Mufti wa Tanzania: Zamani Mtoto Alikuwa Anaonywa na Jamii I Tunapokwenda ni Kuangamia kwa Taifa

  Рет қаралды 372

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

8 күн бұрын

"Malezi ya zamani hayakuwa ya mtu mmoja yalikuwa ya mama, baba, kaka, dada, jamii, majirani, wazee wa mtaa mpaka shuleni lakini siku hizi hiyo hakuna.
Mzee hawezi kukubali kupokelewa mzigo na mtoto anawaza utafika kweli huu?
Mtoto alikuwa anaonywa na jamii nzima na watu wote na anaweza akapigwa akikosa adabu na mzee yoyote au kaka mkubwa yoyote na kwa sababu anajua ule ni utamaduni hasemi nyumbani maana anajua atapigwa zaidi. Kesho mtoto harudii.
Na hata shule ilikuwa umefanya kosa au utundu mwalimu anakuadhibu na ukirudi husemi maana utapigwa tena na wazazi walikuwa wanawaamini waalimu na waalimu wanawaamini wazazi. Na wakatokea watoto wazuri, kizazi kilichokuwa bora chenye watoto wanaojitambua wanatakiwa wafanye nini." - Sheikh Abubakar Zubeir - Mufti wa Tanzania akizungumzia Kitabu chake cha 'Mmomonyoko wa Maadili Nani Alaumiwe?'
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba

Пікірлер: 1
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 7 күн бұрын
Maneno ya mufti yakweli kabisa
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
Episodju 153 ma' Anthony Abela Medici (It-Tieni Episodju)
2:55:41
Jon Mallia Podcast
Рет қаралды 8 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 952 М.
Мбаппе, ты где?
1:00
Губиньо
Рет қаралды 516 М.
Главный АФЕРИСТ в истории футбола • Карлос Энрике Рапосо #футбол
1:00
Tournament of the best. Who do you think won? 🏆🐐😍
0:43
Max VS Football
Рет қаралды 4,4 МЛН
❌the tape didn't hold up😆 #foryou #funny #sport #spiderman
0:24
Alex Karpik
Рет қаралды 4,2 МЛН
#football #penalty #soccer #fifa #messi #reels 2 million
0:28