PART42:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 17,364

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 295
@nancychissamo379
@nancychissamo379 3 жыл бұрын
Dah!!! Hii story kwa kwel umetuweza. Kusema kwel mm ndani kwng kuanzia mzee hd wtt washanibatiza na jina asee,,Naitwa mama davista 😂😂😂,mn nimekuwa biz na hii story hd bc. God bless u DM na zabron
@rafiakinyoa4247
@rafiakinyoa4247 3 жыл бұрын
Mm wa kwanza leo like zenu wapendwa
@carolinewanza2648
@carolinewanza2648 3 жыл бұрын
Mm wa 3 Leo like zenu jamani.........zabron mob love 💞💞💞💞💞💞💞
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
Shetani hawezi kukusaidia. Lengo lake ni kukuhangaisha, kukutesa na kukuweka katika hali ya wasiwasi. Msaada wa kweli hutoka kwa Yesu.
@monirangerera7155
@monirangerera7155 3 жыл бұрын
Mbona kamsaidia aludi tena mgodini ovyoo na akamwambia kivili huna
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
@@monirangerera7155 kwaiyo kwa akili yko shetani ndo kamsaidia???we ushawah saidiwa na shetani ???😂😂😂😂😂😂😂daah kweli akili ni nywele kila mtu na akili zke...
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
@@monirangerera7155 apo amna msahada ni mateso tuu kama kweli mbona majini au mizimu inamwambia aende kwa waganga na sio kanisani????ujui waganga ni watumishi wa shetani??
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 Yaani hujui kuwa waganga hutoa nguvu zao kwa Shetani? Kwani unaishi sayari gani?
@chazgunda5823
@chazgunda5823 3 жыл бұрын
😂😂😂 jamaa anakicheko cha kicomed sana Yaaaani akicheka mi ndo nacheka hoi
@shastara241
@shastara241 3 жыл бұрын
😂😂😂 me too wallahi
@guddannaika9778
@guddannaika9778 3 жыл бұрын
Leo wa kwanza gonga like kama una muelewa zabron
@sifamdaki966
@sifamdaki966 3 жыл бұрын
Wakwanza Leo like zang tafadhali
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 жыл бұрын
Leo 15 brothers umetisha pole sana
@basamtz8674
@basamtz8674 3 жыл бұрын
Nawashukulu ote mlio nipa like video iliyo pita nimefarijika na kuona kweli tuna usililiano tuna jifunza na kuelimika
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Heri jamani umeenda angalao urudishiwe hiko kivuli lakini huyo bibiyako hope ako jehanam
@sadamhuseein2989
@sadamhuseein2989 3 жыл бұрын
Nilipo kua nataka ndio hapo kwa marasta😂daaa!! Afadhari
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Huyu jamaaa sio mtu wa kawaida naanza kumuogopa, atakuja kuwa mtu mkubwa sio siri
@systemnatubukwajinalababam8976
@systemnatubukwajinalababam8976 3 жыл бұрын
NA kukubali mzee baba. Umeoa ama bado. Natafuta mchumba mimi mzee misosi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Camera man anatakakusikia str huku akiwachukuwa video😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Umeonaeeee🤣🤣🤣🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😂😂😂ndio
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@nurafedrick378 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😂😂😂haki kweli mm pia uyubu unipite kwann 👂👂👂👂👂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@nurafedrick378 Hapo sasa 🤣🤣🤣💗💗💗
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 жыл бұрын
Daaaa best umepitia mitihan mingi sana umepitia brothers
@husseinomary4466
@husseinomary4466 3 жыл бұрын
Hiii nikama ileee niliisikiaga redio free Africa miaka mingi iliyopita nashukuru nimjua zabron
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Shukran sana 🙏
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Thank you Davista mata tuko pamoja
@swaifasaid1742
@swaifasaid1742 3 жыл бұрын
mmh kila nikijitahid kuwa wa kwanza najikuta leo wa 7.haya naomben dua zenu mana like sizitak
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@sitinassy8772
@sitinassy8772 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@swaifasaid1742
@swaifasaid1742 3 жыл бұрын
@@saidmalibiche3853 asante
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Alhamdulillah nmekua wa kwanza 💃🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@officiallsalmatz6963
@officiallsalmatz6963 3 жыл бұрын
Kwamara ya kwanza nipo kwenye 10 bora 😂
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
Maashallah
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Tunasema Astaghfirullah
@dashyajulius5513
@dashyajulius5513 3 жыл бұрын
dav muhuni sana ww🤣🤣🤣et hamkuwaza kufanya kidogo🤣
@kithia100
@kithia100 3 жыл бұрын
He is goodman hihihihiiiiiii-( your a goodman)
@esthergasper8086
@esthergasper8086 3 жыл бұрын
Daaah nilikuwa nakungojea sana sehemu ya marasta
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Zabron ni mcheshi sana mm nampenda 😘😘😘
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Uyo jini wako alikuwa halewi lakini wapo majini wengine walevi mbwa! Majini ni kama sisi binadamu wapo wazuri na wabaya. Bye theway mimi nilikuwa najiona nina nuski lakini zabron umenipita hata mimi 😢 Pole
@daudidandi7703
@daudidandi7703 3 жыл бұрын
jini ni jini hakuna mzuri wala mbaya wote ni mashetani
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@daudidandi7703 wako majini mazuri ambao wanaishi kwao ujinini hawataki hata mazoea na binadamu na hawadhuru binadamu soma ujuwe kuhusu majini.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@daudidandi7703 weka tofauti ya jini na shetani jini anakuwa shetani pale anapo fanya matendo machafu hata wewe binadamu unaweza kuitwa shetani kutokana na matendo yako machafu. Wote ni viumbe walio umbwa na Mungu hakuna kiumbe chochote kilicho jiumba.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
@@daudidandi7703 kasome utapata jibu .
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 3 жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 kweli
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Pili njooo n bint alrshid Gar inawaaach 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ndiyo nimefikaa. Asante kaka suleyman
@malimathegreattv9251
@malimathegreattv9251 3 жыл бұрын
Wangapi wamesikia goti linaonekana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Sijui halipaswi kuonekana??
@rappertinno4184
@rappertinno4184 3 жыл бұрын
Sio K sher ni Geisha K sher ni msanii Geisha sabun
@furahaanaongeapointxanampe2585
@furahaanaongeapointxanampe2585 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aminamrope1797
@aminamrope1797 3 жыл бұрын
Daah namba moja Leo. Kama ndoto vile
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@aminamrope1797
@aminamrope1797 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 asante wangu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@aminamrope1797 karibu sana
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😍😍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongraaa💗💗💗
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
My best series
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
❣️❣️😂🤣🙏 wewe kaka nakumpenda sana pore sana kaka 😘🙏
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Ahaaaaaaa pol sana
@zefamange7281
@zefamange7281 3 жыл бұрын
DAVISTER MBONA MNATUCHANGANYAA, HICHO KIPANDE CHA 43 KIMERUSHWA
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Mungu anakupenda zaidi
@highnesseverest3619
@highnesseverest3619 3 жыл бұрын
Love you guys Davistar & Zablon
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
I laugh huyu jamaa akiita huyo jini binti, hajui anaweza jigeuza nakuwa ndume mkubwa hata kumliko 🤣🤣
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Aaah duh utafutaji una misuko suko na kama hujapitia magum katika utafutaji lazima utakuwa muoga wa maisha Mara nyingi
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ayshaaa. Khulood. Aminaaa. Aishaaaa. Somoeeee. Sea air. Fatma aaaaa. Aiyam. Njoooni. Davistar uwanjaniii.
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Nimefika pamoja sana
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Nimefika maaa ahsante kipnz
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Asante sweety 💃
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 karibu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@aiyamhassan1321 karibu sana
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Hv kumbe kweli madini ni ya majini.
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Camera man anakusaidia 🤣🤣 Noma .
@douglasorina9314
@douglasorina9314 3 жыл бұрын
Leo number one
@soudaabdallah4526
@soudaabdallah4526 3 жыл бұрын
Dah Leo nimewahi jamn jini my anatia khofu
@angelokihaka7216
@angelokihaka7216 3 жыл бұрын
Hatimae kivuli kinarud 🤣🤣🤣 ila hakijatailiwa
@aishajuma712
@aishajuma712 3 жыл бұрын
Dooooh😂😂😂😂
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 3 жыл бұрын
Kweli mzee babaa alikuw mpambanaji
@venahsithole6463
@venahsithole6463 3 жыл бұрын
Pole sana mzee baba
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Duuuh nimecheka kwa sauti peke yangu alipoachia mzigo wa maana
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Ihiii story ya mwakaa jaaa anajua sana kuadisia sana
@shahama6663
@shahama6663 3 жыл бұрын
Umepitia kaka daa polesana
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 3 жыл бұрын
Afadhali Mungu amekuepusha na mapepo hayo pesa za mapepo zinaua watu saaana ,sama. Wewe kama hujampokea Yesu kristo ebu tafakari na kurudi kwa bwana ndiye anayekuokoa. Achana na marasta unaongezea mapepo mikosi juu ya,mikosi kaka
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
jin kacheka kasema Astaghfirullah أستغفرالله yaaan naomba unisamehe mungu
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Siku 13 Chifu Zabron anakula kwa Macho mtoto wa shombe shombe karudi Madina, Hila nakupa Salute ni mpamba mbanaji inshallah utafanikiwa
@didasrichard3068
@didasrichard3068 3 жыл бұрын
Dope
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Hebu mtafute Yesu Zabron.
@babaalex5062
@babaalex5062 3 жыл бұрын
Hv mnakulaga kiporo mko chap kidogo😂😂😂
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Magumu uliyopitiwa kwakweli
@mussajuma3100
@mussajuma3100 3 жыл бұрын
Hadi wa Leo!
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
safii dav
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Wah mlisema tutaeda mpaka wap.au n mia sasa😃😃😃acha nijioganize kinoma sasa
@dearlaviee4051
@dearlaviee4051 3 жыл бұрын
Nice
@fatmazinga5310
@fatmazinga5310 3 жыл бұрын
Jamani pole sana
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Msimame siku moja basi tuwaone👍😘😳🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Ingia fb wametupia picha nahixo nguo wawili kama wamesimama😂😂🤣🤣🤣
@maryamevarista9473
@maryamevarista9473 3 жыл бұрын
Miyangu kukoment tu japo inahuzunisha sana! Zabloni kapitiya maisha yote yote yaraha na ya shida
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Wow mumewahi
@herenagetema3920
@herenagetema3920 3 жыл бұрын
Davsta bwana eti hukutaka kufanyanae kidogo na jini
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Ivi leo haijashuka mana natafuta hadi mijicho yangu imekua mikubwa nasion
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
😂😂🔥🔥🔥👌👌👌wale ambao tuko makini nipeni like apa tunatumia WiFi network tuko on mda wote mambo bado yanazidi kua moto🔥🔥🔥🔥🔥 wakwanza tena😂😂
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Tupe mwendeezooooo
@rappertinno4184
@rappertinno4184 3 жыл бұрын
Wanji wanji 2nasololea mastory!!!
@lasma9830
@lasma9830 3 жыл бұрын
Nipeni like zangu leo dah. Wa 42
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@afterx3172
@afterx3172 3 жыл бұрын
Camera man ttzo nn 🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Somoe pili Amina Aisha Fatma cute emmy Mimi wetu mpenzi malima blessed violine Fm morn Hamis Nguwala Ayush Aiyam juma wetu mpenzi Rafia mams Nura chaz Hussni mwita caroline Basam sadam Neema chantelle 💗💗 bilakumsahau shem langu languvuuuuuu Eric na wengineooooo njoooooooooooooooon mambo tayariiiiii🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭💗💗💃
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Tunasema Astagh’firullah
@ruthkwamboka9082
@ruthkwamboka9082 3 жыл бұрын
Woeee iyo life
@khalidjimmy5774
@khalidjimmy5774 3 жыл бұрын
Davista Master tunaomba muendelezo
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
A weee zablon kwa marasta nilisubri sana ifike
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Wewe kilamahali unaharibuu tuu pombe babaz maji kwasana
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Nipo namsikiliza davistar na zabron
@halimamohamed6067
@halimamohamed6067 3 жыл бұрын
🔥
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
We musenge vipi saana kudadandeki ungekuwa mudogo wangu ninge kuchimba vijembe sana hii stori achana nayo ishaisha iyo
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Devi 43 aipo
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Davista mata shusha number 43
@muddygaston1671
@muddygaston1671 3 жыл бұрын
kaka mbn umefuta video ya kuendlea
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Sema ulikuwa na bidii na nguvu zako za giza.
@philipmbaabu6169
@philipmbaabu6169 Жыл бұрын
Who will tell me what kivuli is??
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
😂😉Eti hmkufikiri kufanya hta kidogo
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
👍👍🔥❤️
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 3 жыл бұрын
Mimi wa Kwanza hoyeeee
@josephjoshua1177
@josephjoshua1177 3 жыл бұрын
Yan ktk story ambazo nimewai kukutana nazo zabron(Mzee wa misosi) amepitia matato mengi sanaa
@mariamshabani6853
@mariamshabani6853 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️From 🇿🇦
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Duuuuuuyy
@mariamshabani6853
@mariamshabani6853 3 жыл бұрын
🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
@salmajumanne8914
@salmajumanne8914 3 жыл бұрын
Mbona hajatuletea ingine vp
@theunseen.believe5672
@theunseen.believe5672 3 жыл бұрын
Davista yani wewe noma😁😁😁yani unaikatisha stori sehemu noma ndio tuwe na hamu ya kusubiri🤒🤒
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Miaka ya 2003-2012 Tamthilia za Wafilipino zilibamba sana. Sasa ni zamu ya Davistar.
@johnkapinga755
@johnkapinga755 3 жыл бұрын
Nakupa big up Zabron wewe ni jembe
@jeaninemugisha6395
@jeaninemugisha6395 3 жыл бұрын
Nimeshanga sana kwakuwa zabroni aowa jini nimara yangu gusikia mpaka nimeogopa kumbe mwana damu aweza kuowa kiumbe rara,,2
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Mbona wengi saan wanaoa majin
@cecycecy3610
@cecycecy3610 3 жыл бұрын
hiii story nzur yan mm atanikiwa nimechoka na weka tu kitandan usingz unanikuja vzur saut ya zabron inafanya napata kausingz
@zuhuraimran3659
@zuhuraimran3659 3 жыл бұрын
Geisha ama keisha
@driftdumper8927
@driftdumper8927 3 жыл бұрын
Davista weka clip nyingine
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Zabron wewe ni brand kubwa sana inachotakiwa kufanya ni kuigeuza hyo brand kuwa pesa tafuta wataalam wakusimamie
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
Wolfram Physics Project: Update with Q&A Tuesday, Oct. 19, 2021
3:11:21
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
Wolfram Physics Project Launch
3:50:19
Wolfram
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI
8:02
Afrimax Swahili
Рет қаралды 176 М.
Фильм про побег от родителей
0:59
Holy Baam
Рет қаралды 2,1 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 19 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 33 МЛН