Like Zenu jmn hii sehem ya 40 nipate like zenu guys
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Zabron unafanya tukeshe kwa kusubiri story yako nzuri
@mudulorukuyana37223 жыл бұрын
Mungu ataki uwe na mali zisizo kuwa na raha ao zisizo kuwa alali.
@icekidzsafari94693 жыл бұрын
Mr fact umesalimiwa..frm #254
@abbyadams86913 жыл бұрын
Tanzania inawafanya Wakenya mpate raha Hapa Davistar,pale Diamond,kule Magufuli.
@nurafedrick3783 жыл бұрын
@@abbyadams8691 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kote kote bn Kenya sihami tz nasikizaa tuu bs
@annkim26903 жыл бұрын
Am the first one ooh we are going to the witchdoctor ooh
@elizabethauma22603 жыл бұрын
Yes oooooo
@georgemaji79153 жыл бұрын
Haaaa
@suleymanally47293 жыл бұрын
Nikwel ila bint yule hmn kitu labd huyo Angel lkn huy hahahhahah kam muuz uyoga
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Mzee kaka hii story bado move
@roseuwambe80893 жыл бұрын
Zabron kweli wewe usikiimzazi uliambiwa ukokuna ukimwi ata sarun usiende kunyoa sasa wewe ukachukua bar medi ukawa mnakulana kilasiku😁😁😁🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
@oscarlemamaringo80813 жыл бұрын
Leo nimejitaidi sana kuwahi lkn wapi ila kweli wewe jamaa unaasili ya jini unamatukio ambayo ni kama unapewa taarifa
@esthergasper80863 жыл бұрын
Daaah naona inaisha haraka vile
@mashamramba34613 жыл бұрын
Duuuuuuhh !! Sasa hii story ya Ginimbi ni kweli sasa
@Mazoea3 жыл бұрын
Ni kweli utajiri wa haraka hataka waganga wa kienyeji ni wakara wa shetani washenzi sana huwa. Awa kuambii ukweli...mambo ya kutoa kafara kila baada miezi mitatu kisa pesa....
@popoali66413 жыл бұрын
Hongera zablon
@shaloboy38613 жыл бұрын
Davista iwe ukiitikia ama kuuliza viswali ndio msimuliaji awe na morali sio kula mawe mwanzo mwisho
@aishasaid67493 жыл бұрын
Kwa Mungu na kwa yesu 🤔🤔🤔
@coolmum78123 жыл бұрын
Pamoja sana mtu wa nguvu much love from 254
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Wallah leo nimecheka hadi mbavu zaniuma eti ulikua unataka unitoe kafara eti kumbe lile joka likubwa nilishike nimpelekee joka kubwa vile
@dannypaul89123 жыл бұрын
Weka MziGo Davistar
@winfridakaaya27583 жыл бұрын
Darren stry nzuriii
@carolinetev26313 жыл бұрын
Kakangu huyo ni jinn kaka lanki kwa umbo la nyoka
@acruxe58103 жыл бұрын
Kwanzia no. 1 mpaka no. 40 ⛽🔥
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
@mbarikiwambarikiwa39883 жыл бұрын
Zablon unachekesha, naambiwa ndagu ya utajili unakubali wakati mganga mwenyewe siyo tajiri, huoni km ulikuwa unaongeza Matatizo upande wako.
@mariajili63193 жыл бұрын
Jmn kaka huyu amepitia mengi, hana maisha marefu
@joshuatalu95963 жыл бұрын
Kenya tunawapenda Zablon na Mata.
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Mata kwani wewe huju kupikaaa😄😄😂😂😂😂😂😂😂kuna nazi kaxi zakike bn
@badymsuya60933 жыл бұрын
Yeah
@abdulhalimhumud19173 жыл бұрын
Pamoja mr Facts 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Hehe he zabroni ww una mazito sana pole sana ila ww shujaa mkubwa
@pilimusa77703 жыл бұрын
Kabisaa
@Rose-ue2ho3 жыл бұрын
Kuna mzee majuto na mzee mateseko,, huyu mzee mateseko😂
@hameesabdalah37803 жыл бұрын
mr fact kz nzuri yn siwezi lala bila kupitia kipande kimoja
@rasjamal98543 жыл бұрын
Ukiaribu ukija tena ntakupiga viboko😁😁😁 Tupo pmj chefu Zabron na Devistar Mata
@zuhuraimran36593 жыл бұрын
Na kivuli kiliregeshwa ana bdo
@vellarose25963 жыл бұрын
Utajiri wa haraka una karama yake 🇰🇪🇧🇭
@aishasaid67493 жыл бұрын
Waganga washenzi sana
@didasrichard30683 жыл бұрын
Dope
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
safiii
@zeramohamed96723 жыл бұрын
Huyo nyoka kikukweli ilahuwezi muona
@nurudaud39932 жыл бұрын
daaaaaa yani baba yako anatka wewe uteseke😢😮heeeeee hatari
@beatricekweka66833 жыл бұрын
💥💥💥😊
@meisme75403 жыл бұрын
Hiyo ac. Fb hata siiionii. Naona zabron kibaooo
@rebeccapmashauli26483 жыл бұрын
Tushaziona mzee baba hata huyo binti mwarabu na muafrica tushamuona tupe vitu
@mayaalmahrooqi13453 жыл бұрын
S.a tupo pamoja
@lulubintrashid19033 жыл бұрын
Ehh watu hua mwalala humu humu au vp?🤣🤣
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Nakwambia
@jotafungo46223 жыл бұрын
Hatari sana
@mariammgombayeka18243 жыл бұрын
Tatizo kamba hukuiweka kwa mfuko umpelekee
@suleymanally47293 жыл бұрын
Wa 31 stak like wala comanet 😞
@pilimusa77703 жыл бұрын
Nimekupaaa😂😂😂😂
@suleymanally47293 жыл бұрын
@@pilimusa7770 jmn pil unann lkn?
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@suleymanally4729 😂😂😂😂😂😂😂 nakuchokoza tuu
@suleymanally47293 жыл бұрын
@@pilimusa7770 ngoj nifany mmb Yang tuend wote gambosh naww utakua karb Yang 😂😂🏃
Hapo kwenye chatu kuzaa ni kawaida sio jamii zote wanataga mayai nje wengine wanatotolea tumboni na na kutoa tu watoto
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Kumbe
@francisgaudence5113 жыл бұрын
Tupo pamoja
@gharibislam15863 жыл бұрын
Davistar mulize Zablon mbona jina lake sioni kwa Facebook? Zablon C Mwita hakuna
@gharibislam15863 жыл бұрын
@Cute Ninoh Sio urongo,ila tumekosea kuandika jina lake vizuri
@sistertrashid24883 жыл бұрын
Na mimi sijalala Leo
@faustinaalukungu85113 жыл бұрын
🙏
@elizanzula83753 жыл бұрын
Data sana hapa naona tukirudiswa gamboshi
@carolinewanza26483 жыл бұрын
Leo nimewai
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Duuu kamba kumbe nyoka 😂😂😂😂😂😂sasa ungemchukuwa ungekuwa unaua watu wakimezwaa
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
Kamba huwa ni nyoka. nahuyu nyoka sinyoka bali ni jini
@husseintayar6993 жыл бұрын
Jamani si uwape nafasi na wemzako tusikie na ya wenzako maliza au unapenda uonekane ktk kioo
@manbanshaban92533 жыл бұрын
Wacha ufala,,haya nenda wewe ukatoe story.
@suleymanally47293 жыл бұрын
Bint all rashd up waa?
@Mazoea3 жыл бұрын
Du davistar please weka ya 41 usiku huu maana uyu zebron kwa waganga wa kienyeji ajambo....utajiri auji bure ..mara machatu mara manyoka makubwa haya...
@rappertinno41843 жыл бұрын
Wanji wanji 2nasololea mastory
@deusdeodavid53603 жыл бұрын
Angel nimemuona Aisee ilikua ni pisi kali balaa
@florencerose8593 жыл бұрын
Davista story moto kwueli kwueli
@bethalema63103 жыл бұрын
Wewe Msabato mbona mshirikina hivyo
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Shikamooni waganga😠
@venahsithole64633 жыл бұрын
Mze baba unaenda kutafuta utajiri wa uganga tena utakuwa mchawi hahahaa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Somoe pili Aisha Aiyam violine cute emmy Fm morn sapna blessed mimi wetu mpenzi Fatma Ayush Lulu mariam malima Esha Goa masha Nguwalo na wengineo njooooooooon mambo rayariiii🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭💃
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Nimefika pamoja sana
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ndiyo nimefika. Asante kindugu changu😍😍😍😍
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 sanaa💓💓💓💓💓
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Nmefurai kukuona 💓💓💓
@pilimusa77703 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 asante kindugu changu
@lusatofikili60003 жыл бұрын
Oya mnanikatiri vipande vingine mnavirusha kwa nini weka mambo hazarani bana.
@gaomariwa76373 жыл бұрын
Canal
@marthamaligo4583 жыл бұрын
Jmn hivi wengine hamulali😂😂😂😂😂😂duuh
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Dooh pole ila nimecheka balaa eti nikachimba nikasikia puuu puuu puu baaden ubaridi wakiyoyozi muda kutoka joka kubwa lanakutaman naulimi
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Hixo pombe zote tumboni simakubwaa hayoooo😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Haha hapo kweli limbwataa litakuhusu
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@meckylucy2153 жыл бұрын
Namimi nimewahi leo
@eshalibaba11953 жыл бұрын
😘😘😘nimejitahidi leo 18
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Hongera
@sistertrashid24883 жыл бұрын
Bro Davistar ya 41 yaani nakodoa macho Leo aiji tu nimewamiss mie
@IANA20303 жыл бұрын
🤣😂😂😂eti akina ginimbi 🙌🏿😂😂😂😂😂
@jeaninemugisha63953 жыл бұрын
Nami reo nimewahi
@fadhilngimilanga18283 жыл бұрын
Nimeziona hizo rasta zako ilikuwa ni noma jamaa!
@pilimusa77703 жыл бұрын
Alipendeza sana
@franktibwita228 Жыл бұрын
Nisaidie sipeling
@suleymanally47293 жыл бұрын
Mm nashangaa sana waganga hahaha hahaha hahahah et nkup utajir 😂😂😂😂😂lkn hapo yey anaomb elf 50
@aishasaid67493 жыл бұрын
Ili akuunganishe na majini yey hana uwezo wa kumpa mtu utajiri
@suleymanally47293 жыл бұрын
@@aishasaid6749 aaaah then ukikosea t chamot wakiona hahah