...kumbe nahitaji mbegu sio malaki au mamilioni ya pesa ili kuwa na mafanikio makubwa ya kiuchumi. Asante Joel
@SAIDMALAGALAGA8 ай бұрын
Kaka kwa somo lako mi siyo masikin tena ntakutafuta nkusibitishie hil Asante mungu akubalik
@isaacmagesa_TZ8 ай бұрын
Ndio kaka Asante sana sana masomo yako yamenifanya kuwa CO wa shirika langu na chuo changu. Asante sana kaka. By Isaac Magesa.
@DayoDayoDayo-cc5jl8 ай бұрын
natamani sana sana siku moja nijiunge na darasa lako sijui nakufikiaje❤❤
@JailosAbron-sv5wb8 ай бұрын
nikweli kabisa mwalimu muteja ni mufalume na mimi ninachoomba mungu nataka kuwa kama wewe mwalimu hapa nilipo na pambana ila ninaimani kuwa nitaweza kufikia ndoto yangu 🖐 mi niko musumbiji ( asante sana mwalimu joer)
@eugeniayaheze9328 ай бұрын
Asante sana kwa darasa zuri
@DalkhasKitchen8 күн бұрын
Ahsante kwa kuzidi kutuelimisha vijana tuliojizatiti kuifanya biashara japo ni ndogo ila nimejifunza jinsi ya kuifanya kua kubwa ubarikiwe
@festofrancissanga37488 ай бұрын
Umeeleweka kocha. Mungu akubariki
@user-it9cr1pq7l8 ай бұрын
Asante sana bro kwa elimu unayotupatia.
@bonifacewanyonyi35558 ай бұрын
Nashukuru pro Niko kenya❤❤❤❤
@AsiaMbayani-mj4sp8 ай бұрын
Nakukubali sana kak Joel natamani San kujiunga na drs lko
@joowzeyboyjoowzee44748 ай бұрын
Hongera sana kwa somo zuri
@edsonnickernest68978 ай бұрын
Kaka joel umenisaidia sana
@CharlesValentinefaustine-tq5te8 ай бұрын
Kaka Mungu akubaliki nimekuelewa
@HeriethSylvester-dm3nb8 ай бұрын
Nakuelewa kaka Joel sana sana ubarikiwe
@abdulfatahjuma31058 ай бұрын
Congratulation best speech
@user-tr2pm7ht3s8 ай бұрын
This is going to put me at the top
@winfridaadam79514 ай бұрын
Ahsante sana kaka angu, Mungu akubariki sanaaaa 🙏🙏
@user-mk7qe1bt8r8 ай бұрын
Ni kwel aisee👍👍
@angelkisura50153 ай бұрын
Asante kwa kuendelea kunifungua akili yangu kila siku mungu akubaliki sanaaa
@user-fs8hv6tn4s8 ай бұрын
Thank you!!
@shukranjulius95268 ай бұрын
Barikiwa zaidi kaka yangu hakika umekua baraka
@kelvinsanga36148 ай бұрын
Namba 3 nimebarikiwa nitaifanyia kazi
@agnesspaul18668 ай бұрын
❤❤❤❤ Ubarikiwe
@RICHARDWAUSA8 ай бұрын
Asante mwalimu
@michaelsafari8 ай бұрын
Swadakta kabisaa
@kuruthumukondo71497 ай бұрын
Asante sana kaka angu tunashukuru sana kwa elimu❤❤
@AugustinoNikizaАй бұрын
000asante sana kaka
@hussenmohamed46498 ай бұрын
Nimejifunza kitu broh
@MwanaishaHemed-xi6rj8 ай бұрын
Asante Sana
@Angelbakari7 ай бұрын
So niceee❤
@IssaSelemaniAthumani8 ай бұрын
Asante kaka
@lebahatikeiya86668 ай бұрын
Ubarikiwe sana brother joel
@amobilesoftware8 ай бұрын
Hbr msaada wa no ya bro Joel nanauka
@PaulNyagenda-ym4ug8 ай бұрын
Be blessed sana brother 🙌
@bernadetachari76488 ай бұрын
Nikweli mwalimu kwaunacho kisema biashara inataka muvuto