PART34:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 16,547

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 339
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
huyu brodher ameanguka sana ila ameendeleya kusimama na mwenye hato muamini MWENYEZIMUNG hato kua salama.
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
HII funga mwaka jaman 😍
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Duuh kweli ww umepitia mambo mazito sana pole kaka zabroni ila ww shija mkubwa sana ila naomba mungu alijalie maisha marefu pia a kufanyie wepesi wa mafanikio amin
@colonelghadafi.4806
@colonelghadafi.4806 3 жыл бұрын
Npo mombasa Kenya🇰🇪 nme fuatilia simulizi hii tokea part 1, Huyu kaka japo ya misuko suko haku kata tamaa katika maisha hongera sana brother Zabron nme jifunza sana mengi kutoka kwako.
@kenyatuktuk2853
@kenyatuktuk2853 3 жыл бұрын
Mombasa maeneo gani.
@colonelghadafi.4806
@colonelghadafi.4806 3 жыл бұрын
@@kenyatuktuk2853 likoni mtaa wa ujamaa
@kenyatuktuk2853
@kenyatuktuk2853 3 жыл бұрын
Likoni Approved.
@colonelghadafi.4806
@colonelghadafi.4806 3 жыл бұрын
@@kenyatuktuk2853 pamoja kaka Boniface
@lucyaloo920
@lucyaloo920 3 жыл бұрын
Likoni Barbara ya mchanga
@mn-fy7oq
@mn-fy7oq 3 жыл бұрын
Thanks Mr Davister kwa haya mikasa tunajifunza mengi alafu mpe salamu na pole zangu Mzee wa Gamboshi tuko pamoja sana
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 жыл бұрын
Jamaa ana Memory ya genius kabisa... Heko sana Zabroni
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 3 жыл бұрын
Jamani muwasiliane na Zabron. Anauza vitabu vyake hivyo vya "Sitaisahahu Gamboshi" part 1&2. Anakutumia moja kwa moja ktk simu kwa muundo wa PDF file. Unamlipa anakutumia muda huo huo. Ni rahisi sana. Tumuungishe Zabron jamani
@caimedia
@caimedia 3 жыл бұрын
Ile unabadilisha pozi, kwamba tunaelekea pazuri.. Unakutana na Mr. Facts ITAENDELEA... Davi siyo vizuriii bhana... All in all you're doing a great Job!
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 3 жыл бұрын
Asante sana Mr Facts kwa kutufunza Mungu azidi kukusimamia Uzidi kuendelea🤲🤲🤲
@mshua337
@mshua337 3 жыл бұрын
Kwa wale wahenga hiyo nokia ya jeneza tushaijua.ilikuwa ni Nokia 3310
@bawillyhussein9921
@bawillyhussein9921 3 жыл бұрын
leo wa kwanza
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongeraa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Hongera
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hapa tushapata fundi rangi etyeee😜😜😜😛😛😛😛😛😛wacha tujiongeze kiasi🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 жыл бұрын
Yani Hadi nimeizoea hii story nikikosa na boeka sana
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 жыл бұрын
Kweli my dear hata mm . Yaani nikama una kiu .
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 3 жыл бұрын
Napenda alivyo muaminifu yaani huo uaminifu wake ndio unako mtetea wakati akipata shida...nimejifunza
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
Tuned 🇰🇪 mzee wa kugonga misosi interesting story
@oneclick2023
@oneclick2023 3 жыл бұрын
Mzee Mwenzangu Zabu,,yule mtoto ndugu yangu alikuwa Ni makali ,Ninge kuwa Mimi nauza hata nyumba ya ulisi bora nigombane na ndugu tu ila sio kumkosa mtoto mzuri Kama Angel ...Mtoto mtoto macho tu daaa na kile kidoti 🙌🙌🙌....Ambaye haja mwona Angel ingia Fb mfollow Bwana Zabron C Mwita ... R.I.P ANGEL 🙏💔 #TeamZabu #ZabuMadiko...MR.FACTS
@liliankemuma9475
@liliankemuma9475 3 жыл бұрын
Pole Sana Zabloni,kwa mikosi
@hagurukamwana4095
@hagurukamwana4095 3 жыл бұрын
hapo sawa much love from Canada 🍁 🇨🇦🔥💆‍♂️💆‍♂️
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mzm
@sjfamily8121
@sjfamily8121 3 жыл бұрын
Ulifikaje Canada boss?
@mkombelwamodeste8886
@mkombelwamodeste8886 3 жыл бұрын
huyu chama atari kwenye msosi anasifiya sana msosi
@evancemoevt8597
@evancemoevt8597 3 жыл бұрын
Zabron nakukubali kwenye Misosi Unasifia Hadi Raha yaani!!!😅😅😅😅
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Barikiwa sana 🙏
@joycekelvin5434
@joycekelvin5434 3 жыл бұрын
Zabron kwey upande wa mikosi atuangushi😀
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Zabroni mambo ya missoni uko vizuri
@fredrickmichael2317
@fredrickmichael2317 3 жыл бұрын
Pole sana kazi za shetani ni Nomaaa sana
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Zabron nakukubali kwa masosi umetisha ila pole sana Dm shukran sana kwa story nzuri
@jacksonnyange5334
@jacksonnyange5334 3 жыл бұрын
Ongeza bas tecnologia ya kisasa nzur upost vipande ata vinne kwa siku
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
😅😅Mungu akusaidie kkayngu vitabu Mia si mchezo hongera davido more blessings
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Unapenda misosiww hahaha ww noma sanaa uko vzr kwa misosi mitamu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Sana🤣🤣🤣🤣
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 3 жыл бұрын
Napenda chief anavocheka ananifurahisha kweli
@angelmilele4730
@angelmilele4730 3 жыл бұрын
Hahhhhha Mimi mwnyww namkubali
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Daaah aisee pole sana
@ashaenock14
@ashaenock14 3 жыл бұрын
Yaan nikiishiwa bando had nachanganyikiwa kwa jins hii stor inanvyonivutia, ,,,,,daaa ila brother we ni jasir umepitia mazito sana!!!!!na haukukata tamaa, ,,big up san
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Pole sana baba mwenyewe kauzu hana huruma nikipigo nakulima usiku
@IANA2030
@IANA2030 3 жыл бұрын
Waaaah Zabron pole sana
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Waaaahhh !! Cija chelewa sana
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Zabron avery hardworking man but siku zote hizo nizerowork waah only God can save you trust on him
@didasrichard3068
@didasrichard3068 3 жыл бұрын
Dope
@esthergasper8086
@esthergasper8086 3 жыл бұрын
Safi kabisa tuendelee...iendelee Leo Leo jaman
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Lkn kaxi zako xote ulikuwa unafanya ukifaidii hirixi inayopumua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣rohoo zawatu kazaa Mungu akakuhukumu mzigo ukaungua mmmm hirixi yakupumua hiyooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Atr sna
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Mimi nachomkubali jamaa hachoki kutafuta big up zabron
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 3 жыл бұрын
Uzuri Zabron ufundi ulikuwa unakuboost sana
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Safii sana kazi nzuri . Lete ingine part 25 . Xaxa jamaa kuja ndo ?.........
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
zabron mwita mzee wa misosi 😂😂😂😂😂hatari sana
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 3 жыл бұрын
Pamoja sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿💪
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Wasukuma Mpoooo niwafungie No40 kwakupiga Jembe 🤣🤣🤣😂😂😂🤣
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Me naona bora hao wasukuma wanao shinda shamba kuliku hao wanaamka nane usiku au tisa usingizi umenoga unaamshwa khaa mida yawanga
@caimedia
@caimedia 3 жыл бұрын
Tupoo
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@caimedia lala
@winnyenockwinnyenock6986
@winnyenockwinnyenock6986 3 жыл бұрын
Sema neno mmoja tupo wasukuma now me nipo iraq naoga kazi
@raheemaraheema5453
@raheemaraheema5453 3 жыл бұрын
Davistr kaona Mkono utapooza Bola awe anampa ashike mwenyewe japo malamojamooja🤸‍♂️
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
MUNGU yupo 🙏
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
Kweli huyu jamaa ana asili ya jini,,,,#1986/#1989 tayari kumatia chini zinamkaa
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Nimefika kama Kawa 🙌
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Hizo simuzinaitwa yeboyebo
@hellymsigala9852
@hellymsigala9852 2 жыл бұрын
Daah🔥🔥🔥
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 жыл бұрын
Hatari 🔥
@alitoufik5477
@alitoufik5477 3 жыл бұрын
Engineer Zabron
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Our Best series 2020...
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Zabron kwa misosiiii😆😆
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Zee wa misosi nusu kuku mayai ya kienyeji, suti batan moja kiatu cha mtaliano chefu Zabron
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
kwa msosi napapenda sana
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
Huyo boya alitaka kujiua akasahau ufundi ndo kick no 1 kweny maisha yake eeeh 😃 😃 😃 😃 #bro Davistar mwambie yeye ni choosen one sio wa kukata tamaa kiboya.... Naona kaanza kula Regina tena
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Pamoja Davistar na Zabron
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
hiyo ringtone bana si ya mtu mashuhuri kama wewe bwana mwita kanunue simu😂
@evaristekashindi7026
@evaristekashindi7026 3 жыл бұрын
Bb unatisha tunasubiri kama film ya maneno ya kuhambiwa !!!!!
@rosemassawe1979
@rosemassawe1979 3 жыл бұрын
Post nyinginyingi since story ni ndefu😎
@driftdumper8927
@driftdumper8927 3 жыл бұрын
Davista upload video
@JOHN-ut6ej
@JOHN-ut6ej 3 жыл бұрын
my Brother Davist tafazali nitafute kweni Numbar yangu nuataka tukutane nikifika Africa apo kwenu Tanzania lakini mimi sio mutanzania.
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
grey
@faustinaalukungu8511
@faustinaalukungu8511 3 жыл бұрын
🙏
@tracyirene8917
@tracyirene8917 3 жыл бұрын
Zabron kapenda msosi 🔥🔥kuku chips 😄😄😄
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mamb
@ruthkwamboka9082
@ruthkwamboka9082 3 жыл бұрын
Pamoja Hadi mwenzo
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Mr gambosh kweny kula anajua kusharehesha hahahhhhaahahha mr kuku.
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Wengi wanaofanya biashara ya mchicha akili zao huwa km dishi limeyumba hivi 😜😜Sjui mchicha una laana gani? Zabron uliopotea sana mkuu🙉🙉🙉😆😂😂😂
@joycekelvin5434
@joycekelvin5434 3 жыл бұрын
😀😀
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@masakakambesha4521
@masakakambesha4521 3 жыл бұрын
😂😂😂
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
Nokia 3310 🤣🤣 that's a legend phone!
@susankomu8978
@susankomu8978 3 жыл бұрын
Ndaniii...
@lasma9830
@lasma9830 3 жыл бұрын
Hzo nokia zilikuwa zinaitwa Miss Arusha
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 3 жыл бұрын
Kweli mitihani hutofautiana unaweza kujiona ww umepitia magumu ila Kuna mtu amapitia magumu kuliko ww na bado hajakata tamaa na maisha kila cku anazid kupambana
@g.d.d1481
@g.d.d1481 3 жыл бұрын
La histoire kalisana
@berthadavid6812
@berthadavid6812 3 жыл бұрын
🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️
@fredrickmichael2317
@fredrickmichael2317 3 жыл бұрын
Elfu 80,000 katika millions tatu
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Leo sicomment chochote
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hujatosheka kurudi Uganda wakati ulikuwa ukitumia hirixi yakupumua🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mshua337
@mshua337 3 жыл бұрын
Kila episode ina misosi mara 5.zabrona hapo kwenye hiyo sekta namkubali aisee
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Pili somoe Amina cute emmy Mimi mimi wetu mpenzi Ayuim Aisha fatm sapna nawengineo njoooooooooooon mambo tayariiiiiiiiii🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🙄🏃‍♀️
@jacksonnyange5334
@jacksonnyange5334 3 жыл бұрын
Waitee nipo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@jacksonnyange5334 pamoja 😍😍
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Huyojamaa alienda kununua rangi siku tatu huyo alikuwa danga mana alikuwa nasitarehee na wanawake yani tamaaa watuwengine bn yani zake zilikuwa xawanawake tuuu
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
Jamani
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Davister nawe unapenda makulaji hahahahah
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Umenifurahusha ulivyo mtoa nishai
@hagurukamwana4095
@hagurukamwana4095 3 жыл бұрын
Jama na Musosi kweli 🤣🤣
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
💪💪❤ 💪💪
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣loo msosi kuku chips kienyeji ama mayai kienyeji eti engineer 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️kula mhimu bn ndokazi badae🚶‍♀️
@askaounga6456
@askaounga6456 3 жыл бұрын
35
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Jmn kusoma nje ndo ule chips mayai ya kienyeji kuku nusu duuuh..Huko ni kufirisiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
😍😍😍David naomba unipe jina lake la Facebook nimu follows
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
zabron c mwita
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 asante
@mwajiranimesalimu5509
@mwajiranimesalimu5509 3 жыл бұрын
hahahahaaa. kakangu upande wa msosi😅😅😅😅😅😅
@evelyneakech2677
@evelyneakech2677 3 жыл бұрын
Number 27 😘😘😘
@shiaochang1335
@shiaochang1335 3 жыл бұрын
Yani zabron unachekesha na kuhuzunisha kwa kweli
@mariamshabani6853
@mariamshabani6853 3 жыл бұрын
Number 2 Leo Asente Sana my big broo
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mamb
@mariamshabani6853
@mariamshabani6853 3 жыл бұрын
@@mamskiumbe4057 poa
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Niambie
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mzm mariam
@mariamshabani6853
@mariamshabani6853 3 жыл бұрын
@@mamskiumbe4057 yeah
@said2048
@said2048 3 жыл бұрын
Kaka Said2048 nimekuona jana nakubali
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Injinia Zabron soma iyooo! 😂😆
@apolinemalungano9155
@apolinemalungano9155 3 жыл бұрын
Davistar unashimama shimama Sana unabowa umechoka nakazi nini
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Kicheko cha zabron bhanaaaa ni hatariiii 😂😂😂😂😂
@joshuatalu9596
@joshuatalu9596 3 жыл бұрын
Hii dunia ina mambo.DM barikiwa sana.Tuombe Mungu atulinde na atuepushe na wabaya wetu.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤗🤗
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Dunia Yetu Leo | Agosti 01, 2024 | Asubuhi
7:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,2 М.
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 25 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
Oi Oi Oi & E E Ei Meme Looking For a Girlfriend
0:26
Mischief time
Рет қаралды 30 МЛН
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 4,4 МЛН