SIYO KILA MUUJIZA NI WA MUNGU•KWA SASA MIUJIZA NA UPAKO VINAUZWA MADUKANI 20M | Mch.Amiel Katekela

  Рет қаралды 31,711

PROMOVER TV

PROMOVER TV

19 күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 168
@ReubenMbanga
@ReubenMbanga 2 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi katekela, watu wamevutwa na upako wa Shetani.
@faithe4063
@faithe4063 18 күн бұрын
Najaribu kushare huu ujumbe kwa mamangu ila aelewi amefungwa na awa manabii adi kuomba siku izi anaomba hivi Mungu wa nabii 😢yani jina la Yesu limetoeka kinywani mwake kabisa, sijui ni lini neema ya Mwenyezi Mungu litaokoa mamangu
@annkim2690
@annkim2690 18 күн бұрын
Mungu amsaidie mjulishe kuhusu hii channel ya promoverTV
@IbrahimMgimba
@IbrahimMgimba 18 күн бұрын
Amini kua wewe ni daraja lake kumwamini Mungu aliye hai kama mama yangu pia alivyoanza kubadilika.. Mungu amsaidie Amina
@myself4128
@myself4128 17 күн бұрын
Ukishasikia Mkristo anaongelea Madhabahu za manabii anajiungamanisha ujue basi ni Msukule,Mitume na manabii wote waongo sababu Nabii hajawahi Kuongoza Kanisa,Neno la Mungu linayoaha kuponya hauhitaji Mafuta wala maji wewe uendelee kumuombea tu ipo siku atakombolewa!
@faithe4063
@faithe4063 17 күн бұрын
@@myself4128 yeah sitakata tamaa nitaomba ata kufunga Mam wangu ndio alinifanya nimjue Yesu kwa hiyo sipendi apoteswe na awa waongo
@faithe4063
@faithe4063 17 күн бұрын
@@annkim2690 ata uwa na share ili azikilize mwenyewe ila unajua awa manabii sijui wakona na kifumba macho asikii kweli atakubali leo kesho unasikia ameenda uko 😭neema ya Yesu imkumbuke tu
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 5 күн бұрын
Sichokagi kumskiliza huyu mchungaji jmn hakika ww umetumwa na Mungu uokoe kondoo waliopotea Mungu akubarik sana🙏🙏
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 күн бұрын
Yesu alisema sikutumwa bali kwa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel je wewe nimuisrael??? Au haya maneno aliyo sema yesu niuongo ?? Alidanganya kwamba yeye hakutumwa Bali kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel???
@lilyg2134
@lilyg2134 2 күн бұрын
@@zaidiissa3714 WE NAE TUPISHE SIE, KWANI HUO UISLAM WA BABAKO HUKO MAGWEPANDE? SI LIMUNGU LA KIARABU...NENO LINASEMA WAGALATIA 3:13-14 "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kuchukua laana hiyo kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Mtu anayetundikwa msalabani amelaaniwa.” 14 Lakini alitukomboa ili baraka aliyo pewa Abrahamu iwafikie na watu wa mataifa mengine kwa njia ya Yesu Kristo. Na kwa kutegemea imani, sisi tupate kupokea Roho Kwa njia ya aman"....... SISI TUPO BUSY TUNASKILIZA NENO WE UNACHOWAZA UFALA WAKO KUTAKA KUBISHANA, ILI MRADI TU KUTUVURUGA USHINDWE KWA JINA LA YESU...KACHEZE UNAKO CHEZAGA
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 18 күн бұрын
Mnaompinga amieli kaeni kimya na BWANA wetu YESU kiristo wa nazaleti awakemee.
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x 15 күн бұрын
Mch,Katekela mimi nakupata sana nikiwa Burundi,MUNGU akutumie zaidi hakika ww ninabiii wanyati zamwisho,Ee Tanzania mumebarikiw kuwapata watumishi kama katekela,karibu kwetu Burundi kabisa,Tanzania mumepata neema kuwapata watumishi wazuri kama hao na msipo pokea hiyo neema mtakuw mumelogwa sisi huku burundi tutaipokea tu!Katekelaaaaa YESU KRISTO abarikiw ndani yako,na penda hiyo mtu mzima hatishiwi nyauuu
@rishyatuni
@rishyatuni 3 күн бұрын
Nabii, Bw Yesu asifiwe. Nimependa kipindi chako. Naomba msaada wako kwa familia yangu Baba
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 күн бұрын
Yesu alisema Mimi yesu skutumwa bali wa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel jee haya maneno ya yesu kusema Mimi sikutumwa ila kwakondoo waliopotea wa nyumba ya Israel niyauongo???
@prosperousbuildingconstruc3500
@prosperousbuildingconstruc3500 14 күн бұрын
Nakubariana ne waw 100% from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@israelimarco6465
@israelimarco6465 6 күн бұрын
mlete Mungu wa kweli mi naona kama haumleti Mungu wa kweli na kuonysha kwa watu m naona unawapromote
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 Күн бұрын
Hongela mtumishi bendera chuma mulingoti chuma
@EliasHamisi-uy7qo
@EliasHamisi-uy7qo 10 күн бұрын
MTUMISHI UBARIKIWE SANA KWAKUFANYA LISAJI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NA KUWAUMBUA WATOTO WA SHETANI
@joycekaje8755
@joycekaje8755 18 күн бұрын
Ubarikiwe mno baba Mchungaji, nabarikiwa na mahubiri yako .Nakufuatilia kutoka Uholanzi.
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 18 күн бұрын
Mungu wa isaka na yakobo akuinue sema sana mara sabin
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 18 күн бұрын
Ilikuwa mwezi wa11 nikiwa nimejifungua kwa opp na mwanagu nikampoteza yule nabii alinambia mpaka mwezi wa1 utakuwa umebeba mimba nayo itakuua sasa tuma sadaka nikukomboe walah alivonambia vile nikakata sim sikumtafuta tena ila mpaka sasa nipo na mimba haijawahi ingia namtukuza Mwenyezi Mungu tangu siku hiyo niliacha kusikiliza hawa wanajiita manabii
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 18 күн бұрын
Ukisikia tu neno tuma pesa nikuombee basiiiii kimbiaaaaa maombi hayauzwi. Sadaka ni hiari ya moyo. Kama ni Roho Mtakatifu anamuongoza mtumishi kusema utoe Huwa haiwi kama lazima. Manabii wa kweli wapo ila wachache sio kwamba hawapo. Lakin kuwajua LAZIMA uwe na Roho Mtakatifu ndani yako . Bila hivyo hutatofautisha. Ubarikiwe ulikata simu kabisa ndugu v
@sarahmaro215
@sarahmaro215 18 күн бұрын
Ubarikiwe, YESU akutunze na Huyo mtoto aje awe mtumishi wa MUNGU.
@LatiphaMwanga
@LatiphaMwanga 16 күн бұрын
Nafuu ulisanuka mapema maana alikuwa anataka kukufanya wewe kitega uchumi
@idrisajaphary8275
@idrisajaphary8275 15 күн бұрын
Unafikiri kwa nn manabii watu wanawapenda ni ule upako wa uponyjaji kufufua misekure na unajua hatima sasa uwezi sikia nabii ana mzungumza vibaya mchungaji
@makoti77
@makoti77 15 күн бұрын
Huyu ndo katekela tunayemjua sisi sasa,Wuuuuuh Hatari sana.. piga baba MUNGU yuko pamoja na wewe, na sisi tunakuombea.. maana hapa katikati ulianza kuwa na hekima flani unapozesha maneno, ila hii ndiyo dawa yenyewe imeingia...🙌🙌🙌🙌
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 13 күн бұрын
Nabarikiwa Babaa,maelfu ya watu wanaenda kuzimu kwa sababu ya kukosa mafundisho sahihi.
@sarahmaro215
@sarahmaro215 18 күн бұрын
Bendera chuma mlingoti chuma. Nimependa hiyo,❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@lusajomwakibinga6912
@lusajomwakibinga6912 18 күн бұрын
Huwa nabarikiwa Sana kukusikiza kaka God bless you
@user-wq5zw9mj8o
@user-wq5zw9mj8o 18 күн бұрын
Mungu akubariki sana pastor katekela wewe ni mtumishi wa kweli na Mungu amekutuma ili utufungue kwenye uteka wa kuzimu
@YudatadeyMassawe
@YudatadeyMassawe 7 күн бұрын
Mungu akubariki,injili kama hii kwa nyakati zetu inahitajika ili kurudisha waliopote,,
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 17 күн бұрын
Kwakweli ulikuja kutuokiloa wengi ...mimi nimewahi kunywa mafuta ya upako ya nabii mmoja mpaka tulikua tunamwekea kaka etu kwa chakula ili kiu ya pombe na sigara ikate lakini haikukata....lakini namshukuru Mungu sana baada ya kukufahamu mch katekela alinifanya niokoke baada ya kusikia shuhuda zake kwa muda mrefu na alipokua matemela songea niliona analia na kusema mnakataa kuokoka ninyi aaah nililia na nikaokoka japo ilikua ngumu sana ...mpaka leo nimeokoka na namuona Mungu kwa viwango vya juu sana......Nasema mch katelela Mungu amekutuma kwaajiri yetu.....Naubarikiwe na Bwana kwa huduma
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 14 күн бұрын
Mungu akutunze
@user-jw7uo5po4m
@user-jw7uo5po4m 12 күн бұрын
Mafundisho hayo ya mchungaji Katekela ni ya uongo kwa sababu watumishi hao wanakuambia uchukue maji yako ya nyumbani kwako unaomba nao na matokeo yanaonekana. Halafu toa mfano wako wewe wala sio watu waliokufa. Tunataka na wewe ufanye miujiza. Mbona unarukaruka tu?. Umesema miujiza ya Mungu haina formula, mbona unataka wote wafuate akina Moses kulola walivyokuwa wanafanya? Hata mkipiga MANENO hamuwezi. Mbona wagonjwa wenu wanakwenda kuponea kwao? Kinachofanya watu waende kwao ni kwa sababu ninyi hamna upako. Watu wanakaa kwenu na mizigo kama utasa hawapati matokeo. Rudini kwa Mungu Ili awape UPAKO. KULIKO kushambulia. Baada ya Kuwa mmekosa upako, Mungu amegeukia upande wao.
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 18 күн бұрын
Sema kweli mchungaji wenye masikio wasikie . Wenye macho waone wenye akili watatambua. Wabishi wataangamizwa tumepewa kuchagua uzima na mauti
@lulungunda354
@lulungunda354 18 күн бұрын
Namufatilia sana sana ,ulinivusha mahali,.promover Yesu akutunze na timu nzima,
@EricMaingi-f8b
@EricMaingi-f8b 10 күн бұрын
Amina, mchungaji Amiel, Mungu amekupa Neema kuu.
@mariamibrahim6544
@mariamibrahim6544 2 күн бұрын
Majini kila mahali, hatuko salamaa,
@carolinemrosso9006
@carolinemrosso9006 17 күн бұрын
Sasa mtumishi wa Mungu kwa wale ambao tayari wameshakanyaga hizo madhabahu zao na kutoa sadaka zao pale wakiamini pana Mungu,, na mafuta wakakanyaga na kuyanywa na maji ya upako na keki ya upako wakala je watafanyaje wajiengue na hilo agano??
@bobutingababayo5047
@bobutingababayo5047 14 күн бұрын
Hakuna kinachoshindikana kwenye Toba Waombe toba ya kweli na kuacha kuendelea nayo kabisa na damu ya Yesu itamsafisha na kumuondolea vyote viliokuwa vimeingia ndani
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 17 күн бұрын
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, ASANTE MUNGU KWA NENO HILI.
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 6 күн бұрын
Amina Amina Mtumish injili isonge mbele kwa jina la YESU
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 17 күн бұрын
Be blessed pastor amiel katekela am blessed more
@fitinamarando
@fitinamarando 18 күн бұрын
Asante sana Mch Katekella nabarikiwa sana
@user-rj1ef6je8k
@user-rj1ef6je8k 10 күн бұрын
Mtumishi me nifanyeje,nimetumia sana Mafuta ya Mwamposa,kukanyaga,kunywa na kujipaka,mpaka saivi nina miaka 2,situmii lakini maisha yangu ni shida2
@user-rj1ef6je8k
@user-rj1ef6je8k 10 күн бұрын
Ameen,Mtumishi,ni kweli tupu tunayaona
@user-ww7jr4vm5u
@user-ww7jr4vm5u 17 күн бұрын
Ubarikiwe mchungaji karibu kwetu burundi ❤
@maryjohn2580
@maryjohn2580 15 күн бұрын
Barikiwa Mtumishi, Roho Mtakatifu Asichezewe nimependa sanaaaaaaaa❤
@user-uk2cz3ws4k
@user-uk2cz3ws4k 16 күн бұрын
Ubarikiwe sana,Moses kulola wa baadae,Mungu akutunze
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx 13 күн бұрын
Ezekiel 13:1 ( tusome tuelewe) mchungaji katekela ubarikiwe sana pamoja na promover Tv
@mosesmagehema615
@mosesmagehema615 4 күн бұрын
Rahel
@BeniMsokile
@BeniMsokile Күн бұрын
Amieli anasema ukweli kabisa
@sarahmaro215
@sarahmaro215 18 күн бұрын
Unanibariki sana Katekela, karibu Tabora
@Bigborashots
@Bigborashots 17 күн бұрын
GOD BLESS U PR @katekela
@Baba-JJ
@Baba-JJ 8 сағат бұрын
Miujiza ni ya MUNGU, hiyo ambayo si ya MUNGU inaitwa MAZINGAOMBWE.
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 3 сағат бұрын
Hauwezi pata number yake mimi ninateswa na kufanya tendo la ndowa usiku kukabwa usiku, kujiona niko cooni kukanyaga kwenye kinyesi, kula nyama mbichi. Nimezikosa
@user-oj3on2hn9q
@user-oj3on2hn9q 13 күн бұрын
Ubarikiwe. Mtumishi. Kunifu gua. Mana,
@josephjames4587
@josephjames4587 15 күн бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishii mie ukwel unazidi kunifunguaa
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 3 сағат бұрын
Wenye tunaishi mbari tunateswa na nguvu za giza, mnayunyima number ya mchungaji ili tumelezee shida zetu. Sasa mchungaji ni wa wenyeji wa kitanzania tuuuu????????
@apostlejoshuadaniel2105
@apostlejoshuadaniel2105 5 күн бұрын
Ndugu hubiri injili iletayp toba iletayo ondoleo la dhambi. Hizo habari za kuzimu siyo lengo la Kristo
@user-ql4qw3ow4r
@user-ql4qw3ow4r 6 күн бұрын
Asante sana Mchunqaji
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 3 сағат бұрын
Jamani kwa nini wajitwishe thambi yakudanganya watu? Mungu atawalaani
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 3 сағат бұрын
Mungu amekuokowa.
@davidurasa6360
@davidurasa6360 Күн бұрын
Amen
@israelimarco6465
@israelimarco6465 6 күн бұрын
wananchi na WA Tanzania wenzangu ngoje nikwambie kitu hebu tufuatilie vzr injili ya kristo. injili ya kristo ilitembea na nguvu na miujiza Sasa hebu katikela watu wengi wanahitaji misaada ya mwili mpe mtu miujiza ya kweli na watu watakifuata wenyewe watanzania wanahitaji msaada
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 17 күн бұрын
Mtu mmoja anipee namba ya huyu mtumish tafadhali sana naomba kuogea nae ju ya maradhi yasio na tiba
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 17 күн бұрын
Unawezapata namba yake ukifuatilia zile ushuhuda zake promover TV na hata ukimwita kumpata ni shida sana maana watu ni wengi sana wanao mtafuta
@carolinemrosso9006
@carolinemrosso9006 17 күн бұрын
Jaman tupeni namba zake uwiiiii mafuta na maji na keki tumezila saana na sadaka tukatoa lakin tupo vile vile na zaidi sana tumezidi kupoteza na kuharibika
@DevothaBenedictor
@DevothaBenedictor 15 күн бұрын
Nakukubali sana mungu akubaliki sana, 12:44
@ASHIRAFMBARACK
@ASHIRAFMBARACK 5 күн бұрын
Ubarikiwe xana mchungaji katekela
@user-wt9kj7gl1i
@user-wt9kj7gl1i 18 күн бұрын
Ukweli kabisa ❤
@karimmveyange280
@karimmveyange280 4 күн бұрын
Bonney alikamatwa kit miaka wa nchi fulani akiwa na Madawa ya kulevya kit Yale maspika yake maziiito aliyo Tim Is kuhubiria. Ilikuwa no mzigo wa nguvu wa mabillion ya USD Akiwa Anatolia Malawi mwaka fulani alinikuta Mimi nikiwa nampitisha kama Customs Officer On duty miaka hiyo.Akaeeka kitu Jangwani Dar. Akaunguruma . Aliniachia zawadi yamakalenda yakeee. MIAKA 3 baadae nikasikia habari yake kukamatwa. Shida no MTAWALA WA DUNIA HOI NI SHETANI, NA HAL WANAO FANYA BIASHARA HIZO MBOVU NO MASHETANI WAKIBINADAMU, HAWA WEZI MUHUKUMU MUG KAMA MCHUNGAJI BNKEY
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 17 күн бұрын
Bwana YESU ATUSAIDIE TUU ni ukweli wanatoa watu sacrifice sana sana
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 18 күн бұрын
kweli mwalimu nimeloweka kweli kwaujumbe yaani umenifungua akili kweli!
@ntakirutimanaetienne592
@ntakirutimanaetienne592 5 күн бұрын
fungukeni
@tausimwinuka
@tausimwinuka 17 күн бұрын
Nimepona Baba🙏
@StellaPaul-et9df
@StellaPaul-et9df 18 күн бұрын
Haya ndo mahubir
@user-hg7np4ig9o
@user-hg7np4ig9o 16 күн бұрын
Simama Imara usirudi nyuma Katekela
@user-gy2gm1qs1e
@user-gy2gm1qs1e 12 күн бұрын
Mungu abariki Neno lake
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 17 күн бұрын
Wakristo tatizo tumelala sana tunaona ndugu zetu wanateseka tunachukulia poa
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx 13 күн бұрын
Kama Paulo alivyohubiri mpaka krete🙏🏽
@kennethchinguku
@kennethchinguku 2 күн бұрын
Barikiwa pastor watu wamefungwa watu wa Mungu wa kweli hawawataki ,hakuna mafanikio bila bidii (prophet Kenny mbeya
@user-rj1ef6je8k
@user-rj1ef6je8k 10 күн бұрын
Mpaka maji nimetumia sana na familia yangu
@user-zq6rx8es1o
@user-zq6rx8es1o 17 күн бұрын
Kuna namna nakuelewa mchungaji❤
@user-zq6rx8es1o
@user-zq6rx8es1o 17 күн бұрын
Amen
@ShazilMohamedi
@ShazilMohamedi 15 күн бұрын
Fact
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter 12 күн бұрын
Mungu baba tuepushe na manabii wa uongo
@ShedrackMbata
@ShedrackMbata 7 күн бұрын
Balikiwa sana
@silvanusjeremiah8256
@silvanusjeremiah8256 13 күн бұрын
Yesu yu karibu sana kurudi. Tuokoke jamani
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 күн бұрын
Mimi naomba yinyi wakristo mnijibu ili nijifunze yesu aloposema sikutumwa ila kwakondoo waliopotea wa nyumba ya Israel jee haya maneno niyauongu yesu kadanganya nakama kasema kweli nyinyi ni wana wa Israel????plz mwenye elimu anijubu nakama wewe sio muisraeli kwanini ufuate yesu natayali yeye kasha sema sikutumwa bali kwa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel nawewe sio muisilaeli???? Je unafuata kwanjia gani au wapi alikuambia umfuate au nikujipendekeza mahali hujulijani
@PrinceCharlz-vv1zs
@PrinceCharlz-vv1zs 16 күн бұрын
ni kweli tuoneshe Muujiza wako wa ukweli kama wezako wanafanya ya miujiza ya uongoo
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 15 күн бұрын
Wewe unataka muujiza gani kwani? Ama ulishaona mazingaombwe ndiyo unaita miujiza? Kumbuka muujiza hauonyeshwi kama mazingaobwe hata Yesu aliwajibu Mafarisayo waliotaka waonyeshwe miujiza. Nguvu za Mungu zinafuata haja ya moyo wa anayemtaka Mungu. Siyo wanaomwendea Yesu kama mganga wa kienyeji.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 13 күн бұрын
SANAAAAA. KWA KWELI.
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt 8 күн бұрын
njaaa ni nomah duh
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 18 күн бұрын
🔥🙏🙏💪
@ShedrackMbata
@ShedrackMbata 7 күн бұрын
@ShedrackMbata
@ShedrackMbata 7 күн бұрын
Balikiwa sana
@user-pk1hz4zs5k
@user-pk1hz4zs5k 5 күн бұрын
Tanzania Kwa nini inazidi uofu uku África
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 17 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu unayosema ni ya kweli, ila mateso ya magonjwa watu wanayopitia ndio yanayowafanya waende huko.Mfano mimi nina imani sana, ila nateseka sana na magonjwa,niombee niponye,nimechoka na hospitali.Unadhani ukiniombea nikapona nitafikiria au kuwaza kwenda huko.Nimeombewa wee wapi siponi,mwishowe naambiwa sina imani hee.Hapana ile kwenda kukubali kuombewa tayari ni kama chembe ya haladari,vipi siponi? Tena nasali TAG nikitokea Lutheran nikiaminishwa kuwa kule hakuna nguvu za Mungu,nisaidie mtumishi nina magonjwa kama yote.Mimi nitatuma hata nauli uje kwangu uniombee.Naomba wee kwa Imani ila wapi.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 15 күн бұрын
Pole Maria Mimi ni mkristo kama wewe 2020 niliugua vidonda vya tumbo nilikuwa na hali mbaya sana ikizingatiwa nimesikia haviponagi. Niliamua kukiri neno la uzima katika biblia mfululizo ndani ya siku tatu tu sikujua ugonjwa ulipotelea wapi Hadi Leo mimi ni mzima
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 15 күн бұрын
​@@RubenMtuwaMungu-bz8ee.Ruben nateseka sio mchezo.
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 15 күн бұрын
Ruben ningekupa mateso ninayopita usingewexa
@anna19805974
@anna19805974 7 күн бұрын
Pole sana Maria. Katika Biblia kuna mwanamke ambae alishika vazi la Yesu akapona, Mama huyu aliugua kwa muda mrefu kwa kutoka damu akamaliza waganga lakini hakupona alijiambia nikishika vazi la Yesu nitapona. Ile imani ilimgusa hadi Yesu akagundua kuna mtu amemgusa akapona saa ile ile. Mimi nina imani yakuwa simama na hilo andiko weka imani vazi la Yesu iwe damu ya Yesu ikakuponye tafuta mafungu ya uponyaji katika biblia uyafanye yawe yako omba yakalete miujiza na ukapone ikawe shuhuda tukamtukuze Mungu. Mungu akuponye na magonjwa yote
@Elizabethmuronji
@Elizabethmuronji 18 күн бұрын
AMEEEN
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 17 күн бұрын
Daah!?
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 13 күн бұрын
Nimependa hapo hatuhubiri injili ili tupate hela!
@designdesign4426
@designdesign4426 16 күн бұрын
Apo sasa nawewe unawadanganya watu, ukae na rusifa kikao 😅😅😅 aahaaaah kua sieius kidogo ,ebu tuambie anafananaje anamapembe km tunavyochorewa kwenye picha au yupoje?
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 11 күн бұрын
Mmezidi
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 17 күн бұрын
Tatizo wanga wa kuza miujiza wanatoa majibu kwa watu sisi wakirsito atutoi majibu kwa watu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 15 күн бұрын
Hakuna majibu kwa wenye mafuta wanachokifanya utaondolewa ugonjwa wao wataondoa Roho ya maombi ndani Yako.
@mpefu_4936
@mpefu_4936 15 күн бұрын
Imeandikwa wapi kwamba Petro alitumia mafuta some I biblia itatuweka huru
@HenryTindwa
@HenryTindwa 14 күн бұрын
Kama hii lugha mfano labasinta labasanta, sikatela, sandalaba bababo, sikatela
@tulianyota7040
@tulianyota7040 18 күн бұрын
Camera men umenikosea sana pale Katekela alipo anza kusema aina zamaji yamaiti mbona imeruka nikwanini?
@user-fm5md9xn5g
@user-fm5md9xn5g 9 күн бұрын
Labda camera man anatumia
@judithminja770
@judithminja770 14 күн бұрын
Piga injili baba tupo nyuma yako kukuombea
@lusajojoram4522
@lusajojoram4522 10 күн бұрын
Bado na yeye night mchawi sababu hamna anayejua Kama amemuacha Lucifer
@Wamisangi
@Wamisangi 9 күн бұрын
Anapiga hadithi tu dakika ya 16 hajanukuu hata mstari mmoja wa Biblia.
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 18 күн бұрын
Yaan pamoja na mtu wa Mungu kusema ukweli hivi. Bado kuna watu hawataamini wanakimbilia mafuta. Jamaniiiiii kuwa makiniiii yaan manabii wengi wanatumikia shetaniiiiii usitishwe na unabii wanaoutoa
@gracembando3872
@gracembando3872 18 күн бұрын
Acha tu jmn Mungu turehemu daaa
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 16 күн бұрын
@@gracembando3872 yaan ni kukimbia hawafai hata kidogo. Na wanawatoa kafara waumini wao
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 12 күн бұрын
🙄🙄🙄
@dericksteven6455
@dericksteven6455 9 күн бұрын
Elisha aliombea chumvi ikatibu maji yaliyokua yanazaa mapooza Yesu alitumia tope kumponya kipofu Ukisoma yakobo 5:14 kuna maelekezo ya kutumia, lakin pia hata samweli alimpaka daud mafuta, mafuta sio upako ila uthibitisho kwa ishara Kama maji yanatumiwa kubatiza lakin hayo hayo unayasema hayafai zitakua hazimtoshi Sisemi kua manabii wa uongo hawapo ila sometimes pia kila mtu anaposimama kusema jambo hua anakua na interest zake
@nurukasebele5433
@nurukasebele5433 8 күн бұрын
Ni kweli ila haikuwa kanuni Kila Mmoja aliponywa Kwa kadri ya tatizo lako
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 18 күн бұрын
Wakristo tusilumbane,zipo karama za miujiza,mchungaj kama Hana gipawa hicho awaache wenye vipawa vyao
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 15 күн бұрын
Ukirogwa hata uhubiriweje huwezi kuelewa. Hivi kuna kipawa gani cha kucha na nywele? Kukanyaga mafuta maana yake ni nini? Mafunuo nje ya biblia ni uchawi
@lilyg2134
@lilyg2134 2 күн бұрын
HALAFU KWANINI UNAKATA BAADHI YA MANENO YA MCHUNGAJI LENGO NI NIN??....UPLOADER UNATUKOSEA STOP THE NONSENSE
@HenryTindwa
@HenryTindwa 14 күн бұрын
Mtumishi mimi sijui roho yngu inakataa huu unenaji wa lugha ni sahihi kweli
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 18 күн бұрын
Kaa kwenye karama yako tu,sio sahihi sana,mbona nilichukua nikaweka mwamposa akiomba tunatoa bombani majibu yapo ttupe hapo inakuwaje
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 18 күн бұрын
Kama hakuna formula kazi iendelee akili kichwani,elia alifanya nini ,kila mtuasmamie karama yake,omba lolote......hapo vipi
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 9 күн бұрын
Kristo atuangazie nuru ya uso wake!!!tuzidi kuombea kanisa!!!
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 18 күн бұрын
Kusoma thioloji sio issue,jicho la rohoni,baba
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Күн бұрын
Jiro la rohoni ndiko utapeli ulipo weka makazi yake.
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 18 күн бұрын
Wapendwa wenzangu,ziwa tanganyika ni kubwa.alakin wakienda kubatiza watu watu wanafunguliwa,je na maji ya tanganyika ni mauti
@AmusedBeignets-kk9lc
@AmusedBeignets-kk9lc 17 күн бұрын
Tafathali rudia Aina ZA maji
@gilliansiara3324
@gilliansiara3324 18 күн бұрын
Kolola wa mwaka gani.shetani wa kilola si wa kiboko ya wachawo baba, advancement of satanism eh,inahitaka nguvu kubwa,si kila jambo linawezekana au
@shedrackmihale7329
@shedrackmihale7329 18 күн бұрын
Mbona sojakuelewa
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 17 күн бұрын
Mim pia sijamuelewa ​@@shedrackmihale7329
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 18 күн бұрын
Ukiona mchungaj anaongea wengine ujuw ,ameona amezidiwa,kwa Mana yesu mwenyew aritenda miujiza,n'a wakina petro waritumia mafuta n'a vitu vingine
@JayrosMarck
@JayrosMarck 18 күн бұрын
Soma bibia
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 55 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 58 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 7 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 59 М.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 34 М.
BARAKA YA UCHUMI MZURI KWA FAMILIA- PR. DAVID MMBAGA
56:58
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 12 М.
Kisa Cha Mama Mkwe Kuitwa Mchawi | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
10:39
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 15 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 55 МЛН