"Wee Ni MCHUNGAJI FEKI" MWAMBIGIJA AMWAGA MAOVU YA MCHUNGAJI MSIGWA CHADEMA // CCM WAMEKUPA HELA

  Рет қаралды 8,222

Baharia TV

Baharia TV

6 күн бұрын

Пікірлер: 24
@rucaserasto8154
@rucaserasto8154 3 күн бұрын
we ni mtu wa mana sana hongela baba
@davidchiduo219
@davidchiduo219 4 күн бұрын
Safi Mungu Ni Mwema Wakati Wote
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 күн бұрын
Fisiyemu mnanunua watu wa chadema hamtaweza chadema ni baba lao
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 3 күн бұрын
Asante mzee wa Upako Mwambigija kwa maelezo yako mazuri kuhusu huyo mchungaji Feki aliyeolewa huko ccm! Kwa vile mnajua mbinu kubwa ya ccm kwa sasa kuharibu na kuungua nguvu ya upinzani ni kuwanunua viongozi wa chadema! Msikubali kununuliwa na ccm! Hata wewe mzee wetu tunaekuamini sana usije kukengeuka kufanya usaliti kama hao wengine wnao olewa kwenda ccm! Asante tuendelee kusonga mbele na harakati za kuikomboa Nchi yetu Tanganyika kutoka mikono ya hawa manyang'au mafisadi ya ccm! Uchaguzi huu2024/2025 tuikatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague hao mafisadi.
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 2 күн бұрын
😂😂😂😂 bigger up CHADEMA big brain
@EmmanuelKuzenza
@EmmanuelKuzenza 3 күн бұрын
Tundulissu aliona atoboe siri kabla maasi hayajatokea.
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 күн бұрын
😂😂😂😂 kweli mchungaji mpigadili
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 күн бұрын
Atazunguka nchi nzima ipi?aje mbeya aone
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 3 күн бұрын
Huyo afike salama huko alikokwenda . Msaliti mkubwa. Azunguke dunia nzima.
@YassinAbdiMassawe
@YassinAbdiMassawe 3 күн бұрын
Tafuta kauli Ile yamsukuma. Mwaka mmoja uliopita. Anajuwa kilichokuwa kinaendelea
@GeraldNyasembe-q2d
@GeraldNyasembe-q2d 2 күн бұрын
Kwa maelezo ya mpuuuumbavuuuu msgwa hana hoja hata maneno yake ni yakuunga unga2 Yani AYANA njia makamanda tukaze safari bado ni ndefu siyo kwamba mafara kama msigwa wameisha wapo Cha maana nikuamini misingi na farisafa ya chama makamanda piiiiiiiiiii pooooooooosssss
@AmosChoroga
@AmosChoroga 4 күн бұрын
Yes
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 4 күн бұрын
Mwambigija umenifurahisha sana
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 4 күн бұрын
Mbona wana CCM wakihamia kwenu hakuna anayelalamika? Ktk siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu
@user-gx9jr5le2f
@user-gx9jr5le2f 4 күн бұрын
Mnaumia sana
@hamissnjumba302
@hamissnjumba302 4 күн бұрын
HAYO MAOVU NI BAADA YA KUONDOKA TU, ETI KUWENI FREE
@knight6757
@knight6757 4 күн бұрын
Na huyo alieondoka je....si pia atoa maovu baada ya kitumikia chama miaka 20...au? 🐍
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 4 күн бұрын
Acha uboya wewe.
@barakakevela245
@barakakevela245 4 күн бұрын
MBONA UNAMSEMA SANA ROHO INAKUUMA HATA WEWE TOKA HUKO HIYO NI SACCOS YA MBOWE CHAMA GANI MIAKA 20 MWENYEKITI MMOJA CHAMA CHA FAMILIA
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 4 күн бұрын
Hata miaka 30 haikuhusu. Uchawa wako peleka huko.
@melinamkenge8790
@melinamkenge8790 4 күн бұрын
Kinakuuma ninikuwa miaka 20 uchaguzi unafanyika wanamchagua tena shida yako nini
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 3 күн бұрын
Mbowe Hata akikaa miaka 50 kwenye uenyekiti wa chama ni sawa kwa sababu uchaguzi ukifika wanachama wanamchagua wenyewe, wewe unawashwawashwa nini! Hovyoooo kabisa huna hoja ya maana kwa hilo! Ulitaka wamchague nani sasa wewe au mmko!
@willsonFarasa
@willsonFarasa 3 күн бұрын
Wembona huion ccm miaka sitin mbona hujawashauli waachie wengine mkundu wewe
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 57 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
LIVE: Power Breakfast Na Dr. Slaa
2:26:44
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 4,3 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 43 М.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН