PONDA ISSA PONDA,,,KUPIGANIA HAKI ZA WAISLAMU (B)

  Рет қаралды 192,261

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

9 жыл бұрын

/ akasha.daawah

Пікірлер: 132
@user-tr5wb8pt2y
@user-tr5wb8pt2y 3 ай бұрын
ALLAH Guide and protect MUSLIMS ALL OVER THE WORLD 🌍🌎 THANKS SHEKH ❤❤❤
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 5 жыл бұрын
Ponda mimi nakukubali jpo ni mkristo lakini nakuomba usijumlishe wakristo wote mhukumu yule mhusika mwenyewe binafsi
@yussfobacarbacar4535
@yussfobacarbacar4535 4 жыл бұрын
Wallah nashukuru kuwa muisilamu pamoja na waisilamu wenzangu wallah nafurih sana
@binbaya923
@binbaya923 4 жыл бұрын
Allah atawalipa na kuwakomboa kutoka katika mikono ya makafiri. Allah atawalipa🇹🇿🇦🇷 Ramadhani Mubarak
@zainabrashid385
@zainabrashid385 3 жыл бұрын
Shekhe ponda Allah akujalie kila la heri uutete uislam Hadi mwisho wa maisha yako inshallah pia Allah amlaze mahali pema peponi shekhe ilunga amiiina
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 3 жыл бұрын
JazzakaAllah nimefurahia msimamo wako
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuona ndugu zangu waislamu wamekusanyika pamoja Alhamdulillah, Allah awalipe kheri nyote mulio hudhuria
@muddyally799
@muddyally799 3 жыл бұрын
Mungu atakulinda inshaalah na atakuhifadhi sheikh Ponda.
@mejumaamwachirero7324
@mejumaamwachirero7324 5 жыл бұрын
Poleni sana Maustadh na waislam wote Tanzania Subhanallah ,wallah imeniuma sana
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Ahsant sana dear hiyo ndo hali halic ya tz. Na dunia nzima kwa waislaamu. Tuna dhulumiwa mno.
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Natamani kukutana na sheikh ponda pepon inshaallah
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Aammin
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Msimamo ulikushinda
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Kumbe ndio maneno yako hayo Mashaa Allah MMungu tunakuombea maghfira na sote YAARABIY
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Bakwata sio kwa Waislam kwa ccm hao Allah awasahilie hao the so called Baraza La Waislam hawana ukweli ndio maana hatupati kitu Magufuli mnafiki khasa hawatupendi kabisa Waislam lakini tunajitia kimbele kimbele tu wenzetu kwa njaaa zao akina Samia Suluhu na wenzako hama a maana mmekaa kama maboya na hayo mamboya pia yana manufaa kuliko nyie mnaokubali kuburuzwa wa Zanzibar nyie mko kimnya Mashekh wetu wako ndani hata kunyanyuwa sauti kwa njaa zenu kina Samia kwa MMungu mtakwenda kuulizwa mbele ya haki tumche MMungu Hamadi Masauni waziri mdogo wako utafute majawabo ya kujibu Waislam wenzetu wanateswa segerea mwaka wa ngapi uchungizi gana mbwa wakubwa nyie mbwa pia wanaafadhali kuliko nyie kwa vitendo vyenu mpaka tunakufananisheni na wanyama bila kutaka kwa kumuogopa mbwa mwenzenu Magufuli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Pepo haipatikani kwa kupigania katiba ya kidunia na tume huru ambavyo yeye ni vitu anavyovipigania,,,,,,kwahiyo utaona we mwenyewe nafasi yake huyo unayemtaka kwa Mungu!!
@ashajuma9659
@ashajuma9659 6 жыл бұрын
nakupenda kwa ajili ya Allah shekh Ponda mpaka basi
@yusufbayuuyusufbayuu7267
@yusufbayuuyusufbayuu7267 4 жыл бұрын
ASHA JUMA ok
@kobelomatunda9849
@kobelomatunda9849 6 жыл бұрын
shekhe ponda Allah akupe uhai mrefu
@bintsalimalbimany9373
@bintsalimalbimany9373 6 жыл бұрын
Kobelo Matunda Ammin yarab umri wa sah na afia
@loolaa1783
@loolaa1783 4 жыл бұрын
Uislamu rahaa saaana unaeza jikuta unapona hata mawazo ukikaa kusikiliza maneno ya mungu
@munaseif9769
@munaseif9769 6 жыл бұрын
ponda utayakuta matunda yako kwa allah unaenda na kovo siku ya kiama allah akisema tuonesheni mambo mulio yafanya katika uwislam mtume anatoka meno mawili ya mbele na maswahaba viongo awana na wew unatoka na kovu nilipgwa kwa ajili ya uwislamu pole sana maumivu ya leo ndio laha ya kesho inshaalla
@sadih5333
@sadih5333 5 жыл бұрын
Hii ni hutba ya kukumgukwa, mash Allah
@tatukinyogoli9001
@tatukinyogoli9001 5 жыл бұрын
Allah akupe nguvu inshaAllah
@joharihuseni2834
@joharihuseni2834 6 жыл бұрын
asalam ghaleykum waraha matullahi wabarakatu shekhe ponda allah akupe umri mrefu na akuzindishie tawfiq allah atakuongoza fiy dunia wali akhera in shaa allah laiti waislam tungekuwa na moyo km shekhe ponda nazani kwa uwezo wa allah wallahi tungepata haki zetu uislam unaporomoka kwa sababu hakuna ushirikiano shekhe ponda wallahi allah atakulipa ujira wako in shaa allah.
@idrisamohammedi2375
@idrisamohammedi2375 4 жыл бұрын
Nshallah Allah akufanyie wepesi shkh Wang
@omarikessy2339
@omarikessy2339 8 жыл бұрын
Allah Akbar,atimaye sheikh ponda yu huru
@nasmakhamisgeneral964
@nasmakhamisgeneral964 7 жыл бұрын
Omari Kessy naomba Yusuf mm nife shahid halinikiwa nautetea din ya kisilam insha Allah
@footballrus8073
@footballrus8073 5 жыл бұрын
ponda mpaka lini mtaonewa simameni muwe kitu kimoja muandamane mudai haki yenu mnaogopa nini msiwe wanfiki kwa mola wetu tumlani shetani tusimame kwa ajili ya mola wetu musijidanganye maisha ya dunia si lolote hochote ni ya kupita tu muislamu wakweli hawezi kuipenda dunia hata dakika moja huangaliya ahera yake kwa kutenda mema na hawi mnafiki
@makenakendi9014
@makenakendi9014 2 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
@mwalimkaidi2151
@mwalimkaidi2151 3 жыл бұрын
Sheikh ponda Allah akuhifadhi
@sabihimngetuka6971
@sabihimngetuka6971 5 жыл бұрын
Subhaana llah wabihamdu
@user-nt5cw9mz9t
@user-nt5cw9mz9t 7 жыл бұрын
ASALAM ALYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH NDUNGU ZANGU KTK WAISLAMU TUSHIKAMANE NA TUPENDANE KWAAJILI YA ALLAH ALLAH AWALINDE MESHEKH WETU NA AWALINDE WAUMINI WOTE WA KIISLAMU
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 7 жыл бұрын
waleiykum salaam, warahamatullah wabaraatu, NDG waislam, nawahusiene ninyi pamoja,nakuihusia nafsi yangu ktk jambo la her la kumcha mwenyezi mungu S.A.W, TIzama somalia, ile ni jihad, kwanini sisi tuendelee kunyanyaswa na makafir, tuamkeni INATUITA JIHAD, bora tufe tukiwa MASHAHEEED kama mashekh wetu, Abou rodo,gologosi,makaburi, samir ,ote hao toka mombasa,.
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 5 жыл бұрын
Aaaamin
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
aslmalkm ndugu waislam? kweli kaka tena kwa imani safi kabsa inshaallah Allah hatulinde na hawapatie nguvu Mansheikh wetu !!!......
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Naam kabisa huo ndio ukweli
@AbdulRahman-wx6iv
@AbdulRahman-wx6iv 5 жыл бұрын
Tungekuwa na mashekhe Kama Hawa ndani ya bakwata waislam tungekua mbali Sana.
@rajabkisebengo9406
@rajabkisebengo9406 3 жыл бұрын
Ingekua safi sana ndg yangu ila kitu ambacho hakiwezekani kaka maana iyo bakwata imewekwa na watu binafsi sio waislam wenyewe
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
bakwata ni ccm
@kallahassan4896
@kallahassan4896 6 жыл бұрын
msikatetamaa waislam munguatawalipa
@hassandeuj2517
@hassandeuj2517 4 жыл бұрын
Ww ndie kiongozi wetu tunakuskiliza ww tu kwa kuongozwa na qur-an usimuogope binadam mwenzio tuongoze kwa mujibu wa maelekezo ya qur-an tumekata tamaa hasa vijana tumebaki kuvuta bangi na unga tu ktk hii nchi hakuna kinachofanyika cha faida labda ubaguzi kuonekana wngine wana haki na wengine ni wakuja laa-ilaha-illah-llah muhammada rrasulu llah kufa ni lazma tusiogope waislam muhim ni kufika kwa Allah akiwa ameturidhia
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 жыл бұрын
Yani inauma sana
@khamissalum9285
@khamissalum9285 3 жыл бұрын
Muko sawa tatzo Lipumba hafaii
@situmaisaidi7448
@situmaisaidi7448 4 жыл бұрын
Vizuri sana
@iliyasamanzi5667
@iliyasamanzi5667 5 жыл бұрын
Mungu mwenye kulipa waja ni mmojatu atamlipa kila binadamu alitendalo
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Shekhe ponda kweli unatuamsha waislamu. Mengi hatuyajui baba. الله akulinde shekhe.
@birdmanhussein2182
@birdmanhussein2182 6 жыл бұрын
Allah akulipe kwamu simamo wako
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Tupo pamoja k
@naftalydeogratius3342
@naftalydeogratius3342 6 жыл бұрын
sawaaaa
@kaimuulongo953
@kaimuulongo953 3 жыл бұрын
Nalo neno apo umesema kwer kuw bakwat imeundwa na selikali kwasbb ingekuw haijaundwa na selikal bac tusingepangiwa uwongozi
@sirajnyaranga6503
@sirajnyaranga6503 4 жыл бұрын
Ajaab
@rahmaabrahaman1849
@rahmaabrahaman1849 7 жыл бұрын
subhanaallah
@azizahasani4614
@azizahasani4614 6 жыл бұрын
ALLAH AQBAR
@khamisshaaban4599
@khamisshaaban4599 3 жыл бұрын
kwa bakwata lazima wachemshe mana wanaogopa kukosa tonge
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Watatutesa ila Allah ameshaaidi tutafulahi InshaAllah peponi
@hajimjakajecha9274
@hajimjakajecha9274 5 жыл бұрын
Mashaallah
@jacksondaud4957
@jacksondaud4957 3 жыл бұрын
Sema kweli uwe huru
@kulwamwakagali24
@kulwamwakagali24 5 жыл бұрын
Uwepo wa Lipumba ndo Kinyaa kilipoanzia.
@kaimuulongo953
@kaimuulongo953 3 жыл бұрын
Shee ponda upo sahh
@mwadinimwadini4068
@mwadinimwadini4068 3 жыл бұрын
Hili Lipumbavuu Hajui Hata Akisemacho. Astaghafirullah Na Wewe Lipumbavuu Urudi Kwa Allah Usiwe Mnafiki Wa Matendo Yako Habbithiy Wee
@mshamsan4338
@mshamsan4338 3 жыл бұрын
Yan wewe ndio kenge mavi wewe kwahyo wewe unafuraha cio kwa kilichotokea mkundu wewe mavi
@user-ly4eo8qx4m
@user-ly4eo8qx4m 6 жыл бұрын
allwahu akbaru
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 жыл бұрын
huye ndiye shehe na wale waliyokuwepo jela na ndiyo maana wanapata tabu kila kukicha hawana raha ya maisha yao sababu wanaisimamiya haki siyo bakwata duuuu
@doctormbaruku8081
@doctormbaruku8081 5 жыл бұрын
Subhana nllah
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Maskini Prof Lipumba ungekuwa hujakubali kutumia kivuruga CUF tizama ulivyokuwa mkweli unavyogaa jitizame ulivyo sasa khasara kuwa umekuwa Propesa
@thomastemu3332
@thomastemu3332 3 жыл бұрын
Duuh sheekh ponda
@danmunesh6233
@danmunesh6233 6 жыл бұрын
nakupeda shekh
@hassanmohdallyally9552
@hassanmohdallyally9552 7 жыл бұрын
yaan mmemletaa lipumbaa mmeharibuu kabisaa unafiki hautakiwi katika uislam cuf inafitinika kwasababu yake huyoo mungu atuongozee na amuongozee kiongozi
@kfastak
@kfastak 7 жыл бұрын
Hassan Mohd Ally Ally hyo ilikuwa kabla ya hayo unayo ya zungumza
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
mwamsikiliza mnafiq huyu lipumba hafai ata kuingia msikitini mshenzi huyu
@babarahmababarahma60
@babarahmababarahma60 3 жыл бұрын
Lipumba sio mnafiki Lipumba ni mwanasiasa
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
Haiwzekani kupata haki za waislamu katka democracy ambayo ni dini ya kikafiri eti urais au ubunge huo ni ukafiri jamani tumwogopeni allah turudi kwenye dini yake
@abuukinje6241
@abuukinje6241 5 жыл бұрын
Allah Akbar
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Taqbiri Allah Akbar.
@salhaayoubalmas7127
@salhaayoubalmas7127 6 жыл бұрын
Allaah Akbaar
@kulwamwakagali24
@kulwamwakagali24 5 жыл бұрын
naomba nitafute
@isakaabuu8714
@isakaabuu8714 5 жыл бұрын
Salha Ayoub Almas k
@saadsalum3253
@saadsalum3253 5 жыл бұрын
Inalilah waina ilahim Rajghun Allah anawaona wanaofanya hivyo
@hawarajabuinalilahwainaila1895
@hawarajabuinalilahwainaila1895 4 жыл бұрын
Allah akulipe kila lakher
@meshackntoga1566
@meshackntoga1566 2 жыл бұрын
HAKI HUINUA TAIFA
@samsamyoo3689
@samsamyoo3689 7 жыл бұрын
ameeeeeeeeen Muslim united
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 7 жыл бұрын
Daa
@ARFIddy
@ARFIddy 7 жыл бұрын
inshaa. llah
@omarmdehelwa5782
@omarmdehelwa5782 7 жыл бұрын
Mambo vip
@ismailmjesh6550
@ismailmjesh6550 6 жыл бұрын
A.R.F. Iddy we mtt upooo
@khamissalum9285
@khamissalum9285 3 жыл бұрын
Kumbe uyu pumba uyu nayeye ccm
@salumrashid4127
@salumrashid4127 5 жыл бұрын
Alhamdul llah
@shahanganje4159
@shahanganje4159 4 жыл бұрын
Mashallah
@abubakarially6706
@abubakarially6706 7 жыл бұрын
msimamo ndokila kitu nidhamu yauoga haitakiwi
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Waislaamu viongozi kama hawa 2waombee sana duaa. Ndo kioo chetu, nahawa wanao piga vita wiislamu wanaanza kwao. Ya الله tuhifadhie viongozi hawa na uwalinde na kila shari. Inshaa allah kuna cku dola ya kiislamu itasimama dunianzima.
@birdmanhussein2182
@birdmanhussein2182 6 жыл бұрын
Naku penda sana ponda Allah azidikukulipa
@suleimanbakar3429
@suleimanbakar3429 3 жыл бұрын
Bingwa wa unafiki uChumi aujUa wapi mBwa huyo
@mryplus
@mryplus 7 жыл бұрын
adui yetu mkubwa ni KNOWLEDGE,Mungu atusaidie tuyaelewe haya maisha tuweke mambo ya udini na ushabiki pembeni...
@allyambawala4367
@allyambawala4367 5 жыл бұрын
BARAKA SANGA hiyo knowledge yakuweka dini pembeni ninolejigani hiyo Kama sioupuuzi naushenzi?
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 5 жыл бұрын
BARAKA SANGA, wewe una knowledge gani hiyo yenye uwezo wa kuiweka dini pembeni. Watu wnapoitafuta haki kwa Ikhlaswi huwa wanaonekana wapuuzi kwa walioificha haki hiyo. Lazima tuitafute haki haijalishi tutaonekanaje mbele ya wanaojifanya wasomi na huku wnakiuka haki za wengine kwa kukumbatia ukafiri na dhuluma.
@khamisshaaban4599
@khamisshaaban4599 3 жыл бұрын
bakwata hawawezi kutetea haki za waislam
@vitalismmasy2308
@vitalismmasy2308 3 жыл бұрын
Hii ni moja ya hotuba iliojaa uchochezi sana.
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
usitulete u ziziemu wako humu peleka lumumba kwa mazombi wenzako
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 3 жыл бұрын
Kwa hiyo wasisimamie haki maana aliloliongea ponda yote ya kweli na yanatokea na wanafungwa kila uchwao
@mryplus
@mryplus 7 жыл бұрын
kuna jamaa nimemuona 53:54 ana feelings sana,kama anaaka kulia flani hivi...
@user-xc8wn3fb4z
@user-xc8wn3fb4z 6 жыл бұрын
Allah Aqbar mungu akupe maisha marefu sheik ponda
@ziadaomeri6058
@ziadaomeri6058 3 жыл бұрын
Nani ww ndio unakil ya kuongoza ichi
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 6 жыл бұрын
Lipumba hpo aliongea km mtu
@fafi9092
@fafi9092 8 жыл бұрын
Masha allah
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Anapingwa na walevi
@ssp2110
@ssp2110 7 жыл бұрын
good luck
@frankanold9803
@frankanold9803 5 жыл бұрын
Maalim ponda mzee wa kuandamana
@zenahamoodzaya6858
@zenahamoodzaya6858 7 жыл бұрын
Mmh inasikitisha sana wallahi,,, Allah Kareem
@hamidmussa838
@hamidmussa838 5 жыл бұрын
Mlikua Mnamtaka Maalim seif sharif.
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 5 жыл бұрын
Ndio matunda ya kukaa chini ya kanisa huko
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
BAKARI KALAMA 👍
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
Huyo ponda kazi yake ni fujatu kwao Burundi kakimbia Kuja tanzania tumemstiri tumempa raiya Sasa fujo anayo faya kushida mtanzani a lakini makosa wanavyo yafaya serekali watanzania hawanufaki na raslimali ya nchi kila siku namba inaogezeka Kwa jili ya majirani
@fafi9092
@fafi9092 8 жыл бұрын
Roho inauma sana
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
Fafi 90 Kwanini?
@birdmanhussein2182
@birdmanhussein2182 6 жыл бұрын
Roho INA uma
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 жыл бұрын
Mlikuwa mnauwawa kwasababu ya vurugu zenu
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 жыл бұрын
waislamu mnaogopa nn , jela zimejazwa waislamu , kikwete amejaza hizo jela kabla ya kuondoka , wakristo sasa ndo magaidi duniani , lipumba ni kibaraka wa magufuli
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
Samater Yussuf 👍
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 5 жыл бұрын
na huyu mnafiki naye yupo katika kundi la waislam?Allah amuangamize mshenzi huyu lipumba
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
suleiman bakar no ila mungu amuongoze kakta njia ilionyooka
@faustinmushi6451
@faustinmushi6451 6 жыл бұрын
Huyu asema ripumba ni mtaalamu wa uchumi. Inasikitisha sana.
@yahyadenny4102
@yahyadenny4102 5 жыл бұрын
Aww asiyejua mambo usimwambie japo.
@yahyadenny4102
@yahyadenny4102 5 жыл бұрын
hivi unaweza kuchanganya nyama halal ya ng'ombe na mchezo kidogo wa nguruwe?(CUF&CHADEMA).mchezo= mchuzi.
@rashidikufinyu4050
@rashidikufinyu4050 7 жыл бұрын
inshalla
@kulwaomary9235
@kulwaomary9235 5 жыл бұрын
Dunia imebadilika ukiwa msema kweli unakuwa adui wa watu tumuombe Mungu sana waislamu Mungu adhihirishe ukweli atuondolee mabavu ya makaisari katika Dini yetu ya Kiislamu na Duniani kote tusitumiwe na wanasiasa tukaharibu Uislamu wetu
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 7 жыл бұрын
yu huru duniani si mbinguni
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 4 жыл бұрын
Ndugu kuingia peponi ao kutokuingia inatokana na matendo ya mtu
@kidukomoshi9657
@kidukomoshi9657 4 жыл бұрын
Kafiri mzazi wako...huwezi kumuita mtoto Kafir
@azizahasani4614
@azizahasani4614 6 жыл бұрын
ALLAH AQBAR
@suleimansalimali7251
@suleimansalimali7251 5 жыл бұрын
Lipumba kiukweli umetuudhi sana sote waislam unasisitiza msimamo kumbe ww huna hata chembe ya msimamo unajua unafiki maana yake
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
Suleiman Salim Ali 👍
MOHAMMAD ISSA   MIKAKATI YA FREEMASON
1:26:50
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 194 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 11 МЛН
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 1/5
34:25
Abd Binm
Рет қаралды 255 М.
4 SAID MWAIPOPO    KWANINI NILIACHA UKRISTO 4/4
1:01:43
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 205 М.
Waliowapa Nguvu Mashia hapa Tanzania, ni hawa hapa. Sh. Muhammad Issa
43:36
Wazanzibari wamejitambua Part Two 2/4
35:24
Abd Binm
Рет қаралды 40 М.
SH.OTHMAN MAALIM :- KISA CHA OMARI BIN KHATWABI 02
55:05
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.