SIJAWAHI KUMUONA PROFESA MUONGO KAMA SOSPETER MUHONGO / BADO MATESO NI YALEYALE - MUSUKUMA

  Рет қаралды 129,329

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 жыл бұрын

SIJAWAHI KUMUONA PROFESA MUONGO KAMA SOSPETER MUHONGO / BADO MATESO NI YALEYALE - MUSUKUMA

Пікірлер: 221
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 3 жыл бұрын
Wanaomkubali Musukuma kama mimi tugonge like hapa 👍👍👍
@barakanyagawa9257
@barakanyagawa9257 3 жыл бұрын
Usukuma unaakili kubwa pia wewe ni mzalendo wa kweli Mungu awalinde wote mnaosimama kwenye haki.
@faustinereuben6425
@faustinereuben6425 3 жыл бұрын
Msukuma, lusinde,majaliwa ,Jerry kunyweni soda nitalipa huko bungeniiiiiiii😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 жыл бұрын
Kuna uongozi na Elimu!! Kuna watu walizaliwa wakiwa viongozi.. Mungu amlinde huyu kiongozi.👏👏👏
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 3 жыл бұрын
Huyu msukuma ana akili kuliko wanaojifanya wasomi
@luckymartin.
@luckymartin. 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anapiga vita sana degree uchwara😅😅😅
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 3 жыл бұрын
Mhe. Msukuma uko vizuri sana. Dhahabu inauzwa mpaka ya Bilioni Shilings mkoani Geita kwa mwezi kutoka laki nne
@felisterfabian5650
@felisterfabian5650 3 жыл бұрын
Huyu kasheku na stdseven Ila kawashinda wote wenye digree hongera msukuma wewe ni mzalendo🇹🇿
@emanuellumambo5440
@emanuellumambo5440 3 жыл бұрын
Safi huyo mwamba
@francismuhuga8158
@francismuhuga8158 3 жыл бұрын
Safi sana msukuma wewe ni mzalendo Mungu akubariki sana
@mao9622
@mao9622 3 жыл бұрын
Safi sana Msukuma!Piga Mondo.Huyo muhongo ni muongo sanaa
@yloracinaibaf6316
@yloracinaibaf6316 3 жыл бұрын
Maprof kama akina Muhongo yapo mengi yatakuwa yalitazamia paper haya yasirudi bungeni 2025 hayatufai
@rechoeliasi8526
@rechoeliasi8526 3 жыл бұрын
K.
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Hakika hili ndilo bunge haswaaaaa from Iraq
@nyawawawanyawawa935
@nyawawawanyawawa935 3 жыл бұрын
Muhongo ni mjivuni uchwara. Kuna muda pale Airport JKI wakati wa utawala wa awamu ya 4 aliahirisha safari yake Maksudi eti wamemuweka daraja la pili business yeye alitaka la kwanza first class. Kuna muda tena alimjibu nyodo Mengi RIP kwenye Mzozo wa vitalu vya GAS ⛽
@damianlucas5345
@damianlucas5345 3 жыл бұрын
Tatzo sio yy ni aiana ya makabila 3 au 4 hivi hapa Tanzania yanayopenda sifa hata km anatembea nguo zimechanika
@olipabulayi2534
@olipabulayi2534 3 жыл бұрын
Waziri mkuu, Lusinde, Jerry, Msukuma, Nchemba. Team imekamilika hawa ni mbegu aliyoipanda JPM. Kwa team hii nchi yetu haiwezi kurudi nyuma. Hapo mwongezeni na Polepole na Bashiru. Duuuuh hao watu ni Moto wa kuotea mbali.
@sanauswahilimovies
@sanauswahilimovies 3 жыл бұрын
Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 3 жыл бұрын
Msukuma nimemuelewa vizuri kabisa, maana yake kuwa wataalum wa evaluation wa madeni ndio wanapiga kwa kutoa tathmini ya thamani isiyo sahihi
@ieonardkumalija3199
@ieonardkumalija3199 3 жыл бұрын
Very genius ikifaa tukukabidhi nchi kabisa hapo mbeleni
@edsonmahenge6624
@edsonmahenge6624 3 жыл бұрын
MSUKUMA,ELIMU NA BUSARA VITU 2 TOFAUTI,SULEMANI ALISOMA WAPI,UPO VIZURI SANA UNAELEWEKA VIZURI SANA,KEEP IT UP
@nurdinkiroboto5179
@nurdinkiroboto5179 3 жыл бұрын
ndg zangu itoshe kusema Elimu na akili ni vitu tofauti kabisa. hata mwl. nyerere alikufa hana cheo cha professor nazani Elimu wapo wanao najisi elimu.
@habibamsemo6443
@habibamsemo6443 3 жыл бұрын
Hongera mweshimiwa tuko juu
@flolabapegemwansasu4647
@flolabapegemwansasu4647 3 жыл бұрын
Musukuma umeongea Kwa uchungu Mpakanimetoa machozi mungu akubariki kwauzarendo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Hongera sana msukuma
@hassanmaganga1544
@hassanmaganga1544 3 жыл бұрын
Huyo Muhongo mpumbavu sana ana stress za kutumbuliwa
@jacksonsamuel8972
@jacksonsamuel8972 3 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa songa mbele msiogope tuko pamoka kuwasapoti
@mathayomwagu6166
@mathayomwagu6166 3 жыл бұрын
Muhongo ni muongoa tuu hamna kitu hapo ni hewa
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 3 жыл бұрын
King msukuma wanatudharau Sana hawa!
@philipolenardsylvester8762
@philipolenardsylvester8762 3 жыл бұрын
Msukuma namuelewa sana mpeni uwaziri anafaa
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 жыл бұрын
Hongera Mh Kashiku.🤣🤪🇹🇿
@festuschunya7067
@festuschunya7067 3 жыл бұрын
Watanzania wakisoma sana hupoteza hekima na busara badala hujaa jeuri, ujuaji. dharau, hujitenga na watu,,na huigaiga ya wazungu, utasikia hata marekani wanafanya hivi!!nimesoma kule''"lakini matokea ya wanayofanya haya akisi elimu zao!!
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Msukuma unafaa,kweli elimu ya darasani haitoshi kama Mungu hakukupa kipawa cha uongozi,hata kama ukisoma,kinachotakiwa ni ufahamu unaotoka kwa Mungu sio darasani
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Msukuma hongera hujawahi kuniangusha
@felicianholle3010
@felicianholle3010 3 жыл бұрын
Big up sana musukuma
@hamislipangine9649
@hamislipangine9649 3 жыл бұрын
Akili na Elimu vitu viwili tofauti, Unaweza ukawa na Elimu ukakosa akili na kinyume chake pia. Pia Unaweza ukawa na akili na Elimu pia. Bora ukose Elimu upate akili.
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 3 жыл бұрын
La saba mwenye akili nyingi sana
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 3 жыл бұрын
WAAMBIE HAO WANAO JIFUTUA KWA MIKARATASI YA VUO VIKUU HALAFU UFAHAMU WAO NI MDOGO, AKILI WAMEZITOA VICHWANI WAKA ZIHAMISHIA KWENYE MAKARATASI !
@israelgershom4198
@israelgershom4198 3 жыл бұрын
Mzee ni dhahabu sana
@filbetkalembe2806
@filbetkalembe2806 3 жыл бұрын
Hapo msukuma tano za l y
@chrianseth6393
@chrianseth6393 3 жыл бұрын
Safi Sanaa msukumaa
@mwalimumbukuzi7273
@mwalimumbukuzi7273 3 жыл бұрын
Msukuma asikilizwe nchi iende!
@iddykivu1336
@iddykivu1336 3 жыл бұрын
Kwa dizaini hii ya Maprofesa unaweza tamani Mwanao Usimsomeshe Akafikia ngazi ya Uprofesa
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 3 жыл бұрын
Kabisa wanakua makatili
@dicksonchauganga5325
@dicksonchauganga5325 3 жыл бұрын
Kweli kaka! Mm naunga mkono hoja ya aliekua mkurugenzi wa benki ya CRDB Chales Kimei mbunge wa jimbo la vunjo kama sikosei! Kwa ushauri wake kwa serkali kuhusu mitaallah yetu ya eleimu! Hizi ni zama za teknology na sayansi! Tuendeleze wataoto wetu kwa kuzingatia dunia ya leo! Na si swala lakusaka makaratasi ya madigrii amabayo hayana tija kwa tanzania na dunia ya leo!!.
@mahobesiku5921
@mahobesiku5921 3 жыл бұрын
Safi sana
@jacksonsamuel8972
@jacksonsamuel8972 3 жыл бұрын
Watu wenye uchungu na nchi hii wapo hawajaisha
@jeffreywilliams1171
@jeffreywilliams1171 3 жыл бұрын
Kama ikiwapendeza viongozi wangu tafadhali mpeni kitengo huyu msukuma.mpromotini anafaaa Sana huyu.
@njonjolomahfudh3238
@njonjolomahfudh3238 3 жыл бұрын
Haiwezekani
@nikemsongo4018
@nikemsongo4018 3 жыл бұрын
Mmi mwenyewe nampenda sana ana hoja muhimu saana
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 3 жыл бұрын
Nafikiri mbunge Usiwaze sana kimo cha elimu Sio wasomi tu hata wanaojiita mabilionea lakini hawawezi hata kuchangia hata dawati moja. Wangejua wazazi wa watoto hao ndio wanaofanya mzunguko wa hayo mafanikio ya pesa. Kumbuka mtu wa chini hata ukimpandishia bei lazima atanunua bidhaa yako maana hana mbadala na wewe unayejiita tajiri.
@georgemaziku6610
@georgemaziku6610 3 жыл бұрын
Nusukuma uko vizuri sana
@sengeremaxleo9295
@sengeremaxleo9295 3 жыл бұрын
King msukumaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Uprofesa wa makaratasi. Akili hana. Ni bwege la mtu linatembea na kuonyesha makaratasi yake ya uprofesa. Sijui hata alifikaje bungeni. Watu kama hawa ndio genge la Tundu Lisu, Mbowe, Lema, Zito Kabwe na wapumbavu wengine. Kichwa chake ni fuu limejaa kinyesi tu.
@annamtapila5761
@annamtapila5761 3 жыл бұрын
Safi sn msukuma. Bora LY wenye uchungu na nchi yetu. Wengine wametumia Elimu yao kuturudisha nyuma kwa kujali manufaa binafsi au kwa uzembe tuu.
@mlumbamatnq7129
@mlumbamatnq7129 3 жыл бұрын
Makofi kwako mukuu ❤️❤️
@henrystanley4077
@henrystanley4077 3 жыл бұрын
hii nchi imejaa watu wenye vituko Sana Sana...hahahahahaaaaaaa...hapa nimemkubuka Sana Sana mbunge bwege alikua na vituko kama msukuma hahahahahahhaaaaa
@magrethmallya7728
@magrethmallya7728 3 жыл бұрын
Leo nimemuelewa Musukuma jamani. Wafanyabiashara bado wanateseka sana Raisi wetu. Musukuma Mungu akutunze,
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 3 жыл бұрын
Msukuma nakukubali mwanzo mwisho
@annethissa1195
@annethissa1195 3 жыл бұрын
Wape zao king msukuma hao waxhamba 2030 tukupe uraisi wa ndo MRISI WA HAYATI MAGUFULI
@selenganyagawa1358
@selenganyagawa1358 3 жыл бұрын
Haya!! sawa msukuma😆
@tridabalira5992
@tridabalira5992 3 жыл бұрын
Muhongo ni mweizi na ana ubinafi wa hali ya juu sana. Hafai kabisa
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 3 жыл бұрын
Kwa kweli majina nayo yanaumba jamaa jina lake limemuumba kabisaaa Ni professor muongo na kweli muongo
@exaudmbise8231
@exaudmbise8231 3 жыл бұрын
Bunge la upande mmoja alina jipiya
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 жыл бұрын
Ni muhongo
@shukurumsigwa8962
@shukurumsigwa8962 3 жыл бұрын
mpango nae kawa na mipango thabiti
@melanialeonard8043
@melanialeonard8043 3 жыл бұрын
Samia nae ni suluhu ya Tanzania na majaliwa atafanya yanayositahili kwa majaliwa ya m,/mungu
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 3 жыл бұрын
@@melanialeonard8043 hahahaha amen 🙏 ubalikiwe Sana midomo yetu ikaumbe yaliyomema.
@glorykapenja9473
@glorykapenja9473 3 жыл бұрын
Yaani mimi ninachukia sana tunaibiwa na walinzi wapo sasa si ni ujinga.Jina lenyewe muongo sasa unafikiri akisimamia kitu itakuwaje wakati jina limebeba tabia
@rosenyenyembe4698
@rosenyenyembe4698 3 жыл бұрын
Msukuma upo vizuri
@edwinnanyaro6717
@edwinnanyaro6717 3 жыл бұрын
Tatizo ni upande walikosomea... Huwezi kwenda kusoma Ulaya na Marekani ukarudi ukiwa na akili.... wanasaidiwa kufikiri sana...
@anataliaalbin248
@anataliaalbin248 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana msukuma
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 3 жыл бұрын
Msukuma angepewa uwaziri wa madini
@eliudmwakilembe8592
@eliudmwakilembe8592 3 жыл бұрын
Umenikosha,,,,big up
@gladysalbinus7646
@gladysalbinus7646 3 жыл бұрын
Muongo Ni jipu kabsaa proud of you Msukuma...
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Kwakweli
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 3 жыл бұрын
Muongo + muongo = muongo..ili somo haliitaji degree safi sana msukuma...
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Jamani huyo Msukuma no kiboko.Hongera sana
@kwaitodance1114
@kwaitodance1114 3 жыл бұрын
Ila musukuma Ana akili timamu aisee
@maulidmponjeka8377
@maulidmponjeka8377 3 жыл бұрын
Msukuma nakukubali Sana babu
@agnessleonard9782
@agnessleonard9782 3 жыл бұрын
Nzera_Geita Oyeeeeeeeh!
@cidewashington670
@cidewashington670 3 жыл бұрын
Msukuma upo sawasawa,hawa wabunge watazamiaji wa mavyuo vikuu mtihani
@latestfunnyvideo2187
@latestfunnyvideo2187 3 жыл бұрын
Big up
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 3 жыл бұрын
Safi Sana msukuma
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Du! Msukuma noma umewapa makavu live.
@chachamagoti2400
@chachamagoti2400 3 жыл бұрын
Wasukuma mnapenda sifa sana basi tu
@davidbochela1441
@davidbochela1441 3 жыл бұрын
Hao ndio fungi moja na Mwakyembe,Kwanza uliona wapi Professor mdanyabiashara mkubwa au tajiri?Wao wametajirika assumptions hata Kama hazileti manufaa!!!
@sengolupeja9658
@sengolupeja9658 3 жыл бұрын
Kweli
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 3 жыл бұрын
Makinikia yalipitaje Geita? Si yalikua Kakola na Kahama? Binafsi sijaelewa hapa nahisi kama kadanganya vile?
@emmanueljohn3175
@emmanueljohn3175 3 жыл бұрын
Kweli uasili ndio mwalimu halisi wa maisha ya binadam huyu jamaa anaongea asili ya nafsi yake nasio mapokeo
@amositawa8538
@amositawa8538 3 жыл бұрын
Musukuma unakila sababu ya kuitwa king
@samweltv2064
@samweltv2064 3 жыл бұрын
Em tim legacy magufur tujuane apa kwanza maana naona uyu mbunge wangu profesa muhongo ananivulugia mafairi apa
@raymondmbassa7793
@raymondmbassa7793 3 жыл бұрын
Kwanini Kuna sheria ya kumuokoa mbunge muongo Kama Kuna kitu cha ovyo alionge unaacha apashwe
@faressnyakunga442
@faressnyakunga442 3 жыл бұрын
Msukuma huwa unanifuraishaa sana yaana darasa la saba akitoa wazo kabra hajamaliza maprofesa ndoo wanasimama nakuona wao ndoo wafumbuzi kwasababu ya Elimu yao.
@dilludillu2747
@dilludillu2747 3 жыл бұрын
King Msukuma
@rashidchichalo7929
@rashidchichalo7929 3 жыл бұрын
Hakika umenena msukuma
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
LY. last year
@fredymaswimwita3091
@fredymaswimwita3091 3 жыл бұрын
Msukuma You're good,lkn kwa mhongo naona kama mnampiga nawe coz ana potential ambayo chama chini kinamuogopa
@flolabapegemwansasu4647
@flolabapegemwansasu4647 3 жыл бұрын
Yaani Huyo muhongo hafai kukaabungeni watanzania hatumtaki nihovyo kabisa
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 3 жыл бұрын
Siasa haina elimu huyu jamaa ndio anatuprove kiukweli.... Kasheku ni mtaalam sana wa mambo
@sophiakapama2712
@sophiakapama2712 3 жыл бұрын
Mwanza ndio home
@sumaroma2041
@sumaroma2041 3 жыл бұрын
Msukuma
@nurathsaidy4379
@nurathsaidy4379 3 жыл бұрын
Lv u sukuma
@samweljuma585
@samweljuma585 3 жыл бұрын
Hengera msukuma
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
Atapata taarifa....maplo wa aina hii watatupotezea muda.....
@youngtaiz8359
@youngtaiz8359 3 жыл бұрын
Ndioooo msukuma
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 3 жыл бұрын
Huyu msukuma nampenda hotuba zake
@shabanimukose226
@shabanimukose226 3 жыл бұрын
Sio muongo hio ndio uwezo wa elimu yake
@mathiasmsese6128
@mathiasmsese6128 3 жыл бұрын
but he is smart compare to professors
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 3 жыл бұрын
Mohogo kabisa huyo
@franksiame8786
@franksiame8786 3 жыл бұрын
Muhongo aludi ubelugigi hiiii inauma sana tuachane na wasomi hawa maprofessa muhongo ni shoga ..a ..anafilw...a
@peterandrew2795
@peterandrew2795 3 жыл бұрын
Sawa kabisa mh spika
@samwelmanjale834
@samwelmanjale834 3 жыл бұрын
Akawakia nakwenye gear Safi sana
@dicksonchauganga5325
@dicksonchauganga5325 3 жыл бұрын
Muongo ni muongo kweli na nina shaka na sv zake!!
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Msukuma Ana akili sana.Mungu akuzidishie busara
@mariamcevik2490
@mariamcevik2490 3 жыл бұрын
Tungepata hawa kweli tungefike mbali
@jeremiadaniel523
@jeremiadaniel523 3 жыл бұрын
unaanzaje kumfananisha MUSUKUMA na vitu vya ajabu kama PROF. MUHONGO
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 3 жыл бұрын
Darasa la saba kweli ni Kiboko, Akili ndogo sasa kuongoza akili kubwa. Wakatae km Wasomi wana hoja.
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
Akili kubwa kivipi? Akili na elimu ni vitu viwili togauti, unaweza ukawa na elimu ukakosa akili au ukawa na akili ukakosa elimu.
@annejacobilkiuyoni2971
@annejacobilkiuyoni2971 3 жыл бұрын
Safi sanaaaa
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology 3 жыл бұрын
Msukuma.kweli.ndoto.yako.ya.tra.na.wafanyabiashara.imetimia.mungu.akubariki.kuna.baadhi.ya.wabunge.walikukejeli.ila.sisi.raiya.tulikupongeza.na.mungu.kakusikiliza.endelea.kumshauri.raisi.wetu.japo.ni.lasaba.usiogope.kwani.kuna.mpof.hawana.akili.yako
@mwanahamisibofu9071
@mwanahamisibofu9071 3 жыл бұрын
Safi sana musukuma.muhongo ni muhongo kama jina lake nyau huyo
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
Curve Goals That SHOCKED The World
5:35
iLance7i
Рет қаралды 42 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН