Musukuma amfokea Waziri, Amwambia, Nataka gari lako lifungwe Gesi uone linavyopiga kelele.

  Рет қаралды 78,254

Ngasa Tv

Ngasa Tv

8 ай бұрын

Karibu Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo
MEDIA COVERAGE
1.Goverment Events
2.Social Events
3.Documentary
4.Live Streaming
5.Zoom Meting
6.Photo & Videograph
BUSINESS ADVERTISEMENT
#Hotel
#Appartiment
#Restaurant
#Supermakert
#Hall
#Sallon
#New Business
PTINTING
1.Banner
2.Sticker & Flyers
3.Brochures
4.Business Card
5.Graphics Design
6.Logo Design
7.Tshirt Printing
Call Us
0716909567
0766909567
DODOMA

Пікірлер: 54
@user-yr5nx2nw8r
@user-yr5nx2nw8r 6 ай бұрын
msukuma unayajua zaidi hakika unafaaaa
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 8 ай бұрын
Nashangaa watu ambao sio wasomi,wanachangia vitu vya maana 😂😂😂
@stevenrichard189
@stevenrichard189 8 ай бұрын
🇹🇿 ndio Nchi pekee inayo mwambia marehemu Amuombee kwa Mungu.
@alexiuscornely1449
@alexiuscornely1449 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie tena na tena msukuma
@Ashahabibu-yr1rn
@Ashahabibu-yr1rn 4 ай бұрын
Huyo jamaa anapoint kubwa sana
@FadhiliMgalla-ds9fx
@FadhiliMgalla-ds9fx 8 ай бұрын
Kaka safi sana nimubunge peke anaye piga nia malanyingi haki zamasikini wanyonge kaka safi sana
@khamisibundala4805
@khamisibundala4805 8 ай бұрын
Naamuunga mkono mbuge msukuma chapa kazi baba
@lazboylazboy6188
@lazboylazboy6188 8 ай бұрын
Nakubali sana msukuma mwenzangu
@user-gw7fu9pu7d
@user-gw7fu9pu7d 8 ай бұрын
Wote walio shiriki, kuuza ngo'mbe watarahaniwa.. Nawafugaji.. Mungu anawaona
@isihakaog8355
@isihakaog8355 28 күн бұрын
Huyu jamaaa anajua
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 8 ай бұрын
Uko sahihi kabisa Mweshimiwa
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 8 ай бұрын
DP World na Musukuma oyeeeed
@IrackMdalingwa-jw8ui
@IrackMdalingwa-jw8ui 7 ай бұрын
Mitandao Utaratibu inakuaje.
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 8 ай бұрын
Sababu kubwa gas ni nafuu, kilo 1500, na inapatikana hapa, tunaweza kupunguza mabilioni ya pesa kuagiza mafuta
@lilymuro4993
@lilymuro4993 7 ай бұрын
Msukuma nakuhunga mkono tunajuwa hujasoma lakini maneno Yako yanatupa moyo Sisi wana mchi nakupa mkono 👋👋👋
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 8 ай бұрын
huyu jamaa ni sawa na wasomi 20 ana hoja nzito sana
@user-cr5kr1vm2x
@user-cr5kr1vm2x 8 ай бұрын
Msukuma mungu akulinde unapepo yako kwa mungu
@estominmrema5782
@estominmrema5782 8 ай бұрын
Yani mheshimiwa msukuma kwakweli mungu atazame juzi mama mmoja kafungwa miaka ishirini nambili kisa chake nivipande vya nyama ya swala lakini walioiba mabilioni wako mabarabarani wanatamba tu
@user-gw7fu9pu7d
@user-gw7fu9pu7d 8 ай бұрын
Jamaa huyu mungu Akusahidie
@maadigitalpro
@maadigitalpro 7 ай бұрын
Msukuma Mungu akubariki
@user-uz5cu7cr9h
@user-uz5cu7cr9h 8 ай бұрын
Kabisa kk
@michaelcosmas9540
@michaelcosmas9540 8 ай бұрын
Sawa kaka
@akimmbwego797
@akimmbwego797 8 ай бұрын
SH LAKI MOJA NG'OMBE
@KelvinDeniswilliam
@KelvinDeniswilliam 8 ай бұрын
Saw mbuge
@paulombay6884
@paulombay6884 8 ай бұрын
Msukum anatumia nature
@ZAKAYOMASOTA
@ZAKAYOMASOTA 2 ай бұрын
Msukuma unathamani ya shingapi uje kwenye jimbo langu
@KelvinDeniswilliam
@KelvinDeniswilliam 8 ай бұрын
Washatukela
@user-rg7tx2cc1l
@user-rg7tx2cc1l 8 ай бұрын
Mbunge ni mmoja
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 8 ай бұрын
Huo ni mpango wa upigaji hawalidhiki na mali ya serikali sasa wanaingia mpka kwa wananchi Mungu atatenda
@Princewaweru
@Princewaweru 8 ай бұрын
Daah
@AmiryMmanga
@AmiryMmanga 8 ай бұрын
Msukuma hongera unaongea ga vitu vya akili wengine wanatetea matumbo Yao hawajali wananchi
@kulwankuba2785
@kulwankuba2785 7 ай бұрын
🎉🎉🎉
@mringoarts3710
@mringoarts3710 8 ай бұрын
Msukuma hapa kwenye suala la vituo vya gesi umeniangusha mkuu, au kwasababu na wewe ni mnufaika wa mafuta nini?
@PartySekemi
@PartySekemi Ай бұрын
Halafu huyu kairuki ni lazima atakua ni mhaya kwa sababu ni kabishi
@katutaramadhani7193
@katutaramadhani7193 8 ай бұрын
Ukiangalia comments za watu unabaki unashangaa. Mpka sasa kuna gari zaidi ya 5000. Gesi si hatari kama wengi wanavyodhani, petroli inalipuka haraka zaidi kuliko gesi hii inayotumika. Hapa kunatofauti ya kujua mambo kwa kina na elimu. Elimu elimu, elimu.
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 8 ай бұрын
HV mnatofautishaje uzembe wamawazili nalaisi?pengine wnatumwa namteulewao wafanyemadudu HV kamahuliziki nawayafanyayo mawziliwako kwaniniusitengue?lakini klambunge utamsikia pongezikwamama cchuku tunaumia naufsadiunaoendelea kwakweli wabunge pongezihizo Zinawavunjia heshima sanahukumtaani niwakujikweza
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 8 ай бұрын
Huyu jamaa ana akili sana
@lucasmabula9745
@lucasmabula9745 8 ай бұрын
Meli ya. Tetanic
@philipolubuva4102
@philipolubuva4102 8 ай бұрын
Msukuma suala la mfumo wa gesi hulijui linavyofanya kazi kama una vituo vya mafuta naomba jiheshimu acha serikali ijenge vituo vya kujazia gesi magari umeongea uongo sana eti gari inabadilisha mlio ni uongo mtupu leo umeniboa sana
@user-yr5nx2nw8r
@user-yr5nx2nw8r 6 ай бұрын
huna point kalale
@philipolubuva4102
@philipolubuva4102 6 ай бұрын
@@user-yr5nx2nw8r soma kwa sauti ulichoandika kisha waonyeshe watu point yako.
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 8 ай бұрын
Raisi uyu..apewe
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu 8 ай бұрын
Kaulinnj ,fomu ya kugombea urais 2025 inamuhusu
@Dailyminescommunity1
@Dailyminescommunity1 8 ай бұрын
Msukum akiwa raisi watasema wampe jamani Yani huyu kaka ANAYO akili sana
@lucasmabula9745
@lucasmabula9745 8 ай бұрын
Meli. Ya. Tetanic
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 8 ай бұрын
Gesi is not good for the environment. Tumieni EV wapimbafu nyinyi.
@user-nk3nd4fn6t
@user-nk3nd4fn6t 8 ай бұрын
Msukuma unaongea aunamsaada ii sio serekali ya masikini ii selekali ya matajili
@lordsm.k-db3wy
@lordsm.k-db3wy 8 ай бұрын
MWANZA Endeleeni kumuamini mtu huyu ANA AKILI nyingi.
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 8 ай бұрын
Kwani ni wa Mwanza???
@daudysanga8492
@daudysanga8492 8 ай бұрын
Hio mitungi wanayoweka ndani ya magar kwanza niatar
@kingkendrickk
@kingkendrickk 8 ай бұрын
Anaongea pumba
@user-hk9oy6ip9u
@user-hk9oy6ip9u 8 ай бұрын
Anaongea vitu makini na yuko sa hihi asilimia 100
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 8 ай бұрын
msukuma popote ulipo mungu akubariki akuepushe na maofu ya dunia uko sahihi kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-jw3zo5no2n
@user-jw3zo5no2n 7 ай бұрын
Msukuma bora uwe rais baba umeongea meng ya msing vichwa vigum hawaelew
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 45 МЛН
Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa
12:08
Global TV Online
Рет қаралды 137 М.
"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA
10:05
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН