🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 767 010389) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
Пікірлер: 25
@user-sw7tf1ob1b5 күн бұрын
Mumefanya nini munashelekea nini heli musiwepo maadili hamuna vishoka wengi hamufanyi chochote ni bule mabadiliko ya taletwa na watoka jasho kaliakoo tunateswa hatuwasikii machinga sela mbovu covid19 hamusemi mutasema lini?
@desiderihugo57045 күн бұрын
Nchi hii ukiwa mtetezi wa wanyonge unakuwa mhanga kila mahali .
@user-sw7tf1ob1b5 күн бұрын
Hamuna kitu heli uende uchawa wa ccm kuweni chawa Kwa Tanzania Kuna haki COVID 19 wako bungeni mumefanya nini machinga watafukuza nchi hii wasomi mumeshindwa kutetea nchi
@kashiririrkaasongwisye94875 күн бұрын
Ahahahaaaaa daa jamii ya watu wasiojiamini mbona balaaa hili
@petroalfred51085 күн бұрын
Na ndio maana mmemuengua Mwabukusi kwasababu ya uchawa wenu kwa rais na serikali yake
@denisipaulo77855 күн бұрын
Mnajita wasomi sasa usomi uko wap kama watu makini mnawatoa
@brightontibenda23463 күн бұрын
Watanzania wanabadilika kwa kasi aiseee! Their comments are same logic but do not agree with what is going on tls election.
@salummohamed26894 күн бұрын
Kumbe na nyinyi TLS ni marobot yaliyozalishwa?
@abdalahgunda13195 күн бұрын
Mwabukusi to be rejected from been president of low sosayart dasnt mine has been drop into Tanzania pablic sosayart but mwabukusi safering because voice of tanzanian population this is what cost mwabukusi into ccm leadership why because of we tanzania still cawed feel to fighting for our right but time it will tells as
@margarethsolomon98235 күн бұрын
Hata nyinyi mnashindwa kumtambua mwambukusi kuwa ni mtetezi na ni mtu asiye na uwoga wa kusema KWELI iliyonyooka. Na anauwezo KABISA ktk Mambo ya sheria. Mwambusi Boniface amekosa sifa zipi. Loo, kila mahali shida Shida, hivi tulilogwa na nani?
@PhilipoMwita-wc1ku5 күн бұрын
Nilijua tu
@rutashobyanovath11165 күн бұрын
Hili nalo ni genge la wahuni tu sema wanajificha kwenye sheria rasilimali za nchi zinaondoka na nyie mpe alafu mnajiita cha wanadheria upuuuzi😎
@salama11135 күн бұрын
Wanamuogopa mwabukusi 😂😂😂
@JemeslaizerJemeslaizer3 күн бұрын
Bora msingekuwepo hamna jipya mbona mabukisi mliengua.. Ninyi kazi yenu nini...
@RobertMachenga-tz3re5 күн бұрын
kumbe hata wanasheria na nyinyi munapewa maelekezo? Haiwezekani Mwabukusi aondolewe kwa nguvu hiyo ni kuondolewa kwa nguvu.