PART15:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 19,712

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 295
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 3 жыл бұрын
Wakwanza leo likes zangu basi.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Nimezidi kuogopa nilivyo ona iyo alama kwenye mkono wako Mwenyezi Mungu atulinde na shari za binadamu na majini.
@evishorts4543
@evishorts4543 3 жыл бұрын
Davistar vizuri sana unatupa story nzuri alafu msimuliaji Makini Kama wewe💯
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 жыл бұрын
uchawi upo kabisa nivyema kuomba hifadhi kwa MWENYEZIMUNG.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisa
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Kweli kabisa😔😪😪
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Yaani Zabron ungekuwa ulaya wewe ungekuwa millionare make kwa xtory hiyo sisi tunafulahi kusikiliza ila ni bonge la dili hiyo ni movie tosha ulaya na ukatajilika
@luciamutongore799
@luciamutongore799 3 жыл бұрын
Umenena kabisa Wantango
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Jaman haya mambo ili kuyapona,tumtafute sana Mungu,wachawi wanatisha
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Masikini wa Mungu hayo mateso jmn..Pole sana kaka angu!! Siku ya hukumu tutasema nini mbele za Mungu wetu 😭😭😭😭😭😭😭
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisa.
@Lucykagz
@Lucykagz 3 жыл бұрын
Kazi njema Davistar nafuatilia from Kenya Mombasa, nakwambia naingia KZfaq tuu kuona mwendelezo hii story isiishe iendelee tuvuke mwaka nayo Kaka, be blessed bro
@jeannettemilumbu4081
@jeannettemilumbu4081 3 жыл бұрын
Nimekuwa wakwanza kutizama leo From 🇦🇺
@zuhuraimran3659
@zuhuraimran3659 3 жыл бұрын
Umeitazama saa ngap 48 mins na hii video pia iko na 48mins
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
@@zuhuraimran3659 muongo huyo😀😀🤣 wakucoment kabla hawajatazama
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Intresting part👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼
@alitoufik5477
@alitoufik5477 3 жыл бұрын
Hapa sawa tuandalie ya 16 cc tupo macho na Zabron
@theunseen.believe5672
@theunseen.believe5672 3 жыл бұрын
Hongera Davista,yani nilikuwa na hamu ya kusikia kuhusu gamboshi, naona tunaendelea taratibu hadi raha🙋
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mateka kweli gambushi ndoulivyoo ingia lkn kichapo umekipata kweli pole sana hapa ndonaona film imeisha mkanda kamili ndohuuu 😱😱😱😱😱😱
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
😭😭😭kuna watu wanapitia magumu sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Rizik somoe cute emmy pili njooooon jaman mambo mapya🇪🇭🇪🇭🙄
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Namshukuru baba mzazi sikua namuelewa wkt anatufundisha kuusu Yesu sikuwah jua mimi sikuwah aiseee niliona kama anazingua kumbe alijua siri
@shakiraabbas7538
@shakiraabbas7538 3 жыл бұрын
Yaani leo hadi asubuhi nawakilisha chezea gamboshi ha haaa😂🙌🙌
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Ufunuo wa yohana 21...Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku...alafu linatokea jitu linasema eti bible ni gazeti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anna kitabu kilicho andika ukweli wote na maneno ya Mungu kama bible...yote yanayo tokea na kuendelea yameandikwa
@Snr.Prefect.
@Snr.Prefect. Жыл бұрын
Hakikia.
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Duniani kuna mengi MUNGU Atulinde,,,, asante kwa kutuletea vipindi vya kujifunza
@oduoratieno2613
@oduoratieno2613 3 жыл бұрын
Very touching story Sorry bro God protect u forever
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Wachawi wote motoni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😪😥😥😥😥😥😥
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Afadhali ahsante DM❤️
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
Allah atulinde na hawa wachawi
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Amiin
@jimmykazoya1749
@jimmykazoya1749 3 жыл бұрын
No Allah... Jesus above all
@bintimrope
@bintimrope 3 жыл бұрын
@@jimmykazoya1749 hakuna mwingine nimjuae zaidi ya ALLAH.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@jimmykazoya1749 Allah above all ndugu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@bintimrope mwambie huyo
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 3 жыл бұрын
Duh nikajua nimewahi Leo na mimi
@aminabhitalio8143
@aminabhitalio8143 3 жыл бұрын
Story nzur sana
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Alhamdulillah nashukuru kwa mapito yangu,kuna watu wamepitia mitihani balaa Duuh!!!Mungu endelea kutulinda na majanga ya Dunia hii.Kweli kila mtu akisumulia mapito yake utajiona una afadhali sana uliyopitia kuliko mwenzio. Daah ndo mana tunatakiwa kushukuru Mungu kwa kila unalopitia maana kuna mwenzio huko anapitia magumu zaidi yako.
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Daah Kaka zablon nashindwa hata niandike nn
@pazimazongera4934
@pazimazongera4934 3 жыл бұрын
Ndani ya gamboshi
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 жыл бұрын
Davister hii series ni ndefu hebu tushushie mzigo bampa to bampa....usidelay
@sharifusaidi461
@sharifusaidi461 3 жыл бұрын
Asanteee davistar tuleteee iyoooo nyingineee
@missnmissnn244
@missnmissnn244 3 жыл бұрын
Tunaomba ya 16 plz
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
nakoment tena ndugu watazaman tumchangien huyu jamaaa ( Zabron) naomba tuwambiwe namba hıı ya cm ya mpesa pia?
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
WA Kwanza Leo MCESHI🤛🤛🤛💪💪💪
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@kisomekiseto5674
@kisomekiseto5674 3 жыл бұрын
Nakubari sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Tayar 16💃🇪🇭🇪🇭
@sallo27.70
@sallo27.70 3 жыл бұрын
Aseee.! Kuna watu wamepitia Kama Sio binadamu wa kawaida.
@jeaninemugisha6395
@jeaninemugisha6395 3 жыл бұрын
Mungu wangu kweri kuna uchawi kabisa
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
naelimika vizur sana😊
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Dunia Ina Mambo walah Mungu tusaidie tu hakuna tunachojua Wala kuona kwa macho ya kawaida Ni wewe tu Mola wetu wakutupigania😪😥
@nyendochamwela3031
@nyendochamwela3031 3 жыл бұрын
Sasa je! Mwache mti mkavu ale bata.
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
story tamu jamani davi uwe wasaka watu kama hawa wenye mambo mazuri
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Alamanimeonekan vizuri sana dah iyo alama inatisha
@omarmahmoud451
@omarmahmoud451 3 жыл бұрын
Keep it up bro
@nahirhumoud8756
@nahirhumoud8756 3 жыл бұрын
👍👍👍
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Hatari sana
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Wachawi ni watu tofauti sana, yaani tunashangaa kuwa duniani humu humu kuna watu wanaoishi dunia tofauti, yaani mtu yaliomkuta mambo hayo, akisimulia unaweza ukafikiri kuwa au alikuwa anaota? lakini njozi gani hiyo ndefu hivyo? alafu anakumbuka kila tukio. wachawi sio watu kabisa, waangamie.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisa.
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 hujanishtua shoga angu
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 3 жыл бұрын
Ila usimuache zablon mpaka amalize story
@saidjuma25
@saidjuma25 3 жыл бұрын
story safi
@sultansoule2571
@sultansoule2571 3 жыл бұрын
Inatisha duh polesana Jamaa😳
@patriciakamugisha2294
@patriciakamugisha2294 3 жыл бұрын
Nilivyo muoga kusikiliza ucku nasubiria mchana tu hahahah. Pole sana zablon uliyopitia sitaki kuamini ila ndio ukweli. Nawaza tu hii dunia ina mambo jamani Mwenye Enzi Mungu atusaidie sanaaa. Tuletee bac episode kama 5 hv mfululizo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaaa
@ericklukumay1777
@ericklukumay1777 3 жыл бұрын
Yan hyu jamaaa kapitia pagumu sana
@angeljasson4376
@angeljasson4376 3 жыл бұрын
Nimewahi leo asante br
@mr.jasonfxsignals4873
@mr.jasonfxsignals4873 3 жыл бұрын
Davistar tupe aki yetu 😂😂😂🤩
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 3 жыл бұрын
Nlikua nasubiri kwa hamu.. Davistar alivosisitiza kuchukua namba za hao jamaa wenye mihuri nimecheka 😜😜😜
@angelmilele4730
@angelmilele4730 3 жыл бұрын
Okoka kaka angu
@aishaha3538
@aishaha3538 3 жыл бұрын
Bona watuweka sana
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Nimeani na nitamwamini Mungu
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
najifunza📖
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Kazi ndo kwanza imeanza
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Hatariii sana
@rehimamohamedi634
@rehimamohamedi634 3 жыл бұрын
Just waiting 16ep
@jamesngalijah3710
@jamesngalijah3710 3 жыл бұрын
Tupo pamoja mwanzo mwisho
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 3 жыл бұрын
Davistar tuletee part 16 mbona watuchelewesha bhana
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Uchawi jamani upoo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@khadijasalum7340
@khadijasalum7340 3 жыл бұрын
jamaa anasema ukweli nishawahi kuona watu wanahiyo alama nilijisemea urembo gani huu. kumbe
@mbwanaomary4504
@mbwanaomary4504 3 жыл бұрын
Sasa Tumeingia Gambushi Rasmi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
yah
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 3 жыл бұрын
Dah katika story zote za davistar za kichawi hii noma ssna dah natamani iishe
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Kweli uchawi upo kweli
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 жыл бұрын
Ziwe part one na 2 tunasubiri sana mpaka macho yanataka kutoka kuchungulia kila dakika halafu hii kama fupi ina dakika chache au mm tu utamu umekolea 😂
@rosemassawe1979
@rosemassawe1979 3 жыл бұрын
Nimefurahi sikia that they fearing God and Jesus 🔥
@tonywambua9505
@tonywambua9505 3 жыл бұрын
Still following up
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Pole sana kwa majanga
@evalynclemens2861
@evalynclemens2861 3 жыл бұрын
Waiting Part 16
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
uchawi upo na wachawi wapo kizuri kukimbilia kwa yesu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Duh hatari. Wamemuweka alama duh. Pole sana zabron
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
😥🤔
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
unaweza toa movie zabron na ukawa mbele hiyo ni filamu tosha
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Davista naomba kazi ya u mcamera man Mshahara wangu msosi tu
@mariammgombayeka1824
@mariammgombayeka1824 3 жыл бұрын
Ungekua unatupakulia haraka jamani vibando vyenyewe vya 24hrs 🤣🤣🤣
@alexjos7625
@alexjos7625 3 жыл бұрын
nyingine iko wapi...dah inaisha haraka sana dah
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Uko ndiko kuzimu jamani kuzimu kunatisha...iyo miji ni ya shetani na mjue shetani anaiga mbinguni kuna mji mzuri mtukufu lkn bila kumjua Yesu basi uwezi fika ktk huo mji
@godfreymwita6148
@godfreymwita6148 3 жыл бұрын
Dah noma mpaka alama
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Nimeisubiri mpaka basi
@justerinnocent7014
@justerinnocent7014 3 жыл бұрын
Davister siyo vizuri jamn mbna dk ndogo😝 tupe muendelezo basii😥😴
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
Saw😀😀😀🇹🇿🏃🏃
@suleymanally4729
@suleymanally4729 3 жыл бұрын
Zinatuchangamsh tuliop ughaibun
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@suleymanally4729 kabisa pamoja sana mdau Mwenzangu Tuwendelee kupata somo kutoka kwa dm
@halimaaa3860
@halimaaa3860 3 жыл бұрын
Asantkwasimulizinri🙏💯
@kimandoro7432
@kimandoro7432 3 жыл бұрын
💯💯
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
big up and up
@allykibabe8182
@allykibabe8182 3 жыл бұрын
Sema uchawi hauend kwa mentali Sema hii nchi kuna watu wnaroga.. Daaash cio poa..
@joycedzuya2330
@joycedzuya2330 3 жыл бұрын
Davistar aky wanifanya ka chizi kazi sifanyi vizuri kila dakika nachungulia what's next
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
mmelizika heee zamu ya mtimkavu sasa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
mh kweli uchawi upo
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
welcom ndugu watazamaji to GaMbOsHi
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Uchawi upo jamani la msingi kusimama imara na Mungu
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Unatukawiza saana kutupeya utamu wa hii stori si wengine adi saizi tunasubiri
@angelmilele4730
@angelmilele4730 3 жыл бұрын
Mh jamani haďi huluma
@faustinaalukungu8511
@faustinaalukungu8511 3 жыл бұрын
🙏
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 3 жыл бұрын
Hadi raha
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 3 жыл бұрын
Uku ndio nilikokuwa nakusubiria
@tamranadiya2962
@tamranadiya2962 3 жыл бұрын
Duh kumbe haya mambo kweli
@revinaabela4281
@revinaabela4281 3 жыл бұрын
Mmmh, atariii
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 44 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 207 МЛН
Dunia Yetu Leo | Agosti 01, 2024 | Asubuhi
7:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 932
БУКЕТ МЕЧТЫ НАСТОЯЩЕЙ СЛАДКОЕЖКИ😂😂😂
0:19
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 3,3 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
Difference of girls and boys when eating sweets 😂😬
0:35
VovaLika Family
Рет қаралды 13 МЛН