#UKIJUA

  Рет қаралды 37,909

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

2 ай бұрын

Пікірлер: 110
@TherezaMajumbi-eu1st
@TherezaMajumbi-eu1st 2 ай бұрын
Ee Mungu mwingi wa neema na rehema endelea kumlinda mtumishi wako na kila baya lililokusudiwa kwake Ili aendelee kulihubiri neno lako
@ruthezra2327
@ruthezra2327 2 ай бұрын
Mungu anatupenda sana ingawa tulipotezewa hili pendo kupitia vitisho ...ila Mungu amekutumia mchungaji kutuleta Tena karibu naye..
@neemasamwel8968
@neemasamwel8968 Ай бұрын
Mungu Mtakatifu wa Bwana Yesu Kristo nakushukuru sana sana kwa neno lako
@samuelLoyanai
@samuelLoyanai 2 ай бұрын
napenda mafundisho yako Sana Niko turkana kenya mahali mafuta imegunduliwa.naitwa Samuel estoo
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 2 ай бұрын
Man of God, tukuomba Killa neno lako unalo litamka, ututamkie na kitabu chenyewe, tujisomee pia sisi, tufundisha na wengine hawako Kwa mtandao, tunakupenda sana frm taveta border kenya.tuonekanie Kwa hilo
@rechaelnjeri3299
@rechaelnjeri3299 2 ай бұрын
Nabarikiwa nikiwa saudi Arabia ❤❤❤
@TabizaAa
@TabizaAa 2 ай бұрын
mbona nabarikiwa jamani 🙏🙏🙏 Mungu akuzidishie mhubiri aki❤❤❤❤❤
@SixGenge
@SixGenge 2 ай бұрын
Amina pastor Bwana amesema nami leo!!! Ubarikiwe Sana na Bwana ww na familia yako
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 7 күн бұрын
Amen nabarikiwa na mafundisho haya na kila ninaposikiliza mahubiri yako mtumshi na zidii kuongezeka kiroho na pia kiimani hakika Mungu wa mbinguni akubariki na pia akulinde siku zote
@PaulMakona
@PaulMakona 25 күн бұрын
Amina mungu akuongezee neema mtumishii❤❤❤❤
@faustermtavangu8212
@faustermtavangu8212 2 ай бұрын
Asante Yesu kwa mafundisho yako kupitia mchungaji nimepona mambo mengi sana sana .kwa sasa naomba wanangu wapate uzazi salama Mungu awaondolee vifungo vya kila aina.
@GrinaSanga
@GrinaSanga 3 күн бұрын
Mungu akubariki utokapo na uingiapo Mchungaji
@RachelJosiah-x1u
@RachelJosiah-x1u 22 күн бұрын
Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi katika utumishi aliokuitia
@Mathias-yi5bo
@Mathias-yi5bo 2 ай бұрын
Mungu akubariki pastor ❤ hakika nimebarikiwa sana na kupitia mahubir na maombi haya Mungu naomba amponge rafiki yang anasumbuliwa na ampe afya njema kupitia mfungo huu nlofunga cku ya leo AMEN 🙏🙏🙏🙏
@benaharuna-bo1sf
@benaharuna-bo1sf 2 ай бұрын
Asante mung mkuu kw kinitendea mamb makuu na ya ajabu ushukiriwe mile na milele amen
@josephngigi4211
@josephngigi4211 2 ай бұрын
Amen blessed prince, brother in one palace kingdom of the holy almighty living God hareluyah I'm following you in Qatar.
@OdiliaJumbe
@OdiliaJumbe Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu mahubiri yako yamenisaidia sana mungu azidi kukutumia kwa ufalme wake
@user-ps7fy2oj7i
@user-ps7fy2oj7i 2 ай бұрын
Amina tena Amina mimi ni mtoto Wa Mungu nimebalikiwaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@MarimaAlez-kc5rj
@MarimaAlez-kc5rj 2 ай бұрын
nashukuru kwamugiza wababa yangu baba nakushukuru kwajina ra yesu Kirito nahamini tena nà hamini
@lucianyerembe5691
@lucianyerembe5691 3 күн бұрын
Itoshe kusema ubarikiwe Pr.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 ай бұрын
Nimebarikiwa na nimejifunza kitu kinaenda kubadirisha maisha yangu umekuwa mbaraka mkubwa kwangu Mungu akuzidishie palipopungua ubarikiwe tena na tena nakufuatilia nikiwa Ufaransa
@mlishohadija6923
@mlishohadija6923 2 ай бұрын
Amen and Amen Mungu akubariki PR nabarikiwa na mafundisho mazuri Mungu azidi kukufunulia zaidi 🙏🙏
@aliaaliamint8545
@aliaaliamint8545 Ай бұрын
Bwanangu yuko na hio Roho yakutozaa sijui tumsaidieje ,,Ubarikiwe sana mtumishi kwa mafundisho mazuri
@user-um1wq3df7t
@user-um1wq3df7t 2 ай бұрын
❤pastor mmbaga unanibariki sana ... Mungu azidi kukuinua ili uinue wengine ...
@MarimaAlez-kc5rj
@MarimaAlez-kc5rj 2 ай бұрын
mungu nakushukuru kwabaraka urizo nibariki kwanzia leo Hadi mirere baba asnte kwajina ra yesu kristo Amen
@rebaccaewoi8882
@rebaccaewoi8882 2 ай бұрын
Napendwa na babangu jila lake ni MUNGU🙏🙏
@LucyJack-ks4xp
@LucyJack-ks4xp Ай бұрын
May God please you pastor, you have been a blessing to me and my family.
@MELIANAMAIRARYA-fr4xc
@MELIANAMAIRARYA-fr4xc Ай бұрын
Pastor ubarikiwee sana kwa mafundisho yako mazuri, mm naomba uniombee niweze kuhudumu, maana nimepangiwa kuhudumu ila siwezi
@justinenangabo4843
@justinenangabo4843 2 ай бұрын
Good preachings, mm ni Nangabo Justine nafuatilia ibaada yako ni nzuri inagusa mioyo ya watu namm pia, very good,
@MerCi-yl5tq
@MerCi-yl5tq 2 ай бұрын
Napenda mafundisho yko sana nko Saudia , Ubarikiwe sana nautukumbke kwa maombi Amen Amen and amen 🙏
@SarahNamwila-ec7el
@SarahNamwila-ec7el 2 күн бұрын
Amen amen amen
@luciasteven3314
@luciasteven3314 2 ай бұрын
AMEN ❤ NAOMBA MSAADA JAMAN KITABU SIRI Y MAOMBI YALIOJIBIWA NAKIPATA WAP PLZ. NAOMBA MSAADA NIELEKEZENI NIPO DAR TEGETA
@deborahtengan207
@deborahtengan207 2 ай бұрын
AMEN IM BLESSED,MIMI NI MTOTO WA MUNGU NA KILA JEMA NI LANGU🙏🙏
@user-ys3oy1li2d
@user-ys3oy1li2d 24 күн бұрын
Ameen mungu akubariki
@maureenkahito6227
@maureenkahito6227 2 ай бұрын
i have a testimony i listened to this nd i listened and followed nd i prayed and i was answered my prayer that i was praying for years and praise to GOD FOR EVERYTHING PASTOR BE BLESSED FOR THE WORD OF GOD I BELIEVE ND TRUST IN GOD IN ALL MY LIFE
@NailejilejIressa
@NailejilejIressa 2 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili ya mafundisho yako, naona Mungu anaongea na mimi kupitia mafundisho.
@user-dk3xi4pz7o
@user-dk3xi4pz7o Ай бұрын
Amina nabarikiwa sana pasig Mingu na Akullide sana
@MtejaWangu
@MtejaWangu Ай бұрын
Mungu akulinde na kukuhekimisha zaidi pastor
@janethgreysonmakengomakeng4145
@janethgreysonmakengomakeng4145 2 ай бұрын
Nabarikiwa Sana na Mafundisho yako Mchungaji Mmbaga Ubarikiwe Sana
@gideonlazaro3290
@gideonlazaro3290 26 күн бұрын
Kuna muda nasikia kutokwa na mazoezi yananitoka,ahsante Mungu kunishndia dhambi iliyokuwa inanisumbua muda mrefu
@LightnessMsollah
@LightnessMsollah 2 ай бұрын
ubarikiwe saana mtumishi kwa kaz ya bwana🙏🙏
@RuthNabwire-zw8op
@RuthNabwire-zw8op 2 ай бұрын
Mungu akulinde Kwa kazi nzuri pastor
@nadinekatungu6987
@nadinekatungu6987 2 ай бұрын
Asante kwa mahubiri mtumishi wa mungu abarikiwe ,mungu atuwezeshe kujua kitambulisho chetu
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 2 ай бұрын
Amen!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@eunicenyandiko1389
@eunicenyandiko1389 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu,kwa fundisho nzuri Amina ❤❤🎉🎉
@elizabethmwambai480
@elizabethmwambai480 2 ай бұрын
Ni mimi hapa pastor niombee ubarikiwe Qatar from Kenya
@melodiusmwango8362
@melodiusmwango8362 2 ай бұрын
Pastor ubarikiwe atassi tuko Pali tuko na jangamoto ya mandeni tuombe pastor ubarikiwe
@waltergekone3879
@waltergekone3879 2 ай бұрын
Me 2
@user-bh4xt2up7j
@user-bh4xt2up7j 2 ай бұрын
Amen pastor nimepokea.Mungu akubariki🙏🙏🙏💎💎
@esterngalilwamartine6877
@esterngalilwamartine6877 2 ай бұрын
Mungu akutumie zaidi na zaidi ❤❤nabarikiwa sana
@EverlyneAjayo
@EverlyneAjayo 2 ай бұрын
Am blessed so much from Kenya kisumu
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 2 ай бұрын
Amen Amen Amen
@emanueleugen921
@emanueleugen921 2 ай бұрын
Pastor unaoeleweka sana mungu akubriki sana
@everinemasoka6923
@everinemasoka6923 2 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@hbdina
@hbdina 2 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asante sana Baba yangu Mungu Jehovah Muhumbaji wangu kwa mamlaka ya kiuchumi,afya ya Roho na mwili na upendeleo wako kwa family yetu na kunipa mke na familia yangu.Nakushukuru kwa jina la Yesu Kristu Amina
@user-lr7jy7pj3s
@user-lr7jy7pj3s 2 ай бұрын
Baba mungu nitamshukuru daima Asante mchungaji kwa hili somo ubarikiwe nimejifunza kitu kwenye hili somo maana maombi yangu mara nyingi huwa narudia naomba kiunyonge saingine huwa ata nimelala naomba kisahau sahau Asante mungu kwa kuniskilizisha hili somo
@lifeofvicky91
@lifeofvicky91 2 ай бұрын
Andika Mungu kwa herufi kubwa huyo mwengine ni shetani
@linethowire7031
@linethowire7031 Ай бұрын
Nabarikiwa nikiwa Mwanza Kirumba,asante Pastor kwa neno..Mungu azidi kukutumian kama chombo...
@dagradaonlinetv
@dagradaonlinetv Ай бұрын
I am so blessed directly from d Dodoma Almighty God protect you, pastor
@JaneMakokha-bm1xd
@JaneMakokha-bm1xd 2 ай бұрын
Amen... Barikiwa mchungaji
@EphrahimMnyiwa
@EphrahimMnyiwa 2 ай бұрын
Mungu akubariki m2mishi wangu
@omankadara6418
@omankadara6418 2 ай бұрын
Amina pasita ubarikiwe sana Mungu akubariki mno
@LawrenceWanjala-to9hi
@LawrenceWanjala-to9hi 2 ай бұрын
Pasta ,,napenda mahubiri yako,,,mungu akusaidie
@user-cr1nk1zc5s
@user-cr1nk1zc5s 2 ай бұрын
Mungu Ahsante Kwa kila jambo 🙏🏽
@user-sd6bo1xs2z
@user-sd6bo1xs2z 2 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe mchungaji
@waltergekone3879
@waltergekone3879 2 ай бұрын
AMEN
@phylismutinda4530
@phylismutinda4530 2 ай бұрын
Mchungaji mungu na akubariki sana
@rachelraphael1355
@rachelraphael1355 2 ай бұрын
Ameeeeeeeen
@user-pq9be8re6i
@user-pq9be8re6i 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌
@priscaminayo2724
@priscaminayo2724 2 ай бұрын
Mimi Ni mtoto Wa Mungu, kila mema Na kila jema Ni langu 🙏.
@selanyangweso103
@selanyangweso103 2 ай бұрын
Thank you
@SarahMasika-vc2hp
@SarahMasika-vc2hp 2 ай бұрын
Mungu akubariki
@blandinanoah461
@blandinanoah461 2 ай бұрын
AMINA 🙏🙏🙏🙏
@donaldsalim5488
@donaldsalim5488 2 ай бұрын
Following from voi.
@maureenmgeni
@maureenmgeni 2 ай бұрын
Amina na Amina.
@fgdt6453
@fgdt6453 2 ай бұрын
Mimi ni mtoto wa Mungu,Amina
@user-nv2ii9eu4j
@user-nv2ii9eu4j 2 ай бұрын
Amen
@theresearcheronlinetv3649
@theresearcheronlinetv3649 2 ай бұрын
MUNGU abariki kazi hii ya Ufalme wake; Tuzidi kuandaliwa kwa Uzima wa Milele
@user-hk4vl6ic2i
@user-hk4vl6ic2i 2 ай бұрын
nabarikiwa sana
@blandinanoah461
@blandinanoah461 2 ай бұрын
Amina 🙏🙏
@FrancisMaelezokitabwire
@FrancisMaelezokitabwire 2 ай бұрын
Amina🙏
@Ungwamissi
@Ungwamissi 2 ай бұрын
Amennn🙏🏾🖤
@WiliburodJoseph
@WiliburodJoseph Ай бұрын
Naitwa sitaniley pasita MUNGU wambinguni AKUBALIKI nimejua jinsi yakuomba
@user-ou6ls5ws9j
@user-ou6ls5ws9j Ай бұрын
Mahubiri yakonikonayasikiriz niko Burundi naomba mufundishohay yakae moyonikwang Mungu anifumbuwe maconion
@RachelJosiah-x1u
@RachelJosiah-x1u 22 күн бұрын
Habari
@user-ou6ls5ws9j
@user-ou6ls5ws9j 22 күн бұрын
@@RachelJosiah-x1u Safi.naombo nambayako.yawhasatspp
@user-ou6ls5ws9j
@user-ou6ls5ws9j 22 күн бұрын
@@RachelJosiah-x1u kunagitabu natak
@periskemunto4133
@periskemunto4133 2 ай бұрын
Pastor maombi na mahubiri yako yameniinua katika kiwango hiki had kiingine am in Saudi 🇸🇦 huwa naweka earphone kwa masikio naweka kofia ili hawa watu wasione alafu naifungulia mahubiri yako na simu naiweka kwa room bora kuzikiza kuliko kuwatch uchumbe unifikie
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 ай бұрын
Ameee
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 15 күн бұрын
Yohana 15:7
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 15 күн бұрын
Mathayo 7:7
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 15 күн бұрын
Luka 11:1
@justinenangabo4843
@justinenangabo4843 2 ай бұрын
Justine nangabo nikiwa nairobi, kenya
@RahimaShujaa
@RahimaShujaa 2 ай бұрын
Mimi ni mtoto wa Mungu napendwa
@ZawadiItaji
@ZawadiItaji 2 ай бұрын
Pasta nachukuru kwafundisho ila naomba musaada wamaombi kwamajina nizawadi naishi congo
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 Ай бұрын
Kwa nini picture za mwanzo zaonyesha wazungu? Watu wa Biblia ni weusi wa Africa sio wazungu. They lied to us ...brainwashed us.
@user-kz8dd4ek5c
@user-kz8dd4ek5c 2 ай бұрын
0:19 😢😢😢😢❤🙏
@user-kz8dd4ek5c
@user-kz8dd4ek5c 2 ай бұрын
Nabarikiwa sana, napatanguvu kupitia mafundisho yako, Mungu akupe maisha marefu🙏
@joerystiven776
@joerystiven776 2 ай бұрын
Umenifumbua machoyakiroho
@laridistrict4710
@laridistrict4710 2 ай бұрын
nabarikiwa naomba somo liwe downloadable ili nisikilize baadaye vizuri
@ShukuruElodie-mi9gj
@ShukuruElodie-mi9gj 2 ай бұрын
Toka RDC nasi tu na barikiwa sana na ma hubiri yako Mchungaji, Mungu aendeleye kuku tumiya kuokowa kondoo zake
@WiliburodJoseph
@WiliburodJoseph Ай бұрын
Pasita wewe hunapatikanapi pole nakazi yamungu ila hubalikiwe namba yasimu
@josephinesanita4904
@josephinesanita4904 2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mchungaji, nko na swali, je mkristo anaweza toa hongo ili apate kazi??
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 2 ай бұрын
Kinacho anzishwa kwa pesa kinalindwa kwa pesa na kinacho anzishwa kwa maombi kinalindwa kwa maombi chagua mwenyewe
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 2 ай бұрын
Big No oo
@rechaelnjeri3299
@rechaelnjeri3299 2 ай бұрын
Apana
@maryjohn5057
@maryjohn5057 2 ай бұрын
Hapana ni dhambi Ina bidi uombe ili mungu akupe mwenyewe soma Mathayo 7:7
@luciasteven3314
@luciasteven3314 2 ай бұрын
AMEN ❤ NAOMBA MSAADA JAMAN KITABU SIRI Y MAOMBI YALIOJIBIWA NAKIPATA WAP PLZ. NAOMBA MSAADA NIELEKEZENI NIPO DAR TEGETA
@williammussa5621
@williammussa5621 2 ай бұрын
AMEN
@joerystiven776
@joerystiven776 2 ай бұрын
Umenifumbua machiyakiroho
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 52 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
ELEWA VITU VINAVYO ZIPA MADHABAHU NGUVU ZA KUKUTESA
56:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 40 М.
#MAANDALIZI YA AHADI ZA AGANO | PR. DAVID MMBAGA | SIKU YA 3
1:18:45
KUVUNJA LAANA YA UMASKINI - PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
59:14
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 16 М.
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 81 М.
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 17 М.