Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

  Рет қаралды 338,852

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini ukubwa wa mafanikio yake umedhihirisha kuwa akili ya maisha inaweza kukupa ushindi ukizingatia inavyotakiwa, ameshaanza ujenzi wa nyumba zake 1500 Kigamboni Dar es salaam.
MAWASILIANO YA HAMIDU CITY: +255 22 21 23 075 MOBILE: 0672 918883, 0756 980000 & 0659 500 100. sales@hcgctz.com INSTAGRAM: @Hamiducity

Пікірлер: 322
@Bbwaoy
@Bbwaoy 7 жыл бұрын
Nili bahatika kukaa na huyu jamaa alipo kuja Mwanza. Alini inspire sana.
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
Hongera Sana kamanda 🙏🙏 baraka hiyo Ni kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Umetusaidia ufahamu la 7 wenzio Utajiri sio Elimu.
@mkolamrua9494
@mkolamrua9494 7 жыл бұрын
Mungu wetu sote wallahy Hamidu nipo nyuma yako
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Mkola Mrua naam
@mkolamrua9494
@mkolamrua9494 7 жыл бұрын
azh zha yassin ipo siku tu
@sajdatomar6025
@sajdatomar6025 2 жыл бұрын
Hata mm nipo nyuma yake mungu ni mkubwa tuamini hilo jamani
@franklinkessy586
@franklinkessy586 2 жыл бұрын
Nomrango
@mwamgundasamson2192
@mwamgundasamson2192 7 жыл бұрын
mungu akupe nguvu mtanzania mwenzetu ila punguza kabei kidogo basi😀
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Mwamgunda Samson ameen ameen
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Kwani we una sh ngap?
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 жыл бұрын
@@ahz6907 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@BongoHabariTv
@BongoHabariTv 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ujuzi mkuu....big inspiration
@faysalmahmuddidar7135
@faysalmahmuddidar7135 7 жыл бұрын
nimependa-sana-kaka-hamidu-mungu-anisaidie-nifate-nyayo-zako
@zittotv9972
@zittotv9972 4 жыл бұрын
Faysal Mahmud Didar duuuuuu
@carlosmzena548
@carlosmzena548 5 жыл бұрын
Set a dream believe in your dream work on your dream then live your dream, no limits in life 💪💪
@ernestonesmo405
@ernestonesmo405 19 күн бұрын
Hamidu hemedi Mvungi mkoa Kilimanjaro Wilaya ya mwanga Kijiji Cha Lembeni Kijiji kwetu kabisa nafurahia kuona hili wapare hoyeee Kuna mwamba mwingine anaitwa Vigu Daaah Ila Mungu kampenda zaidi naye aliifanya Lembeni ijulikane Sanaa tupo nyuma yenu hakuna kukata tamaaa mpk mwisho
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 жыл бұрын
Hongera sana kaka Hamidu mungu aendelee kukubariki na kukupa Afya njema
@amanichanga3448
@amanichanga3448 7 жыл бұрын
Mungu amzidishie na hongera sana kwake
@NdayizeyeAline-zr6zc
@NdayizeyeAline-zr6zc 3 ай бұрын
Asante sana kwa maelezo unae tupatia Mimi Ni myarwanda nataka ku nunua nyumba hiyo Tanzania kwa kuripa kidogo kidogo Sasa naomba maelezo zaidi ili nijue xakufanya
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 2 жыл бұрын
Mwenyeezimungu azidi kukubariki Baraka za Roho na mwili Hamid all the best mbarikiwa
@elijahthomas7855
@elijahthomas7855 5 жыл бұрын
The sound track is legit. I love the years of the sum action movie
@angelavayinga914
@angelavayinga914 6 жыл бұрын
Ni watanzania wachache sana wenye kuthubutu,wengi wao hata wakipata chans km hiyo wanaishia kugombania wake hata za watu ili mradi tu wajue ana pesa,hongera sana kaka.
@jimmycliff6977
@jimmycliff6977 2 жыл бұрын
Kaka Ayo Unatupa nguvu sana ya kupambana katika maisha ya Kila siku
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 7 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie wepesi,yaani kaka Hamidu umedhubutu,kweli akili ni nywele
@rogertmshana9226
@rogertmshana9226 2 жыл бұрын
Sisi tulikuja baada ya Kuona Zamarad kapost like 🤣🤣🙈🙈
@Patricia800
@Patricia800 7 жыл бұрын
Nakutakia kila la kheri Mungu azidi kukuinua zaid ya hapo. Hongera sana.
@toshirohitsugaya6421
@toshirohitsugaya6421 7 жыл бұрын
hongera sana kwa mtanzania mwenzangu
@elpiemghoi8004
@elpiemghoi8004 2 жыл бұрын
Waa hongera sana mimi pia nambana ila bado.Haminu nisaidie nimalize yangu ni moja tu
@zainabukalinga5000
@zainabukalinga5000 5 жыл бұрын
Hangera sana na mungu akutie nguvu uweze kusaidia na wengine.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
MashaAllah, hongera sana Brothar, umepiga hatua Allah akusimamie.
@kadzomangi484
@kadzomangi484 7 жыл бұрын
mungu ni wetu sote hongera sana nd mungu akuzidishie
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 6 жыл бұрын
Mansha Allah. hakika hakuna linalo shaindikana jamani hongera kaka
@aminaathumani6832
@aminaathumani6832 3 жыл бұрын
Hata mm napigania Kaka anguu ni we kama ww tupo pamoja hongeraa sanaaaa mungu akuzidishieee pamoja nawengnee aminiii 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🤝🤝🌹🌹🌹🌹❤️❤️😎❤️😘😎❤️❤️❤️❤️
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
mashaallah kila kitu kinawezekana waweza soma hadi kidato cha sita lakini ukatoka patupu alie soma mpaka lasaba akatoka kimaisha zaidi mungu akupe zaidi ya apo kaka angu.
@rukiyatajir8064
@rukiyatajir8064 2 жыл бұрын
Hongera sana sana Mungu amekubariki, hakikisha kizazi chako kinaendeleza uliyoanzisha
@EmainaEmanuel
@EmainaEmanuel 7 жыл бұрын
hongera bro Allah azid kukuongoza .
@superlevy9389
@superlevy9389 7 жыл бұрын
🙌🙌🙌 hongera saaaana na mungu akubalikiiiiiiiii
@africanchild4525
@africanchild4525 7 жыл бұрын
Mungu amzidishie. ameniinspire sana. ntafuata nyayo zake kujindeleza.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Swahili 101 ameen
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 7 жыл бұрын
hongera kaka lakini hizo nyumba,site sizani kama zitauzika kwa maisha ya kibongobongo ungeanza na few hubdreds uwone uoeoo
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Eti aliyeishia la 7! maisha ya mafanikio hayana vigezo hivyo vya hizo elimu zenu za kikoloni.ambazo mnaandaliwa muwe watumwa wa watu. mfano:wengi mkihitimu huwa Hamna la kufanya punde mnapokosa kuingia katika huo mfumo(wa kitumikia hao masters wenu) Wapo wengi tuu wa aina hii.
@DrMbonea
@DrMbonea 2 жыл бұрын
Hii ndiyo tofauti ya wasomi wa bongo na darasa la saba Wasomi huamin katika madaftari yao na vyeti lakin hawa wengine huamin katika nguvu zao maana hawana elimu na hapa ndio wanawazidi waliosoma Mzee ameni inspire
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 7 жыл бұрын
hongera, sana hiyo ndio njia mojawapo ya kuleta mabadiliko katika nchi,
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 4 жыл бұрын
@hakika shemeji yangu amethubutu darasa la saba lawakati wa nyuma ni kama form 6 kwa sasa nataka nikwambie kufanya hivii ulivyofanya zaidi ya chuo kikuu. big up mlamuwa.havaache sana.
@momatv2019
@momatv2019 2 жыл бұрын
Maa Shaa Allah. Mwenyezi Mungu akupe ulinzi wake na akulinde na macho ya watu.
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@rosehillary8742
@rosehillary8742 7 жыл бұрын
Mtani wangu Mpare Shikamoo...Faida yakula ugali na picha ya Samaki. Wapare Shiakamoo Kaka najiona mbulula na mavyeti yangu jamani.
@superwarema2309
@superwarema2309 2 жыл бұрын
Marahaba mtani. Thamaki thi kindu, kindu ni mshombe.
@hamismndeme9501
@hamismndeme9501 2 жыл бұрын
mtani tulia ufuate nyayo
@blackpanther4825
@blackpanther4825 2 жыл бұрын
Rose Hillary usipagawe mie ndugu yake najua yaliyo nyuma ya mradi mzima.
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 жыл бұрын
@@blackpanther4825 ohoooooo kama nimekuelewaaaaaa😥
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 2 жыл бұрын
mashaalah Mungu akubariki ndugu kwa ubunifu wako
@samiakikwete1762
@samiakikwete1762 3 жыл бұрын
Mungu humpa amtakae napia hutoa kwa wakty ukifyka
@habauagway7251
@habauagway7251 5 жыл бұрын
Hongera kwa kujituma kaka Hamidu
@mobileshop818
@mobileshop818 7 жыл бұрын
hongera sana
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 жыл бұрын
Asante sana kaka amidu ,kila kitu kujituma
@abdallahmbonabona8860
@abdallahmbonabona8860 3 ай бұрын
Mungu akuraisishie kwenye mradi wako
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
kaka umenivutia na nimejifunza kutoka kwako hongera sana kaka angu
@lulugama1547
@lulugama1547 7 жыл бұрын
big up Hamidu we ni noumaaaa
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 5 жыл бұрын
mashaaaaalah unanipa mzuka kwel Na mm nifanye business
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 3 жыл бұрын
WOW classic inspiration
@dotoe.a7869
@dotoe.a7869 7 жыл бұрын
Hongera saaanaa kaka Hamidu
@donaldmwangasa852
@donaldmwangasa852 7 жыл бұрын
So inspiring
@saidkhalfan1607
@saidkhalfan1607 7 жыл бұрын
mungu akitaka kukupa hakuandikii baruwa
@nambuacassandramlaki3516
@nambuacassandramlaki3516 2 жыл бұрын
Yessss...hongera sana Uncle😘😘😘😘
@abdallahibwe3101
@abdallahibwe3101 7 жыл бұрын
wazo lake zuri lkn bei hainiingii akilini
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Abdallah Ibwe haaahaaahaa
@shariwogolle2881
@shariwogolle2881 5 жыл бұрын
Bei hahahaha wa Arusha huyo lzm bei hiyo.
@shsjjdjhd9624
@shsjjdjhd9624 3 жыл бұрын
.
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 2 жыл бұрын
Na muda si mrefu utasikia zimeisha,kuna watu pesa kwao si tatizo tatizo lao ni kupata kitu kizuri tu.🤣🤣🤣🤣
@annabaramay3793
@annabaramay3793 2 жыл бұрын
Dah! Kaka uko vzr nilidhani utajiri ni vyeti kumbe ni akili tyu hongera saaana
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Ukiwa na nidhamu na malengo na mpango wa kuyafikia hakuna kitakachokwamisha mafanikio.
@hillsgate386
@hillsgate386 7 жыл бұрын
Very inspiring footage to succsess
@deusmhapa2400
@deusmhapa2400 2 жыл бұрын
Hongela Boss Hamidu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 жыл бұрын
Naomba hamidu unioe mke wa pili
@adrianoadam8741
@adrianoadam8741 7 жыл бұрын
dah!hayo ndiyo matamanio yangu hongera zake kafanya kitu kikubwa,sisi vijana inatusa tuige mfano wake
@maryamjuma9816
@maryamjuma9816 4 жыл бұрын
Honger xnaaa 👏👏
@arafsaaa8844
@arafsaaa8844 7 жыл бұрын
mashaallah allah akuzidishie
@kamkubwa
@kamkubwa 7 жыл бұрын
nilikuwa nakunywa beer nimemwaga naelekea shamba kutafuta
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 7 жыл бұрын
anicet njovu 😂😂😂
@stevenp.kongoche5503
@stevenp.kongoche5503 7 жыл бұрын
anicet njovu hahahaha we jamaa umetisha,nmecheka mpka mbavu zmeuma
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 жыл бұрын
anicet njovu 😂😂😂mbavu zang
@theoriginals3240
@theoriginals3240 6 жыл бұрын
haha
@marysimon8899
@marysimon8899 6 жыл бұрын
kha😂😂😂
@sheezy96sarah55
@sheezy96sarah55 2 жыл бұрын
Ur the best hamidu
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 7 жыл бұрын
big up Mr Hamidu
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
Safi Sana Kaka Mimi Sina hata uwezo WA kukunuwa hata basikeri
@davidjoshua129
@davidjoshua129 7 жыл бұрын
Mungu akuzidishie
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 Жыл бұрын
Million miatatu ipo juu sana
@sarajackson7373
@sarajackson7373 7 жыл бұрын
Hongera sana kaka Mungu ni mwema wewe ni mfano wa kuigwa
@man.lule.585
@man.lule.585 6 жыл бұрын
Iga ufe kila mtu kazaliwa na zali lake.
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 2 жыл бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@goodafya7149
@goodafya7149 4 ай бұрын
Hiii nzuri sanaa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Zamani nilikuwa naamini kusoma ndio kupata kumbe sivyo sasa ndio haya, nilivyokuja kujitambuwa nikaikataa hi imani ama kweli kusoma si kupata 😪
@editatairo9667
@editatairo9667 2 жыл бұрын
Lakini elimu pia ina umuhimu wake ila ni namna gani unaitumia kutoka kimaisha ndio mziki sass
@senatorhans6433
@senatorhans6433 7 жыл бұрын
Hongera saaana Kaka
@vincent9132
@vincent9132 7 жыл бұрын
i really like his idea
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 2 жыл бұрын
MashaaalH
@omanmct135
@omanmct135 6 ай бұрын
Mashallllah❤❤
@lucysimtowe421
@lucysimtowe421 2 жыл бұрын
Hongera sana
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Wa Tz walio wengi waoga kufanya kazi zao au biashala zao Wana aminijuu yakuajiliwa nakulipwa mwisho wamwezi nawengine Hawana elim Wana nyonywa nama boss awashtuki wanazidi kupoteza muda wao
@joetemba6376
@joetemba6376 2 жыл бұрын
Apo tunakuombea Mungu akupe mawazo zaidi
@fayeezomar2902
@fayeezomar2902 7 жыл бұрын
salm, fayeez and Hi support u
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Hongera sana hamidu
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Honger sijawah kuona
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
Duuh kaka ana juhudi sijawahi kuona. nimezipenda sana jamani sio siri
@fatumamasudi365
@fatumamasudi365 7 жыл бұрын
uko juu sana kaka
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Hongera bro sana nimekupenda
@dalalimjinga.144
@dalalimjinga.144 2 жыл бұрын
Mashalha
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 жыл бұрын
Mashaallah
@Boaz22
@Boaz22 4 жыл бұрын
Jamaa yupo vizuri aisee
@michaelmchodo4887
@michaelmchodo4887 6 жыл бұрын
nmejifunza ki2...akili yangu utajili wangu
@aishashomali2716
@aishashomali2716 2 жыл бұрын
Mmmh vifaa vya cm tu utajiri huuu mbona inakuja inakataa 😅😅
@sambayo2440
@sambayo2440 Жыл бұрын
So rahisi kwa kweli
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 2 жыл бұрын
Wa Tanzania ndio hapa tunafeli. Those houses could be better. Kuna dada Anaiwa Leah Wambui yeye yuko Kenya amejenga Nyumba 200 lkn zinavutia zaidi ukimwambia mtu 300 hata km hana anaridhia kwa muonekano. Mungu akuongoze zaidi, lkn watu wengi zitawashinda kwa sababu inabidi mtu akope bank ambayo inachaji riba. Mtu ataishia kulipia hiyo Nyumba kwa bei kubwa sana kuliko thamani halisi. Hongera nonetheless
@florabaruti8032
@florabaruti8032 5 жыл бұрын
duuh mungu akubaliki kaka
@marryg4235
@marryg4235 2 жыл бұрын
Hongera Sana.
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 2 жыл бұрын
Hamidu lv u😘
@venancerichard920
@venancerichard920 2 жыл бұрын
V.nice brother
@chriskalega3855
@chriskalega3855 6 жыл бұрын
sema asante mungu
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 Жыл бұрын
Duh hatari sana,wengine tumezaliwa kumaliza hewa tu humu duniani,hahahahaha
@TheEric7777777
@TheEric7777777 5 жыл бұрын
real estate ni biashara nzuri sana... lakini one factor ya ku have in mind ni economic progression ya walengwa... with the current "credit crunch" in Tanzania.... real estate market is one of the worst hit sectors in the economy!
@allythabit5175
@allythabit5175 5 жыл бұрын
Albin Eric one day when I was young nlimsikiaaa baba akisema nataka nianzishe biashara ya nyumba lakn ndugu hatukumsapoti lakn now my father is one of the famous person ambaye ana nyumba nyingi mjiniii
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 5 жыл бұрын
Hongera. Boy
@charlesmazigo8106
@charlesmazigo8106 2 жыл бұрын
Wazo zuri Sana,lakini milioni 330,watanzania wangapi watamudu,nadhani angejikita k Nyumba angalau za milioni 100 kushuka chini,angepanua solo zaidi
@innocentandrea6482
@innocentandrea6482 2 жыл бұрын
Sasa milioni 100 si ndio garama za kuijenga nyumba,,au hutak apate faida
@saidkhalfan1607
@saidkhalfan1607 7 жыл бұрын
mungu akitaka kukupa kila ukijaribu unafanikiwa ila akikuandikia no na kweli no hata ukeshe unafanya kaz ngumu
@emmanuelekapanda3398
@emmanuelekapanda3398 7 жыл бұрын
Hongera
@ephraimkayeta7252
@ephraimkayeta7252 2 жыл бұрын
Hongera sana kk
@tumainimsumba9542
@tumainimsumba9542 2 жыл бұрын
Mashall
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 49 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Breaking Boundaries: Hamidu City Park (Documentary)
10:05
Hamidu city Park
Рет қаралды 9 М.