MREMBO WA KENYA ALIYE FANYA MAANDAMANO AFIKA TZ,AFUNGUKA CHANZO CHA MAMBO YOTE

  Рет қаралды 28,362

Mbengo Tv

Mbengo Tv

4 күн бұрын

Пікірлер: 151
@hassanabdullah2191
@hassanabdullah2191 Күн бұрын
Mimi ni mkenya Niko Nairobi huyo dada ni mwuongo sana hakuwa Kwa madamano
@dhahabukalama2635
@dhahabukalama2635 2 күн бұрын
Sio huyo uongo tu mwenye mulompost na huyu ni wawili tofauti
@user-ns3so9wv1f
@user-ns3so9wv1f 3 күн бұрын
😢uyo ntangazaji anauliza Maswali nikama haelewi Haoni vile hali ziko kenya
@MonicaBeni
@MonicaBeni 3 күн бұрын
Uyo cyo yy.. Yani majitu humu mmepangwa mkapangika
@youngmum3115
@youngmum3115 Күн бұрын
Walahi tena
@NajmaNAJMA-zu7od
@NajmaNAJMA-zu7od 2 күн бұрын
Msanii wa Kicheche huyu nimemkumbuka
@user-ic7felix
@user-ic7felix Күн бұрын
Hapo sawa kabsa maisha inaenda sana mafuta pia
@RoseKasichana
@RoseKasichana Күн бұрын
Nakataa huyo hawafanani na mwenye kupambania haki zetu
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Күн бұрын
Wewe mtangazaji hujuwi police ni mulinzi wetu tunamulip Kodi zetu
@Zimwilishe
@Zimwilishe Күн бұрын
😂😂😂Jifunze kutamka vizuri jina la Gen-Z kaka. Unaonyesha kutofanya research
@user-do2id6pp4g
@user-do2id6pp4g Күн бұрын
Huyo anehoji nae aende akajifunze tena hamna kitu
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 2 күн бұрын
WaKenya ni Wakurya waliochangamka zaidi..
@mwanamgenimwamzandi1941
@mwanamgenimwamzandi1941 Күн бұрын
Huyu dem sio yule kwanza yule Mrefu na hata iyo ddye kwa kichwa
@MagdqlineMutei
@MagdqlineMutei 9 сағат бұрын
😂😂 kweli uwa mnakorongeka kwel uyu c mwenye alikuwa kwa maandamano.
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 3 күн бұрын
Wakenya wana ushujaa wa hali ya juu 💪
@KennNafisha
@KennNafisha Күн бұрын
Aliyekuwa kwenye maandamano ni luhya
@JonathElickford
@JonathElickford Күн бұрын
Huyo takataka tuu anataka na Tz waje watupandikize roho za hovyo sisi
@ElizabethMunyau-ol1lj
@ElizabethMunyau-ol1lj Күн бұрын
Chunga sana dada,unajua serekali yetu kenya,wakati wowoto unaeza "potezwa"
@FidkimKim
@FidkimKim 3 күн бұрын
Fidd kim Kenya 🔥🔥🔥🔥
@koringobenard6764
@koringobenard6764 Күн бұрын
huyo si yeye buanaaa😅
@user-es9ye1tj7u
@user-es9ye1tj7u Күн бұрын
Wakenyaa banaa na miee nawakubarii ,,majasirii jamanii,,,anaongeaa kweri
@omarsuleiman1448
@omarsuleiman1448 Күн бұрын
Huyo sio mkenya ni manzanita manono anavyo tamka kiswahili sie wetu
@michaelkanene744
@michaelkanene744 13 сағат бұрын
Kumbe hizo kofia na scarf zilificha mengi.Ukiangalia picha ya maandamano ako fiti lakini hapo kwa mahojiano hamna kitu
@warekomora296
@warekomora296 16 сағат бұрын
Huyoo n familia ya mzeee kicheche bana
@warekomora296
@warekomora296 16 сағат бұрын
Huyoo niwamganga kicheche bana acheni mchezooo
@timopanga5286
@timopanga5286 2 күн бұрын
Achen ushamba cy yy mnatulisha matango pori
@user-xf6oh2dx4c
@user-xf6oh2dx4c Күн бұрын
Mkamba original
@user-nb5fk2qh9c
@user-nb5fk2qh9c 10 сағат бұрын
Maandamano ya amani wakati mnavunja maduka mnaiwaibia raiya wenzenu
@SusanNeymar
@SusanNeymar 2 күн бұрын
Huyo sio yeye 😢😢
@otienofredrick2656
@otienofredrick2656 12 сағат бұрын
Huyu sio yeye ata sura na sauti haziambatani,aache kujificha kwa kipaji/ Ujasiri wa "Shujaa Shakira Wafula"..
@aishazakaria5322
@aishazakaria5322 14 сағат бұрын
Huyu c mrembo wa kenya bro usitupime wewe😂
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 Күн бұрын
Kama anawacha mwili yake nje nje anauza nini hapo kwa studio ?🤣🤣🤣🤣
@shabbymakapane
@shabbymakapane Күн бұрын
🤣🤣🤣
@dominicogutu4452
@dominicogutu4452 13 сағат бұрын
Hata kama hatuna macho huyu ziii
@maadinaaasthman3848
@maadinaaasthman3848 Күн бұрын
watanzania ujinga ndio inawasumbua huyo dada labda alikuwa maandamao dar es salaam lakini sio Kenya
@jamkay9786
@jamkay9786 Күн бұрын
Wewe ni TZ
@FaithKibwii
@FaithKibwii Күн бұрын
Uko sure mliandamana juu ya vitu kupanda hama ni financial bill?
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 3 күн бұрын
Good job
@naimanimo4925
@naimanimo4925 Күн бұрын
😂😂😂some people love camera
@MarionAnzazi
@MarionAnzazi Күн бұрын
Huyo siye ni yule msichana mwenye alicheza kama mtoto wa kicheche kutoka kenya
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 күн бұрын
ama kwel huyo ni mrembo..hongera zako mdada mzuri
@jum4771
@jum4771 Күн бұрын
Huyu si yeye
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Күн бұрын
@@jum4771ni kwel ila hata yee pia ni mrembo sema tu hiyo blich ndio cjapenda huko kichwan but very beautiful
@KennNafisha
@KennNafisha Күн бұрын
Sio huyo, please huyo ni mkamba
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 3 күн бұрын
Ni kweli kabisa umoja ni nguvu
@user-ob7kr1lk6k
@user-ob7kr1lk6k Күн бұрын
Ni mkenya na anaikiza na kacheche familia clip
@eliasmajambomwinyihaji1335
@eliasmajambomwinyihaji1335 2 күн бұрын
Hawa vijana wanadanganywa na viongozi mana huwezi sema mkate unapanda akae ajue mkate huo huo miaka ya nyuma ni tofaut na sasa na huo mkate utakua bei ya juu miaka ijao hili lipo wazi na hakuna mtu anaweza kulipinga .makundi kama haya yalikuepo enzi za jomokenyatta na walipotea iwe hao ,wajue yule raisi ruto yuko na akili nyingi sana kushinda hao GEN Z mana alikua toka enzi za raisi moi ,mwai kibaki ,uhuru yuko na mbinu nyingi sana .bei zitapanda watake wakatae iyo ni lazima kwa taifa lolote ikiwa dollar ya American huwaga inapanda iwe chakula chenu hapo kwa taifa lenu,ikiwa American chakula kinapanda iwe kenya acheni ugwese huo
@AaAa-rx1ug
@AaAa-rx1ug Күн бұрын
Ruto ana lolote and he must go
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Күн бұрын
Usitulishe matango pori sasa mbona humuulizi kaja fanya nini huku TZ wakati maandamano hayajaisha ?
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Күн бұрын
Muongo sio hyo wacheni habari za uongo shenzi nyinyi
@AbdiKadirKanu
@AbdiKadirKanu 2 күн бұрын
ni kweli ila ni mumeru si wasikia lafuthi yake ya kimeru
@user-chungamali
@user-chungamali 2 күн бұрын
Kwendeni huko uyu si wa kwetu.
@righttoknowwiththomas9178
@righttoknowwiththomas9178 Күн бұрын
Lafudhi ya wameru wa kenya
@ElizabethMunyau-ol1lj
@ElizabethMunyau-ol1lj Күн бұрын
Huyu sio mwenye mnadhani
@youngmum3115
@youngmum3115 Күн бұрын
Shes not the one .....wacha kudanganywa!!!!!!
@GREATFILMSPRODUCTION
@GREATFILMSPRODUCTION 2 күн бұрын
huyu NI mkenya Ila n msanii wake #kicheche
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 14 сағат бұрын
HUYU NI KARUBANDIKA.. she's not one of us
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Күн бұрын
Huyo hajuwi lolote wenzake hawajafanikiwa yeye ameanza kutuhamasisha SS Tanzania Bado munashiba mpaka 2030 Tanzania covid19 wasila musingwa Dr silaa wanasanifu watu ipo siku
@hanashhanash535
@hanashhanash535 2 күн бұрын
Huyo sie Shakira MBWA ww
@LylahMrombo
@LylahMrombo 2 күн бұрын
Polisi Kenya n raia km mm n sare 2 ndo zatutofautisha 2 n pia Askari w Kenya wanaishi nje y vituo vya polisi n so lazima kila m2 awe n heshima
@julius3222
@julius3222 Күн бұрын
Gen Z Tunakuja tz tuesday ole wenu
@fatumasaid1149
@fatumasaid1149 Күн бұрын
Karibuni mnakaribishwa😂😂😂😂
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 2 күн бұрын
Sura km azizi mifunguo
@Mosses8
@Mosses8 3 күн бұрын
hata kiswahili enyewe siyo
@George-jz3jg
@George-jz3jg Күн бұрын
Mbona anaonyesha paja huyo?
@SamuelKimani-xk5fl
@SamuelKimani-xk5fl Күн бұрын
Wee wakenya tusoma tujia haki zetu baba
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 3 күн бұрын
Huyu si yeye hamuoni picha ni tofauti??? Ubaya ya TZni Kiki,, yule wa kenya hana matiti makubwa na huyu ni mubonge na mweusi
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 3 күн бұрын
Yule Hana cowbel kama hizo 😛😛😛
@user-dh1ch2xf1w
@user-dh1ch2xf1w Күн бұрын
hyo ni mkenya namjua anakaa kule kilifi mtwapa lakini akua yeye kule kwa mamdamano
@MarioNdanzi-kp9hp
@MarioNdanzi-kp9hp 3 күн бұрын
Sivyo eyeee
@celestinenanzala7569
@celestinenanzala7569 11 сағат бұрын
Huyu dada siyo shakira
@calvinsotieno5880
@calvinsotieno5880 2 күн бұрын
Huyo siyo yeye anatafuta kikitu
@KulthumMohamed-fk6zj
@KulthumMohamed-fk6zj Күн бұрын
Acha kuharibu kazi yako huyo siyo yeye
@Youngmathew1832
@Youngmathew1832 2 күн бұрын
Kiswahili ya mkamba
@user-dh1ch2xf1w
@user-dh1ch2xf1w Күн бұрын
sio hyo
@fatumakale7004
@fatumakale7004 3 күн бұрын
Wakenya weeh balaa
@estherzawadikazungu4471
@estherzawadikazungu4471 Күн бұрын
ww hatukujui 😂😂😂 nogwe ww
@paulineafuande7226
@paulineafuande7226 12 сағат бұрын
Huyu sio shakiraa😂
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 2 күн бұрын
Uyu mwandishi yan aelewi anfny nn
@aminaaminahmuhammad8838
@aminaaminahmuhammad8838 Күн бұрын
Sio yeye nyo
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 3 күн бұрын
Alf anaongea vibaya kiswahili
@user-chungamali
@user-chungamali 2 күн бұрын
Uongo ata Leo tuko kwa mahandamamo 😂Waja uongo
@thamani5842
@thamani5842 2 күн бұрын
Alikua akae ukouko aandamane si haogopi, kilichomleta Tz kitu gani?
@ImeliyImeliy-wy7zv
@ImeliyImeliy-wy7zv 6 сағат бұрын
Sio huyo
@josephgaturuku767
@josephgaturuku767 2 күн бұрын
Kusema kweri pirisi moja hawezi kunishika kamwe
@thamani5842
@thamani5842 2 күн бұрын
Ruto njoo uchukue 'mrembo' wenu kakimbilia Tz huku
@shabbymakapane
@shabbymakapane Күн бұрын
🤣🤣🤣
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 16 сағат бұрын
Uyo mwongo mwone na kope kama nyau
@saumbliz8983
@saumbliz8983 3 күн бұрын
Uongo. Huyu si ameigiza na kicheche movie ya familia ya kicheche
@TumbaMbayo
@TumbaMbayo Күн бұрын
Funika kwaza mapaja muchenzi
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Күн бұрын
Huyo dada ni chawa wa luto Hana lolote ni musaliti yeye maisha mazuli wewe mtangaziji wewe ni ccm sisi hatuna wandishi vyama wote machawa
@LinosJohn-dp9xi
@LinosJohn-dp9xi 2 күн бұрын
Huyu sio yule mrembo shujaaa nilitamani angekuwa yeye
@anosiata8242
@anosiata8242 2 күн бұрын
Wamesema 24 ndo wamekufa
@frankmataka7185
@frankmataka7185 3 күн бұрын
Huyo msichana hafai kakimbia kwao arudi kwao
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 3 күн бұрын
Nyie mwangalieni kichwa kama Laweka madawa ya kulevyo😂😂😂
@youngmum3115
@youngmum3115 Күн бұрын
😂😂watu na content kizungu cha huyu si kama cha mrembo wetu....kwani watu mbona mnakua ovyo hivi
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 3 күн бұрын
mtangazaji anataka kupigwa😂😂
@charlesandati567
@charlesandati567 11 сағат бұрын
Yule alikua bukusu
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 2 күн бұрын
Sio yeye.mafala nyinyi😅
@reginamalima9701
@reginamalima9701 2 күн бұрын
😅😅😅😅huyu si yeye ni msanii wa kicheche acheni uongo
@jum4771
@jum4771 Күн бұрын
Sasa huyu ni nani?yule ana hijab .
@jofreysilozi5149
@jofreysilozi5149 Күн бұрын
kazi yapipi
@Joycejoy-qw6ft
@Joycejoy-qw6ft Күн бұрын
She is not the one
@Gastopizzo-jg7bu
@Gastopizzo-jg7bu 3 күн бұрын
Huyu sio yule dada alafu mtangazaji bwana sio genzii ni Gen z
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 Күн бұрын
Huyo paja iko nje au naona vibaya ?
@shabbymakapane
@shabbymakapane Күн бұрын
Ni kweli 🤣🤣🤣
@saleemnyowe
@saleemnyowe 2 күн бұрын
She js not the one
@frankmataka7185
@frankmataka7185 3 күн бұрын
Unaanzisha vita watu wamekufa wewe umekimbia rudi ukajibu ulichotaka kufanya
@lydiahnyamari55
@lydiahnyamari55 Күн бұрын
Si yeye
@ednahumazi777
@ednahumazi777 3 күн бұрын
Aibu kubwa mrongo huyo mwanamke
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 85 МЛН
WHAT THE GEN-Z WANT!  | The Heroic Story Of ABDUL KHALIFA!
19:31
Kenya Online Media
Рет қаралды 98 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 237 М.
MAPYA YAIBUKA WANAOFANYA SURGERY MATATANI ZAIDI KWA KIFO.
23:52
GEN Z WALIVYO KAMATWA NA WANAJESHI, ONA BALAA LAKE
2:25
Mbengo Tv
Рет қаралды 1,4 М.
MAISHA  HALISI YA KIJANA "VOCHA" NA SKENDO YA KUITWA SHOGA
21:54
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН