l dont want love like this,
@zawadipeter7152
@zawadipeter7152 Жыл бұрын
Huyu mm MUNGU wangu 😭😭😭
@elizabethkomba5102
@elizabethkomba5102 3 жыл бұрын
😔
@sakeenas767
@sakeenas767 3 жыл бұрын
Shukuran sana
@francinechirezi506
@francinechirezi506 2 жыл бұрын
Mbona vyote kama vile Ana mu hongelea mtu wangu jamani 😭😭😭😭
@francinercaliste4474
@francinercaliste4474 2 жыл бұрын
Wajina pole kumbe kama mm😭😭😭😭
@francinechirezi506
@francinechirezi506 2 жыл бұрын
@@francinercaliste4474 asante wangu
@umibana6759
@umibana6759 3 жыл бұрын
Kweli tupuu, yaani huyu kama mchawi hatarii
@anastasiawarioba3478
@anastasiawarioba3478 Жыл бұрын
Ah! Bax bna ila kma unaongea v2 vya kweli kumuhusu dah!
@kizazijeur7518
@kizazijeur7518 2 жыл бұрын
Kwel usemayo baadh ya maneno yamenitokea dr
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Hahahahahaaa hapa acha nicheke tuu maana wengine kama ndo tumekutana ngoma droo, tabia hizo yeye anazo na mm ninazo. Af kila mtu hachelewi kuyapa maisha yake ya mbele kipaumbele kuliko mpenzi 😅😅😅😅😅ukisikia mahusiano usiojua yanahusiana na nn ndo haya mweeh 🤣🤣🤣🤣
@shanawilliam1050
@shanawilliam1050 3 жыл бұрын
😀😀😀
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 жыл бұрын
😂😂🤣🤣
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Wanaume wenyew pasuaa kichwa sasa wanawake na sis Asa ivi tumekuwa wa moto ukijielewa ty mapema unajisogeza
Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana
11:10
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 126 М.
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 104 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
Dr. Chris Mauki:  Usifanye makosa haya mara tu mnapo achana
8:21
Chris Mauki
Рет қаралды 10 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KAMA UNATAKA KUFANIKIWA DUNIANI, KUOMBA PEKE YAKE HAITOSHI.
9:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 119 М.
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 104 МЛН