Part5_Ni sisi tulileta kikombe cha babu,Kanumba hajafa anaishi|ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 57,515

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 128
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka Jacktan naweza sema huyu Mtumishi,Mungu alimtoa kwa kazi za shetani hili ushuhuda wake utuinue kwa maombi
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 2 жыл бұрын
Tumwombee sana huyu Mtumishi kuzimu Ina hasira kwa siri zao kutolewa... Tumsuppot pia asife moyo kwenye huduma
@judithminja770
@judithminja770 2 жыл бұрын
Kutumia jina la Yesu pasipo Imani Ni bure...Ushuhuda mkubwa sana huu.YESU TUSAIDIE
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Asante kwa kuahuru kujieleza ili tujifunze kwako, nasubiri muendelezo nakufatilizia toka kenya 🇰🇪 glory to God 🙏.
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 2 жыл бұрын
Efrahim Mwansasu Mungu ambariki
@ntulikasunga3548
@ntulikasunga3548 Жыл бұрын
Efrahim Righton Mwansasu.....umwema sana Mwokozi wetu Bwana Yesu 💯❣️❣️❣️
@LENAHKAVUTHAOFFICIAL
@LENAHKAVUTHAOFFICIAL 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu.
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 жыл бұрын
yesu alisema naenda tamitumiya roho mutakatifu imikinge mungu eko karibu na sisi usifazaike mungu eko na sisi kila saha 🙏🙏
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Now I understand why the church is like that today following from Kenya🇰🇪🇰🇪
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 2 жыл бұрын
True
@tracyirene8917
@tracyirene8917 2 жыл бұрын
True Majority are into Devilish stuff 💯 percent ..
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Yaani kumbe ndio maana makanisa hayana uwezo LAKINI sasa Yesu amekuja mwenyewe kututetea watumishi wake
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
BWANA tulinde na nguvu za shetani, barikiweni sana watumishi wa BWANA
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
..😍YESU ni BWANA...REPENT CHURCH...Dear Christians we must stop play church...We are in Warfare...WAKE UP CHURCH...Un témoignage très édifiant ..nul ne pourra dire qu'il ne savait pas !...Tu kimbiliye kwa YESU CHRISTU...On reconnaît la voix du SAINT-ESPRIT dans son serviteur... Bwana Jacktan , Mungu akuongezeye , aksanti Sana❤️...
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
merci beacoup
@zenataashura792
@zenataashura792 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Jactan na mtumishi wa Mungu yani uyu ushuhuda kuna sehemu ya maisha yangu kabisa niliwahi kuishi na mengine nayashuhudiya kwa sasa Mungu wetu asifiwe kwasababu ameniokowa Jactan sina chakukupa ila Mungu baba wa walio wake akuhudumiye kiroho na kimwili 🥺🥺
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@peninahmwendwa2519
@peninahmwendwa2519 2 жыл бұрын
Loliodo ndio nini aki sielewi apo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
@@peninahmwendwa2519 kule kwa babu walikunywa kikombe cha jero
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
This is too, much revelation, Jesus Christ,help us.
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen mtumishi JACKTAN shuhuda hizi zina tuelimisha na kutuimarisha kiroho barikiwa sana na huduma yako izidi kuinuka kwa viwango vya juu mno
@japhetthabit9428
@japhetthabit9428 2 жыл бұрын
Tufanye kitu tumrudishe kanumba duniani na mdogo wake Mathayo 7:7-8 Marko 11:24 Luka 10:19 Isaya 58:6 Luka 1:37 Kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana Kwa Mungu
@eunicemsigo9677
@eunicemsigo9677 2 жыл бұрын
Kweli hakuna kisichomshinda yesu Anaeza yoote mwana WA mungu
@janenjeri8442
@janenjeri8442 Жыл бұрын
Kwani pia mdogo wake alichukuliwa
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
​@@janenjeri8442 ndiyo mpka baba yake yaan nyiee huruma daah
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Yesu nakupenda naomba ulinzi wako
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 8 ай бұрын
Eeeee Mungu wa Ibrahim asante kwa kumuepusha kikombe kichafu Ephraem Mwansasu lala kwa Aman mchungaj Mwansasu
@ezekieljob8679
@ezekieljob8679 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu jactan Mungu akuinue sana kweli najifunza mambo mengi sana kwa ushuhuda wa huyu pastor Bwana akutunze sana mtumishi wa Mungu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@violethadeus5376
@violethadeus5376 Жыл бұрын
Asante.sana.mutumishi.kwa.ushuhuda.wako.mimibinafisi.nakubari.hayomafundisho.mungu.azidi.kukurinda
@lisaozokalonji7655
@lisaozokalonji7655 2 жыл бұрын
Part 6 please 🙏 I am watching from🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
@macamezungu7031
@macamezungu7031 2 жыл бұрын
Mungu akubariki saana Jack Kwa shuhuda,🙏
@obadiajonas9889
@obadiajonas9889 2 жыл бұрын
Kweri vita ni kali sana mungu atusaisie
@simonnsengiyumva1000
@simonnsengiyumva1000 2 жыл бұрын
Pia hata nami kabisa zina nielimisha , Mungu akubariki sana Mtumishi . nikiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@florencendatila9183
@florencendatila9183 2 жыл бұрын
Jamani jamani nimeitafuta toka asubui yani uwiii Yesu tuokoe
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Asante sana kutufunza Barikiwa mpakwa mafuta wa MUNGU ALIYEHAI Mbarikiwe sana PTOMOVERTV 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Huu ushuhuda nimeona upendo wa Yesu kwa jinsi shetani anavyo tuwinda mchana na usiku 😭 eeeh Yesu tuhurumie watoto wako
@eldkibeh
@eldkibeh Жыл бұрын
Ama kweli mtu akiamuwa kuokoka aokoke sawasawa la si hivyo atatumika na shetani kama wakala au agenti wake bila kujua(blind witch)
@queenmwaweya9691
@queenmwaweya9691 2 жыл бұрын
Ubalikiwe mutumishi kwashuhuda nzito kaka jakitan mungu akubarki kwa kaz nzuri kwakwel mungu atusaidie na atutie nguvu
@shamim6606
@shamim6606 2 жыл бұрын
Tunajengwa kiimani sana
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
Mbinu 30 za kusamabaratisha kanisa. Promover tv twaomba mpe muda mwengine azielezee kwa undani.
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 2 жыл бұрын
Na huyo babu na hicho kikombe anamaanisha nini sijaelewa. Lakini hata hivyo huu ushuda nimkubwa sana ubarikiwe sana Jacktan
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
babu hakutoka mbinguni,walimleta toka kuzimu bila yeye kujitambua
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
WANAWAKE TUNAWEZA NDANI YA YESU
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 2 жыл бұрын
Kaka mwambie asi vae iyo shanga
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 2 жыл бұрын
Mngu akubariki Sana mtumishi
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
Following...
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Utasikia yesu wa kuhan musa Mungu wa suguye duh nimeelwa baba
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
yeah
@nakiwalahjulliet9208
@nakiwalahjulliet9208 2 жыл бұрын
Very shocking...
@jescambogoma8394
@jescambogoma8394 2 жыл бұрын
Amina
@aminaally4163
@aminaally4163 2 жыл бұрын
AMEN
@peninahmwendwa2519
@peninahmwendwa2519 2 жыл бұрын
Waah!!! Saitani ashidwe milele
@nduwamungujerry7447
@nduwamungujerry7447 2 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
hahahahahaa kikombe cha babu hata m nilijua huu ni mapngo wa shetan, yan kupona kwa shetan tutumie sn akili
@evelyneedward373
@evelyneedward373 2 жыл бұрын
:-)be bleesd
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Oh Mwansasu aiseh
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 2 жыл бұрын
Ushuhuda mkubwa sana
@alfrednyamnini7352
@alfrednyamnini7352 2 жыл бұрын
Muulize Mutu kama KANUMBAwatu wakiomba Kanumba anaweza akarudi
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Htr sana
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Kwa Kanumba ni SAwa Mdogo wake pia alikufa. Aliyoyasema hata wasimuliaji wengine washayasema hata mfalme zumarid amewahi tamka na anayajua
@aprilking8250
@aprilking8250 2 жыл бұрын
Mfalme zumaridi ashindwe kwa jina la Yesu
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
kaka jack barikiwa sana na BABA
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 2 жыл бұрын
Hivi makanisa yanaelewa hayo wachungaji mko wapiiiiii watu wanyoa viduku. Wanavaa vitu vya ajabu .kutaka madaraka.kupenda fedha nk acheni
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Mma yangu alikunywa hicho Kiko maskini wa Mungu Toka Kipindi hicho alipona kabisa kabis, tulipoona watu wanafariki sana mama alisema sitokufa maana mimi Sikujua kuwa Ni mpango wa shetani
@joycyfuraha4394
@joycyfuraha4394 2 жыл бұрын
Asante Sana kwaushuhunda mim nilitaka kujuwa kuusu izo vaccine za corona
@naomimunanga6363
@naomimunanga6363 2 жыл бұрын
Thanks God bls you all.
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Part six tafadhali nimesikia kenya
@juliekhaeli8560
@juliekhaeli8560 2 жыл бұрын
Mungu saidia watu wako.
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Namaanisha Kanumba,kwanini msingemchukua TU Kwa njia nyingine labda akiwa kalala kwake peke yake mkaona mumbambikize binti wa watu ( lulu)kesi isiyomhusu maana bado Kuna baadhi wanaamini Lulu alimuua Kanumba Kwa bahati mbaya😭😭😭
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Shuhuda zako na mafundisho yako yamekuwa baraka Sana kwangu kwakweli.Nimejifunza vingi Sana hasa kwenye kitengo nilichopo Cha deliverance and healing.Swali langu ni hili mtumishi! Kwanini mliamua kumbambikizia binti wa watu kesi( lulu) na huku nyie ndio mlimchukua kifreemason?! Kwani mngemchukua TU hata akiwa amelala kwake peke yake ingeshindikana mpaka mkamuweka na binti wa watu aonekane yeye ndio kamuua?!
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Walokole wenzangu tukazane na maombi na tumshikilie yesu kwabidii
@glorympuwa9599
@glorympuwa9599 2 жыл бұрын
Tumuombee sana Hutu mtumishi kwani vita ni Kali kwake kwani ametoa sili za kuzimu tunaomba mbunu 30 za kusambalatisha kanisa
@eunicemsigo9677
@eunicemsigo9677 2 жыл бұрын
Ukweli tumshikilie huyu yesu ndie tumaini tu
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Ipo siku KANUMBA atarudi dunini na atamtumikia MUNGU wa kweli
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 2 жыл бұрын
Hivyo ndivyo unavyotamani,ungekuwa Mungu ingewezekana
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 жыл бұрын
I believe so let the holy spirit of Jesus Christ activate iwe ushuhuda kwa dunia mzima
@gloryr9497
@gloryr9497 2 жыл бұрын
Mungu tusitiri na huyu mwovu ibilisi
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Mbona kavaa bangili ya shanga mkononi si husemwa shanga ni sign ya kuzimu?tupe jibu
@graceshayo1347
@graceshayo1347 2 жыл бұрын
Wakin buludoza wakin chifu jmn MUNGU atusaidie kwa kweli na wamejaza watu mpk huruma kwa kweli
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Mi nadhani hata mzee magu wamemchota hawa jamaa tusubiri tu time will tell
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Kabisa kabisa
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
Duh!
@alfrednyamnini7352
@alfrednyamnini7352 2 жыл бұрын
Hao watumishi Wanaenda kwa hiari yao au wanaingizwa kwa lazima.?
@evaodero2138
@evaodero2138 2 жыл бұрын
So which means my dad ako mahali anatumika na kuzimu, before his death akiwa mgonjwa alikua ana behave exactly venye umesema tu pdt Amieli, he was just saying funny funny things akiziona na watu hawakua wanaziona, wakati alikufa damu ilikua yatoka kwa mdomo na pua, so....can we pray n bring him back or its too late, he died 2010
@ConsolatherGeorge-hl1oc
@ConsolatherGeorge-hl1oc 9 ай бұрын
Naomba namba ya huyu pastor
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Mitume wapo 12 tuuu na wale wanaitwa Tenashara na wote walifundishwa na Yesu mwenyewe!! hao manabii ni waongo tuu....
@wiz-nelonawela9194
@wiz-nelonawela9194 Жыл бұрын
Unasemaje kuhusu waisilamo
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
Niliona Nabii mmoja ametoka Nigeria hivi karibuni ana kacha mkononi
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 2 жыл бұрын
Huyo ni mganga wa kienyeji
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 2 жыл бұрын
Nahiyo kacha aliyo ivaa sini shanga hizo natunasikia kuwa shanga ni za kuzimu
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Si kazi yetu kujua jamen mhimu ni ujumbe anao tupea
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 жыл бұрын
Simtutajie hao manabii wa uongo?
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
Wanaokimbilia maji na vitambaa mombasa wajifunze na ufunuo huu.
@safindume5051
@safindume5051 2 жыл бұрын
Mungu atulinde
@alafflo5998
@alafflo5998 Жыл бұрын
Please I've looked for other videos of this guy part 1,2,3,4 can't see. Please send me the links
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI: kzfaq.info/sun/PLXTmPgeqbJ0lc4qnBrRK4eWo9MSriG5pd
@fridberthahaule9489
@fridberthahaule9489 2 жыл бұрын
Hizo saa, simu kubwa na bangili za maajent wa makanisani huwa zinaonekana kwa macho ya nyama?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
ndiyo
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 2 жыл бұрын
naomba namba za mtumishi jmn
@IANA2030
@IANA2030 2 жыл бұрын
😭😭😭
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Icho amevaa mukono wa kulia kina faida gani kwake ?
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 2 жыл бұрын
Wewe imekutatiza nini kusikia ushuhuda. Shetani ameshakuteka unaacha kusikiliza maneno muhimu unaangalia bangili.
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Embu acha utani upako tenaaaa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
hata unice nina wasiwasi kama si nguvu ya MUNGU
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Navile Lulu alifugwa jamani kumbe mlimuchukua
@edithajohn4563
@edithajohn4563 Жыл бұрын
Mbona umevaa kacha?
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 2 жыл бұрын
Kwa kuwa huyu mwokovu sasa anajua na kwamba kwa vile Kanumba walikuwa naye, je ana uwezo wa kumrudisha kwa maombi?
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Mimi sijasikia uyu kaka ameokoka aje part ya ngapi njo ameshuudia aliokokaje ?
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 жыл бұрын
Aliumbuka Kanisanii ndipoo Akaokoka Hapo hapo wezie Alio tumwanao walikufa Mwingine Alilud kuzimm
@isaacochieng6354
@isaacochieng6354 2 жыл бұрын
Kaka jactan YESU akutunze na kukubariki ulisema huyu ni mch naomba nisaidi namba yake ninashida kuu mno ninahali mbaya muno
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Fatilia mpaka tamati sehemu ya mwisho atatoa namba yake
@eldkibeh
@eldkibeh Жыл бұрын
Nahitaji nambari yako ya simu tafadhali
@macklinakabyazi3036
@macklinakabyazi3036 2 жыл бұрын
Ahsante mtumishi Jacktani, nikitaka kumuuliza swali huyo mtumishi namba zake ni ngapi? Maana kuna maswali yananitatanisha jamani
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Fatilia mpaka sehemu ya mwisho atatoa namba yake
@marchymaziku6234
@marchymaziku6234 2 жыл бұрын
Kwa nn hawataji majina ili tuokoke?
@harunigaitani338
@harunigaitani338 2 жыл бұрын
Itaendele lini pt6
@captainlufumbe6227
@captainlufumbe6227 2 жыл бұрын
Kesho
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Kabisa.Kesho
@georgiaapson7425
@georgiaapson7425 2 жыл бұрын
0
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa. Kanisa la baba godi mwanza yapo hayo Kalebi kawajaza Sana mimba waumini wa kanisa la baba godi
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
SwALI LANGU MISIKITINI MLI SHINDWA KUWA POTOSHA WAISLAM AU MLIKUWA MNA WAOGOPA?
@jessicanchimbi9419
@jessicanchimbi9419 Жыл бұрын
Mti wenye matunda ndiyo unapigwa mawe, Sasa jiulize kwann hawakuwa wanajihusisha kuvunja kanisa akil kumkichwa mpokee YESU
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 2 жыл бұрын
Muongo sanaa.kk umekpka
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 134 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 116 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
VUNJA NGUVU YA UISLAMU NA MAJINI | Sikiliza Ushuhuda wa Shekhe Aliyeokoka.
1:38:46
Neno la Ufunuo Ministry
Рет қаралды 9 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 364 М.
ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..
1:07:10
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 134 МЛН