Nimefurahi saaana hili somo na ntakuwa naludia Mara nyingi video ili kila ntakachofanya nifanye kwa vitendo elimu tunayopata hata vyuoni haifundishwi na unatufundisha bila malipo mungu amekuleta kwa namna ya tofauti elimu ya kujitambua ni ya msingi saaana kuliko hata elimu ya darasani asante saaana nanauka
@fofomohammed62535 жыл бұрын
That's true
@joelnanauka5 жыл бұрын
lomeo mbata Ahsante kwa kuwa mfuatiliaji mzuri na kufanyia kazi.Nakutakia mafanikio Makubwa zaidi 2019
@lomeombata39855 жыл бұрын
@@joelnanauka amina
@bedaphidelis77695 жыл бұрын
Kutimiza malengo kwa wakati
@stellahsanga82145 жыл бұрын
Mh asante san kaka kwa hili somo jmn yani mimi hapo vitu vyote ulivovitaja vinanihusu kuzingatia 1-6 sana ....you can help me to ascape from those things ..... GOD bless you my Brother . sijui nikuite Doc Joeli maan sio kwa sindano hizi
@successpathnetwork5 жыл бұрын
Mambo ya msingi sana haya kaka. Asante kwa kuitumikia vyema jamii yetu. #Powerful
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ezden Jumanne Ahsante sana Ezden,pamoja sana
@aishaothman44185 жыл бұрын
asante Nataka nianze namuda
@noeljailo76515 жыл бұрын
kaka nakuona tena uku basi WOTE NI FAMILIA MOJA
@shaffihsiraji314127 күн бұрын
Kaka Ezden nyie watu ndo mnatubadilisha sana kutoka Maisha mabaya kwenda mazuri🙏
@edwinzacharia35014 жыл бұрын
MUNGU akubariki saana, umekuwa mwalimu wangu tangu nikujue, na tatizo langu kubwa nidhamu inapungua, unakuta napanga jambo au lengo lkn nidhamu ya kufanya jambo ilo kwa mwendelezo inapungua. Ila leo nimeamua kuanza upya katika mambo ambayo nimekosea kufanikiwa. MUNGU akubariki saana
@evancemosha78625 жыл бұрын
asante sana kwa somo zuri. nidhamu ya mda imenigusa sana inabidi nichukuwe hatua
@joshuadavid33772 жыл бұрын
Ahsante sana Joel wish siku moja tutaonana maisha yangu sasa yanabadilika kila siku, your my mentor.
@paulina.baynit79705 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa mafundisho mazuri sana. Mungu azidi kukubariki na kukuepusha na mabaya yote.
@lilianmongate98275 жыл бұрын
Mr Joel, huwa unanibariki Sana kwa makala zako. Mungu azidi kukuinua na kukupa ufahamu zaidi
@kelvinmamuya9022 жыл бұрын
marafiki ndio watu wameweza kunirudisha nyumaa be blessed bro video is awesome
@alakhy94485 жыл бұрын
Kaka joel mimi baada ya kuskiliza clip zako nimebadilika sana,mwanzo nilikuwa na ndoto za kuwa docta jambo ambalo lilinifanya nipende sana PCB shuleni,lakini kutokana na kuogopeshwa na wenzangu physics miliacha,baada ya kumaliza shule licha ya kuwa nilipata four,Bioligy na chemistry nikafaulu kwa wastani ambao naruhusiwa kwenda nursing ila ajabu na bahati mbaya niliacha physics,basi mission ikafeli,kumbe ningekuwa na uwezo wa kwenda nursing na baadae kujiendeleza zaidi nifikie ndoto zangu ila tatizo ilikuwa physics niliacha. Ni zaidi ya miaka mitano tokea nimemaliza form four na sikujiendeleza Lakini baada ya kumfatilia huyu mtaalamu nanauka nimejikuta narudia ndoto yangu ambayo nilikuwa nayo na nimekuwa mtu tofauti kabisa,na hapa ninapozungumza nimefanya yafuatayo. .wiki ijayo naenda kununua mtihani wa kidato cha nne na kituo cha mtihani,naanza kusoma PHYSICS NA CHEMISTRY ILI NIPATE CREDIT za kwenda advance nikasome PCB na nina hakika NAWEEZA. Nikimaliza advance nina amini 100% ntafaulu vizuriii kwa sababu ntakuwa nasoma kwa uchungu na then nitaenda chuo kusomea doctor . Miaka minne mbeleni kaka joel nitaleta ushuhuda juu ya hiki ninachokisema,namtegemea Mumgu lakini nina juhudi na pia ninapenda na kuwa na molari na ninachokifanya. Kusomea malengo yako ukubwani kuna raha sana kwa sababu unajua unachokitafuta. Nashkuru sana kaka JOEL NANAUKA. UPDATE : ikiwa leo ni tarehe 28 mwezi wa 7 mwaka 2021 miaka miwili baada ya kuweka hiyo comment hapo juu. Sasa hivi ninamaliza mwaka wa kwanza kusoma clinical medicine bado miaka miwili. Nilisharudia mtihani na nikafaulu vizuri na nikaomba chuo diploma nimekubaliwa na sasa nasoma. Nina hakika nitafika malengo yangu ya kuwa daktari aliyespecialize kabisa katika utaalamu fulani.
@mimiwewe66172 жыл бұрын
Nimependa sana ushuhuda wako.
@hendrylema56402 жыл бұрын
Hongera sana kaka,
@mwamvitakilima4104 Жыл бұрын
Inspired,powerful &motivation comment
@agreyminja94122 жыл бұрын
Somo zuri sana Kaka katika swala zima la muda kwakweli nahitaji msaada mkubwa sana
@joshuajastin57635 жыл бұрын
Nimeshukuru kwakweli kaka Ungonjwa wangu ni kwenye nindam ya vipaombele Na matumizi ya muda nachukia sana kuzikosa hiz kakaangu Ubarikiwe saana kwa kuniongezea thamani
@jacobnduya7983 жыл бұрын
Asanteni Joel wewe sasa ndo mwalimu wangu muhimu sana katija maisha!!! Mimi nipo chuo kikuu lakini naona kabisa elimu ninayopata hapa ni nzuri sana na haipatikani mashuleni!! Nimeipenda na ninafanyia kazi Mungu azidi kukubariki Mimi nimependa nidhamu ya malengo .lkn kiukweli zote ni muhimu sana naweza kusema ni vizuri kuwa nazo zote kwasababu zina husiana sana
@gloryolomi74 жыл бұрын
Asee haya madini sana kaka Joel. Asante kwa kunifunza. Video imeisha haraka haraka. Vile nilitamani niendelee kuskiza😀😀
@Frankgamanuel4 жыл бұрын
Salute Mzee,huliyosema nimeyasikia na nikweli kabisa ,Shida yangu Mimi nimekuwa mtu wa huruma sana na hicho naona nikama kinanifanya nistaki ktk maendereo nifanyeje? Lakini yote hulioyazungumza kiukweli nimshukuru Mungu niliyafaamu kabla kutokana na mapito niliyo pitia.
@pandoemmanuel20514 жыл бұрын
Joel umetuvusha watu wengi sana. Keep this up for the benefit of swahili listener all over the world. Barikiwa.
Asante Kaka joel kwa elimu yako inayonitia nguvu naimani unanitengeneza kua bora zaid ya hapa nilipo ,muda marafik Na midham ya fedha naendelea kuvifanyia kaz
@janicekim97675 жыл бұрын
Kweli kaka unatu inspired sana mungu azidi kukupa nguvu tunufaike na matunda yako
@ibzanruheta5 жыл бұрын
Nice teachings, ahsante bro masomo yako yananifundisha sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ibzan Ruheta nashukuru sana,pamoja
@zuhuraabdillah69415 жыл бұрын
Nidhamu ya muda ni muhimu sana kuanza nayo. Time is everthing, zingine zitafuata baada tu ya kupangilia muda wangu vizuri. Knowledge is power God bless u
@joelnanauka5 жыл бұрын
zuhura Abdilah safi sana tafuta pia video niliyoelezea vitu vinavyoiba Muda wako
@omaryshafii505 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba kama ingekuwa nimeambiwa nimebakiza siku moja ya kuishi ningeutumia muda kwa nguvu zangu zote na kujutia mambo ambayo sikuyafanya ktk muda niliokuwa nao kuliko niliyoyafanya.. Somo hili ni adhim limegusa maeneo mengi ktk maisha.. Mungu akuzidishie
@joelnanauka5 жыл бұрын
Omary Shafii ni vizuri umejua mapema Omary,ni Muda sasa wa kuanza kutumia kila sekunde yako vizuri
@sirlemsontv92015 жыл бұрын
Hakika kaka Joel Mungu akuzidishie baraka... Maana masomo yako mazuri...
@freyzeelovesea18072 жыл бұрын
Daah nimegundua katika nidhamu zote sita hamna hata moja ambayo nafwatilia
@jameskulwa65302 жыл бұрын
Thank you joel, nilikua na changamoto juu ya displine ya muda na vipaumbele now i know what to do
@farmpridetz89745 жыл бұрын
Aiseee hili moja kati ya masomo bora kabisa kwenye mwanzo wa mwaka huu” i wish kila mtu angeskiza
@joelnanauka5 жыл бұрын
EntertainmentVevo safi sana naamini Kila atakayesikiliza litamfaa
@asantendosi37875 жыл бұрын
Thank you broo Joel, umenifundisha kufanya self-evaluatio. Na nilichojifunza kikubwa ni kuwa "My net friend is my net worth " nadhani eneo la kushughulikia sana kwangu kwa wakati huu ni eneo la marafiki.
@nasrashabani46995 жыл бұрын
natakiwa kuwa makini na muda
@joelnanauka5 жыл бұрын
Asante Ndosi safi sana,anza kulifanyia kazi mapema kabisa ni kuchelewa
@sephaniamsongole78012 жыл бұрын
Kaka nashukulu Sana umenibadilisha sAna
@jumaseif98945 жыл бұрын
toka nianza kukufatilia na miez minne sasa lakn na mabsdiliko makubwa sana tena sana,shukran nanauka,kuwa na nidham ya fedha ni msing sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Juma Seif safi sana Juma Nafurahia kusikia hivyo kwa kweli
@daudintambala38965 жыл бұрын
Sir joel "nitangulize shukurani kwako kwa elimu ulionipa saiv naweza jisimamia mwenyewe na kuna marengo niliwek na nimefanikisha ila kuna vitu sjaviweza sijui nashindwa nn "1:bajeti 2:nidhamu ya fedha na3:muda ila hili naliweza maana niweza kujali muda " shauri hapa joel
@hilarygodfrey58625 жыл бұрын
Umetisha kaka yangu umenifanya niwe mtu wakubana pesa ndugu sasa hivi niko poa sana asee mungu akubariki sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Hilary Godfrey 💪💪💪
@rollahngimbwa6978 Жыл бұрын
Hkk kaka Joel point zote nitazizingatia kbsa. Be blessed more yamkin najifunza mengi pitia kwako .
@gerraldndelwa48084 жыл бұрын
Nidhamu ya kujifunza,na nidhamu ya pesa ni changamoto kwangu ,be blessed bro nimepona nw
@anjelasaid60983 жыл бұрын
Daaaah maneno yako yamenigusa sana,nawezaje kupata soft copy ya vitabu vyako kaka!
@29WavesTV4 жыл бұрын
Nidhamu ya kwanza na pia ya mwisho Asante sana.Mimi ni mpeenzi mkubwa sana ya kazi zako.please let see each other at the top
@rebeccanassary17203 жыл бұрын
Nashukuru sana nimejifunza kitu ntaanza kuweka malenngo
@silatango59755 жыл бұрын
Unabarikiwa upeo kaka, nimefatilia sana speech zako.
@lemsnyigu46992 жыл бұрын
Ahsante kwa ujumbe mzur Nina shida kwenye nidham ya fedha na marafiki
@florachanga69835 жыл бұрын
Nidhamu ya muda hapa ndo naona ni mhimu sana kwangu kuaza nayo Asante kaka
@donardmussa32635 жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka kwangu mim nidhamu ya muda imekuwa ikinisumbua sana, naahidi ntalifanyia kazi kuanzia sasa.
@mussaameir52303 жыл бұрын
kwa kweli ndugu Joel mimi nimefarajika sana na malengo uliofundisha na kwa kweli mimi ninaona kwa upende wangu nilikuwa nikifanya makoso sana kwani nilikuwa sina malengo ya kuweze kuchagua marafiki wenye tija na mmm na vile vile nilikuwa sina nidhamu katika matumizi yangu lakini kwa kweli sasa nimejifunza. ahsante sana . Mungu akupe upeo zaidi ya zaidi
@godhopeuiso5 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu kila leo napata kuwa mpya kwa mafundisho sahihi. Mungu akubariki kaka... Endelea kutumegea mafundisho mteule.
@veronicacharles45275 жыл бұрын
50,30,20 hii mbinu imenisaidia sana mwana jana 😍
@mygodisgreaterabraham68415 жыл бұрын
kweli kaka, nimekuelewa, marafiki waliniponza sana mwaka Jana, ila tangu nianze kukusikiliza nimewaacha nasonga mbele, barikiwa sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
MYGODISGREATER Abraham safi sana 👏👏👏
@swaumuabdalaha15215 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mlefu zaidi
@happycostack69635 жыл бұрын
Asante mwanangu sikuwa najua chochote kuusu mpangilio WA Maisha Mungu akubaliki ssna
@NeemaMsanga-wg9je Жыл бұрын
Ahsante saaana kwa mafundisho yako. Nitayafanyia KAZI.
@juliekagine5486 Жыл бұрын
Thanks brother Joel,umenifundisha vizur
@veromkami38312 жыл бұрын
Nakufatilia sana na kujifunza sahii nashukuru sana mungu akuobariki kwa kazi nzuri
Uyo umeongea number 6 imenigusa sana kabisa mimi ni mtu mmojapo naongeaga na watu sana afu najisahau na mwisho haohao ndiwo wananihusudu .pls nashindwaga kujiziwia kuongea na watu up a nikipata mafunzo yakujuwa kujifunza kuwa Suriesly tashkuru
@shebahchannel11383 жыл бұрын
Aseeeee nilikuwa wapi Mimi ila sijachelewa Sana,nmekuelewa bro Joel naamka Sasa.
@leonidaskalumuna83505 жыл бұрын
Ahsante sana,Shida yangu sina rafiki yoyote,wale ambao natamani wawe ni marafki ni watu ambao wapo busy sana kukutana nao ni vigumu.Lakini naendelea vzr na mafundisho yako.
@beatricemapembe89415 жыл бұрын
Hakika nahitaji mabadiliko makubwa ktk utendaji wangu. Asante sana.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Beatrice Mapembe 👏👏👏
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Asantee sana nimejifunza somo zuri marafiki wanarudisha nyumaa na wanarokho za wivuu
@annahchristian86453 жыл бұрын
Nakushukulu sana umebadlsha maisha yangu kutokana na semina zako
@hmutabuzi44385 жыл бұрын
points zote ni logical kabisa na wakati mwingine zinategemeana. ntajifunza zaidi kadri ninavyoendelea kupata dondo hasa bullet ya 4 (Self development). Its so inspiring you know! hongera Ndg. Nanauka. Quotation "education will make a leaving but self development will make your fortune, Jim Lone" impact fully in daily life.
@mariamnestory6715 Жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundisho yako naitaji kitabu chako nipo kigoma
@mariamnestory6715 Жыл бұрын
Naitaji malengo yakutunza pesa pamoja na marafik maana mm sinabaati marafiki asante
@daudimwabulambo42405 жыл бұрын
Mmmh... Bro uko vzr saan hapa nimejifunza nidham ya marafik wasio na maan kweny maisha yang
@claraprosper86425 жыл бұрын
Pamoja na mafundisho mazuri kaka.Umependeza sana.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Clara Prosper nashukuru sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@joseefaidabutu64675 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwakuniongezea ujuzi,nitafanyia kazi
@joelnanauka5 жыл бұрын
Josée Faida Butu Ameen nashukuru sana
@chrismassawe3264 жыл бұрын
Safi sana kwa Elimu nzuri kaka hii ni jambo nimeanza kulifanyia kazi mwaka huu naamini miaka 5 ijayo nitakuwa mbali kimaisha kwa kujiwekea malengo
@s.simponda1385 жыл бұрын
Ahsante sana mm nahitaji kitabu chako.
@joelnanauka5 жыл бұрын
spriano simponda wasiliana na 0756094875 utakipata
@antigonimathew50905 жыл бұрын
@@joelnanaukaelimu unayonipa siwezi kukulipa ila mungu atakulipa zaidi..
@martinmaami58535 жыл бұрын
Nimefurahia sana sana mafundisho yako,naomba nisaidie juu ya nidhamu ya fedha na marafiki
@kissmwalabu24524 жыл бұрын
dah mada nzuri sana me nimependa nidhamj ya fedha na kuweka malengo
@francentinda92215 жыл бұрын
Nakushur kk kwa elim yako naimani itatusaidia ktka maisha yet kama tutazingatia
@naomykenee70513 жыл бұрын
Nimehudumiwa sana nahitaji kujenga nidhamu zote sita kwa usahihi kabisa!
@anethmajura Жыл бұрын
Nakukubali sana brother Joel unansaidia sana ubarikiwe
@emmanuelnyengella48394 жыл бұрын
Nidhamu ya Kujifunza, nafikiri kwangu hii ni ya muhimu zaidi kwa sababu ni kupitia nidhamu hii nimekutana na somo hili leo...katika Kujifunza unajua wapi unakosea na wapi upaboreshe
@rahemahrahemah27195 жыл бұрын
Hili somo ni zr Sana nimekuelewa Kaka Joel shukran
@joelnanauka5 жыл бұрын
rahemah Rahemah nashukuru,pamoja sana
@silatango59755 жыл бұрын
Kweli tujiwekeze kusoma vitabu tuongeze maarifa... Ahsante Nanauka..
@neemamaganga97742 жыл бұрын
Asante kwa masomo mazuri,Mungu akubariki sana .
@josiahjoas85265 жыл бұрын
Pastor Joel, Praise Jesus Christ.. I love the lessons you teach us. Nimeanza kuweka malengo na kuwekeza(nidhamu ya fedha) ahsante kwa elimu,
@shau784 жыл бұрын
Joel sio pastor. Is he?
@emmanuelmsengi69205 жыл бұрын
Nimejifunza kitu #be_blessed
@apostlejohnamani.86612 жыл бұрын
Ama kweli Mungu akubariki sana kaka...kwa elimu muhimu namna hii..
@aishamipiko43644 жыл бұрын
thanks sana Mr.Joel eneo la marafiki ndilo nitaanza nalo
@canny2555 жыл бұрын
Ahsante Sana Mr. JN! Since knowing you, everyday in every way I'm getting better and better!! See you at the top
@joelnanauka5 жыл бұрын
Paul James so happy to hear about that 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@emmywanungu21375 жыл бұрын
Joel Nanauka kwakweli nidham zote maana nimegundua sina nidham hata moja ya kieleweka. Asante sana na utusaidie zaidi hata ushauri wa inbox
@scolasticakilosa57753 жыл бұрын
Nithamu na muda
@faridaiddy60155 жыл бұрын
nidhamu ya muda na kueka malengo ni nidhamu kubwa sana kwani huwezi tumia muda vzuri ikiwa hujajua unataka kufika wapi... thank you bro Joel I learn something... u are my inspiration.
@mwajumamwishehe34235 жыл бұрын
Kuongeza nguvu kwenye malifa na malafiki Yani wengi majanga tu Asante kaka kwa somo zuli 🙏🙏🙏
@joelnanauka5 жыл бұрын
Mwajuma Mwishehe 👏👏👏👏
@swalehabubakar76615 жыл бұрын
Shukran sana imenisaidia
@eng.anoldkishumu30805 жыл бұрын
Asante bwana Joel kwa clip nzuri. Kitabu chako cha 'Timiza malengo yako' ni kuzuri sana, tayari nimeishakisoma sijatoka bure.
@joelnanauka5 жыл бұрын
ANOLD KISHUMU safi sanaaaa
@eng.anoldkishumu30805 жыл бұрын
@@joelnanauka kaka joel mimi nina ndoto ya kuwa mfanyabiashara mkubwa, hebu nishauri kitabu cha kusoma kati ya ulivyoandika au vya waandishi wengine.
@merykabogo76363 жыл бұрын
Kaka Joel Mungu akubaliki xnaaa kwanii tnajifunzaa mengi xnaaa kutka kwako ,hakika Mungu azidii kukulindaaa Kaka Joel!!!
@mohamedmakungu16094 жыл бұрын
Mimi binafsi ya na Sita muhimu sana
@rehemanicemgeni13085 жыл бұрын
Kujiepushana na malafiki Ambo hawana mtazamo wa maisha ya mbele
@joelnanauka5 жыл бұрын
Safi sanaaa 👏👏👏
@babalois72405 жыл бұрын
Hakika haya ni madini yasiyopungua ubora,Kila ukiyasikiliza unasikia nguvu za kusonga mbele... You nail it bro every sentence. #BBlcdSir
@anzojadassu84552 жыл бұрын
Naanza na nidhamu kwenye marafik, nafata nidhamu kwenye Muda, halafu nidhamu kwenye vipaumbele, Ila nidhamu kwenye malengo, fedha na kujifunza nilishaanza bila kujijua Kama najiwekea nidhamu. Kauzembe kalikuwa kidogo sana lakin kwenye marafik, Muda na vipaumbele ndio sizingatii
@eliezermtokoma20575 жыл бұрын
Asante... Hakika nimepata vingi hasa vipaumbele na marafiki kwangu ilikuwa changamoto zaidi ila sasa nimeelewa. Asnte kaka Joel
@joelnanauka5 жыл бұрын
Eliezer Mtokoma 💪💪💪 Nasubiria Habari njema kutoka kwako
@eliezermtokoma20575 жыл бұрын
Usijal wewe utakuwa sehem ya ushuhuda wangu kaka Joel.
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Marafiki na matumizi ya pesa your the best nanauka I hope kwa kukusikiliza nitapiga hatua inshallah, ubarikiwe 🤝
@adamkibavu57464 жыл бұрын
Asante Sana kaka,, umenisaidia Sana kujitambua natakiwa niweje,, natangaza kubadilika kuanzia sasa naanza na nidhamu ya muda√ then marafiki√
@stephenmabinza90435 жыл бұрын
Mimi ni Mining Tchnician vilevile nimesoma Mechanics (Mitambo) Nilipokuwa na Kazi, nilikuwa na watu wengi kwangu, Nimesomesha, nimesaidia na nimejinyima sana kwa ajiri ya watu! Lakini sasa Mimi sina hata pakukaa! Kuna kazi ya mikono nimeanzisha lakini kwakuwa sina support inakwenda kwa kukwama sana. Siwezi kukopa mtaji kwakuwa sina chochote cha kuwekeza kama dhamana! Nimejiuliza sana sababu, jibu sina! ... Naamini katika kufanya bidii na kutumia maarifa, lakini kiukweli naona nipo peke yangu na mambo kama hayaendi kabisa! Kazi niliyoibuni ni ya Kiufundi, natengeneza Mashine za mkono ili kunisaidia kuifanya ile kazi niliyoianzisha. Sijakata tamaa ila sijui ni lini na kwa namna gani nitakamilisha Lengo langu hili!
@victoriatety46505 жыл бұрын
Mr.joel mungu akuinue zaidi na zaid......nidhamu ya fedha na marafiki imenigusa sana
@fofomohammed62535 жыл бұрын
Mimi pia nipo hapa kwenye nidhamu yafedha namarafiki tusaidie
@joelnanauka5 жыл бұрын
Victoria tety hongera kwa kugundua maeneo ya kufanyia kazi,anza mara moja bila kuchelewa
@pandoemmanuel20514 жыл бұрын
I have been really following up your presentation.....!
@Felixkomba974 жыл бұрын
Nafikiri au kwauhakika kama ningekuwa natoa uprofessor au doctrine yaheshima ningekupa but siwezi ila nakupa uprofessor katika kutusaidia sisi vijana katika kutupa relevant education katika maeneo muhimu ya maisha nasema ASANTE SANA kunasiku nikifanikiwa takukumbusha kuwa huu ni mchango wako
@fefehakunamatata1350 Жыл бұрын
Mimi binafsi namshukuru mwnyezi nimejiajiri ila ntaanza na nidhamu ya kifedha kwanza kuanzia ununuaji bidhaaa matumizi akiba nk👏🏾
@khadijaileta91332 жыл бұрын
Mimi ni kweli kabisa yote vip semina zako unafanyia wap
@rehemasijila32194 жыл бұрын
Marafiki ndy shida kubwa katika kuharibu malengo yko,wanataka ufate taratibu zao ukikataa unaambiwa una maringo pia unajidai.
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
Huu mwaka kwa uweza wa mungu naamini ntapata matokeo chanya. umekua msaada sana kupitia mafundisho yako
@joelnanauka5 жыл бұрын
DEE MASTER Ahsante sana,pamoja tuendlee kujifunza
@Teacher-Yasilini3 жыл бұрын
Umenibadilishaaa sanaaa
@geofreykatto37265 жыл бұрын
Ahsante sana kaka kwangu hasa nidhamu maeneo ya Malengo na Pesa
Iam very proud of u afrucan conitinent we need people genious like u 20/05/2022
@user-no9gu3mn8h7 ай бұрын
Be blessed kaka Joel Ilike ue work much
@umtweve45015 жыл бұрын
Sawa kaka nafuraia najiona nipo ndan ya family mpya mungu ukupe nguvu ili uzidi kutufungua zaidi ila swali langu je? Kati ya mipango na hela kipi cha kufuatilia zaid maana mipango haiendi bila hela na hela haiendi bila mipango so tijuze vizuri kutokana na taaluma yako ila pole usi choke kaka
@jacksonkinange46055 жыл бұрын
Mungu akubariki sana unafungua mengi
@babalois72405 жыл бұрын
Duuu 3% tu wanaoweka malengo,8% ndio wanaofuatilia malengo mpaka mwisho wa mwaka #TIMIZA_MALENGO I have it. 1.MALENGO 2.MUDA 3.VIPAUMBELE 4.KUJIFUNZA 5. FEDHA 6.FRIENDS #LEADER_IS_A_READER Powerful #Sir
@joelnanauka5 жыл бұрын
Justine Mrope 👏👏👏
@jimmymosha59494 жыл бұрын
Hapo kweny fedha,vipaombele na marafiki nahitaji mabadiliko makubwa sana