PASTOR EZEKIEL MIUJIZA YAKE YAMFIKIA MCHUNGAJI HANANJA ACHUKIZWA NA WAKRISTO KUFANYIWA KUFURU

  Рет қаралды 67,444

Maks Media

Maks Media

4 ай бұрын

Пікірлер: 127
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 3 ай бұрын
Wisdom Is Greater Than Knowledge thank you so much Pastor for this great teaching 🙏🙏🙏🙏
@davidosaune
@davidosaune 2 ай бұрын
Ubarikiwa sana ndugu David boyi kutoka kenya turudi katika neno sio mihemko na sarakasi hizi zote lo!
@DavidGumbo-g3t
@DavidGumbo-g3t Ай бұрын
U r the best
@rosemkuye
@rosemkuye 3 күн бұрын
Mungu akubariki sana na akupe miaka mingi ya kuishi mchungaji
@jesusdeliveranceclinicinte347
@jesusdeliveranceclinicinte347 3 ай бұрын
Tanzania tuna bahati sana kuona hata wazee wetu wa kidini wanasimama kwenye nafasi zao kukikanya kizazi hiki kilicholiacha neno na kukimbilia maji na mafuta. Tamaa za pesa kwa watumishi zimepoteza kizazi hiki. Na Mungu anawaangalia tu, sio kwamba aoni. Rudini kundini tulisome neno jamani . Asante baba Mchungaji kwa kutuchapa kibokoo cha pilipili. Yesu tusaidie sana uzao huu
@user-hl9ee2ve4s
@user-hl9ee2ve4s 3 ай бұрын
God bless you so much mchungaji Hananja. You are rightly dividing the word
@pilisamtyani9445
@pilisamtyani9445 3 ай бұрын
Mungu akuweke kwa utumishi wake, Ur the multipurpose servant of God❤
@mosespeter5618
@mosespeter5618 3 ай бұрын
Kweli hata kama watu watakupinga na kukukata mimi nimekuelewa kweli hupo vzr zaidi ya sana keep up my pastor
@pilisamtyani9445
@pilisamtyani9445 3 ай бұрын
Ameen, mtumishi, unasimama na neno hasa, Blessed my pastor
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana BABA unatulea wengi kimaadili na kibiblia
@OnesmoKway-mk7zt
@OnesmoKway-mk7zt 3 ай бұрын
Wachungaji wote wangekuwa kama wewe dunia igekuwa sehem sahihi ya kuishi unaubiri vzr sana baba yangu unamaliza mwendo wako vzr sana
@lilianowti5477
@lilianowti5477 3 ай бұрын
Asante baba kunifungua akili,damu ya Yesu na toba tosha.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 3 ай бұрын
Asante sana muzee wetu pastor Hananja, karibu tena hapa kwetu USA 🇺🇸, from Cedar Rapids Iowa state USA.
@risperrehema5842
@risperrehema5842 3 ай бұрын
Mtumishi WA Mungu, babangu ubarikiwe Mino. Kutsoka Kenya MSA,
@user-rt6fh1wf3t
@user-rt6fh1wf3t 3 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kazi nzuri mchungaji ❤❤❤
@michaelmushy4463
@michaelmushy4463 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukufunulia ubarikiwe.
@furahalazaro6901
@furahalazaro6901 3 ай бұрын
Nimekuelewa sana Mungu akubariki
@abilityemmanuel5704
@abilityemmanuel5704 3 ай бұрын
Big up sir. Do the work of God.
@user-ly2px8lb5o
@user-ly2px8lb5o 3 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU
@bettybetty387
@bettybetty387 3 ай бұрын
Kumtumikia Mungu ni ngumu sana,watu hawaelewi ya kwamba Mungu anatumia watumishi kwa njia tofauti,bado nashindwa mbona wakristu wanapingana kwa huduma yao,mimi napenda maubiri yako mtumishi wa Mungu na pia napenda saaana maubiri ya Pr.Ezekiel na mafundizo yake,shida ni hakuna mwenye anajua jinzi Mungu anatumia watumishi wake,napenda Mungu wangu zaidi na zaidi ni Yeye tu ndiyo mwanzo tena mwisho.Amen.
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 3 ай бұрын
HANANJA YUKO KIINJILI ZAIDI.YEYE HUPINGA MAMBO YA KIBINAFSI KULETWA KWA DINI.HAPO NDIPO NINAPOKUELEWA.
@ChristinaKayela
@ChristinaKayela 3 ай бұрын
Mchungaji yupo sawa kabisa wala hapingi Bali anatoa fundisho zuri Sana kupaka majibu ni ishara ya Toba na kumrudia MUNGU maana sisi Kama wanadam kunamuda tunajisau Sana na kwarezima inatukumbusha kutubu na kumrudia MUNGU na pia amefafanua vzr kabisa hata ukipaka majibu uso mzima bila Toba nisawa na Bure Mimi nimkatoliki lakini namwelewa vzr sana
@BenjaminKabebo
@BenjaminKabebo 3 ай бұрын
Sio ngumu ila watu walikuzunguka ndo watakufanya uone kumtumikia Mungu ni ngumu. Angalia kutenda ya aliyekutuma sio hao walioko njiani kukuvunja moyo. Hata yeye alikutana na upepo njiani alichukua hatua ya kuukemea ila wengine waliona safari imefika mwisho
@josephakondowe3645
@josephakondowe3645 3 ай бұрын
Ubarikiwe Rich ,wewe unaijua dini vizuri
@papembithe503
@papembithe503 3 ай бұрын
Yesu ndio mwazilishi wa miujiza
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 3 ай бұрын
God bless you
@neemasonje1620
@neemasonje1620 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@isaacktweve3773
@isaacktweve3773 3 ай бұрын
Asante sana🙏🙏🙏🙏
@EverlyneKadenyi
@EverlyneKadenyi 3 ай бұрын
Wah baba mungu na akutumie zaidi.mimi n mama Everlyne kutoka kenya. Una roho wa mungu 😮
@ApynesNzisa
@ApynesNzisa 3 ай бұрын
Eti Roho ang'oa 🙄🤔🙄🤔
@Byerakahungya
@Byerakahungya 3 ай бұрын
Amina imani kwa Munguwetu tu
@happykisarika1337
@happykisarika1337 3 ай бұрын
Amina
@UpendoHosea
@UpendoHosea 3 ай бұрын
Ubarikiwe
@stephenodhiambo774
@stephenodhiambo774 3 ай бұрын
❤paster napenda ukweli yako mimi ni Stephen kutoka Kenya
@MaggieG276
@MaggieG276 3 ай бұрын
Amina,neno mbele ya yote.
@gradwellmwanja
@gradwellmwanja 3 ай бұрын
Ameen
@sosom14
@sosom14 3 ай бұрын
Amen
@ASALABOY
@ASALABOY 3 ай бұрын
Ukweli unauma sana baba tema Nondo nazipenda sana
@pastorfredimbali
@pastorfredimbali 3 ай бұрын
Amen..mafunzo mazuri
@uziasinkamba7380
@uziasinkamba7380 3 ай бұрын
Mungu ni Roho nao wanaomwabudu wata mwabukatika roho nakweli.yeyeniyuleyule jana leo hata milele hakuna zamani hataleo anafanya.wanaokufutilia mzee kuku hoji uwemacho sana nao
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 23 күн бұрын
Biblia kweli ni ngumu Aisee
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 3 ай бұрын
Watu wa dini /mafarisayo Yesu Kristo aisema hao ndio kikwazo kikuu - wao ni mashahidi wa adui! Kazi yao kuhukumu na kulewa ufahamu potofu kuwa wao ndio wawakilishi wa Mungu!
@dorcaswekesa3300
@dorcaswekesa3300 3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@nuruupinga2743
@nuruupinga2743 3 ай бұрын
🙏
@aminamsafari2407
@aminamsafari2407 3 ай бұрын
Shukran mchungaji Roho wa Mungu azidi kukupa mafunuo ya neno lake uzidi kutufundisha hasa sisi wakenya ili tuwache sarakasi nyingi makanisani.
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 3 ай бұрын
Lakini watu huchukuliwa mchungaji,,wakaonyeshwa mambo na mungu hapo sikubaliani na wewe ,, mambo ya mungu hayachunguziki .
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 ай бұрын
ASANTE MTUMISHI wa Mungu umenena sawasawa na maandiko matakatifu. Turudi kwenye maandiko, tuishi kwenye toba ya kweli na ufuasi ucha Mungu mbingu tutazifika na kupaishi. Eee Mungu NISAIDIE nitoke kwenye mavumbi ya mauongo ya watumishi HEWA
@kaninimuindi6470
@kaninimuindi6470 3 ай бұрын
Surely pastor wanapigana wenyewe kila mtu si haede pande zake alishe watu neno mnapigania nini na sehemu za kulusha kondoo ni kubwa sana kila pastor na kipawa chake na vipawa ni tofauti na mwenye kupeana ni rohoo mtakatifu tu
@user-el6qq9jx7t
@user-el6qq9jx7t 24 күн бұрын
Ngoja nikusikize
@stevenandrea7847
@stevenandrea7847 3 ай бұрын
Umesema kwel baba
@husha6372
@husha6372 3 ай бұрын
Kwenye kufunga Jeremiah36:8Mchungaji
@christophermlelwa6295
@christophermlelwa6295 3 ай бұрын
Imani yoyote in miongozo yake
@KibangaSai
@KibangaSai Ай бұрын
Kila MTU na karama yake, amen
@maryamsuleiman1509
@maryamsuleiman1509 3 ай бұрын
Sana to Baba uzidi kuinuliwa
@isayatippe6409
@isayatippe6409 3 ай бұрын
Ni kweli Mchungaji Hananja, 27:17 kinacholeta tofauti na ugomvi kati yetu Madhehebu ya Kikristo ni theolojia yetu tuliyojitengenezea wenyewe, lakini NENO ni MSINGI wetu usio yumba!
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 3 ай бұрын
ukweli kabisa
@millanolotu2839
@millanolotu2839 3 ай бұрын
Ukweli huo iendelee.Christina ana TAMAA
@emmanuelthomas4967
@emmanuelthomas4967 3 ай бұрын
MUNGU akuongoze zaidi na zaidi.
@BenjaminKabebo
@BenjaminKabebo 3 ай бұрын
Tatizo la hawa wachungaji ni wivu na kutoamini Huduma zinatofautiana Msingi mkubwa kabisa ni NENO LA MUNGU lakini neno hilo haliwezi kubaki pasipo matokeo. Neno hubadilisha hali na kuwa kitu. Na imani za watu hutofautiana watumishi wa Mungu wote hamuwezi kuwa mikono. Kuna mwingine atakuwa mikono mwingine masikio mwingine jicho ila Roho ni yule yule.
@bernardngomano6215
@bernardngomano6215 3 ай бұрын
55:59
@everlynkwamboka8101
@everlynkwamboka8101 3 ай бұрын
Tunakitaji Kenya pia
@Bmcrystal69
@Bmcrystal69 Ай бұрын
Sawa
@ElihrJones
@ElihrJones 3 ай бұрын
Subiri kidogo. Umesema Mungu anaongea kupitia neno tu. Sasa huyo Mungu aliekupa ufunuo kutumia maji aliongea nawewe kwenye biblia pia au alivunja miiko yake akatumia njia nyingine?. Kama alitumia andiko tunaomba utuoneshe hiyo andiko lililoandikwa hananja tumia maji sasa
@risperrehema5842
@risperrehema5842 3 ай бұрын
Kutoka msa🎉
@AaAa-zo3yj
@AaAa-zo3yj 3 ай бұрын
Rita Ukweli kabisa umesema pastor
@protusisiaho1352
@protusisiaho1352 9 күн бұрын
Lakini unakubali kwamba Watu walijipaka majivu kama ishara ya toba wakati wa Yona. Na pia kama unavyosema majivu peke yake hayatoshi, sisi pia Wakatoliki hatusemi eti majivu peke yake yanatosha, la hasha. Lazima yaambatane na matendo mema. ubarikiwe mchungaji.
@isayatippe6409
@isayatippe6409 3 ай бұрын
Mchungaji umekiri kabisa kuwa Mungu alikuambia utumie maji ili yule binti apone, na akapona. Lakini mbona humkubali yule aliyesema alizungumza na Mungu
@tumainipeter458
@tumainipeter458 3 ай бұрын
Pastor uko viziri unatoa ukweli simple
@elibarikikweka5712
@elibarikikweka5712 3 ай бұрын
ASANTE MCHUNGAJI KWA maelezo makamilifu
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 3 ай бұрын
Wali kole Aruna koresma koresma ni kwa wakatoliki
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 3 ай бұрын
kwa ndoto
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 3 ай бұрын
Kweli kila mtu na mwito wake
@user-if7be8kn8i
@user-if7be8kn8i 3 ай бұрын
Jameni tuwe na nidhamu kwa kuongea dhidi ya mchungaji huyu ,sababu mwajiletea laana tu juu yenu .yeye huongelea point za hali yajuu kulingana na neno
@anns.s8760
@anns.s8760 3 ай бұрын
KILA MTUMISHI NA HUDUMA YAKE ...PIA WAGANGA NI WATUMISHI
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 6 күн бұрын
Sasa watu watubu dhambi yesu alikufa kwa dhambi zipi kwa imani yenu kumbe unatakiwa kutubu?
@notbrugakiwia3565
@notbrugakiwia3565 18 күн бұрын
Makubwa
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 3 ай бұрын
Mchungaji mwenye saikrojia
@jennytugara9470
@jennytugara9470 3 ай бұрын
Eti anapiga madafu na chakula mpk analala chali eti kafunga na Chakula wapelekee wahitaji . Kweli uwokovu ni safari 🙏🏾🙏🏾
@LovelyOutdoors-wd5nh
@LovelyOutdoors-wd5nh 3 ай бұрын
Hahaaaa
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 3 ай бұрын
Hivi vitu vimewekwa kimsaidia tu mtu kuishi,, vizuri na hata walio weka hawaja sema ni biblia imesema,, ndoa hazija ruhisiwa si kwamba ni dhambi au haiwezekani kabisa kufanya hicho , nikwasababu ndoa nyingi zina ambatana na sherehe,, na ni kwaresma kipindi cha toba,, ndio maana ukawepo utaratibu wa kuto funga ndoa,, ila haimaanishi watu wakifunga ndoa kwaresma ni dhambi,, lakini kitu najua Mungu huheshimu makubaliano kama yanatusaidia kumkaribia yeye zaidi, na trust me, kipindi cha kwa resma ni kipindi cha baraka mnomno mno kina Neema nyingi nyingi nyingi
@estermuthoni5034
@estermuthoni5034 3 ай бұрын
Unasema ukweli mutumishi
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 3 ай бұрын
Nchi yetu inahitaji watu walio wazi na wanaozindua umma kama huyu mch. Hananja! Naamini mijadala yake inasaidia kuwaanika wale wanaotumia mahuburi ya dini kupumbaza watu na kuwatia woga ili wawape pesa. Wasiopenda ayasemayo Hananja (na hapa nimewasoma) ni wale wanaotafuta kunufaika kupitia sadaka, ni wachungia tumbo! Huwezi ukasema "waache wachungaji waeneze neno" wakati tunajua wayafanyayo hao ni ulaghai, utapeli mtupu; na tafsiri yao ya biblia imejaa upotoshaji na/au uongo kabisa!! Huwezi kudai waachwe kwani taifa linaharibika pale watu wanapopumbazika.
@user-ip8ce1ez4j
@user-ip8ce1ez4j 3 ай бұрын
Mchungaji nilihitaji ushauri wako napataje namba zako?mm koleta
@stevenandrea7847
@stevenandrea7847 3 ай бұрын
Kwel mtuish
@periskoigi6088
@periskoigi6088 3 ай бұрын
Usipige wachungachi wezako
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 3 ай бұрын
Me nlikula nyama Sana siku hiyo
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 3 ай бұрын
Ukiisoma INJILI KWA UHAKIKA WAKE HUWEZI KUBURUZWA KIJINGA JINGA.KULA NYAMA.GONGA SUPU AISEE
@bernardngomano6215
@bernardngomano6215 3 ай бұрын
😂
@pekeetv
@pekeetv 3 ай бұрын
Mchungaji mm unanichanganya TOBA na KUTUBIA mnamanisha nini ?? Na vip kifo cha YESU kimesaidia nini ?? Naomba wasomi wa bibilia waniweke sawa ..!!
@neemakanani4346
@neemakanani4346 3 ай бұрын
Pekee haya inakubidi kuyatafuta uyajue sana kila siku tujifuze kristo kila itwapo leo sisi wakristo tuna tubu nakurudia dhambi tena mungu atusaidie sana
@alexsaidi3940
@alexsaidi3940 3 ай бұрын
Toba ni kitendo,kuhutubia ni kielelezo
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 3 ай бұрын
Watumishi ambao awana vipawa vya kuwafungua watu wanapenda sana kukataa miujiza
@georgemashauri4657
@georgemashauri4657 3 ай бұрын
Natangaza rasmi tangu sasa na hata milele nitakuwa upande wako.
@SleepyHikingWaterfall-js5mo
@SleepyHikingWaterfall-js5mo 3 ай бұрын
Najua wewe pastory unafata maandiko ndo maana wengi hawakutaki kumbuka nyakati za sodoma alipona lutu na familia yake wengi waliangamia sema ukweli watao pokea kweli wataokoka usikubali kushawishiwa na maajenti wa,,,neno lipo wazi mngu akupe ujasili upigane vita vilivo safi amina
@alfredngala4308
@alfredngala4308 3 ай бұрын
Mafuta Bila kununuliwa yatatoka wapi
@ShidaKazungu-tp8ld
@ShidaKazungu-tp8ld 3 ай бұрын
Ni kweli pastor
@eatlawe
@eatlawe 2 ай бұрын
Vyama vya upinzani vina furaha na vicheko?
@NdolozKathele
@NdolozKathele 3 ай бұрын
Wewe hukosagi la kusema....
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 3 ай бұрын
Lakuuma e? Usijali na usimchukie ju apedwa na wengi ju anaogeaga ule ukweli,,,usiumwe saana
@NdolozKathele
@NdolozKathele 3 ай бұрын
@@JacksonMutinda-jw5qw bro.,,,huyu mzee Hananja anazeeka vibaya....
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 3 ай бұрын
Swali uwa moja,ukifika kwa kanisa la ezekiel utashagaa tuu,ile mijego iko pale ya mabillioni ya pesa,yale magari na ma bus yako pale ya mamillion,aaya anatoa misaada ya pesa nyigi sana kwa watu sasa swali uwa moja,,ao washirika kwan utoa sadaka nyigi aje io imefanya mambo mengi ivo,,,apo kuna kisugumkuti
@EvaMguss
@EvaMguss 3 ай бұрын
Rafiki asifiwe Yesu sadaka kwa pasta ezekiel ni nyingi sana kwa maana kanisa tu lake ni ekari sita na watu huja mataifa mbalimbali kupokea uponyaji na nyota kwaiyo utajiri lazima awe nao tu Mimi nachoona watumishi wa Mungu Kila mtu na maono yake hivo wasichukiane huyu hawezi kuwa kama huyu yani wakisemana wanawachanganya waumini lakini kwanini mtumishi umrekebishe mwenzio? Kwanini usiwahubirie watu wewe bila mifano ya mwenzio? Na huu ni udini mtu akiponya anatumia pepo wanapingana wenyewe kwa wenyewe lakin Kila mtu hawez kuwa kama wewe lakin pia achukue mda wa kumfatilia ezekiel na ibada zake mafundisho haswa
@NdolozKathele
@NdolozKathele 3 ай бұрын
ACHA USHOGA WAKO WEWE MZEE...JIFUNZE KUNYAMANZA PLZ
@YohanaKagambo
@YohanaKagambo 3 ай бұрын
Acha makasiliko ndolozkathele maisha yako magumu usije umu kuleta umu makasiliko
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 3 ай бұрын
Pepo mbaya wewe,shdwa na mbagi zako na uko,,,,auna lolote wewe
@NdolozKathele
@NdolozKathele 3 ай бұрын
Huyu mzee wenu anazeeeka vibaya......aaachane na ezekiel period
@NdolozKathele
@NdolozKathele 3 ай бұрын
@@YohanaKagambo 🤣🤣🤣🤣 hananja ni mjinga kabisa
@LovelyOutdoors-wd5nh
@LovelyOutdoors-wd5nh 3 ай бұрын
Mmh bora ungenyamaza hata kama unaona hayuko sawa,anayekukumu ni Mungu peke yake
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 3 ай бұрын
Hakika mchungaji umesema ukweli mtupu,, maana wengi wamepotea sana tena sema utaokoa wengi
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 3 ай бұрын
Hivi wewe unapinga mungu hawezi mchukua mtu akamuonyesha anacho taka kumuambia hapo umefeli
@neemakanani4346
@neemakanani4346 3 ай бұрын
Lkn bado tunarudi kwenye neno yesu alipo imaliza Kazi ya kumukoa mwanadam akasema kwa jina langu mtapooza wagonjwa na nasio kwa malighifi mtaponya wagonjwa
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 ай бұрын
😢 eti unaanzaje kutukana wakati umeokoka😢😢
@user-eb2eh6rj7e
@user-eb2eh6rj7e 3 ай бұрын
Lizee kama hili liende lilale tu kabirini,,,good night empty vesle
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 3 ай бұрын
Shdwa Pepo mbaya la Cain wewe,maogezi yko ya mtu kalaaniwa ata mbinguni,kiburi na auna lolote,achana na mchugaji wetu ukavute bangi zako na uko
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 3 ай бұрын
Utapumzika kaburini mbele yke,maombi yakiishetani ayo
@user-kq9uh3bv3l
@user-kq9uh3bv3l 3 ай бұрын
Shida ni kwamba mtu hapo amezungumza facts wewe uleta maneno Maneno kumuelewa huyu mzee inahitaji akili ya kiMungu sio kibinadamu
@harrietlutale922
@harrietlutale922 3 ай бұрын
Ukalale wee nguruwe
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 3 ай бұрын
Eti mtu anasafiri anapita mikoa zaidi ya tano kweda ad kwa kanisa fulani uku amepita ma mia ya kanisa,,,,kuna jambo uwa silielewi
@janetkemmy1579
@janetkemmy1579 3 ай бұрын
Huyu mchungaji hakuna mtumishi hakosi kupinga kila pastor anakasoro kwake
@user-gj2gc4en3t
@user-gj2gc4en3t 3 ай бұрын
Hakuna Kila mtu na huduma yake, hizo nyota watu wanazipokea sio ukweli wachawi wanapeana nyota na wahubiri pia wanapeana nyota pls nakubaliana na mtumishi huyo wa tazania yuko sawa
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 3 ай бұрын
Huyu mzee ameanza kuishiwa maneno. Yupo dry siku hizi
@tfjtv8929
@tfjtv8929 24 күн бұрын
Ubarikiwe
@wilfredmtanga-vl1lu
@wilfredmtanga-vl1lu 3 ай бұрын
Amina
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 6 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 37 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
0:12
Jojo Sim
Рет қаралды 19 МЛН
УЙЛАНМАГАН БОЛАР ОГОХ БУЛИНГ БУНИ КУРИМ #трент #тренды
0:13
ОНЛАЙН ТИК ТОК БАТИЛ
Рет қаралды 2,3 МЛН
Вы так любезны
0:16
KOTVITSKY
Рет қаралды 3,2 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 10 МЛН
Anxiety panic attack (Inside Out Animation)
0:11
FASH
Рет қаралды 13 МЛН