Nawaonea huruma hao watoto wao wanaona ndio dini tu kumbe ni upuuzi mtupu
@user-gb3jx4uw9w2 ай бұрын
Kasome kwanza kisha ndio utajua kinacho fanyika apo ni sahihi au si sahihi ila km wataka kujua zaid nitumie no yako nikupe hadith sahihi ya mtume wakicheza km hivo masjid ama hayo ya ngoma ya dufu uwanja wake mpana sina fatua nalo lkn mchezo wa kijesh km hivo wamechez
@leilasaid36232 ай бұрын
Hashimu upuuzi wa nini hapo umeona
@HashimSalim-qj7zn2 ай бұрын
@@user-gb3jx4uw9w Nipe hadithi ya kupiga nai
@zulfajuma83942 ай бұрын
Dini yako ndio upuuzi, kama huipendi dini mwenzio basi usiidharau fanya yanayo kuhusu
@issaomari72442 ай бұрын
Kaa kimya
@FatmaMohammed-tv7st2 ай бұрын
Mashaallah
@ElizabethDavid-dh5xn2 ай бұрын
Nimeon Kaz ya ustadh abubakar
@abdutv46362 ай бұрын
In Shaa Allah
@user-pm3wy2rk1c2 ай бұрын
Mashaallah
@hassansimba71922 ай бұрын
Mashaallah...❤❤❤
@ShamilaAbdallah-md4oq2 ай бұрын
Inahuzunisha sana kwahiyo ndo din yetu ilipofikia daa alla atuongoze
@ShamilaAbdallah-md4oq2 ай бұрын
Ndo hawa badae wanakuwa wanamziki na ssi wazaz tunafurahia haya hembu tuzinduke jaman bado tupo kwaenye usingiz mzito sana etii