Sio tech mpya bhna sema tech ilochelewa kuingia Tanzania cuz US n UK had kwenye games za watoto na vbanda vya ice cream hufanyika hvyo
@reubenneema3708 Жыл бұрын
Lilikuepo huku kwetu watu cio wazur liliharibiwa Yan unaweka Hela inarud n maji unachukua 😂😂
@sophyodago5062 Жыл бұрын
Maji yanakuwa ya Bomba u kisima
@mktvz Жыл бұрын
I like it
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Safi Sanaa.
@frankkimaro1354 Жыл бұрын
Watabomoa wauni wachukue ixo ela
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Kwahiyo hakuna kukopa hakuna mambo ya nachota pesa badae😂😂😂
@EmanuelMbuko-hl4umАй бұрын
Nashida na mashine hiyo
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Vip siku pakiwa na mgao pesa umeingiza unatoaje pesa yako .wapigaji wanangaika kutupiga badala ya kutatua shida ya maji
@annamadavid4152 Жыл бұрын
Vipi MTU akilibomoa akaiba ?
@Mpakauseme Жыл бұрын
si teknologia mpya hiyo , mambo mengi Africa yanacherewa kuingia
@rolandmgedzi2966 Жыл бұрын
Kuna dogo anaiunda hiyo makambako, yeye mwenyewe, na watu wanapata huduma, pale kipagamo
@mbembelatv Жыл бұрын
Badoo sio huduma salama, kuivunja iyo na watu wabaya nis simpo t
@johncharles3236 ай бұрын
Hizo mashine zinapatikana wapi kwa mtu anayeitaji ,
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Vijana wa ovyo wasije pitia hizo senti hapoooo.ooooohhh
@alfredmbwilo6940 Жыл бұрын
Kwa ushari izo mashine inabidi zijengewe fensi kwa usalama zaidi
@alfredmbwilo6940 Жыл бұрын
Vipi Sasa kwenye upande wa usalama wa hiyo mashine kwa maana kuna watu sio wazuri kabisa wanaweza kukiharibu ili wachomoe pesa hizo
@medytech9890 Жыл бұрын
Nasisi tunaoishi nyumba za kupanga tunaomba watufikirie watuwekee hizo mashine za kadi maana mfano mm natumia ndoo 2 tu kwa siku lakini natoa 7000 kw mwezi kama wenzangu
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Miaka nyuma pale magomeni Kota tulikuwa pia tunalipa .lakini ka kmpa mtu Kela mkononi.
@josephatjordan2150 Жыл бұрын
Unaweka hela hayotoki😂😂 nani atajua uliweka 😂😂mama yako hata kuelewa utakula mkong’oto!! Hilo linaonekana kama dubwi la mchina 😂😂
@wakatv3704 Жыл бұрын
pesa mna chukua baada ya muda gani? na usalama wa pesa upoje? Maana wa tanzania sio kabisa