IFAHAMU MIFUKO 6 YA UTT AMIS | PART 2

  Рет қаралды 6,096

Bupe Kibiki

Bupe Kibiki

7 ай бұрын

Kila mfuko Wa UTT AMIS una Mipango au malengo yake. Hivyo jifunze kuhusu kila mfuko ili ujue upi unakufaa Kulingana Na malengo yako Na malengo ya mfuko husika.
ENJOY!!!

Пікірлер: 17
@dn.n4983
@dn.n4983 7 ай бұрын
Happy new year ubsrikiwe sana
@user-xr1bo2wb1p
@user-xr1bo2wb1p 6 ай бұрын
Kongole Sana Nimejifunza kitu
@AmaniMacha
@AmaniMacha 6 ай бұрын
Nashukuru sana ila je kwenye mfuko wa wekeza maisha nikienda nje ya mpango yaani nikashindwa kufikisha kiwango fulani labda kwa mwezi kutokana na mpango wa kuweka kila mwezi, nn kinatokea., nimesikia kuwa Bima hizo zinafutwa je kuna ukweli hapo
@WemaMusa
@WemaMusa 5 ай бұрын
Somo zuri sana na muhimu sana... Ubarikiwe
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 5 ай бұрын
Amen
@user-tv3om8pe9q
@user-tv3om8pe9q 5 ай бұрын
Hii Nilikua nauliza kwa mfano katka huo mfuko wa pili bond fund mtu alianza kwa 50k akaicha tuseme kwa 5 years ikakua had 1 million anaingia kwenye gawio la mwezii
@ekilasa
@ekilasa Ай бұрын
Hii 14.2% ya invest fund analipwa mteja kila mwaka au inajumlishwa inaendelea kuinvest
@barakavlogs913
@barakavlogs913 24 күн бұрын
Samahani unavyo nunuwa vipande inachukuwa mdaa gani hivyo vipande kuingia kwenye account yako
@shomariibrahimu862
@shomariibrahimu862 6 ай бұрын
Sio milioni moja milioni 10 umekosea
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 6 ай бұрын
Asante Sana.
@annastaziaemmanuel8664
@annastaziaemmanuel8664 4 ай бұрын
Mimi nina mfuko wa ukwasi,na ninaweka ela kwa kupitia simu yangu,bt imetokea kama mara mbili nikiingiza ela,mara ya kwanza haikuja sms yyte si ya kukubaliwa kwa maombi wala kunijulisha kuwa nimefanikiwa kununua vipande,mara ya pili ilikuja sms ya maombi kukubaliwa ila ya kuthibitisha kununua haikuja,lakin baada ya hapo nilipo weka ela tena nilijibiwa,vip zile ambazo sikujibiwa zinahesabiwa kwa accout au hazihesabiwi
@letuslaulian3359
@letuslaulian3359 3 ай бұрын
Download app ya UTT ,hata meseji ispokuja pesa yako utainona ndani ya app kwenye kipindi walichosema
@kunsah2
@kunsah2 6 ай бұрын
Samahani, naomba kujua una maanisha nini unaposema vipande?
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 6 ай бұрын
Vipande : Ni Sehemu ya umiliki wa mwekezaji katika mfuko husika. Ukipata muda unaweza ingia Google uka download taarifa ya mkutano Wa UTT AMIS Wa mwaka 2023. Utaelewa Zaidi. Asante Sana.
@EthanMria
@EthanMria 5 ай бұрын
Siioni hiyo namba kwaajili ya kuungwa kwenye group,na je kuna gharama kwaajili ya hayo mafunzio??natanguliza shukrani zangu
@bupekibiki5151
@bupekibiki5151 5 ай бұрын
Ni bure kupitia Whatsap group kila Mwezi tunatoa Training 2. 0756216281. Na wakati mwingine training Zingine huwa Kuna Gharama za kuchangia Ila huwa Sio Zaidi ya sh.5000
@EthanMria
@EthanMria 5 ай бұрын
@@bupekibiki5151 asante nmesakutafuta wasap
IFAHAMU UTT AMIS | PART 1
13:40
Bupe Kibiki
Рет қаралды 4,9 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 2,8 М.
JINSI YA KUWEKEZA NA UTT By Pauline Kasilati
14:57
Edmund Munyagi
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 36 М.
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
UNATAKA KUAMINIWA? JENGA KUJIAMINI
7:10
Bupe Kibiki
Рет қаралды 7 М.
Kufungua Akaunti ya Uwekezaji ya UTT AMIS: Hatua kwa Hatua
6:56
Elimika Mtandaoni
Рет қаралды 18 М.
JINSI YA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI
1:01:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 2,7 М.
FAIDA ZA KUWEKEZA KUPITIA UTT AMIS.JOSEPHINA LIMBILA
57:36
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 10 М.
Episode 4 | Mfuko wa Ukwasi | Mfuko wa Hatifungani | Ijue UTT Amis
20:36
Mindsetting Initiative
Рет қаралды 1 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН