WATAJUTA! Urus yarusha makombora kwenye HIMARS za Ukrain,Tanzania na Urusi zasain Mkata kushirikiana

  Рет қаралды 17,553

YUHOMA DIGITAL FORUMS

YUHOMA DIGITAL FORUMS

19 күн бұрын

Пікірлер: 70
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 16 күн бұрын
Hii ni mzury sana najivunia kua mtanzania from PEMBA upembani nawakilisha🎉🎉🎉❤❤❤
@user-nt5gk2gx6m
@user-nt5gk2gx6m 16 күн бұрын
Hongera watanzania hata sis wakenya sio sote tunao saport American wengi ni rusian huraaaaaah
@PetroKiyeyeu-ur4zg
@PetroKiyeyeu-ur4zg 16 күн бұрын
saf San Tanzania yangu
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 16 күн бұрын
Safi sana Tanzania Kenya vipi? amkeni
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 16 күн бұрын
Asante sana mchambuzi
@rasmgz2367
@rasmgz2367 14 күн бұрын
Urusi ni Rafiki wa Tanzania toka ezi za mwalimu Nyerere..
@PatrickKagiraneza-ok8cw
@PatrickKagiraneza-ok8cw 16 күн бұрын
Urusi kafanya kazi nzuri kbsa.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 16 күн бұрын
Safi kabisa mama 🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🌹👏👏
@stevensosipita
@stevensosipita 13 күн бұрын
MAMA YENU MNAFIKI PUTIN PANYA WA KUNG'ATA NA KUPULIZA HUKU KAKUMBATIA WAZUNGU HUKO ASAINI USHIRIKIANO NA URUSI ATAJIPONZA SUALA LA USHOGA HADI LEO HAJATOA KAULI KIHELE HELE NA NJAA ZITAMPONZA.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 5 күн бұрын
​@@stevensosipitamarekani na ulaya majambazi,wauwaji.bora urusi aija fanya ucoloni dunia.
@eliudkazoba5170
@eliudkazoba5170 16 күн бұрын
Hiyo root Safi sana. Nitafika Urusi kwa mapenzi ya Mungu.
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 11 күн бұрын
Viva urus viva tamzania
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 16 күн бұрын
Himaya mbili zimelipuliwa jana
@FaourHakimi-wz9hp
@FaourHakimi-wz9hp 16 күн бұрын
Saf sana tanzania yangu
@Masta313
@Masta313 16 күн бұрын
Watuondolee viza kabisa😅😅😅
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 16 күн бұрын
❤❤❤😂😂😂Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o 16 күн бұрын
Ni jambo jema kwa wanaofahamu biasha maana urussi hawana biashara za Kona Kona kama hizo siasa siasa za watu wa uraya wanalenga kuyanyonya mataifa ya africa
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 16 күн бұрын
Shukran ❤
@khamisnassor3880
@khamisnassor3880 16 күн бұрын
Makini sana
@aloujouasumwisye553
@aloujouasumwisye553 16 күн бұрын
Safi sana urusi,piga hao manyang'au
@rashidsalim7078
@rashidsalim7078 16 күн бұрын
Nivyema pia tukambizana wi-fi za kutumia maana wengiwao wanatuibia hapa tz
@bashiriissahmgannah5738
@bashiriissahmgannah5738 15 күн бұрын
Safi nimeipenda Sana na ndio maana nisipopata taarifa za Urusi huwa sina amani kabisa shukrani sana Tanzania kwa kufanya hayo maamuzi na Russia ✍️🤝🤝🤝🤝
@Mwanahawamahamudu
@Mwanahawamahamudu 15 күн бұрын
Waooooooo
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 16 күн бұрын
Safi sana kama tutakuwa karibu na Urusi utamaduni wa ushoga wa nchi za magharibi basi tena Mungu ametusaidia serekali yetu kuliona hilo tusiwe na ukaribu na hawa watu magharibi wengi wao wanapenda ushoga mwisho watatulazimisha kwa ajili ya misaada yao tuepukane nao kidogo kidogo
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 16 күн бұрын
Ongera Tanzania imechagua njia salama
@user-tq4go3sn5b
@user-tq4go3sn5b 16 күн бұрын
Kama ni kweli nitampigia mtu kura 2025
@mkilyaphilipo7598
@mkilyaphilipo7598 16 күн бұрын
Uraaaa
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 16 күн бұрын
Sisi burundi urusi hakuna chenga hapo
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 15 күн бұрын
Yuhoma nenda ukawaambie Utusi sisi Watanzania tulishawakubali Urusi hata kabla hawajaja Tz, Uraaaaaaaa
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 14 күн бұрын
From Tanzania 🇹🇿 nipo russia hapa nawapata kinoma
@Masta313
@Masta313 16 күн бұрын
🎉🎉🎉
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 16 күн бұрын
Safi tz
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 16 күн бұрын
Hivi Hawa marekan Wana akili?eti wanalaumu himars kushambuliwa😂😂😂😂
@isaacorengo1404
@isaacorengo1404 16 күн бұрын
Hata sisi wakenya ni Russia, ni Ruto pekeake na puppetism yake🇰🇪
@gervasejerry
@gervasejerry 16 күн бұрын
Hapo Mama Nakuelewa akili yako iko mara na nusu kama harmonizer alipo imba
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 3 күн бұрын
Wanamchi watz tulikuwa tim urusi siku nyingi mno.
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 5 күн бұрын
Safi sana piga hao nato
@uwimana6533
@uwimana6533 16 күн бұрын
Hatari sana
@JamesCornely-or4wt
@JamesCornely-or4wt 13 күн бұрын
Oya mbona hii imekaa vizuri
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 16 күн бұрын
Asante sana URUSSI NA TANZANIA 🇷🇺🤝🇹🇿🙏 tunaomba wawekezaji kutoka urussi wawekeze Tanzania tutaiunga urussi mkono vizazi na vizazi hatutaicha kamwe na hatutarudi nyuma Tanzania na Moscow safi sanaa 🇹🇿🤝🇷🇺
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 16 күн бұрын
Wawalete wawekeze kwenye energy plants tuwe na uzalishaji chanya
@barakanyanchama4297
@barakanyanchama4297 16 күн бұрын
Hatutaki mambo ya marecani na nchi zamagharibi
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 14 күн бұрын
Magharibi ni waongo na wanafiki kwa hiyo chochote kinaweza tokea wao ni vibaraka wa shetani mkuu USA
@African511
@African511 16 күн бұрын
Russia 🇷🇺 nguvu moja na Africa
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 15 күн бұрын
Sasa Tanzania imenikosha
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx 16 күн бұрын
Uhakika
@walidahmad2534
@walidahmad2534 14 күн бұрын
Nice 🇷🇺💪💪💪👏👏
@gervasejerry
@gervasejerry 16 күн бұрын
❤❤❤This are.Great Newz ,Tukapige kazi 😂😂😂😂😂
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 16 күн бұрын
Gwido ulipotea sana, kaka, tuko pamoja
@evansogutu4167
@evansogutu4167 16 күн бұрын
Uku kwenu Maandamano kuruka
@user-ql4qw3ow4r
@user-ql4qw3ow4r 6 күн бұрын
Mwambie Putin atangaze ushindi maana yeye Kila siku anaonekana anashinda hatuoni
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 16 күн бұрын
Waendeleye kuleta zingine tuzihalibu😂😂😂walete zote zenye wameficha tuchome moto sisi tim urusi tunatamba
@malickylicky4254
@malickylicky4254 16 күн бұрын
Wamefariki zaidi ya 40,,,
@ThomasCornel-zy7sc
@ThomasCornel-zy7sc 16 күн бұрын
Viva🔥🇷🇺🇷🇺
@LucasRozi
@LucasRozi 16 күн бұрын
Mimi bado sielewi
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 16 күн бұрын
Sisi watanzania ni watu makini pamoja na selikari yetu siyo watu wa kulishwa sumu kama walivyo wapumbavu. wa Libya
@LucasRozi
@LucasRozi 16 күн бұрын
Mbona mikataba mingine atushilikishwi
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 16 күн бұрын
Sasa mmarekani analaimu nini? Yaani mmarekani anataka mrusi asishambulie hiyo mifumo? Wamarekani ni watu waajabu kabisa!!
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 16 күн бұрын
Ongera tz ongera rais wetu na makam wako na waziri mkuu, mamuzi ulioyafanya rai wako tumeyakubali tuachane nchi za maghalibi inchi zinazo taka tuwe kwenye jinsi moja bola tuwe na nchi za rashia tu ikiwezekana mkalibishe rais putini hapa kwetu🇹🇿🇷🇺 mujadili mambo ya nyukrea na kilimo, nk.
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 11 күн бұрын
Uko sawa
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 16 күн бұрын
Bwn Gwido haina sababu ya kuchanganya Kiswahili na Kiingereza utangazapo taarifa zako. Kuchanganya Kiswahili na Kiingereza ni kudhirisha dalili za utumwa wa lugha au unakabiliwa na kufilisika kwa maneno ya Kiswahili au basi ulimbukeni kidogo. ulionao.
@JoelFortunatus-du8ww
@JoelFortunatus-du8ww 15 күн бұрын
Yan Leo Nina furaha kubwa zaidi baada ya kusikia hii news yes ndioo hivi ndo tunavyo taka Sasa Dunia iwe kwenye multpolar na sio unipolar mama etu mfate Putin uko ndo Kuna uhakika wa mambo 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💗💗🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AZIZIPAULO
@AZIZIPAULO 16 күн бұрын
ww kama Putin TU yan kokote uliko nasi tupo ❤
@user-vv6ox9xh9k
@user-vv6ox9xh9k 16 күн бұрын
Wote wanaojiuga na NATO ni Kwa ajiri ya kuanza kupigana na urusi tu, akili ya marekani hiyo mjue
@abduljuma7807
@abduljuma7807 16 күн бұрын
Wote mnao jiunga na Marekani mjue ni kwa faida ya Marekani tu sio kwenu wananchi husika pingeni kabisa nchi zenu kuwa marafiki wa Marekani
@YasiniYueufu
@YasiniYueufu 16 күн бұрын
mmarekani hana utu katika nchi zetu afrika
@YasiniYueufu
@YasiniYueufu 16 күн бұрын
wamemuua gadafi mtetezi wa bara letu
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 16 күн бұрын
NAto ynywe imejieleza waz kua ni kujihami na urusi Wanajua mziki wak cwakuuombea Man to man hawamuwez
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3,9 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 49 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН
Freight train composition, Pugu Station, Tanzania.
3:19
Mauricio GONZALEZ
Рет қаралды 16 М.
PUTIN ASAINI MKATABA WA KUISHUGHULIKIA MAREKANI KWENYE UKANDA WA BAHARI
10:04
CUBA HAWAMTAKI MAREKANI WANATAKA AONDOE NYAMBIZI YAKE WAO WAPO NA PUTIN
13:10
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 11 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3,9 МЛН