Hotuba ya Rais Magufuli katika Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere

  Рет қаралды 29,440

UONGOZI Institute

UONGOZI Institute

4 жыл бұрын

Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli patika ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere, Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 10 Oktoba, 2019; iliyowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Пікірлер: 14
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 Жыл бұрын
Hakika 🙏 mkuu wangu
@wekesaemanuelmasika6822
@wekesaemanuelmasika6822 2 жыл бұрын
Napenda hotuba zake profesa Kabudi. Ombi langu ni kwamba sikumoja apewe hatamu ya kuongoza nchi ya Tazanzia
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096
The great leaders of Tanzania, Nyerere,maghufuli,and now kabudi
@carolihando6271
@carolihando6271
This talented guy, God bless him.
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096
Njoo Kenya Uwe Rais wetu
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096
Kabudi Rais mtarajiwa ❤ from Kenya
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096
Mimi ni mkenya, lakini nimekubali Tanzania iko mbele ya Kenya,Kwa siasa Bora, viongozi Bora,Kwa kambumbu,Kwa muziki,Kwa wasani wa filamu,Kenya Yuko mbele Kwa ukabila Hasi Na viongozi wafisadi
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Waziri umemwakilisha vyema Raisi wetu,,barikiwa sana
@majaliwasmoshi774
@majaliwasmoshi774 4 жыл бұрын
Nyirere x magufuli x kabudi munawesa Sana kasi nawapenda asana
@josephkafumu3006
@josephkafumu3006 Жыл бұрын
Mimi najivunia sana wewe maaana unajiamini vizuri
@MuhungaMasengo-og3vk
@MuhungaMasengo-og3vk
Fizi tupo tayari kuwapiga wanyanganyi tumesimama kama daudi mbele yagoli yati
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096
Hapa kwetu Kenya viongozi walioko serikali I wakitoa hutuba,hutuba Yao ni kumwita Raila mzee wa kitendawili,mganga, wanamaliza hutuba
@MuhungaMasengo-og3vk
@MuhungaMasengo-og3vk
Tuta pigana mpaka mwisho wadahari
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096
You're aleader worth to be.apresident
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
MBWEMBWE ZA PROF. KABUDI MBELE YA RAIS MAGUFULI
1:04:56
Millard Ayo
Рет қаралды 48 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 293 М.
HOTUBA YA J K NYERERE MBEYA MWAKA 1969
49:55
TZ TRENDING
Рет қаралды 242 М.