BIBI ALIETUMIA 'MAAJABU' KUZUIA BASI ARUSHA AHOJIWA

  Рет қаралды 766,214

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 672
@maphieemanuel3137
@maphieemanuel3137 5 жыл бұрын
Aisee reporters mna kazi kweli duh huogop mitambo itazima broo duh wanaokubali Ayo TV gonga like twende pamoja
@haimahaima9135
@haimahaima9135 5 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@isackrajabu5202
@isackrajabu5202 5 жыл бұрын
boss imma Mafie
@isackrajabu5202
@isackrajabu5202 5 жыл бұрын
boss imma Mafie
@isackrajabu5202
@isackrajabu5202 5 жыл бұрын
boss imma Mafie ....
@isackrajabu5202
@isackrajabu5202 5 жыл бұрын
boss imma Mafie
@frdadaud991
@frdadaud991 5 жыл бұрын
usalama wang wa taifaa km kuna aliyeckia gonga like bac😁😁😁😁
@kulwarashid9345
@kulwarashid9345 4 жыл бұрын
Hahahah
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Hahaaaa
@mohammedmkomi9087
@mohammedmkomi9087 5 жыл бұрын
NILIPELEKWA KITUO CHA POLISI #ARUSHA KWA AJILI YA USALAMA WANGU WA #TAIFA ..nan kasikia hyoo #sentensi kama mm?
@dickmalove5544
@dickmalove5544 5 жыл бұрын
Mohammed Mkomi 😂😂
@emanuelsamkinda4228
@emanuelsamkinda4228 5 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fatumahabibu8933
@fatumahabibu8933 5 жыл бұрын
Haaaaaaaaaa
@mashallah6321
@mashallah6321 5 жыл бұрын
Hahahahaha
@simonmagembe7140
@simonmagembe7140 5 жыл бұрын
Huo uwezo Wa bibi Wa kuzuia basi aajiriwe serikalini ili azuie na rushwa
@Motv1000
@Motv1000 5 жыл бұрын
dahaa acheni Mila za kishilikina jamani sio kula mzeee mchawi jamani msimtuhumu Bibi wawatu
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 жыл бұрын
Simon Magembe 😂😂
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 5 жыл бұрын
Kabisa hahahahaha
@shahamtindo
@shahamtindo 5 жыл бұрын
Hahaha
@rosemtweve5475
@rosemtweve5475 5 жыл бұрын
😁😁😄😆
@allyanthony3489
@allyanthony3489 5 жыл бұрын
Bibi uko sawa makondakita wanazalau sana abilia
@bundukitv1322
@bundukitv1322 5 жыл бұрын
Godfrey na mwenzio Vido ni mapresenta wazuri sana. Mungu awaongeze ufanisi
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 5 жыл бұрын
Kuna Mungu aliye mkuu kuliko uganga, itapendeza sana Bibi ukimpokea Yesu na kumfanya kuwa Bwana na mwokozi wako, yeye ni zaidi ya uganga.
@ligayaasamuu637
@ligayaasamuu637 5 жыл бұрын
Sylvester Charles wote sio Makafiri
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 5 жыл бұрын
Ameeeen
@kwamejoseph3264
@kwamejoseph3264 5 жыл бұрын
Sylvester Charles ameeeen,,,tatzo watu kuwa wagum wa mioyo kumpokea yesu
@izdoryb.barnabas1794
@izdoryb.barnabas1794 5 жыл бұрын
Sylvester Charles b
@chaliialex243
@chaliialex243 5 жыл бұрын
@@ligayaasamuu637 true
@gaudiosamweha1792
@gaudiosamweha1792 Жыл бұрын
Heri ya mganga ujinga gani,we bibi sikuogopi usitishie watu bana.mi nikiwa Karibu yako mbona utakbilia uvunguni huwexi furukuta mbele ya Mungu wangu.God is everything.Heri amtumainie Mungu milele
@hamzavirago2649
@hamzavirago2649 5 жыл бұрын
Kwaajiri ya usalama wangu wa taifa🤒🤒🤒🤒
@georgeking4469
@georgeking4469 5 жыл бұрын
kwa MTU was Mungu yeyote akipanda kwenye gari yoyote lazima aombe,na maombi ya MTU mmoja yanaponya nchi nzima
@najatmngazija1547
@najatmngazija1547 5 жыл бұрын
george king fanya basi maombi mashoga waishe tz, inaelekea unajua
@glorychiwala4576
@glorychiwala4576 3 жыл бұрын
Maombi ya mmoja hakika huponya
@bingwarash3256
@bingwarash3256 3 жыл бұрын
Amina
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwahyo uganga na mungu ni sawa ???acha kuzngua ww
@mosesritoine2320
@mosesritoine2320 Жыл бұрын
Lushoto Moshi Arusha inakuwaje, stend ya Arusha Tena vipi?
@milcahjosiah3967
@milcahjosiah3967 5 жыл бұрын
Uwiiiii alikua anakuja kwetu nzega yelewiiiii
@phaniboyphaniboy9837
@phaniboyphaniboy9837 5 жыл бұрын
Kama una soma comment kama mm likes
@dalalihakweahakweya6663
@dalalihakweahakweya6663 4 жыл бұрын
Mm nisha jichukuria namba mudah, mlefu nami nika fanye yangu huko lushoto sijuwi tabora 😁😀😃😄😁😀
@marumswhly4186
@marumswhly4186 5 жыл бұрын
Sem brother umenenep sana khaaa MashAllah ila mazoez muhim
@ericchepe8244
@ericchepe8244 5 жыл бұрын
bibi ni shda
@georgeking4469
@georgeking4469 5 жыл бұрын
Basi nzima walimwogopa bibi kwa sababu hawakuwa na ufahamu kuhusu uwezo was Mungu,ndo maana hata bibi aliwaona kwenye darubini yake ya kichawi ,hakukua na mlokole ndani ya basis LA kama mlokole angekuwa kwenye hiyo bibi hiyo bibi asingepanda from the start
@queenandchill91
@queenandchill91 5 жыл бұрын
"Mimi sikuwa na aja ya kujisaidia"😂😂 ili upate muda wa kufanya mambo bibi au sio
@madadamadada1402
@madadamadada1402 4 жыл бұрын
Queen Bernard hhahahaha umenivuunja mbavu balaaa
@bigboys016
@bigboys016 5 жыл бұрын
Usalama wake wataifa,lazima ulindwe halafu wewe mwenye kuuliza maswali unaendeshaje kipindi wakati simu inapiga fujo
@georgeking4469
@georgeking4469 5 жыл бұрын
kama ni mzinzi,Sena nakataa uzinzi,au usengenyaji,au ufilaji,au wizi,au kuabudu sanam, kila aina has uchafu ginga kataa na Mungu atakusamehe utaanza maisha mapya ndani ya Yesu
@hakbilalbilal1071
@hakbilalbilal1071 2 жыл бұрын
Yesu wawapi
@allymohamedi991
@allymohamedi991 5 жыл бұрын
Kwanzaa lazma ajitetee duh usalama wangu wa taifa haha 😂 😂😂😂😂😂 lakn tusimseme Sana keshakuw 🌟 star
@sofiayusufu7762
@sofiayusufu7762 5 жыл бұрын
Ally Mohamedi 😁😁😁😁😁😁
@moyomzurionline9718
@moyomzurionline9718 5 жыл бұрын
Karibuni Lushoto 😂😂Daadeki
@wizchiachacha7937
@wizchiachacha7937 5 жыл бұрын
Ayo tv wametafta bibi fulani tu kwaajili ya kutengeneza pesani Huyu sio bibi ni mama na namjua hana maajabu hayo
@dorischilla1627
@dorischilla1627 5 жыл бұрын
Wizchia Chacha peleka usenge hukoo
@nellywizzy7034
@nellywizzy7034 5 жыл бұрын
Doris unamtukan jamaa. Unaamini kweny giza
@nellywizzy7034
@nellywizzy7034 5 жыл бұрын
Kwanz hyo mama akuzuia gar ila gar walifaulisha kwasabb zao weny campun tatiz la wa tz mnamin giza sana na mnapenda kuckia kuus maajab y giza
@angelrimoy2365
@angelrimoy2365 4 жыл бұрын
Wizchia Chacha Aah kumbee
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 жыл бұрын
Mandhari mmeiona it’s beautiful
@raymondjimmy2712
@raymondjimmy2712 5 жыл бұрын
Hii Mizimu ya huyu Bibi Mbona inawahi sana kupanic😂😂😂
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 Жыл бұрын
Raymond jimmy@😂
@saidiomali3324
@saidiomali3324 5 жыл бұрын
Naona bibi katoa namba wenye iman za kishilikina wa ruke hewani
@moseswanjara3408
@moseswanjara3408 5 жыл бұрын
Saidi Omali moja wapo ni ww
@josestudio4534
@josestudio4534 4 жыл бұрын
nimempigea amesema atanikomeshea wanaonisumbua
@mrprogram5509
@mrprogram5509 3 жыл бұрын
@@josestudio4534 😂😂😂
@morgankalima5824
@morgankalima5824 5 жыл бұрын
Wa Tanzania mnapenda sana kuamini amini mambo ya ushilikina Kila kitu ni ushilikina mpira uchawi.Simba na Yanga ushilikina badilikene alafu Huyo sio bibi msipende kuzeesha watu Huyo ni mama.
@paskalmanongwa7183
@paskalmanongwa7183 5 жыл бұрын
Aisee mm sjawahi kuwa mshabiki Wa timu za tz kwa kua spendi hata kidogo hayo mambo yao ya kichawi
@AlbertLema
@AlbertLema 5 жыл бұрын
kwa ajili ya usalama wangu wa Taifa .
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Hhhhhhhj atari
@gilbertmwangonela7757
@gilbertmwangonela7757 5 жыл бұрын
Namba ya bibi naomba #
@hudsson75
@hudsson75 5 жыл бұрын
Kama nawaona vile watu wa mambo yao wanavyoandika namba ya simu😂😂😂
@mariamelias1915
@mariamelias1915 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 wa kwanzaa mm
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 жыл бұрын
Haaaaaaa umeona eeeeee tulivyo makini na number!!!!!!!
@donatuspeter8990
@donatuspeter8990 3 жыл бұрын
Mama noma huyo
@donatuspeter8990
@donatuspeter8990 3 жыл бұрын
@@mariamelias1915 mama Bella and Josie the archana mukunda mukunda mukunda mukunda
@donatuspeter8990
@donatuspeter8990 3 жыл бұрын
@@mariamelias1915 mama Bella and Josie the archana mukunda mukunda mukunda mukunda
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 4 жыл бұрын
Kuna kitu nimegundua hilo ni dili la makonda na matapel kuwaaminisha wat kua bib ni mganga ili wawapige watu wanao enda kwa waganga hamna uchawi hapo
@lucyammi4199
@lucyammi4199 Жыл бұрын
YESU KRISTO ni jibu
@alexjeremia7686
@alexjeremia7686 5 жыл бұрын
dah! ndo tuamini dawa zipo
@iddisalumu8743
@iddisalumu8743 3 жыл бұрын
Hongera Sana Bibi nimeilenda
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kwa usalama wangu wa Taifa nimeipenda hiyo
@neemashaban8431
@neemashaban8431 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Nimecheka jaman Bibi alivyoshika maiki na anavyoongea Kama mwandishi wa habari kwa nukta Bibi shikamoo ooooooooooh
@linahgoodluck4202
@linahgoodluck4202 5 жыл бұрын
Silver Joseph 😂😂😂😂
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Linah Goodluck hapana chezea anavyoongea uku amefunga macho anaongea kwa nukta hatareee
@gaudiosamweha1792
@gaudiosamweha1792 Жыл бұрын
X😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 5 жыл бұрын
Huyo ni mama bhn au mtu akihusishwa na ushirikina anakua bib?
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
Ni bibi kiumri
@isunga1964
@isunga1964 5 жыл бұрын
😂😂😂😂kweli kabisa ni mama ila sasa hivi tunamwita bibi jamni
@charlesjonas4412
@charlesjonas4412 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@elizabethshayo1829
@elizabethshayo1829 5 жыл бұрын
Hapo sas hta mm naona ni mmama
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Tanzania wanaongoza kwa kuzeeshana,mwanamke wa miaka 30 yenyewe wanamuita bibi 😂😂😂😂Kama mandezi vile.
@sylvesteraron4972
@sylvesteraron4972 5 жыл бұрын
wewe mama acha uchawi njoo kwa BWANA YESU KRISTO, akuponye, uchawi sio sifa zuri
@husenimareja1907
@husenimareja1907 5 жыл бұрын
Sylvester Aron huko uliko hakuna usalama hata kidogo soma vitabu ujue unachokiamini sio sahihi
@lailaathumani8620
@lailaathumani8620 5 жыл бұрын
Unauhakika kama mchawi ama unaropoka
@happygamnazi8435
@happygamnazi8435 5 жыл бұрын
Amina
@RoseJames-ed5hv
@RoseJames-ed5hv 5 жыл бұрын
Unayesema Una uhakika mchawi wewe unaona anaimba kwaya hapo au na wewe ni mteja wake.
@christsflowe.r
@christsflowe.r 5 жыл бұрын
@@husenimareja1907 sasa na wewe si ungeandika comment yako kwa huko unakohisi kuko sahihi 🙄
@faridbawazir289
@faridbawazir289 5 жыл бұрын
Huyu bibi anasoma tarifa ya habari au
@remmierobby2444
@remmierobby2444 5 жыл бұрын
Haha
@joharingwale5904
@joharingwale5904 5 жыл бұрын
Hahahahaha ww shauri yako
@chabycarpoza2998
@chabycarpoza2998 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@coneschikulo3817
@coneschikulo3817 5 жыл бұрын
Farid Bawazir haaahaaaaaaa. Uwiiiiii
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 5 жыл бұрын
Umeonaee anaongea kwa kituo bila ht hofu anajiamini usipime
@pilihashim.3162
@pilihashim.3162 5 жыл бұрын
jamani mwanikumbusha mbali jamani home huko we kaka unatisha big up God
@annethnkya5891
@annethnkya5891 2 жыл бұрын
Usalama wangu wa taifa😂😂😂😂😂
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Kijana mtangazaji makini Sana na kazi zako makini big up
@lailaathumani8620
@lailaathumani8620 5 жыл бұрын
Asante mungu mamangu kafika Salama nyumban
@muhimpundunourah8021
@muhimpundunourah8021 4 жыл бұрын
unafiki mkubwa,mama mwislam mshirikina mkubwa.mnatuleteya haya waislam.muogope mungu.
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 5 жыл бұрын
Huyu bibi akiongea kama lowasa anapiga kampeni
@sheikinitv8489
@sheikinitv8489 5 жыл бұрын
Itakuwa ni ndg ake😂😂😂
@mariadunguru8204
@mariadunguru8204 5 жыл бұрын
Abdulla Yahya hahahahah umenivunja mbavu na iyo comment yako
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@abdallahomari8680
@abdallahomari8680 5 жыл бұрын
@@leonardmrope9528 afadhali huyo mama kuliko lowasa hawezi kujieleza hana speech,
@bennyfrank6427
@bennyfrank6427 5 жыл бұрын
Abdulla Yahya
@salimmohamed694
@salimmohamed694 5 жыл бұрын
Bibi wacha uchawi ww utakufa vibaya ushirikina ni kitu kibaya sana
@saudorsaugold6643
@saudorsaugold6643 4 жыл бұрын
Moto wa jahanam unawasubiri
@geraldpeter9370
@geraldpeter9370 4 жыл бұрын
Salim Mohamed bhgb
@georgeking4469
@georgeking4469 5 жыл бұрын
let me help you,,ukimwamini Yesu na kutubu dhambi,unakuwa kiumbe kipya,utu wako was ndani unahuihwa,unabadilishwa,unakuwa umevikwa utu mpya,yaani George was zamani anabadirishwa unakuwa George mpya,ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya,Yesu anakuja kukaa ndani yako
@esterjema2932
@esterjema2932 3 жыл бұрын
AMEN
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 жыл бұрын
Kilichosimamisha gari siyo uchawi wala ndumba nimatatizo ya gari sema watanzania kwakukuza vitu vya kishirikina hawajambo huyu mama kasema alipoona watu wanashuka hakujua kinachoendelea alidhan wanaenda kukojoaa achen kuendekeza ujinga ndio maalibino waliuliwa sana Tanzania na kule njombe watoto wadogo ,kupotea ,makonda amesema tusiwe na taifa ambalo lina promote mambo ya hovyo na kuacha mambo yenye faida
@tarentstv8558
@tarentstv8558 5 жыл бұрын
Usalama wake wa taifa😂😂😂
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Tarents Tv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka jaman
@twaiburashid2903
@twaiburashid2903 5 жыл бұрын
hahahahahaaaaa
@godiegodie1336
@godiegodie1336 5 жыл бұрын
Shauri yako we mcheke tu
@jacklinesaxtus5943
@jacklinesaxtus5943 5 жыл бұрын
usalama wang wa taifa hahahahahahahhahahahahahahah
@kenanidnundwe4144
@kenanidnundwe4144 5 жыл бұрын
hahahahahha
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Huyo bibi na mauzauza yako, hukumuogopa?
@tobalismwengere800
@tobalismwengere800 5 жыл бұрын
Daaa kazi nzuri ayo tv
@kebbyomary863
@kebbyomary863 4 жыл бұрын
Hana uwezo wakuzwia mazao shamban ye nigar na pkpk tu
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 Жыл бұрын
Da huyu bibi msambaa bana hata lafudhi. Ila kweli watu waache zarau usimzarau usie mjua kuna Ndugu yangu alimchekaga mtu akashikwa kichwa mpaka leo haoti nywele tanga Raha 😂😂😂
@kandiliyadiplomasia1186
@kandiliyadiplomasia1186 5 жыл бұрын
Background sauti ya nini hiyo sijui simu vyema muwe muna mutes simu zenu hii ina boa wasikilizaji
@emmyjohn3192
@emmyjohn3192 5 жыл бұрын
nan anaamin bib kajitangazia biashara yake 😂😂😂😂😂
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 2 жыл бұрын
Tangaaa mko vizurii😅😅😅😅
@nelsonmrangu752
@nelsonmrangu752 5 жыл бұрын
Uchawi wa kbongobongo ndio ulivo hautak Mambo makubwa, Kama vp Bibi awaroge IMF na world Bank apate mahela yakushato so ishu ndogo kaizo
@fatimamohammed2332
@fatimamohammed2332 5 жыл бұрын
bibi weweee hatar fire mama nakufaaaa bibi utabak kuwa juu
@josephnyangile2728
@josephnyangile2728 5 жыл бұрын
mchawi mungu2 usi2tishee
@gitu4me
@gitu4me 5 жыл бұрын
Sasa hivi unaleta Habari motomoto safi sana
@fatmakombe3553
@fatmakombe3553 5 жыл бұрын
hahahahahaaaaaaaaa hpna mmmmh
@anganilekajigilikajigili2641
@anganilekajigilikajigili2641 3 жыл бұрын
Bibi kama wewe mwanga c ungepaa tu au ndio tungeskia mbele imeuwa wote😁😁😁
@matridajanvier4509
@matridajanvier4509 5 жыл бұрын
mbna mtangazaj hujamhoji kwa karibu jaman uxo kwa uxo ndo tamuu au umemuogop
@hassankidisa8070
@hassankidisa8070 5 жыл бұрын
Sasa Bibi we kwanini ustumie vile vyombo vyetu vya usafiri vya private air jet? a.k.a ungo?
@aishaaaisha9792
@aishaaaisha9792 5 жыл бұрын
Hahaha
@aishaaaisha9792
@aishaaaisha9792 5 жыл бұрын
H
@isaaclusesa2079
@isaaclusesa2079 5 жыл бұрын
Nice mama
@bilalysalim6222
@bilalysalim6222 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂usalama wang wa taifa
@georgeking4469
@georgeking4469 5 жыл бұрын
basi nzima hakukua na MTU wa Mungu ,kuokoka kuzuri ndugu zangu, kwa hiyo shetani kawambia mumuage na ninyi mmemuaga, wajinga ninyi
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 жыл бұрын
george king we umeokoka ushawai kuona wapi mtu kaokoka na bado upo duniani mbona muongo ww na dini yako
@naimaramadani9435
@naimaramadani9435 5 жыл бұрын
@@bwegelanyakhaido3088 😂😂😂
@mariadunguru8204
@mariadunguru8204 5 жыл бұрын
george king yani wote walikua hawana yesu wa kumpa jamba jamba na huo uchawi wake ukashindwa
@swahilitrends3397
@swahilitrends3397 5 жыл бұрын
Toka ndani ya box george hamna kuokoka huku unavuta pumzi mnapigwa sana sadaka
@ahmedhassan2619
@ahmedhassan2619 5 жыл бұрын
Wew ungefanyaje ama unaongea tu
@mdyoung5163
@mdyoung5163 2 жыл бұрын
Bibi😘
@salmasalim6055
@salmasalim6055 5 жыл бұрын
Loool bibi mchawi🤭
@josephnjeno2582
@josephnjeno2582 5 жыл бұрын
Kwaajili ya usalama wangu wa nini kwa mwenzengu aliyesikia vizuri
@danielelias8855
@danielelias8855 5 жыл бұрын
😀😀😀
@aminamassawe1768
@aminamassawe1768 5 жыл бұрын
Hahahahhaha kwa ajili ya usalama wangu wa taifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@reyham1722
@reyham1722 5 жыл бұрын
Wa taifa
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 жыл бұрын
Huyu Mama uchawi wake uko kwenye macho, anatumia macho kulogea, anatumia nguvu za Giza, ila kwa Jina la Yesu kristo huo uchawi wako hawezi kukusaifia ni kwa vile ulikutana na watu walikuwa wakishangaa badala ya kuomba. Mpe Yesu maisha yako Mama uchawi hautakusaidia, baada ya kufa utaenda motoni na uchawi wako.
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
Edwin Alexander kwani kasema yeye ni mchawi
@mneneijasmin1493
@mneneijasmin1493 5 жыл бұрын
Edwin Alexander mchawi ndiio sasa anaongea naninii vitu havionekani au alikuwa anaongea na malaika
@jaymandy8136
@jaymandy8136 2 жыл бұрын
Tumpe Mungu maisha yetu na sio Nabii Yesu.
@gaudiosamweha1792
@gaudiosamweha1792 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂umemkagua macho tayar
@ramsontz7337
@ramsontz7337 4 жыл бұрын
Duuuh bibi nixhidaa kama unakubaliana na bibi gonga like
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
Haaaaaa hatari eti semeni wote heri ya mganga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Mapepo wanayaogopa apo ni kukemea tuuu na uyu bibi asingekua na chochote kile kawatisha tuu kwakua Ameona wotee amna yesu ndani yenu
@ezekielmdete6412
@ezekielmdete6412 5 жыл бұрын
aaasee Kali ya mwaka
@shaibumrisho162
@shaibumrisho162 5 жыл бұрын
Mmmh hatareee xan
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Karibu kwetu Lushoto
@ramsoshety8865
@ramsoshety8865 5 жыл бұрын
mnaitaj coment tu hahahaha mnafer uyo bb namfaham afi kwake du ase poleni ay tv
@wemapaulo76
@wemapaulo76 5 жыл бұрын
namba za nini sasa jmn za huyo bibi sielewi
@edithajonh2970
@edithajonh2970 Жыл бұрын
Safi Sana lafiki yangu hawa watu inatakiwa tuwanyoshage jinga kwel
@devyjosee9563
@devyjosee9563 2 жыл бұрын
mi mwenyew apa naogop kuangalia cm yngu icjezima buleee😂
@diockresdiockresi5691
@diockresdiockresi5691 3 жыл бұрын
Dah !!!
@furahakilanda7578
@furahakilanda7578 Жыл бұрын
Sahi man'a tabia zako kusha Sha wata jifunza
@aishahayata6131
@aishahayata6131 5 жыл бұрын
Wizi mtupu unatafta soko mganga wa uongo ningechuku kibeg chako nikitupe huko mbali nione itakuaje pumbavu sana tushachoka usanii wenu
@julianacharles5720
@julianacharles5720 5 жыл бұрын
😂
@sharifasuleiman4370
@sharifasuleiman4370 4 жыл бұрын
Sawa usama wangu wa taifa:-D
@masungangombe
@masungangombe Жыл бұрын
Huyo bb niwakuombea yesu yuko kazin
@deborasaidimizambwa3534
@deborasaidimizambwa3534 Жыл бұрын
Madeleva wamezoea sana natamani aje namorogoro doma bibi njoo nauku
@judithchristabella310
@judithchristabella310 5 жыл бұрын
kapagwa uyu co mwenyewe
@herikaniugu
@herikaniugu 5 жыл бұрын
Promo ya uganga, kuanzia boda boda ad dereva la basi walipangwa, uchawi haupo
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 жыл бұрын
Babuyangu kakuona alafu kakupenda sana anasema nimlete sawabibi unafanana nae sana vitendo vyenu
@khadijahkhdoo6387
@khadijahkhdoo6387 5 жыл бұрын
Haaaaa!!! Weweee
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 5 жыл бұрын
Chiz huyu🤣🤣
@khadijahaji7249
@khadijahaji7249 5 жыл бұрын
Hahahahaha
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
😳😳😳
@ackshuba8679
@ackshuba8679 5 жыл бұрын
bibi ukirudi kusoma comments hapa naomba uwasamehee wajukuu zako tunaocoment pumba. tafadhar sana mim kwa usalama wa Taifa naomba usitudhuru maana kwa uwezo wako unaweza futa comments zetu bila Ayo kujuwa
@knourisgalis2165
@knourisgalis2165 5 жыл бұрын
ack shuba hahahahahahaahah
@Nananafella
@Nananafella 5 жыл бұрын
Duh sijui kichwa changu kigum kuelewa au nigani kusemachaukweli sijamuelewa bibi alicho ongea
@francolazaro8646
@francolazaro8646 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@francolazaro8646
@francolazaro8646 5 жыл бұрын
Usalama wako wa taifa #GiftChriss 😂😂😂😂😂
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
@@francolazaro8646 😂😂😂😂😂😂
@andrewwoiso5559
@andrewwoiso5559 5 жыл бұрын
😃😃😃kwaajili ya usalama wako wa taifa😂😂
@francolazaro8646
@francolazaro8646 5 жыл бұрын
@@mayusahussain8045 🤣🤣🤣🤣🤘🏿🤘🏿
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 4 жыл бұрын
Uwe unatembea na gari yako basi na kama hujui kuendesha tafuta dereva.....hapo ndio utaonekana mganga mjanja
@piusthobias880
@piusthobias880 2 жыл бұрын
Huyo bibi atakua ni wasumbawanga😂😂😂😂😂😂😂
@amiryyusufmbaraka1031
@amiryyusufmbaraka1031 5 жыл бұрын
interview ya kwanza alisema anakwenda Tabora Leo yuko lushoto Khaaaaaaaaa
@mgenzimnofumbwale345
@mgenzimnofumbwale345 4 жыл бұрын
Aiseee uyoo bb ni Nomaa kwan up ni ufundi na sio uganga
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
Mmmmmhu aiseee nimecheka 😀😀😀😀😀mama alivyoishika maiki na anavyoongea kama mtangazaji wa taarifa ya habari .Ikabidi wampeleke kwenye usalama wake wa Taifa😀😀😀😀 heri ya mganga wote😀😀😀😀 Mmmmmhu wewe bibi ni hatari.
@mathaadam2608
@mathaadam2608 5 жыл бұрын
Insonyesha hata anayo ongea anaambiwa ongea hivi maana sio kwa vituo hivyo shikamoo bibii
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 жыл бұрын
@@mathaadam2608 mmmmmhu kwa kweli shikamoo bibi😀😀😀😀😀
@mathaadam2608
@mathaadam2608 5 жыл бұрын
Ndugu yangu asije akasoma comment cm zetu zikazima bibi nimepiga magoti shikamoo
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Nimecheka jaman Bibi kiboko
@ramecknelson8562
@ramecknelson8562 2 жыл бұрын
Bibi oyeeeee
@eddydben
@eddydben 5 жыл бұрын
hyo promo za kichawi..kiki hyo eti anataja number ya simu ili atufute
@abdultwlib5739
@abdultwlib5739 5 жыл бұрын
sasa namba za nin au mnataka watu waendelee kukwama maana huyo ni wa kukwamisha safar za watu tuu
@hildazablon3411
@hildazablon3411 5 жыл бұрын
abdul twlib 🤣🤣🤣
@ZaituniAthuman-gd6op
@ZaituniAthuman-gd6op 3 ай бұрын
Dah
@africa7479
@africa7479 5 жыл бұрын
anaongea kama muheshimwa flani hiv alikuwa mgombea 2015
@alextzmmary5121
@alextzmmary5121 5 жыл бұрын
Kakakakakak lowaaa
@mayusahussain8045
@mayusahussain8045 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@matridajanvier4509
@matridajanvier4509 5 жыл бұрын
😂😂
@hildazablon3411
@hildazablon3411 5 жыл бұрын
Duhh🤣🤣🤣watu siwawez🙌🏼
@georgeking4469
@georgeking4469 5 жыл бұрын
mwingine anasema sitaweza kuacha,jipe moyo mkuu,hata Mimi nilikuwa hivyo na Mungu amenisaidia nimeacha, jionyeshe kuwa Mungu anakupenda mwambie shetani wakati wake umekwisha.sasa umemgeukia Mungu aliyekuumba,Mungu anakupenda sana tena mno
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 жыл бұрын
Kutoka 22:18 imeandikwa, “usiache mwanamke mchawi aishi”.
@geraldpeter9370
@geraldpeter9370 4 жыл бұрын
wolfgang kichai huo upumbavu wawa wazungu totolee
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Wachawi wote wauliwe
@isackleonard1044
@isackleonard1044 5 жыл бұрын
Bibi kachapia usalama wangu wataifa 😆😆😆😆😆😆😆😆
BIBI AIBIWA LAKI TATU NA NUSU ''AMTAJA MJUKUU NA MTOTO WAKE''
20:10
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
VILIO NA HUZUNI.... MIILI 32 IKIAGWA ARUSHA
16:15
Millard Ayo
Рет қаралды 3,6 МЛН
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 418 М.