jaman timu davista leo ndio nimenunua cm naomben like zun🤗🤗🤗
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Naika😹😹😹😹😹
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
@@BerylSeer1 aliimeza
@dearlaviee40513 жыл бұрын
Hi niko rada sana davistar basi like tu please😍💘💘❤💝
@mbarikiwambarikiwa39883 жыл бұрын
Imani ya Zablon imejengwa ktk Mizizi, sizani km unaweza kumbadirisha kirahisi ila nguvu ya MUNGU itende kazi sn.
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili nyingi sana
@janetmzee2403 жыл бұрын
Umeona eeeh!
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Huyu magu namba mbili
@mcheshcomedy58093 жыл бұрын
Km umemuona mwanafuzi WA kisukuma anashangaa camera Gonga likes!!!🤣🏃🏃
@Mpakauseme3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sitiabubakar28923 жыл бұрын
Hata nimecheka amenyosha na dole 🤣🤣
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Mchesi comedy koma wasukuma hawashangai kamera sema tu huyo mkurya km zabroni
@Teacher_013 жыл бұрын
Wapenda waganga mpoo 😂😂😂😂 gonga like niwape namba za marasta
@raheemaraheema54533 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
😹👻
@caimedia3 жыл бұрын
Sabini na nane, Daah kuna watu hawalali kabisaa humu, Interesting Story, Big up David and Mr Zabron
@athumanmakale82213 жыл бұрын
Kweli Kika mmoja ana mapito yake ya maisha. Na siri ya maisha ya mtu na mafanikio yake anayajua Mola muumbaa. Story 🔥🔥🔥
@mursallusinde91893 жыл бұрын
Thanx mzee baba kwa kurudisha ep23 nilikua sijamaliza kungalia ukawa umeitoa lakin kumbe jana ulisoma coment zetu wakti tunaomba uirudishe hta nilikosa hamu ya kuendlea kuangalia 😂 thanx bro #davistar
@sheikhabdallahiddi33503 жыл бұрын
Nikweli kijana anasema kweli. kunasiku nilisema kuwa yule mganga aliekua anazungumza ni mwongo.wengi wenyu mlisema ooo ulijuaje. najee leo mmsikia?
@tracyirene89173 жыл бұрын
Duhh !leo nimewahii mapema Davistar 👍
@LOGOSNew3 жыл бұрын
Davistar jaribu Sana kuleta hadithi ambazo mwisho wake zinaonyesha utukufu wake Mungu, sio wa waganga!
@petersume27803 жыл бұрын
Mwisho wa story haujafika, umejuaje hatima ya utukufu ndugu.
@eshalibaba11953 жыл бұрын
@@petersume2780 😂😂😂😂😂😂ata mm nashangaa amejuaje
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Fuatilia mpaka mwisho ndipo uje na mambo ya utukufu 🤣
@juliusphabian63363 жыл бұрын
Toa ya kwako iliyo na utukufu mwishon
@franklineonsare32013 жыл бұрын
Catherine i love your statement from kenya with love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@somoeawadh77743 жыл бұрын
Shukran kwa muendelezo 🙏
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Makao mapya💞 karibu kabisa na chuo cha st Augustine
@rashidkamundi52063 жыл бұрын
Dah kaka davista hii stor Kali sanaaaaa pongezi kwako 👏👏👏👏
@fahadjinni58453 жыл бұрын
Dah leo wa pili kucoment
@coolmum78123 жыл бұрын
Tunaenda Sawa bro Asante sana
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Kwa kweli hawa ndio watoto wanaozaliwa na vipaji maalumu. Basi tu ni kukosa kusomeshwa. Lakini Mungi ni mwema keep it up.
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
😹
@KibamashaMasha3 жыл бұрын
Huyu jama alisababisha nifukuzwe shule na mwalini akachukua karedio kangu jamani
@chesterbrand67233 жыл бұрын
Pole broo
@bahatiabdillah53073 жыл бұрын
Davister mzigo unakuwa unauchelewesha sana bhana ujitahidi kuweka mapema
@joycejoseph88633 жыл бұрын
Pamoja sana tunawapenda😘#🇰🇪
@rastamabuki1853 жыл бұрын
Tumejifunza kitu kwa mti mkavu anajitangaza Sana atakuwa miyeyusho🤣🤣🤣
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
dav sawa bro
@merycharles27073 жыл бұрын
Davstar mata zablon kipindi anasimlia radio RFA kuna jamaa aliwahi kukutanishwa naye muulize yuko wapi na yeye aje atusimulie
@wazomyakinifu23013 жыл бұрын
DM ni km kuna kipande kifupi kimerudia rudia hivi. Lakini bado ni kazi nzuri. Big up wewe na Zabron
@kheryartist53223 жыл бұрын
Pongez kwako brother D-Mata✊🏽
@upendoluv71973 жыл бұрын
Tujuanee tunaotaka kwenda kigoma Basi kwa Mtaalam🤔🤔
@marysteven6053 жыл бұрын
Njooni niwapeleke,uko kwetu
@franklineonsare32013 жыл бұрын
@@marysteven605 wali hapo
@kimandoro74323 жыл бұрын
💯💯💯
@oscarlemamaringo80813 жыл бұрын
Davistar mata imoo iyoo twende kazi mzigo mzuri hatari
@kelvinemiles69953 жыл бұрын
Tupo pamoja Sana kwenye simulizi tunawapenda.
@jankoko34803 жыл бұрын
Naomba uyo Kaka anipe namba za uyo muganga wakigoma ariyekuwa sababu yayeye kupona kurudishiwa kimvuri.awo munipe namba zauyu Kaka mwenye historia
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Pia mm nime wahi
@just_this_way3 жыл бұрын
Shoprite imehamia kisongo, sa hv pale ni Nakumat.
@badymsuya60933 жыл бұрын
Yeah
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Si mchezo dunia hiii nihataree
@babyboss28863 жыл бұрын
Nimependa hii consistency DM
@ziadameta87023 жыл бұрын
👏👏👏
@hildaernest10903 жыл бұрын
Tamuuuu
@kabulagodfrey53433 жыл бұрын
D unatucheleweshea sana miendelezo
@angelwadavid53533 жыл бұрын
Wa 20 Leo 💃
@marysteven6053 жыл бұрын
Mungu wangu,Nyamhoza Kijijini kwetu!!!Nako ulifika!!!!?
@hagurukamwana40953 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 munasifa kweli 😳😳😳🥶
@babymkuya3593 жыл бұрын
😍😍😍
@beatricekweka66833 жыл бұрын
💥🔥🔥
@carolinewanza26483 жыл бұрын
Dah Leo nimewai.......
@rastamabuki1853 жыл бұрын
dadeki mm kila siku nachelewa tu aisee hiyo ya 24 lazima moja niichukue tutaonana wabaya humu aiseee
@angelmilele47303 жыл бұрын
Atali Sana
@mbarikiwambarikiwa39883 жыл бұрын
Kutokana na mapito aliyopitia Zablon ya Gamboshi na Waganga ,Zablon akikuhitaji hakukosi.
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Kweli mganga wa kweli huwa hajitangazi
@bebebebe56773 жыл бұрын
Duuuh hii kali tangu nianze kufatilia kipind hiki hii ndo story ndefu tena yenye majonzi nikiachana na ile ya juma wa julieti pole kaka
@florencerose8593 жыл бұрын
Number 24 ipande
@alitoufik54773 жыл бұрын
Nipo
@roseuwambe80893 жыл бұрын
Timu kuchelewa npohapa
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ayshaaa njooo. Davistar uwanjaniiiiii
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Kuchelewa nayo♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤸♀️
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
😂😂mganga kabaki anasubiri pesa yake zabroni kisha sepa
@shepherd1x843 жыл бұрын
Hapo sawa ila mr facts umetucheza kwa marasta..hixo vitabu zitapatikana ubali huu wa marekani?..huyu ni msabato Zabron mwezangu nitamfuata.
@euniceeunice76803 жыл бұрын
Zabroni kaka mzuri ila apo ulipo umezungukwa na mapepo..umefungua milango kibaooo ya nguvu za giza..kwann usimludie Mungu wa mbinguni yy ndie mganga maana yy ndie alie kuumba..ukifata mganga inamana Mungu pekee yke awezi..ila tunajua Mungu anaga mshirika so waganga nyinyi ni washirika wa nani???ikiwa Mungu anaga mshirika ktk umbaji wke
@Teacher_013 жыл бұрын
Daa nimependaa sana ushauri wako ndugu yangu
@euniceeunice76803 жыл бұрын
@@Teacher_01 barikiwa
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Penda sana mimi wetuuuuuuuuuuuuuu
@muddygaston16713 жыл бұрын
kaka unatuweka san ulikua uachie back to back ivi unatumiza
@upendoluv71973 жыл бұрын
Hamna shukurani 😝
@godibi56453 жыл бұрын
⏰
@zennahenry59533 жыл бұрын
🔥🔥Kujen uku
@hamisimtemi38033 жыл бұрын
wap.bobo no
@reubenlameck62253 жыл бұрын
😥👌
@asiasalim46343 жыл бұрын
Pamoja
@vellarose25963 жыл бұрын
🇧🇭👋
@laurianitemba33353 жыл бұрын
Tuko pamoja
@angelokihaka72163 жыл бұрын
Unachelewesha mno bro☺️☺️ mwambie mti mkavu mganga wa kwel hajitangaz🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salumosman40563 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie
@rastamabuki1853 жыл бұрын
😂😂😂 mti mziguaji
@ericklukumay17773 жыл бұрын
Shoprite ipo kwa sasa wanaita nakumat karib sana home chuga
@idanysedrc12003 жыл бұрын
Duhh
@sallo27.703 жыл бұрын
Eti Unajua kupiga Rola Hawajui kama Mtu kapiga Rola Hadi Gaboshi.
@usedthings78753 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@revinaabela42813 жыл бұрын
Duh
@shammybeybe18253 жыл бұрын
DAVISTAR MATA 💯
@salehfarid10033 жыл бұрын
Hallow mambo nimekupenda kwel
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Watu badala ya kwenda msikitini mmekomaa kumvizia Zabron huwa sijui mnaspeed ya aina gani. Pamoja na kuwahi nimekuwa wa 44 duu.
Haswaaa tena atakwambia ngoja nijaribu kama itawezekana ila kusema anaweza mmmmh hao ndo waganga og
@susankomu89783 жыл бұрын
Mikosi mikosi..kila place mikosi eeiish!🤔🤔🙆🙆
@violinenyakara50283 жыл бұрын
💃💃💃💃😍😍 Davista mi nina swali kwa huyu jamaa, hivi akitembea kwa jua hakuna kivuli au?
@benjaminkiteleke84583 жыл бұрын
Kuna utofauti wa kivuli na kimvuli. Hata wakikutoa kivuli bado kimvili unakuanacho. Kila cha juani huwa hakipotei.
@alexjos76253 жыл бұрын
27
@ayoubsanga74053 жыл бұрын
unachelewsha broooo
@alitoufik54773 жыл бұрын
@Ayoub upo!!!
@rasjamal98543 жыл бұрын
Betri lina pumbua simchezo gusa unate inabonyea ina panda
@kheryartist53223 жыл бұрын
Holla guy's....
@evalynclemens28613 жыл бұрын
Wann 13
@tamranadiya29623 жыл бұрын
Davista naomba umuulize alivyotoa siri za watu za gamboshi je wachawi hawamsumbui maana mambo hayo waga ni siri na wenyewe wanaficha sana kailivyo ni ulimwengu wa kiza basi na mambo yao yapo kigiza giza
@karrolleschon39863 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤🎤
@samiaarimkonekonko50963 жыл бұрын
Ira wewe kaka nimfano wakuingwa daa pore sana kaka🙏🙏❤️❤️😘😢😭😭😭😭
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Sema ukweli umempenda.......😾😾😾
@sheikhaalmandhari1253 жыл бұрын
Hatimae nami leo nimeweza
@fatmamucha44193 жыл бұрын
Umepata namba ngap
@saidabdalla89963 жыл бұрын
Lakini ww wewe ataulikuwa ujiongezi jamaa kakusaidia vya kutosha atakumtia moyo kimaneno du ww kweli simchezo
@jafariemmanuel16943 жыл бұрын
Doh kudadeki nilikiwa navizia niwe wakwanza nimejichanganya dakika moja tyuu nimewaiwa 😂😂🏃
@abbyadams86913 жыл бұрын
Watu wanakombania nafasi ya kwanza utazani Davistar anatoa 10% 😜😆😜😆😅😅
@rastamabuki1853 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 wahuni siyo watu namba moja wameshsichukua mda tu
@pilimusa77703 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
😹😹😸
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
@@abbyadams8691 😹
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Km wachungaji wa kileo wakimuona mtu mgeni et ww yesu anakupenda sana na una nyotq kali sana basi wanaaminisha ao mpk unajkuta unaelemewa
@nyotanjemaingarayo53843 жыл бұрын
Mbona anarejea
@shaloboy38613 жыл бұрын
Kila mtu ana ushabiki wake jamaa walivyoona kitambaa cha mganga tu wakaanza kupija simu