THE GIANT KILLER - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 26,737

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 89
@PhillipoHaule
@PhillipoHaule Жыл бұрын
Dah mwl Asante sana nimefanya vitu vingi mpira musiki,uigizaji,mpaka hata sijui Niko Bora kwenye eneo gani nataka kuamua nitumie njia gani nifanye chaguo zuri
@saimonifredi4653
@saimonifredi4653 Жыл бұрын
Huyu ndo JOEL A NANAUKA mtu mwenye IQ kubwa kuliko hata mwili wake...mtu wa NONDO, aise huyu mwamba acha tu.
@doricealfred5892
@doricealfred5892 Жыл бұрын
Nakumbuka hii siku kuna kitu kikubwa sana nilikipata hapa kimenisaidia mno these days I have become very mature and I have understood God quickly, I don't cry anymore
@franksamson1718
@franksamson1718 Жыл бұрын
Mwili mdogo ila anahatari sana.
@_letsgrowtogether
@_letsgrowtogether 9 ай бұрын
Mungu na azidi kukutumia ❤
@nathanielshauri5135
@nathanielshauri5135 Жыл бұрын
Hakika hii massage ya dunia mzima..
@onesmoalphonce3676
@onesmoalphonce3676 Жыл бұрын
Kila ninaposoma kitu kuhusu ww napata kitu kipya,kwa wakati sahihi , I pray for you Mung aendelee kukusimamia you have got power to change the world
@MohamedNgamba
@MohamedNgamba 25 күн бұрын
Good done and congratulation your always brightening our mind "If BEN CARSON IS "GIFTED HANDS" , JOEL NANAUKA IS OUR "GIFTED MIND"❤ thanks GODfor this gift.
@albertmwajega6266
@albertmwajega6266 Жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako kila wakati
@hellenismail4351
@hellenismail4351 Жыл бұрын
Such a powerful words 💯💯💯💯 Mungu Azidi kukuinua my brother Joel...Neema ya Mungu izidi Kwako
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Hellen🙏🏼🙏🏼👏🏼
@mariaonesmo1616
@mariaonesmo1616 Жыл бұрын
Thanks for your call Joel Nanauka
@tumaininyari4100
@tumaininyari4100 Жыл бұрын
Blessed much
@hawasaid9430
@hawasaid9430 Жыл бұрын
sijatoka bure ninazidi kukomaa kiakili tangu nianze kukufatilia👏 Mungu akubariki sana
@franksamsonmramba7813
@franksamsonmramba7813 Жыл бұрын
🌋
@user-ff6jb5mf5z
@user-ff6jb5mf5z 11 ай бұрын
Powerful I believe also I was born to be a giant killer
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 Жыл бұрын
Ahsante Kwa mafundisho mazuri
@TANZANIANFIGHT
@TANZANIANFIGHT Жыл бұрын
Wewe umekuwa mwalim wangu, umebadili maisha yangu, katika Kila kitu ambacho huwa nasoma Kila nikiamka asubu money formla, katika kipengele Cha kutumia dollar 5, ukiamini ni pesa kidogo kube napoteza pesa nyingi kwa Miaka 30-40. Hichi kipenzi nakiogopa san
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Mazuri hayo Ndugu Nanauka Joel shukrani, 📚📚📚📚📚 🎙️...........
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
🎙️
@tillionsmon6131
@tillionsmon6131 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mtumishi wa MUNGU
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Tunakushuku. Sana. Kwa kuamsha. Hisia Ahsante brother
@silvanolenjima2213
@silvanolenjima2213 Жыл бұрын
Ahsante sana kaka kwa somo lenye nguvu ya Ki- Mungu.
@mambaboy2233
@mambaboy2233 Жыл бұрын
Namba uendere kutufundisha me Nina kukubali San Mungu azidi kutubariki sote
@JosephineEpimack-qb5mw
@JosephineEpimack-qb5mw Жыл бұрын
Kuna mahali nimefika, Kuna mahali pamechokozwa napo pameungana na palipochokozwa siku zilizopita.... Barikiwa ndugu Joel maana kuna mahali tunaelekea..
@NeemaMinga-pl8ty
@NeemaMinga-pl8ty 10 ай бұрын
Nakuelewa kaka.
@lugendelajimola6136
@lugendelajimola6136 Жыл бұрын
Thanks alot our bro mr joel for sure your teaching in excess the moral things ...as your saying good nation is the product of good family" God give you more Energy to continue teaching us without get tired our metal.
@hassanihassani7154
@hassanihassani7154 Жыл бұрын
Kaka nataman sana uje kuwa rais was Tanzania naiman sana nch itabatirika hususan vijana
@jacklinentabo2380
@jacklinentabo2380 Жыл бұрын
God Bless you kaka Joel, hakika you are my life coach! May this Word Of God Work On me right now.
@rosemarynyato6535
@rosemarynyato6535 Жыл бұрын
Powerful powerful powerful 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙇🙇🙇🙇🔥🔥🔥🔥🔥
@isaacmwailinga8921
@isaacmwailinga8921 8 ай бұрын
Ahsante sana kaka Am blessing always
@doricealfred5892
@doricealfred5892 Жыл бұрын
God bless you the creator of the foundations of people to be able to manage themselves🙌🙌
@_letsgrowtogether
@_letsgrowtogether 9 ай бұрын
Jmn kaka natakani niongee na wewe lakini sijui nakupataje
@farijanibakari9018
@farijanibakari9018 Жыл бұрын
Kaka safi sana
@johnlyimo3253
@johnlyimo3253 Жыл бұрын
Be blessed my life coach.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe amen 🙏
@AfiSoul103
@AfiSoul103 Жыл бұрын
NAKUPENDA sana Joel kama kakaangu... .. unanihamasisha sana binafsi.. videos zako kama mtu atafanyia kazi basi kila sku lazima apige hatua kidgo kidogo..namim ni mmoja wao.. nakuombea sana kila nnapoangalia na kusikiliza unayosema... Mwenyezmungu aliejuu akutangulie..na atuongoze sisi wafuatiliaji wako.. love from Spain 🤗🤗
@isackmagidanga9906
@isackmagidanga9906 Жыл бұрын
Nilikuwepo miongoni mwa waliopata bahati ya kuhudhuria hio siku. Hakika nilijifunza mengi sana kutoka kwako. Mungu akubariki sana kaka
@emmanuelkatemi5317
@emmanuelkatemi5317 Жыл бұрын
Mungu akulinde Mr joel
@afyamakini2292
@afyamakini2292 Жыл бұрын
👍👍barikiwe sawa kaka Joel
@sophiaoscar8851
@sophiaoscar8851 Жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako mungu aendelee kukutunza
@Muka_26
@Muka_26 Жыл бұрын
Speech Bora kabisa.
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Ujumbe Mzuri SANA
@bishopndayisabafidele5909
@bishopndayisabafidele5909 Жыл бұрын
Tafadhali nipe Andiko ambalo umelisoma
@erastomalila3221
@erastomalila3221 Жыл бұрын
This is a powerful lesson for everyone to learn and act.
@rosemarynyato6535
@rosemarynyato6535 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia zaidi🙏🙏
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante
@floramkumbi3257
@floramkumbi3257 Жыл бұрын
Asante kaka ubarikiwe sana
@agneshiza7229
@agneshiza7229 Жыл бұрын
Mie am ready.Unafundisha wewe!
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Kaka Joel Bwana akubariki
@user-fu5wi1ez7e
@user-fu5wi1ez7e Жыл бұрын
U teach the truth my brother I'm proud to know u
@josephnyanga5172
@josephnyanga5172 Жыл бұрын
I like listening you brother you always inspire me since then
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Ameen, let’s keep learning
@ufahamuthamani5252
@ufahamuthamani5252 11 ай бұрын
Stay blessed forever
@eliasluwela7823
@eliasluwela7823 Жыл бұрын
I have learned many things from you since 2017. May GOD bless you. Karibu tena Mzumbe brother
@IsmailHassan-ql8fj
@IsmailHassan-ql8fj 6 ай бұрын
Raisi wetu Ampe nafasi ya kuwa sehemu ya ichi~ Jamani Mbona Anafaa kuwa Rahisi wa kutuliza Gadhabu za inchi Zenye vita He's good influencers, Iran Mchukueni Giant killer mpate maarifa🤲🤲🤲🤲🤲
@IsmailHassan-ql8fj
@IsmailHassan-ql8fj 6 ай бұрын
@chungwasingers
@chungwasingers Жыл бұрын
Kwa mama hatuna kaka lakini baada ya kukujua wew nilifurahi nakusema nina kakangu very bright na huwa NAKUOMBEA UJE KUWA RAISI WA TANZANIA 🇹🇿 UFANYE MAKUBWA NA UFIKE MBALI UBARIKIWE SANA MY KAKA
@stephanogoshala9363
@stephanogoshala9363 Жыл бұрын
Yes, Mungu asikie maombi haya
@meshacksinyangwe525
@meshacksinyangwe525 Жыл бұрын
Nanauka wewe ni mwisho wa matatizo nakukubalisana
@francismtaki5979
@francismtaki5979 Жыл бұрын
My role model nimemis kusoma vitabu
@emmyjimmyK
@emmyjimmyK Жыл бұрын
Am blessed
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 Жыл бұрын
Kaka Joel napata hizi classes zako jamani,maana kiukweli dah najifunza sana ila naomba niwe napata hata kuudhuria hizi classes zitanijenga sana jamani
@nkugwasimon2301
@nkugwasimon2301 Жыл бұрын
More lesson to learn from you brother God bless you 🙏
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 Жыл бұрын
Amen kaka
@shaluamtanashati
@shaluamtanashati Жыл бұрын
2025 ukagombeee uraisi tunahtaj kama nyieee
@user-tu1uh5sy8e
@user-tu1uh5sy8e Ай бұрын
Smart man
@longidamollel1552
@longidamollel1552 Жыл бұрын
Huyu mwamba ni mwamba kweli kweli, Mungu ambariki sanaa
@hellyfridy
@hellyfridy 7 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@irakazaeriekim4753
@irakazaeriekim4753 Жыл бұрын
Asante ❤
@washhjojo4840
@washhjojo4840 Жыл бұрын
Amen
@chriphordmabusi2325
@chriphordmabusi2325 Жыл бұрын
impressive
@anethgobirara9159
@anethgobirara9159 Жыл бұрын
Ameen kaka
@georginambuluko4259
@georginambuluko4259 Жыл бұрын
🙏🙏
@geophreymisheck4031
@geophreymisheck4031 Жыл бұрын
👍
@ibrahimgodfrey6219
@ibrahimgodfrey6219 Жыл бұрын
I'm giant killer
@raisenpaul3228
@raisenpaul3228 Жыл бұрын
kuna mtu alirekodi audio ninaisikilizaga the giant killer kila ciku
@nathanisack9968
@nathanisack9968 Жыл бұрын
Giant killer ninin hasa
@raisenpaul3228
@raisenpaul3228 Жыл бұрын
@@nathanisack9968 Maana ya giant killer ni mtu ambae ameleta au analeta badiliko kubwa kwenye jamiii
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 Жыл бұрын
Kabisaaa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
☝️
@upendokiza6061
@upendokiza6061 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa maono hayo. Kweli kaka joel uko vizuri.
@FungukaNaMsemaji-gn5bj
@FungukaNaMsemaji-gn5bj Жыл бұрын
Katuni za kiswahili Uke wenza Part01 kzfaq.info/get/bejne/qcximbJ2nd2yYnk.html Uke wenza Part02 kzfaq.info/get/bejne/rr2jlLSHxq2odqc.html Uke wenza Part03 kzfaq.info/get/bejne/h6ldo8WlsdjdmaM.html Uke wenza Part04 kzfaq.info/get/bejne/ldSDppWDytWahqM.html Uke wenza Part05 kzfaq.info/get/bejne/gLuqqc6q0teXXWw.html Uke wenza Part06 kzfaq.info/get/bejne/rsimh9emkp_LZZ8.html Uke wenza Part07 kzfaq.info/get/bejne/gLyaebWJkqvZaX0.html Uke wenza Part08 kzfaq.info/get/bejne/aLyTZ9hqu7jYkY0.html Uke wenza Part09 kzfaq.info/get/bejne/Zq2FbMiS38vRlKc.html Uke Wenza Part 11 kzfaq.info/get/bejne/e8WZl7ucsdqah6s.html
@shaluamtanashati
@shaluamtanashati Жыл бұрын
I want go to regstructer s
@marrywema7850
@marrywema7850 Жыл бұрын
🥰
@neemashirima6121
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Hakika huu ujumbe umefika kwa wakati sahihi .
@demostheniscima9010
@demostheniscima9010 Жыл бұрын
*promo sm*
@TudamsheB
@TudamsheB Жыл бұрын
Natamani siku nikutane na huyu giant killer
5 Keys To Become Valuable Person | Joel Nanauka | Part 2
25:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 171 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 115 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 18 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 173 М.
KUSUDI LA MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA EPISODE 02
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 9 М.
LIFE WISDOM : PRESHA ZA MAISHA - JOEL NANAUKA
16:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
AINA 7 ZA WATU WANAO MZUNGUKA KIONGOZI - JOEL NANAUKA
12:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 158 М.
JOEL NANAUKA: JE, UNAJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO?
13:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 55 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 48 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 42 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00