PART24:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 16,870

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 237
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
Iyi story iko inafatiliwa kwa umakini kabisa 7 hours imesha fikisha 1.9k tuko pamoja mzee baba 👍👍good job kabisa
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
One I think number naombeni like please
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Davistar nawe mmbea eti tuwasalimie🤣🤣🤣, ila Zabron kapitia magumu sana, Never give up💪
@mwananassor1415
@mwananassor1415 3 жыл бұрын
Dah!🤔 kukamatwa tenaaa🙄 hakika katika waliopitia magumu nawewe umo broo. Pole sana.
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Nimejifunza ktokata tamaa ktk maisha,asnte Kaka zablon
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Nyahanga nilikaa sana baba,lkn mm nilikuwa nauza duka la dawa
@coolmum7812
@coolmum7812 3 жыл бұрын
Asante mtu wa ngvu much love from 🇰🇪
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 3 жыл бұрын
Safi mtu makini kwa kutuletea story nzuriii
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Nimecheka alivyochek mwenyew zabron akichek sijui anakuwaje naenyoj😂
@sultanaswaleh4708
@sultanaswaleh4708 3 жыл бұрын
Chief zabron NA Davistar mata.....NA wapigia makofi ya kilo 👏👏👏
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
.mmmmhhh😩🙄🙄🙄🙄🏃
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Pole sana pesa zako tena wanakutesa😪
@oduoratieno2613
@oduoratieno2613 3 жыл бұрын
God grace is sufficient.... Much love Mr davistar God protect u Mr zablon
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Nimesubiri kwa hamu zote love you zabron and David ♥️💋
@popoali6641
@popoali6641 3 жыл бұрын
Strong 💪 man zablon Allah bless you
@lazarojohn8080
@lazarojohn8080 3 жыл бұрын
Poresana Zablon imepitia magumu sana ila ninajifunza kitu kwenye maisha usikate tamaa
@oneclick2023
@oneclick2023 3 жыл бұрын
Mr.Fact tunaomba ep ya 23 😠😠mzee mwenzangu ,nakumbuka bwana Zabu ali ishia pale alipo ambiwa na mganga atakuwa mnganga bora#Team Zabu mpoo 😜😜 23:50 pm #Team Zabu Madiko 🍝🍜.😜😜
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
No kweli anatafuta sana 23
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Eeh pia Mimi natafuta no 23
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 3 жыл бұрын
Tunaitk 23
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
Aliweka ila uwenda kaifuta kwakuwa uwenda Kuna vitu sio vyema kuiacha
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
@ben Official Wewe Ben unatufokea kuna nini huko kwa Channel yako?
@manbanshaban9253
@manbanshaban9253 3 жыл бұрын
Siwezi cheki prt 24 kabla sijaona 23,,,utatuchanganya davista hebu rekebisha..najua ni itilafu tu
@nevisdaniel5276
@nevisdaniel5276 3 жыл бұрын
Umewekewa bule bado wajifanya mkundu mkunduchi ovyoo usitizame Kwani umelazimishwa utizame @Manban Shaban
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 2 жыл бұрын
Du pole sana! Nimecheka kama mazuri, Eti wambea hadi kitanda godoro. Yaan ukisema unamatatizo mwingine yamezidi
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Daaa AISSEH umepitia Mtihani sana Zabroni ila mungu ajawai kukuacha Atasiku moja
@jesusismyking5292
@jesusismyking5292 3 жыл бұрын
Number 1 hapa
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
😘😘😘Mana kila saa nilikua nakuja kuchunguliaa asante mr Dm
@beatricekweka6683
@beatricekweka6683 3 жыл бұрын
Daah hii elimu tosha mwenye masikio na asikie 🤗🤗
@saidjuma25
@saidjuma25 3 жыл бұрын
duu broo pole sana kwa kurudishwa nyuma na wizi
@petersume2780
@petersume2780 3 жыл бұрын
Episode ya 23 mbona imefutwa @davistar,
@babyfatma5339
@babyfatma5339 3 жыл бұрын
23 tunaomba
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@babyfatma5339 sana
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
@@babyfatma5339 mbn ipo
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Ай бұрын
Inaonyesha chifu gikalo hajatailiwa mpka sasa 😂😂😂😂
@emmanelly6864
@emmanelly6864 3 жыл бұрын
Huyu mtu kweli maisha yake ya bahati sana. "Bahati kama mtende"....... na sijui mtende ulifanyika nini
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 3 жыл бұрын
Pole sana chifu umepitia mengi sana lakini mungu amekusaidia hadi leo upo alihamdulilahi
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 жыл бұрын
Mbona Sehemu ya 23 Haipo?
@naomiechris4557
@naomiechris4557 3 жыл бұрын
Kaka bado atujaona 23 please tunaiitaji
@user-cr9mf7dg4k
@user-cr9mf7dg4k 3 жыл бұрын
Good job 👌👌👌
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 3 жыл бұрын
Daaa zabron umepitia pole sanaa
@said2048
@said2048 3 жыл бұрын
Kaka me sijaiyona 23 mbina umeitoa mzee plz rejesha
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Atuekee
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@ben Official pamoja
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Asante kwa muendelezo but Mbona umefuta 23 Sija maliza
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Hlf inavyoonyesh wengi hatujamalizia mm ndio nmesema saiv niimalizie nakuta video is private why DM?
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Atuekee
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@neemaomar76 hata mm ilikua Sija maliza Aki
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 yes darling
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@somoeawadh7774 😍😍
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Umepitia sana kaka
@mereeilanzeee1232
@mereeilanzeee1232 3 жыл бұрын
leo wakwanza jamani kaka zabroni uripitia kwenye shida ngumu kbs
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Jaman we zabron umepitia magumu san daaah hii kweli inaitwa sitosahau
@babymkuya359
@babymkuya359 3 жыл бұрын
Ilove u😍 davistar and zabron
@shanizshanta7787
@shanizshanta7787 3 жыл бұрын
What's happening with part 23 it's not playing
@nancygitau5268
@nancygitau5268 3 жыл бұрын
True. I thought I had issues on my side with part 23
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 3 жыл бұрын
Tuko wengi aisee..
@isayamichael4085
@isayamichael4085 6 ай бұрын
Mwana akicheka lazma nifurai.😂😂😂😂
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
DM mbona unatuvuluga 23 iko wapi sasa
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Itakua amefuta Mana asubuhi ndo aliiweka
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 3 жыл бұрын
Asante nawapenda wote
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️
@shepherd1x84
@shepherd1x84 3 жыл бұрын
Mr facts..wapi hadithi ya 23..
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
23 imepotea
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Wapi nastr inaendelea😄😄😄😄😄
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
sawa hapo dav
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 жыл бұрын
Wasaba leo👌
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 жыл бұрын
Masaba saba me kundu mungu saidia Laki moja, Davistar Mata mchokozi naona mpk umeamua kuwasalimia akina Fatuma
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Pole saan daaaah
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 жыл бұрын
Huyo mzee Alie mrudishia kivuli atafutwe Mara moja tumechoka na mti mkavu
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂mti mkavu maneno mengi
@cocotz1892
@cocotz1892 3 жыл бұрын
😂😂😂
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🙄🙄😂🤣🤣🤣🤣
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 жыл бұрын
Amesha kwambia huyo mganga apend shobo a.k.a kamera,a.k.a misifa, a.k.a usumbufu. Yeye na por pori na yeye mjin kuja kafisiwa nq zabron
@jjrussell081
@jjrussell081 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 3 жыл бұрын
🤔Nyota yake ni mukali sana! Ndjo mana watshawi walimunasa!.. Too many gift.. Endurance, self-control, patience, memory....
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
huyu brodher nishujaaa.
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
Mbona ep.23 umefuta.? Irudishe bana mi sijamaliza kuangalia mzee baba🙏🏻
@sitinassy8772
@sitinassy8772 3 жыл бұрын
Aki hata nmekasirika😓😓😓😓
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
Hata haikushuka tumetafuta sana ya 23
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
@@sheikhanasser4714kafuta alipandisha asubui
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Itakua sababu ya kile kipande cha mganga Mana c alisema mganga ataki kuongelewa kwenye media
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
@@sheikhanasser4714 asbh ilikuwepo niliangalia nusu nikaishia wakt anaingia sumbbawanga nikasema ntamaliza usku nimeitfta hamna kitu hujatutendea haki irudishe #davistermata
@benomwazembe4765
@benomwazembe4765 3 жыл бұрын
Jamaa mpambanaji sanaaa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Wadada wauswahilini achana nao bn mana wengi hawaendi kazi wao kibarazani tuu kusengenyaa😜😜😜😜😜😜😜
@balbcheng1815
@balbcheng1815 3 жыл бұрын
Davister u fun bro eti hukulala nao😂😂😂😂😂😂
@badymsuya6093
@badymsuya6093 3 жыл бұрын
Yeah
@samirbinjohn3188
@samirbinjohn3188 3 жыл бұрын
Davistamata what happened with part 23 ???
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
23 sijaona
@farajamhagama8945
@farajamhagama8945 3 жыл бұрын
23 ipo mimi nimeisikiliza
@masanjasaimon5504
@masanjasaimon5504 3 жыл бұрын
@Davistar mbna part 23 haipo?
@merycharles2707
@merycharles2707 3 жыл бұрын
Daa!! Yan roho inaniuma jaman mtu ukipata wenye nguvu wana kunyanganya😥😥😥😥
@obedmwakipesile3048
@obedmwakipesile3048 3 жыл бұрын
Jamaa anapenda msosi hatar😂😂
@ericjosephdaniel2623
@ericjosephdaniel2623 3 жыл бұрын
Davista baada ya kusikia pilau nying unaanza kucheka ahahaha hatar sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Upo shem lngu xikuon Had wyf yuwakuulizia jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@ericjosephdaniel2623
@ericjosephdaniel2623 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 nipo shem uwez amin nimekukosa sana
@ericjosephdaniel2623
@ericjosephdaniel2623 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 mpenz wang aisha
@1mviewstv17
@1mviewstv17 3 жыл бұрын
Brother what’s happened to part 23
@ericklukumay1777
@ericklukumay1777 3 жыл бұрын
Zablon pole sana, na Dm hongera kwa kaz nzr ila namba 23 tunaomba mapema kabla ya saa nne sababu ss wanachama wako ikifika saa saba tutatoa tamko
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Kazi poa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ayshaaa njooo. Davistar uwanjaniiiii
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Nshafka💃 Asante😍😍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 karibu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Asante chidada changu njoooo ummuone🤣🤣🤣🤣 shem lngu
@abdallahissa4172
@abdallahissa4172 3 жыл бұрын
Namba 23 imeifutwa mchna hatujaimalizia kuichek..🥶
@faustinaalukungu8511
@faustinaalukungu8511 3 жыл бұрын
🙏
@mariamnahodha2390
@mariamnahodha2390 3 жыл бұрын
Hamtaki kupitwa aah! Tusongeshe tu no 24
@josephineasiza7888
@josephineasiza7888 3 жыл бұрын
Jameni yani shwara hazikuwaji
@stivenmgonja5908
@stivenmgonja5908 3 жыл бұрын
Mapito yake cio yakawaida aseee pole sna broo
@carolinewanjeri9916
@carolinewanjeri9916 3 жыл бұрын
Naomba hi kitabu nitakipata aje ? Hapa Kenya
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Simuliz inasimumua kwel
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 3 жыл бұрын
Imekuwaje 23
@levinamwanakulya9379
@levinamwanakulya9379 3 жыл бұрын
Duh Kama ni mitihani umepitia duhh hapana watu Wana mitihani Ila hii kiboko
@innocentmahende2113
@innocentmahende2113 3 жыл бұрын
Nakubali kaz 23 where brooo.
@sifamdaki966
@sifamdaki966 3 жыл бұрын
Mbn namba 23 siioni jmn
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
Pore sana kaka
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
Davister mbn 23 imefutwa Toa majibu nimekuchek na Instar hujibu @John_marcello
@happyoshea
@happyoshea 3 жыл бұрын
Zabron hakuna rangi umeacha iona asee 🤔
@benardomondi841
@benardomondi841 3 жыл бұрын
Davista Mata simulizi nzuri lakini umesahau kuposty ya 23
@aminahassanali1190
@aminahassanali1190 3 жыл бұрын
Ipo
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
wa mwisho leo🛌🛌💺💺🇰🇪🇰🇪
@bakarimbonjo7182
@bakarimbonjo7182 3 жыл бұрын
25 pleas!! Mr DM
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 3 жыл бұрын
Tena pole 😂😂😂 kila wakati kununua kitanda ngondoro😪
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Magodoro ya Msabato
@nancygitau5268
@nancygitau5268 3 жыл бұрын
Leo niko chonjo. Number moja
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Kila nikiangalian hapa et wakwanza utafkir wamewah pepo manina..... Kila wakwanza ataend gambosh
@sarahloveyouolivermtukidzi6704
@sarahloveyouolivermtukidzi6704 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Wa kwanza🎊🎊🎊
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 asante
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 ♥️♥️♥️♥️♥️
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Maskin yule Chacha hakujua Kama gharama nyingi alizotumia kwa chakula alikuwa analihudumia lile lizee lililobaki limelala kwenye kitanda cha Zabron kipindi Zabron yuko gambushi
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Waswuhili ndio wawapi🇰🇪🇰🇪
@kibibi7826
@kibibi7826 3 жыл бұрын
Mlikua mnasubir kwa hamu kweli
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
23 iko wapi mbn siioni?
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
Acha masiara bana davii nipe 23
@titinmbega4128
@titinmbega4128 3 жыл бұрын
ben Official @nawe ukuje kwa yangu
@simonhaule6567
@simonhaule6567 3 жыл бұрын
Mbona ipo na inafunguka fresh tu
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
@driftdumper8927
@driftdumper8927 3 жыл бұрын
@davista mata hii story ukifika mwisho useme hapa Ndio mwisho maana wewe story zako zinaishiaga juu juu
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Pa1
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
23 iwp bro🤔
@nancychissamo379
@nancychissamo379 3 жыл бұрын
Mh!!! Jamaa kila kukicha majanga yn,,hlf mwil wake umejaa kumbukumbu kwa ajil ya makovu kwa kwel,,asee🤦🤦🤦
@salumjabuonlinetv209
@salumjabuonlinetv209 3 жыл бұрын
Umeruka part 23
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Bahat alikuwa nayo na mikosi nayo alikuwa nayo,ndiyo maana hakukata tamaa
@shazminefeysal6951
@shazminefeysal6951 3 жыл бұрын
Tupe mwendelezo baba
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 12 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 31 МЛН
E361 Navigating the Bible: The Pentateuch
44:18
Saddleback Church
Рет қаралды 188 М.
小路飞跟姐姐去哪里了#海贼王#路飞
0:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 44 МЛН
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 39 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 8 МЛН
С топором нельзя #ссср #история
1:00
MOTIVATION
Рет қаралды 2,5 МЛН
Ой не могу 🤣❤️
0:33
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 2,1 МЛН
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 15 МЛН