ZANZIBAR HAKUJAWA SHWARI: BARAKA SHAMTE KATEKWA, KATESWA

  Рет қаралды 85,902

SK Media Online TV

SK Media Online TV

2 жыл бұрын

Baraka Shamte, kada mkongwe wa CCM, ametekwa na kupigwa baada ya kutoa maoni yake juu ya siasa za Zanzibar, na kupinga sera ya uwekezaji katika visiwa hivyo.

Пікірлер: 272
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Жыл бұрын
Hussei Mwinyi hana uchungu na Zanzibari, si alisena anaye mkosowa anampenda! kumbe mnafiki akiambiwa ukweli anakuwa mkali hadi moto wa mdomo unamtoka 🔥🔥🔥.
@geraldemanuel3613
@geraldemanuel3613 2 жыл бұрын
Shamte amesema ukweli na huku bara ndivyo ilivyo
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Huu uwekezaji ni chanzo tu cha rushwa hamna lolote, Mzee anasema ukweli, lakini CCM hawakubali kukosolewa!
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Wanatakiwa akina Mzee Shamte kama kumi tu. Viongozi wetu wafanye kazi kwa umakini mkubwa,na hofu ya Mwenyezi Mungu.Nyerere amekufa lakini Mzee Shamte yupo tusemee na huku bara. Wazee wa bara wamepigwa ganzi.Utawasikia tu kwenye kupongeza; lakini kuionya Serikali ifuate mwelekeo ulio sawa, kwa maslahi ya nchi,na watu wake mmmh!!!!!! Ganzi.
@kingmartin4924
@kingmartin4924 2 жыл бұрын
Mzeee yuko sawasawaaaa sawia tena nampongeza hajaogopa kuchana ukweli safiiiii sana mzee tu nakuombea kwa Allah utapona
@nassernassor8562
@nassernassor8562 2 жыл бұрын
Baraka kasema kweli, hata wakimteka na kumpiga lkn ukweli ndio ushasemwa
@kenedrocky5964
@kenedrocky5964 2 жыл бұрын
CCM imeishiwa sera na busara za kuongoza nchi yetu. Tutake tusitake nimaoni yangu tu.
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 жыл бұрын
Biblia inasema ktk muhubiri wafalme wanatembea kwa miguu watumwa wamepanda farasi, inamaana Sana hii. Maana mfalme ni mfalme tu na Mtumwa ni Mtumwa tu hatakama apande punda Mungu atamjaza hekima ya utawala yule aliempaka mafuta ya kutawala japo atembee kwa miguu.
@pauloegbert515
@pauloegbert515 2 жыл бұрын
Hajakukosoa kasema ukweli
@user-cf7yo3il6g
@user-cf7yo3il6g 10 ай бұрын
Lilljl Oinlpp
@ussiussi3413
@ussiussi3413 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, hongera Mzee.
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 2 жыл бұрын
Huyu mzee ana akili sana
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 жыл бұрын
Mzee shamte Ana hakili sana na anaongea point tupu.
@mwailubikamongo9774
@mwailubikamongo9774 2 жыл бұрын
Niatali sana kumpinga mtu unaumizwa CCM wanasiasa zakipuuz sana
@saidmasoud1548
@saidmasoud1548 2 жыл бұрын
CCM mishenzi hii lkn m/mungu wallah atawahukumu mmoja mmoja mpaka mutamaliza kila mwenye nia mbaya na Zanzibar na wazanzibar wenyewe
@hodhoj609
@hodhoj609 2 жыл бұрын
Msema kweli mpenzi wa Mungu inshaaaaaalwah mzee baraka Shamte utapona tu kwa kudra za alwah
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
Atapona lakini Mzee ametitukana sn wapizani saivi yanamrudia CCM sio poa kabisa
@allenudindo3803
@allenudindo3803 2 жыл бұрын
huyu mzee yupo sawa kabisa ila watu wengi wanakula tu bila kuwakimbuka wanyonge pia wazee kama huyu ni wachache sana,na kila mtu ana maoni yake 👍
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 2 жыл бұрын
This guy is genius
@msafirimwenyemvua7889
@msafirimwenyemvua7889 2 жыл бұрын
Hongera sana mzee, wewe umezeeka mwili tu lakini akili yako Bado ni changa.
@karakatamuumba4310
@karakatamuumba4310 2 жыл бұрын
Samia na Mwinyi wana agenda kubwa kuiua Tanzania.Wana genge la watu wa Ulaya kuiuza bara na visiwani.maraisi hovyo kabisa.!Magufuli baba tunateseka !
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Huyu mzee anaongea kwa maslah mapana ya wazanzibar wengi wanyonge… wakubwa hawatapenda kauli zake
@salummussa610
@salummussa610 2 жыл бұрын
Zamu yao. Mungu haachi mnafik
@froma3732
@froma3732 2 жыл бұрын
Atajipanga MUNGU Anataka kuwalipia wale walokuwa wakifanyiwa na yeye akafurahia ati anesema ukweli manafik mferji umefungwa hazipatikani tena za bure
@hakunamatataznz5508
@hakunamatataznz5508 2 жыл бұрын
Mzee aliuwepo yakifanyika haya yote vip Leo,kunani kimetokea? 😢😢😢😢😊😊. kumbe ulifosiwa!! jamani kaaeni uzuri tuijenge inchi tuache maneno maneno ,kazi iendelee.
@uklife5232
@uklife5232 2 жыл бұрын
CCM inatakiwa iachie nchi wengine wao hawawezi tena kwa kweli
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 2 жыл бұрын
This is very sad, why nchi hii Tanzania kwa ujumla mawazo kinzani ni dhambi? Watu tunawachagua wenyewe kisha tujihoji utendaji wao tunanekana wabaya? This must be stopped
@mansourahmed216
@mansourahmed216 2 жыл бұрын
Kuna kukosoa na kukashif ni vitu viwili tofauti
@salumrwambo5752
@salumrwambo5752 2 жыл бұрын
Kuna watu hiyo ccm hujifanya kama yao sisi tulio mitaani tunakodisha nyumba zetu mwacheni Kaka Mwinyi akodishe visiwa apate pesa atuletee maendeleo msituzinguwe tushampa nnchi mwacheni afanye yake akimaliza mdawake ndiyo muhoji sasahivi mwacheni, fanyeni kazi
@f.w.z2446
@f.w.z2446 2 жыл бұрын
Hongera sana mzee umezungumza kwel jaman baada ya miaka mitano hii tusimpe tena tutafute raisi mwingine
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 2 жыл бұрын
Kwa mfano Apewe Nani kwa akili yako?
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 жыл бұрын
Daaaaah hatari hiiii Mzee yupo vzr sana..
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 2 жыл бұрын
We mzee usituchanganye huwenda umenyimwa mgao umedum CCM miaka hukuyaona hayo yote pambana na hali yako
@delasdiego6537
@delasdiego6537 2 жыл бұрын
Mbona shamte kapigwa na amesema Kwer embu tafuta Cha kuongea sio useme tu kusikia hatusikii Hata kuona basi hatuoni eti wampenda msema kweli wakati ww mwenyewe muongo tu
@matiredms917
@matiredms917 10 ай бұрын
Happy birthday Hon. Freeman Mbowe
@jonasynyasika6391
@jonasynyasika6391 2 жыл бұрын
Hatari sana
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 жыл бұрын
Haya ni maoni ya mtu ,unajua watu kama hawa waxema kweli hawapo wametoweka wengi Mzee mungu akubariki
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 2 жыл бұрын
Sasa mzee naona anasema waarabu wakati kisiwa chenyewe kishachukuliwa na watanganyika hahaha
@augustuss4503
@augustuss4503 2 жыл бұрын
@@sleemhamoud4394 kivipi kimechukuliwa na watanganyika, naomba nieleweshe
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 2 жыл бұрын
@@augustuss4503 Rais kikwete alisema nje ya Tanzania ni nchi moja unakumbuka Na ili uwe nchi kamili utambulike ulimwengu je znz inatambulika ?
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 2 жыл бұрын
Na tukiwaacha wazee kama hawa pia hatutakuwa salama
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
Angekuwa Cadema mngesema hawana nıa mzur huyu ccm mwenyewe Mungu anawaumbua mmjammja
@mohdomar8846
@mohdomar8846 2 жыл бұрын
Mchunga kupigwa na ng'ombe wake ni sawa tu na kawaida tumbiri akiisha miti huja muilini muache yamfike wakati wapinzani wakipata kipigo alifurahia
@michaelmfangavo7360
@michaelmfangavo7360 2 жыл бұрын
wanaosimamia sharia ndio wavunja sheria kilamtu ana haki katika nchi hii
@mohdomar8846
@mohdomar8846 2 жыл бұрын
@@michaelmfangavo7360 kilamtu Ana haki katika nchi hii munaijua leo
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
MITANO TUU MARA HII
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Ishatosha😂😂😂😂
@personpeter2221
@personpeter2221 2 жыл бұрын
@@salma0000 hyo tanganyika mbona hamwshi kumsemq
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 2 жыл бұрын
Znz hakujawahi kuwa shwari,kutoa maoni ni haki yake.Mzee ameonewa amenyanyaswa kwenye nchi yake.MUNGU IBARIKI TANZANIA
@jaanjaan111
@jaanjaan111 2 жыл бұрын
Safi sana ccm kwa kipigo takatifu huyu kenge alishamzoea maalimu sefu kumzalilisha amesahau kama malipo ni duniani ugua pole kenge ww
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
😂😂😂 Wanasema muosha huoshwa pia. Analipwa hapa hapa kwanza
@abdallajuma6262
@abdallajuma6262 2 жыл бұрын
Yupo sawa huyu Mzee kipi alichokosea hapo tukubali kukosolewa
@najashdawood9680
@najashdawood9680 2 жыл бұрын
Wao wenyewe wameyafanya mengi ya uovu ..sasa yanawageuka wenyewe.
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Zanzibar nchi yao inawauma sana,sijui lini Tanganyika yetu itatuuma?.Mwana wa mfalme wa Saudia kauziwa Mbuga ya Loliondo na Rais Ali Hassani Mwinyi, hadi Leo Wamasai na Wasonjo wanateswa na huyu mwaarabu. Mwinyi yeye kastaafu katulia tuli Zanzibar, ana shida gani. "Kisha kaanga mbuyu kaachia wenye meno watafune" Ole wee Tanganyika yetu.
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 2 жыл бұрын
Nani alikwambia kua Ali Hassan anaishi Zanzibar ndugu?
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
@@abuutasniym2675 Unataka kuniambia Mzee Mwinyi hana mji Zanzibar? Unataka kuniambia kuwa alikuwa anatoka bara kuja Zanzibar kugombea U-Rais wa Zanzibar kisha kurudi bara (Dar)? Mimi ninaye andika makala haya sio mbumbumbu.Najua Mwinyi aliletwa Zanzibar na Marehemu baba yake kwa minajili ya kusoms elimu ya dini ya kiislamu.Najua asili yake Tanganyika,mwenyeji wa Wilaya ya Mkuranga; kwa kuwa bado anamiliki mahame ya chimbuko lake hadi Kijiji cha kisiju ana ardhi huko.Tena ujue huyu mzee nchi inamheshimu na mimi pia namheshimu sana,kwani makosa mengine ya viongozi wetu hutokana na wapambe nukusi,na washauri wabaya.Tena wapambe hawa wana mbinu za kumdhibiti kweli kweli kiongozi asisikie ushauri wa mtu yeyote zaidi yao; asije akapata ufahamu wakapoteza masilahi yao binafsi kwake. Tena kuonyesha msisitizo Washauri hawa wabaya humchonganisha Rais na watu wema,kwa kumwambia "watu hawa hawakupendi wanakupiga vita.Rais asipotumia busara atajikuta wema wanawekwa ndani,na wabaya wake wanaongoza nchi bila yeye kujijua!!!.
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
@@salma0000 huyo haji omary heri unyama alofanya ktk hii nchi si wakusema kitu amwache raisi afanye yake aache chuki na kuleta fitna
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
@@salma0000 visiwa vinamilikiwa na Zanzibar sio Tanganyika na haitotokea visiwa vye2 vikamikikiwa na baraa
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 2 жыл бұрын
ndio maana Zanzibar wanataka sehemu Yao waitawale wenyewe pamoja wazenji ni karibuni wote ni wanyamwezi, na wahehe alafu wanajiita albaghareseni yaani koo za kiarabu ukiangalia ni deep huyo karume ni mnyasab wote ni watu wakuja pale Zanzibar watu wametokea sehemu tofauti alafu anakwambia mwarabu, nendeni tabora mabaki yamebaki ya warabu mwanza sukuma mabaki yamebaki
@hakunamatataznz5508
@hakunamatataznz5508 2 жыл бұрын
Allah anajua kila mtu na makusudio yake,ila siasa mbaya uleta hali mbaya ya inchi na siasa nzuri huweka hali nzur ya inchi. tujenge inchi tuawache Mambo hayaa. mm sio mwana siasa ila mwana inchi😊😅😢😮😂❤❤😊😊😊
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Mnampiga huyu mzee kwakuwa kasema ukweli amewaumbua na mmeshindwa kumjibu hoja zake ….aibu kubwa sana kwa ccm. Hovyo kabisa
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Rais Hussein mwinyi miaka 5 tena 😘😘
@miletuskgmiletus1563
@miletuskgmiletus1563 2 жыл бұрын
Mzee upo sawa
@revocatusreuben4605
@revocatusreuben4605 2 жыл бұрын
Pole sana
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 2 жыл бұрын
Wamegeuka samaki sasa walana wao kwa wao , ISSA MATONA
@mamuumamuu1623
@mamuumamuu1623 2 жыл бұрын
💕Rais wangu ❤️
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Mzee Yuko sahihi wallah
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 2 жыл бұрын
Wanatakiwa wa manga inaonyesha huyu hakusoma wala hajui stori ya hao wamanga aulize huo uko wake kama hawana damu ya kimanga
@lamlanyava6153
@lamlanyava6153 2 жыл бұрын
Hapa nimethibitisha kumbe bado tunawazee vichwa kaongea kilichowashinda wabunge
@abuubakalmtangenange4389
@abuubakalmtangenange4389 2 жыл бұрын
Babu upo sahh sana
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 2 жыл бұрын
kilicho mkuta ni haki yake yule mzee anataka kutuletea ubaguzi wa ukabila
@josephjuma1929
@josephjuma1929 2 жыл бұрын
Uyu mzee anajiamini sn tumekuelewa mzee wangu
@johnkyara8061
@johnkyara8061 2 жыл бұрын
HUYU MZEE ANAONGEA POINT SANA HIZI NCHI ZINAUZWA
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Ipo siku hii TZ yetu wana nchi wataamka na hawa viongozi wajinga watakufa vifo vibaya sana.
@mabenaluca6824
@mabenaluca6824 2 жыл бұрын
Nimebahatika kukaa na Mzee BARAKA Shamte huyu Mzee Ana mengi sana kuhusu Zanzibar Na Tanzania kwa ujumla anyway kutoa maoni ni haki yake ilipaswa apingwe kwa hoja
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Kumbe!☝ tunaelekea wapi!
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 жыл бұрын
Ili kulinda maslahi yao,wako tayari kurejea kufanya yale walioyafanya kwenye uchaguzi wa 2020.
@saidmohd1975
@saidmohd1975 2 жыл бұрын
Labda nikuulize swali boss kwan mwiz anapoiba mtaani serikal inataka apigwe na kufa c anapelekwa sehem husika kufuata sheria sasa kwa nn wananchi wenye hasira wanamaliza hasira zao
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Inategemea na watu watakaomkamata, anaweza valishwa mataili na kupigwa kibiriti na watu wenye hasira. Mungu tusaidie
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
SHEIKH HUSEN MWINYI, USIKUBALI VUJO ZA WASIOPENDA MAWAZO CHANYA! POLE MZEE SHAMTE!!
@aliramadhan7181
@aliramadhan7181 2 жыл бұрын
Shekhe kapotea
@umsalim6515
@umsalim6515 2 жыл бұрын
Waarabu wamewakaa rohoni bure, hakun muarabu anoitaka znz , Africa yote wazungu wamegawana zamani mpaka sasa ziko chini yao, hata hapo alipokuwepo mfalme alikuwa hana mamlaka kamili, yote yalikuwa chini ya uingereza hata passport na vyeti vya kuzaliwa vilikuwa vina jina la muingereza sio sultan. Wacheni chuki na wamanga
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Waambie wasikie maaana wamezidi sjui wanaumia na nn kwa waarabu.
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 жыл бұрын
Maneno ya Shamte ni sawa kabisa. Ila nyani akimaliza miti huja mwiliniiii. Alipokua akimtukana Maalim Seif mlikua mnafurahi sana. Sasa wacha yawakute na nyie. Mzimu wa Maalim Seif unaanza kumtesa Baraka
@fathiyasalim3946
@fathiyasalim3946 2 жыл бұрын
Baraka shamte wanaomfadhili miongoni mwao ni hao waarabu. Marehem Widadi alokua mke wa Shamte na kamzalia mtoto 1 nae alikua ana asili ya kiarabu. Huyu shamte hana radhi za wazee wake na kivuli cha Maalim kinamsumbua. Baraka utapata taabu sana kwa kuwakilisha walojificha nyuma yako. Mwinyi Rais wangu kumbe nawe huna moyo wa kukosolewa wala kuelekezwa. Punguza presha ilikua umuiite Mzee baraka muongee ungepata mengì. Usalama wako nao wana safura hawakushauri vyema. Mwinyi kuwa huru ili upokee maoni kwa raia zako
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 2 жыл бұрын
Au na wewe ni Mmanga?
@umsalim6515
@umsalim6515 2 жыл бұрын
@@davisfidelis4149 Zingatia ukweli sio kutizama mmanga au sio mmanga. Muulizeni huyo Mzee Shamte, cheti chake cha kuzaliwa kimeandikwaje
@shabanseif6914
@shabanseif6914 2 жыл бұрын
Msema kwel uyo mzee apewe ulinzi alaka sana
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
KWA HILO MZEE UMEONGEA VIZURI . SANAAA. HUWEZI KUUZIA TENA WAARABU NNCHI AMBAYO TULIWANYA ANG'ANYA. HIVI WATANZANIA WAMEROGWAA?.
@amosmichael487
@amosmichael487 2 жыл бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema
@mussajuma7460
@mussajuma7460 2 жыл бұрын
Hatutaki kukodisha visiwa vyetu kwa lazima kukodisha alaf utakodisha vipi kisiwa miaka 60
@abdallahkhamisi1095
@abdallahkhamisi1095 2 жыл бұрын
Kwanini wa znz wasipewe mamlaka ya nchi yao wakaiendesha nchi yao wao wenyewe kama ikifikia wameshindwa kujiendesha waje waombe msaaada
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Si Wana Bunge Lao, Nani anawaongoza? Wana budget Yao na kila kitu. Angalia bei ya mafuta Dar na Zanzibar
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
@@MsAggie5 mpumbavu ww unaongea nn apo kuwa na bunge le2 ndo nn mamuzi yote yanatoka baraaa uyo Rais pia anachaguliwa Dodoma Zanzibar ni koloni la Tanganyika sisi na vizazi vye2 tunajua kama hujui ww nyamaza kimya tumechoka ngonjera zenu
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@kassimali2273 unajiona ulivyo mpumbavu? Matusi sio jadi yangu, jirekebisheni matusi na jazba za kijinga ili msitawaliwe. Umeshindwa kuandika bila kunitukana?
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu mimi, hawa Jamaa wanaoleta makelele eti Nchi yao, hata wakikabidhiwa, watakulana wenyewe kwa wenyewe kama samaki,,, Wanafitniana, wanachukiana, wanabaguana, wanavutana, wanagombana, wanalumbana, wamejaa majungu na roho chafu, njaa, wivu, ujinga, mawazo mafupi, uvivu, umasikini wa moyoni, ulafi, hila, giza,... Wapeni hiyo Nchi yao tuone! Wametuchosha, looh ! 🚶‍♂️🚶‍♀️🚶‍♂️🚶‍♀️🚶‍♂️🚶‍♀️🚶‍♂️🛌
@khamischumu6830
@khamischumu6830 2 жыл бұрын
Serikali ya zanzibar yote ni wauwaji na ni washenzi nchi ngumu hii
@nassirali7499
@nassirali7499 2 жыл бұрын
Mzee pole sana kwa yaliyokufika lkn kama hayo yaliwafika wenzako kwa miongo kadhaa. Ila achana nao miaka 84 tena iyo, focus na akhera yako tena achana nao CCM kwanza washakufukuza!
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 2 жыл бұрын
Tanganyika na sisi tuamke , nchi isiuzwe
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Nan anaetaka nchi imejaa mbuu telee na vipindupindu.
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 2 жыл бұрын
Wana ccm kuweni na akili ya kufikili hivi kwa maneno ya maana kama haya alafu mnampinga basi Mungu atawalaani alatu mnamteka na kumtesa anzeni kuomba Rehema za Mungu awasemehe maana hamjitambui
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Ajabu ikisha vile vitimbwakwir vikojozi washenzi wakubwa
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Umewapa kweli imewauma punda wakubwa hao wanatukera mpaka tunafika kuwaita majina mabaya
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Jibuni hoja kama wanaume kweli nyooni mmepewa ukweli mumempiga washenzi nyie wakati alikuwa akikufanyieni kampeni
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Kwa ukweli huu ulosema Allah atakunyanyuwa
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 2 жыл бұрын
Mzee umetufumbuwa macho sana kumbe ccm ni wanyonyaji kiasi chote icho
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 2 жыл бұрын
Ccm ni washenzi
@kipyakizuri
@kipyakizuri 2 жыл бұрын
Sheria ya Tanzania kinachopatikana chini ya ardhi mita 5 ni Mali ya Serikali hata kama eneo umenunua au umekodishiwa. Kwahiyo kama Mafuta yakipatikana kwenye kisiwa sio Mali ya Muwekezaji. Yaani Waitalia wamekodishiwa visiwa miaka yote wanashughulikiana hamkusema kitu na nani kakuambia Waarabu peke yao wanakodishiwa hivyo visiwa? Mimi naanza kuumini Umasikini wa Wazanzibari unatokana na roho zao. Kweli ALLAH amesema hawabadilishi watu nafsi zao mpaka wao wenyewe wabadilike kwanza.
@salehaliy7198
@salehaliy7198 2 жыл бұрын
Sasa mtu keshawekeza,utamuhamishaje bila kumlipa gharama zake?soma sheria ya mkataba utaelewa
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 2 жыл бұрын
Kwei kabisa
@babasamir2682
@babasamir2682 2 жыл бұрын
Huna jipya saahz mama aisha wamaliza kiasa hamna hoja sasa
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 2 жыл бұрын
Mimi niulize tu kitu kwani hao viongozi walopita hapa Zanzibar walifanya Nini ?mwacheni mwinyi afanye kazi Ni nyinyi ccm wenyewe mulotupeleka huku ..kwa iyo mwinyi Ni raisi mwacheni afanye kazi yake km walofanya wengine
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Babu nduni spanking up for zanzibar people together front act wazalendo
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 жыл бұрын
MITANO TUU BABA MARA HII
@mokolakipande295
@mokolakipande295 2 жыл бұрын
Ndugu zangu Kila lenye mwanzo uwa alikos mwisho katikati kusiwachanganye mkasaau chanzo
@uklife5232
@uklife5232 2 жыл бұрын
Yaani ukiwa CCM lazima uwe muuwaji
@sagandampullo7405
@sagandampullo7405 2 жыл бұрын
BARAKA. SHAMTE KASEMA UKWELI. TATIZO CCM = WAKOLONI. ZANZIBAR WANAPORWA MALI NA VITEGA UCHUMI. NI SHIDA YA KUTANGAZA WATU WASIO WAZANZIBAR ASILIA KUTAWALA Zanzibar
@msabahaali758
@msabahaali758 2 жыл бұрын
Hakika rais mwinyi hana uvumikivu wa kukosolewa ata kidogo ana misimamo wa kimagufulimagufuli ACT kimya ata kulaani kuteswa kwa mzee shamte mmeshindwa sawa hii Zanzibar mwinyi kashakuja achume utajir ss wananchi tubaki tufe na dhiki na ufukara
@malikajohnson8897
@malikajohnson8897 2 жыл бұрын
Kwani ACT walipopigwa watu wao is 2020 ulimuona ccm gani akikemea? Huwa wanaona sawa tu. Hawajui kuwa ubaya hauna kwao. Sasa wanapigwa na wao unataka ACT waseme nini? Wacha wapigane tu.
@mosesndahani3315
@mosesndahani3315 2 жыл бұрын
Nyerere alisema mtu akizoea kula nyama mtu ataendelea tu. Lema alisema wapinzani waki sha wamaliza .....
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 2 жыл бұрын
mtajuana wenyewe Mungu anawasubir kaz yenu zulma tu nyote huyo mzee nae akipewa shavu tu kimya mara hii hajapewa kwn pole pole nae alikua hvo hvo
@benjamindenice53
@benjamindenice53 2 жыл бұрын
We mzee mjinga sana njaa ndo zinakusumbua tu. Sasa hivi ndo umejua kuongea ukweli kibindi ukiwa madarakan hukuyaona
@hassanjongo4309
@hassanjongo4309 2 жыл бұрын
Ok 🤔🤔🤔
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Mzee Baraka Shamte amesema ukweli!!
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 жыл бұрын
Wewe Zombi la ccm. kwani mmempiga?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@sharifjuma1220 Chokuu wewe unajuaje kama kapigwa na CCM?
@aliyissa9857
@aliyissa9857 2 жыл бұрын
Haya bwana
@abdulmuhidin1489
@abdulmuhidin1489 2 жыл бұрын
Kwanini mtu akisema ukweli baadhi yao hawaupendi tulisikia mengi tunasikia mengi na tutasikia mengi letu sikio tu allah atulinde kwa kweli hatujui huko tunakokwenda kutatokea nini
@delasdiego6537
@delasdiego6537 2 жыл бұрын
Shida ni kwamba wasema kwer hua wanawekwa pabaya huyu Mzee amesema kwer tupu ndio Maana wanamuandama na vibaraka wao. Ivi kwani Kuna kilichofanyika Kwa huyu Mzee zimwi wanamtetea wakati hakuna mzanzibar aliemchamgua Kwa kura Zaid ya nguvu walizotumia na Bado wanazotumia Kwa wasema kwer kama Mzee shamte Cha muim shamte kaza tutakupenda kama lissu wa Zanzibar Mungu akuponye Mzee wetu na wao awaangamize
@mamuumamuu1623
@mamuumamuu1623 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄maana kwanza ncheke😃😃😃😃😃😃
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 2 жыл бұрын
Na ss wa michenzani tunataka tukodishwe miaka 66 Mzee
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Huyu janajike kisa anapata kuiba kwa hiyo mkali na yote hana elimu ameekwa to hapo kwa ajili ya kufunuliwa chupi
@rukiahassan4016
@rukiahassan4016 2 жыл бұрын
Ulisema kweliii ñdioo wakuupigee
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 2 жыл бұрын
Ukipona soma kisomo cha nguvu alio shiriki kupiga au atoaamri watie adabu
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Uyu mwinyi anataka kujaza waharabu apa zazbar unakodisha vipi miaka60.
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Kwani.sio.ndio.mnawaowataka.waarabu au vip
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Subir wajae waraabu turud.enzi hizooo matenzo mbele
@jumafundi2871
@jumafundi2871 2 жыл бұрын
Imetulia kwasababu ukisema yakweli tu basi jiandae na jela,kifo au ulemavu wa maisha ,ila kilamtu asidanganyike na dunia kwa kivaz au cheo iposiku utafika kwa muadilifu na mlipaji kwa yale unoyatenda.
@saidramadhani8678
@saidramadhani8678 2 жыл бұрын
Hatoki mtu miaka mitano Kama kawaida jeche
@suleimanally1004
@suleimanally1004 2 жыл бұрын
Duuuh !!!
@djfeda3988
@djfeda3988 2 жыл бұрын
Babu umeongea ukweli hawakodishwi wanauziwa miaka 60 unakodisha au unauza dah Zanzibar tunauzwa Allah yupo atatulinda
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 жыл бұрын
Kwa nn apigwe Kama kafanya makosa sheria zipo na akamatwe, wazanzibr kitu kinachotukera na kutukatisha tamaa kwa serekali hii nikuona bado yale tusioyataka bado yapo na yanaendelea.mambo yakupigana wapi na wapi.
@muzzamilzaharan6799
@muzzamilzaharan6799 2 жыл бұрын
basi mkitaka dunia tutawapa ila kumbukeni akheri mtaangakukia patupu😢
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 жыл бұрын
Mzee yuko sahihi. Hayo ndio yanatokea Loliondo.
@akidasaid6784
@akidasaid6784 2 жыл бұрын
Huyu sio Baraka ila ni Kibaraka
ZANZIBAR SI SHWARI - 01
29:30
SK Media Online TV
Рет қаралды 60 М.
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 60 МЛН
FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA  MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR
25:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.
KITI CHA RAIS SAMIA KANISANI CHAZUA GUMZO
15:20
SK Media Online TV
Рет қаралды 14 М.
NANI MKWELI, NANI MUONGO KATIKA SINTOFAHAMU INAYOIKABILI ZANZIBAR?
26:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 20 М.
Serikali ya Dk. Mwinyi yafanya yale yale kwa Wapemba
8:28
Weyani Tv
Рет қаралды 11 М.
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 1,7 МЛН
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 1,6 МЛН
QANAY - Шынарым (Official Mood Video)
2:11
Qanay
Рет қаралды 810 М.