MAMBO YOTE UNAYOHITAJI KUFAHAMU KUHUSU UWEKEZAJI NA UTT-AMIS

  Рет қаралды 97,421

BizTV Tanzania

BizTV Tanzania

3 жыл бұрын

Je, umeshawahi kuwaza kuwekeza fedha zako? Unafahamu ni wapi pa kuwekeza ? Faida ya kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji ni ipi? Afisa Masoko na Uhusiano kutoka Taasisi ya Uwekezaji Tanzania UTT Amis Rahim Mwanga anaeleza kwa kina kuhusu uwekezaji wa fedha kupitia mifuko ya pamoja ambayo unaweza kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha pesa ulichonacho. Fuatilia #darasalauwekezaji

Пікірлер: 147
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 2 ай бұрын
Mimi nipo nawekeza UTT Liquid. Ni nzuri sana. Watu wahamasike kuwekeza, hutajuta.
@athumanimvula3718
@athumanimvula3718 2 ай бұрын
Ipoje hiyo
@edwardmunanilaedward8280
@edwardmunanilaedward8280 2 жыл бұрын
kwa maoni yangu hajatokea mtu anayetoa maelezo kwa ufanisi na kwa kiswahili fasaha bila kuchanganya lugha kama wewe. Mtu yeyote ataelewa tu. Asante sana.
@stephengalinoma8590
@stephengalinoma8590 4 ай бұрын
Kweli km mimi siwezi kabisa.. ni kilemakikubwa
@gerriemagic
@gerriemagic 2 ай бұрын
Darasa kubwa sana hili. Nina swali. Riba ya mfuko wa Ukwasi ni compounded interest au ipoje? Asante
@dajia4787
@dajia4787 Ай бұрын
hii elimu ni nyema ingekua inafundishwa kwanzia shule za misingi
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
Sahihi kabisa👍
@Tonga994
@Tonga994 2 жыл бұрын
Nashauri muwe na utaratibu wa kutembelea taasisi mbalimbali kutoa Elimu hii,kwani watu hawana taarifa sahihi juu ya taasisi hii mtapata wateja wengi sana na ushindani ni mkubwa hivyo nina mashaka pia na baadhi ya Mawakala wenu,hawautangazi huu mfuko inavyotakiwa
@editatairo9667
@editatairo9667 3 жыл бұрын
Yaani umeelezea vizuri sana hata ambaye hajaenda shule ataelewa. Asante sana UTT AMIS watanzania wanahitaji ufafanuzi rahisi na unaoeleweka kama huu bila kuficha ficha elimu. Big up sana. Mimi nipo nanyi UTT
@mariamkhamis2318
@mariamkhamis2318 3 жыл бұрын
Ni kweli. Mimi niliwekeza. Sh. Milioni mbili na laki tano. Nilipata...milioni. Nane faida...ahsante bado nawekeza..
@editatairo9667
@editatairo9667 3 жыл бұрын
@@mariamkhamis2318 milioni nane ni including mtaji uliokuwa umewekeza au ni faida peke yake?
@editatairo9667
@editatairo9667 3 жыл бұрын
@@mariamkhamis2318 Na je uliwekeza katika mfuko upi kati ya mifuko yao ya ueekezaji?
@joramgabriely7949
@joramgabriely7949 2 жыл бұрын
@@mariamkhamis2318 Ulifanyaje sister naomba mbinu bas
@chax255
@chax255 2 жыл бұрын
@@mariamkhamis2318 Habari Mariamu uwekezaji wako ulikua wa muda gani?
@yudatadedaniel1119
@yudatadedaniel1119 9 ай бұрын
Ahsante kwa wasilisho maridadi utulivu mkubwa katika kuelimisha Hongera sana muwasilishaji nimekuelewa
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 7 ай бұрын
Pale Arusha customer care haipo sawa wana jibu kama vile hawataki uingie kwenye uwekezaji Malingo mengi na hawa mweleweshi mteja ipasavyo muwaeleze wajifunze hizi ni pesa. Na wao wana taka mteja
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley 2 ай бұрын
Ofisi zao hapa Arusha ziko maeneo gani ndugu. Naomba unielekeze niweze kufika na kuwekeza
@Amon-xs4nq
@Amon-xs4nq Ай бұрын
Jengo la Ngorongoro gorofa ya 4​@@RasheedyKingsley
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
Ni tatizo la watumishi wengi wa serikali wapo hivyo.hawajali ...si mshahara unaingia tu kila mwezi 😂
@dianakarua7809
@dianakarua7809 17 күн бұрын
Upo sahihi yaan hawajali kabisa na hawakupi elimu yyte ukienda kama vile unawabembeleza yaan
@dulshanrergChannel1
@dulshanrergChannel1 2 жыл бұрын
Wanachuo wasiogope this chance kwani ni nzuri mnooo kwa sisi #futurebillionaires
@jeffengelbert5623
@jeffengelbert5623 Жыл бұрын
U can't be a billionaire by getting 20 % return bhana😅
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
​@@jeffengelbert5623think big start small...inawezekana 🔥
@FaidaMinogape-oi2rj
@FaidaMinogape-oi2rj 4 ай бұрын
Thank you,kuanzia leo nawekeza
@Tonga994
@Tonga994 2 жыл бұрын
Nimeelewa vizuri sana kwa kweli,nimekuwa nikiisikia hii taasisi ila sikuwa napata maelezo mazuri kama hivi
@lazaromahulo9316
@lazaromahulo9316 Жыл бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri. Nina swali dogo. UTT AMIS, mmejipanga au mnakabiliana vipi na matapeli wa mtandaoni kama tunavyosikia wamejaa Tanzania juu ya uwekezaji huu as far as unakuwa controlled na simu ya mwekezaji?
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Asante kaka angu mwenyezimungu akupe umri mrefu AMIIIN
@beatricebosco377
@beatricebosco377 Ай бұрын
Daaahhh bonge LA elimu ahsanteeee
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Ahsanteee Kwa SOMO Zurii
@mwanakombotwalibu7232
@mwanakombotwalibu7232 Жыл бұрын
Asante kwa maelezo mazuri Nimeelewa sana Barikiwa
@clementkimweri4833
@clementkimweri4833 2 ай бұрын
Nahitaji kuwekeza ila naomba kufaham kiwango cha Chini kuanza kuwekeza
@joyceassenga3012
@joyceassenga3012 28 күн бұрын
Nawekeza mfuko wa umoja nilianza na elfu 10 tuu
@jackytuyi8899
@jackytuyi8899 2 жыл бұрын
Umeeleza vizuri mno. Asante
@jumamabu3650
@jumamabu3650 6 ай бұрын
Maelezo mazuri , elimu itolewe kwa watanzania wengi wanaumia na vikoba bila manufaa yoyote
@onesmoaugustino2765
@onesmoaugustino2765 Ай бұрын
Point kabisa
@CharisterWagofya
@CharisterWagofya 10 ай бұрын
Asante nimekuelewa mwelimishaji ubarikiwe sana
@NamkundaMnyone-zn5mn
@NamkundaMnyone-zn5mn Жыл бұрын
Nzuri sana sema wabongo hawajieewi
@husseinchogerosamo5173
@husseinchogerosamo5173 2 жыл бұрын
Maelezo yenye kueleweka vizuri.ahsante
@beatricejames-ss9sx
@beatricejames-ss9sx 2 ай бұрын
Maelezo mazuri sana bro! You nailed it
@Editha905
@Editha905 2 жыл бұрын
Yes we are in
@magdalenashayo1256
@magdalenashayo1256 2 жыл бұрын
Asante sana
@nasra7257
@nasra7257 Жыл бұрын
🙏sana jamni nimefrahi,wanangu nwafungulia
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Thanks br trust is everything.
@user-nc1yq7pj8q
@user-nc1yq7pj8q 3 ай бұрын
Mimi naona hii ni nzuri Sana kwa kumunua mtuu wachini
@cheetahmnyamala4338
@cheetahmnyamala4338 2 ай бұрын
Asante kaka
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Asante
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Kama mtanzani yupo nche ya nchi inakuaje ?
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana.
@user-bd2jp1zs3d
@user-bd2jp1zs3d 6 ай бұрын
Asante Kwa elimu 2:40
@kazoyamongateko7764
@kazoyamongateko7764 10 ай бұрын
Umeeleza vizuri sanaaa wewe kuliko wengine
@jeffengelbert5623
@jeffengelbert5623 Жыл бұрын
Sasa kama lengo ni kutunza thamani ya pesa mbona returns zenu hazi keep up with inflation. ( mfumuko wa bei)
@barakavlogs913
@barakavlogs913 25 күн бұрын
Msaada nimedeposit initial deposit ya 100k kwenye liquid fund Asa nangalia account balance inasema ni 0.. sijui tatizo linaweza kuwa nini
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 2 ай бұрын
Congratulations.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Nice
@biztvtanzania9873
@biztvtanzania9873 2 жыл бұрын
Thanks
@enockkabelege-gy7fz
@enockkabelege-gy7fz Жыл бұрын
Nimekuelewa
@kassimbilali5779
@kassimbilali5779 Жыл бұрын
Je unaweza kupoteza mtaji wako kabisa Kama ikitokea hasara?
@lizernest7852
@lizernest7852 2 жыл бұрын
Very informative
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 2 ай бұрын
Please take action !
@rebeccadavid5491
@rebeccadavid5491 Жыл бұрын
Watanzania vitu vya msingi hawaafatiliii
@pendomaro3500
@pendomaro3500 3 ай бұрын
Naitaji kuingia naomba maelekezo nipo dar
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 23 күн бұрын
Kwan saiv kunashida gan mbona mimi leo account yangu haifunguki🥹
@OnesmoMleba
@OnesmoMleba Күн бұрын
Mawasiliano
@shomarishemlingo2363
@shomarishemlingo2363 Жыл бұрын
Naomba nipate no yenu ya ofisi nahitaj maelekezo zaidi
@onesmoaugustino2765
@onesmoaugustino2765 Ай бұрын
Hawa jamaa wamejipanga sana. Bonge la mpango na mchakato. Huyu aliyelezea pia sio tu uwazi ameonyesha na ubora wake pia. Jamii kubwa bado ipo gizani kuhusu hii utt .tunawaomba muelimishe jamii kuhusu hii
@paullukumay
@paullukumay 8 ай бұрын
ivi kwa mfano nawekeza elfu kumi au laki moja kwa mwezi napata faida shiling gapi au kwa mwaka napata shilingi gapi kwa mwaka.........! nitashukuru nikifafanuliwa zaidii
@franklyn7439
@franklyn7439 7 ай бұрын
Laki moja kwa mwaka unapata elfu 10
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Nimewasikia vizuri mimi ni mdau naomba munipe uwakala ktk mkoa wa kilimanjaro,nitaanza na same na mwanga.
@paschalmatinde321
@paschalmatinde321 Ай бұрын
Mimi kitu kikihusishwa na serikali, daah hua naogopa balaa
@stamilmasudi8748
@stamilmasudi8748 6 ай бұрын
Kuna watu wamesikia na kuelewa, ilaa baada ya kwenda kuwekeza pesa, wanawekeza kwenye comment humu 😂😂😂
@josephmwasaga3710
@josephmwasaga3710 6 ай бұрын
Namba ya maulizo unapopata tatizo la dharura?
@user-yi2ug5ig8y
@user-yi2ug5ig8y 11 ай бұрын
Jamani huu ni upumbavu kitu nachokipitia leo kwa uwekezaji wa mzee hawa mwezi tu amna kitu
@eliahmaluguofsua
@eliahmaluguofsua 10 ай бұрын
Hebu eleza kidogo na wengine tusiingie mtegoni
@lizm9221
@lizm9221 7 ай бұрын
Umepitia nini mwenzetu? Tujuze… maana mimi nimewekeza miaka 10 na sina shida yoyote
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
Acha upotoshaji 😂
@jumalihilwike1586
@jumalihilwike1586 Жыл бұрын
I wish ningejua hili kipind nina boom la chuo🤦🤦🤔🤔
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Жыл бұрын
Hahaha,majuto ni mjukuu. Anza sasa usije kujuta tena baadaye nguvu zikiwa zimeisha.
@samwelpanga2404
@samwelpanga2404 7 ай бұрын
Umekuala bata ndo saiv unapata akili siyo ok bado hujachelwa 😂
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
​@@samwelpanga2404😂
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
Wakati wa mungu ndio wakati sahihi hujachelewa!
@user-vj6zs8gb2k
@user-vj6zs8gb2k 3 ай бұрын
Unguja mmeshafika?
@daudimartin1865
@daudimartin1865 2 жыл бұрын
Samahani naomba kujua ukitaka kotoa pesa yako unatoaje?
@swalhinajuma4149
@swalhinajuma4149 8 ай бұрын
Unaenda kwenye tawi la utt amis unajaza fomu ya kutoa pesa unapatiwa na kipande cha risiti,pesa itaingia kwenye akaunti yako baada ya masaa 72 ya siku za kazi yaani siku tatu
@andrewmpakasi3934
@andrewmpakasi3934 Ай бұрын
Naomba nijiunge na mfuko mmoja nifanyeje je ni mda wowote naweza kujiunga?
@Amon-xs4nq
@Amon-xs4nq Ай бұрын
Unajiunga muda wowote...siku za kazi wapo wazi
@enockkabelege-gy7fz
@enockkabelege-gy7fz Жыл бұрын
Niliwekeza tangu 2004 Hadi Sasa sipati mrejesho wowote, wakati huo ilikuwa UMOJA ? Naomba majibu.
@mwajumarajab5629
@mwajumarajab5629 7 ай бұрын
Wapigie kwa namba zao.
@user-bu7rq6tk2c
@user-bu7rq6tk2c 5 ай бұрын
Ni serikali au binafsi hiyo UTT -AMIS
@calebmasaba5815
@calebmasaba5815 3 ай бұрын
Anza tena kuangalia video utapata jibu lako
@protasmtechula9705
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Hasante
@burtonwikedzi33
@burtonwikedzi33 Жыл бұрын
Mimi nilinunua vipande 150 mwaka 2005 na niliruhusu faida inayopatikana iendelee kununua vipande, hadi sasa sijui nina vipande vingapi na nina faida kiasi gani. Nikipata jibu nitashukuru.
@salmahassan3861
@salmahassan3861 7 ай бұрын
Ukienda ofisini kwao utapata jibu... unaweza kuwa na 1.5m kwa sasa
@Pointofyou.u
@Pointofyou.u 7 ай бұрын
15:16
@haisammariam2016
@haisammariam2016 2 жыл бұрын
Hizo hatari ni zipi?
@dausonkagumbu9378
@dausonkagumbu9378 Жыл бұрын
Kupanda na kushuka kwa bei ya vipande kulingana na mwenendo wa soko ndio maana haushauriwi uwekeze ukiwa na matarajio ya kuvuna faida kubwa ndani ya muda mchache
@hamid3089
@hamid3089 2 жыл бұрын
Hamid
@mariamgulunde1318
@mariamgulunde1318 Жыл бұрын
Dodma ofis zipo wapi?
@kabulajoseph2057
@kabulajoseph2057 Жыл бұрын
@@mariamgulunde1318 ziko pale jengo la nmb jirani na hospital ya makole
@user-bu7rq6tk2c
@user-bu7rq6tk2c 5 ай бұрын
Ni serikali au binafsi hiyo Utt am
@celinamadamwa1266
@celinamadamwa1266 3 ай бұрын
Hii ni serikal sio taasis binafsi
@makendirichard
@makendirichard Ай бұрын
35:00
@kingiagritech_ltd
@kingiagritech_ltd 8 ай бұрын
Hedge fund
@magretushaki9584
@magretushaki9584 Ай бұрын
Saf
@lisajumbe2582
@lisajumbe2582 3 жыл бұрын
Je unaweza kuwekeza kwenye zaidi ya mfuko mmoja?
@editatairo9667
@editatairo9667 3 жыл бұрын
Yes
@mariamkhamis2318
@mariamkhamis2318 3 жыл бұрын
Ni kweli mimi niliwekeza .milioni mbili laki tano...nilipata faida.ya sh. Milioni nane..
@anethnziku9392
@anethnziku9392 3 жыл бұрын
@@mariamkhamis2318 kwa miaka mingapi
@rtp9010
@rtp9010 3 жыл бұрын
@@anethnziku9392 Hapo sasa
@anethnziku9392
@anethnziku9392 3 жыл бұрын
@@rtp9010 mimi nimeangaika kuresearch sijapata data kamili itabidi niende ofisini kwao
@dsamwel820
@dsamwel820 3 ай бұрын
Wrong financial advice but Good kama unataka kwenda slow,,,
@user-nn6mp8qj9l
@user-nn6mp8qj9l 3 ай бұрын
What's the best financial advice?
@annafuraha8303
@annafuraha8303 2 ай бұрын
Naomba good financial advice
@VailetKivunja-pp8sj
@VailetKivunja-pp8sj Жыл бұрын
Mko wapikwa ss
@priscasanga
@priscasanga 11 ай бұрын
Mwishoni amesema😅 Mna harakaaaaaa😅
@ahz6907
@ahz6907 23 күн бұрын
​@@priscasangawabongo...namna yetu 😂
@user-fc7wz9ww2g
@user-fc7wz9ww2g 8 ай бұрын
Hampokei simu 44:02
@a311yaga4
@a311yaga4 2 жыл бұрын
Je ninawapata wapi office zenu nije
@lucasandrew1112
@lucasandrew1112 2 жыл бұрын
Wapo sukari house ohio street posta dar es salaam
@reubendonald7820
@reubendonald7820 2 жыл бұрын
@@lucasandrew1112 naomba nipate mawasiliano ya UTT
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 2 жыл бұрын
Kama umeshapata mawasiliano namimi nisaidie Tina ya umaskini ndo ii
@yasmineey1286
@yasmineey1286 2 жыл бұрын
So 🤓🤓
@lovenessandrew9121
@lovenessandrew9121 Жыл бұрын
Hii ni mind game kwenye stock market.... kiufupi niwekeze Milioni Kwa mwaka ili ije izae laki moja ndani ya hyo miezi kumi na mbili,Kwa lugha rahisi ntaxalisha almost elfu nane kila mwezi kwenye Milioni niliyoipa serikali,kipindi hcho serikali imeenda kuwekeza Milioni yangu kwenye miradi inayozalisha faida jumuishi kubwa zaidi.....na ili nipate faida zaidi manake niendelee kuingiza mtaji(hisa) zaidi kwenye taasisi bila kuichukua ili isiathiri faida yangu....ndivyo hvyo!? Nahisi nahitaji elimu zaidi..... Hii ni opposite na kikoba ni vile naikopesha taasisi inanipangia riba ya kunilipa
@ticaslymenthmike790
@ticaslymenthmike790 Жыл бұрын
Hii ni risk free compare tu ww ukisema uchukue ukafanyie biashara kuna probability either upate zaidi au upoteze na huo mtaji wenyewe…besides hela ya savings ndo inatakiwa ikae UTT kma vile unaweka bank tu coz unauwezo wa kurepurchase anytime
@msafirieliasi1338
@msafirieliasi1338 Жыл бұрын
Kk mm ntk kuwekeza je mnapatikana benk ipo ???
@TechAfrica
@TechAfrica 6 ай бұрын
Nafikiri lengo kuu haswa la kuweka pesa huku kwenye UTT sio kwamba ndio inakua ni bishara yako kuu, hii ni investment moja wapo tu ya investment nyinginezo nyingi ambazo mtu unakua nazo. Lakini hii ni investment ya muda mrefu na faida yake inakuwa kidogo kidogo, hivyo unahitaji kuwa na investment zingine zinazo kupa pesa nyingi kwa haraka, halafu hii ni ya muda mrefu ambayo ni kama akiba ya mbeleni kwenye maisha.
@NuratyAlly-lq7xc
@NuratyAlly-lq7xc 3 ай бұрын
Kuwekeza milion kuja kupata faida laki kwa mwaka mmh hii sio kweli labda kama sina kazna hiyo hela
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 23 күн бұрын
Kwan saiv kunashida gan mbona mimi leo account yangu haifunguki🥹
@user-xb4sk7gq1u
@user-xb4sk7gq1u 18 күн бұрын
😮😢😢😢
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 15 күн бұрын
Nishaona​@@user-xb4sk7gq1u
@honeykhaska1819
@honeykhaska1819 2 жыл бұрын
Mawasiliano
@priscasanga
@priscasanga 11 ай бұрын
Mwishoni ametaja namba
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 23 күн бұрын
Kwan saiv kunashida gan mbona mimi leo account yangu haifunguki🥹
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 23 күн бұрын
Kwan saiv kunashida gan mbona mimi leo account yangu haifunguki🥹
@Sammakundi
@Sammakundi 19 күн бұрын
Nenda ka update app inafanya kaz vizur
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 15 күн бұрын
Tayar dear ahsante ​@@Sammakundi
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
UTT AMIS PLC
Рет қаралды 2,7 М.
UWEKEZAJI NA MANUFAA YAKE: UTT AMIS WANATOA UFAFANUZI ZAIDI
22:47
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 33 МЛН
IFAHAMU MIFUKO 6 YA UTT AMIS | PART 2
16:53
Bupe Kibiki
Рет қаралды 6 М.
Kufungua Akaunti ya Uwekezaji ya UTT AMIS: Hatua kwa Hatua
6:56
Elimika Mtandaoni
Рет қаралды 18 М.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 50 М.
IJUE BENKI KUU YA TANZANIA - UWEKEZAJI KATIKA DHAMANA ZA SERIKALI
28:46
UHURU WA KIFEDHA Na Edmund Munyagi
44:34
Edmund Munyagi
Рет қаралды 9 М.
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 7 М.
JINSI YA KUWEKEZA NA UTT By Pauline Kasilati
14:57
Edmund Munyagi
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 36 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН