LEMA ATOA MANENO MAZITO KWA RAIS SAMIA KISA MILION 35 KWA SATIVA, ADAI HAUNA FAIDA, ATAKA WAKAMATWE

  Рет қаралды 6,639

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

8 күн бұрын

#TANZANIA: Godbless Lema, Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini atoa maneno mazito kwa Rais Samia juu ya mchango alioutoa wa milioni 35 kwaajili ya matibabu ya kijana Sativa aliyetekwa na kuumizwa vibaya, adai mchange wake sio muhimu badala yake atoe kauli kwa IGP ili walio husika wakamatwe na kushughulikiwas haraka.
Zaidi: • LEMA ATOA MANENO MAZI...
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZfaq Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 10
@Emmanuelsulle-hq4hx
@Emmanuelsulle-hq4hx 6 күн бұрын
Kamanda uwachane ukweli wao
@user-kt8jf8uy8r
@user-kt8jf8uy8r 6 күн бұрын
Safi sana kamanda wangu
@msabahaali758
@msabahaali758 6 күн бұрын
mh Lema akili kubwa sana nakukubali kiongozi unapont kiukweli
@Flaviosafari
@Flaviosafari 2 күн бұрын
Daaah ni kweli... Tushtue! Tumelala sana.
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 6 күн бұрын
Kweli mchangokwa SATIVA ni sehemu ndogo mno katika ulimwengu wa haki na amani. Agizo la Rais kwa IGP kuhusu utekaji lingekuwa suluhisho kwa hayo yanayoendelea. Kama tulivyosema kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kwamba kauli tu bila kubadirisha sheria ni bure, kubadirisha jina la Tume ya uchaguzi bila kubadirisha sheria yenyewe ni bure na ndivyo tunaunga mkono wazo la Mhe Lema kwamba kauli ya Rais kwa IGP itakuwa na faida zaidi kuliko mchango.
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 6 күн бұрын
Mhe Lema Huu Mkoa ulikuwa unamilikiwa na CUF lakini baada ya kusambalatika wengi hawakuwa na mahali pa kwenda , hivyo CCM wakajipatia kiota sasa tunaamini kwamba baada ya CDM kukumbuka Mkoa huu mambo yatabadirika
@frankcharles3980
@frankcharles3980 5 күн бұрын
CHAMA IMARA KABISA SINA SHAKA NA CHADEMA
@sautiyanoti5242
@sautiyanoti5242 6 күн бұрын
Nchiii yanguuuuuu Tanzanian
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 6 күн бұрын
Lema tusaidie kuwakamata baba
@Ushauri235
@Ushauri235 6 күн бұрын
Lema ni kichwa kikubwa Sana chenye akili
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 27 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
🔴#LIVE: FREEMAN MBOWE, LEMA AFUNGUKA MAZITO MUDA HUU
53:30
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 10 М.
#LIVE CHADEMA WANAUNGULUMA KUHUSU MUUNGANO NA MPINA KUFUKUZWA BUNGENI
1:46:32
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН