Mtumishi wa Mungu Prophet Joseph Minja anachambua tafsiri za ndoto mbalimbali tuotazo usiku. Pia ameandika kitabu kiitwacho Ndoto na Tafsiri Zake
Пікірлер: 48
@MercyHadija-qh1tp3 ай бұрын
Thanks nashukuru sana maanake hyo ndoto huwa imenisumbua sana
@user-hy5hw9bd7tАй бұрын
Amin
@christinekangai37593 ай бұрын
Amina
@samehewaliokukoseya26052 жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu awe jibu
@EmmyPhilimon2 ай бұрын
Aisee
@Lisa-wv4jn2 жыл бұрын
Mimi nilishaga ota ni mepewa cheo kwenye nyumba ya kifalme nasi mamiya wafanya kazi wote nahopo sasa Niko chini kitandan nime lazwa Kwa ajali yagari sijuwi nilikuwa naota kifo duuuh ila nawafatilia sana nikiwa Saudi Arabia 🇸🇦
@irenefrank2644 Жыл бұрын
Shetani anatabia ya kuvuruga baraka zetu lkn kusudi la MUNGU kubwa hata ikichelewa inatimia
@RahelyJosephJulius3 ай бұрын
Asantee yesu
@catherinemuhagama73382 жыл бұрын
Na hapo kwenye upako,neema na baraka aisee mm nna ktu ndan yangu sema tu bado sijajua ni kip coz mm mara nyng najulshwa vtu au ktu kiwe kbaya au kzur kuptia ndoto
@user-fv2sn7js7g2 жыл бұрын
Ishaallah mungu nimwema
@EmmyPhilimon2 ай бұрын
Emen
@DM_15Ай бұрын
Hapo kwenye silva hapo ni mimi kabisa huwa naziota naokota sana nazikumbatia
@EmmyPhilimon2 ай бұрын
Nmetoka kuiota leo usk 😢😢😢😢
@hidayatahir99142 жыл бұрын
Aloooh 😂😂hpo kwenye coins Sasa I'm waiting kwenda kimataifaa🤣🤣🤣🤣
@hassanulbaswariyu1070 Жыл бұрын
Asante sana
@issaiff9812 жыл бұрын
That true and it already happens on me
@anicyaedward56052 жыл бұрын
Mmmhhhh niliotaga mvua tena two times. Kingine kuota pesa unakusanya then unaamka huon kitu 😌😌😅
@salamakombo32572 жыл бұрын
🤗🤗
@gloriaaugustino80318 ай бұрын
Leo nimeota naokota pesa
@naomiphilipojohn29402 жыл бұрын
Kweli kbsa
@joycenasieku8374 Жыл бұрын
Kuota naokota kifuniko ya simu ya nyeusi iko na maua ya kijani lakini nikaona sio mzuri nikaitupa.
@charleskaozya99242 жыл бұрын
Eti nikweli kwamba ukiota umepita sehemu halafu baadae ukaja kupita iyo sehemu kiukweli na ukaisi Kama unapajua eti wanasema ulipitishwa na wachawi🤣🤣🤣
@mwaminindayishimiye44342 жыл бұрын
Niyatari ya ndoto😃😃🤣❤
@blackjack33562 жыл бұрын
Me nimeota niko na Messi but Messi alikuwa ameva nguo iliyo chakaka mnawezakunisaidia mana ya iyo ndoto
@charsemsafi46022 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@geofreybwire99612 жыл бұрын
Messi wa mchongo huyo 😄 🤣 😂 😆 😄
@user-wr6lc3jz6g2 жыл бұрын
Mi naotaga naokota hela nikiamka asubui sina sjui zinaendaga wapi
@mamuumuya4348 Жыл бұрын
Nakumbuka mm nilikua napenda sana journalism ila duu nimeishia kuvaa gwanda
@yusufulimo57372 жыл бұрын
Allah akibaru🙏
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@Lisa-wv4jn2 жыл бұрын
Asant ni sama
@dankonkwibe20322 жыл бұрын
Niko buja, naweza pata hiyo book aye?
@hajjiomary23832 жыл бұрын
Na ndoto sio vitu vya kuamini
@hajjiomary23832 жыл бұрын
Sio kweli ndoto mawazo ya kila siku tunayoishi nayo
@charleskaozya99242 жыл бұрын
Mzee baba upo sahihi kbs💪
@irenefrank2644 Жыл бұрын
@@charleskaozya9924 wewe kwahiyo ukiota unakula nyama za watu inamaana ni maisha yako ya kila siku?
@lizzybeth63448 ай бұрын
@@irenefrank2644hahahha
@catherinemuhagama73382 жыл бұрын
Duh kumbe kama ni kwel basii hyo ndoto ya kuokota coins 🪙 basii kwangu imekua kwel,..na kwel nmefka huku na naendelea ota ndoto za mapesa jamanii jamii yangu ijiandae💃💃💃🙏
@SalsabeelLtd2 жыл бұрын
hiyo coin ndio pesa za aina gn kuna kipind nilikuwa naota pesa sana lkn c pesa ambazo czijui yn za chenj chenj
@veronicamaghembe21024 ай бұрын
@@SalsabeelLtdcoin ni hela za sarafu
@elizaberthmwanja941110 ай бұрын
Naota nahesabu pesa dolah
@mwanatz59802 жыл бұрын
Zamani nilikua naota sana naokota coins sikuhizi sizioti 😄 .
@Mpakauseme Жыл бұрын
mimi miliona hiyo coins nanitpo kweli viwanjani
@erickmichaelmugele21072 жыл бұрын
Ukiota Unaota je?
@user-kv7hq5mb6m10 ай бұрын
Nimeota ndoto za raisi sana, Hadi niliota nimekwenda kutembea ikulu,nikapokelewa vizuri sana,na rais akamuuliza ninahitaji nini,?,hata rais wa Sasa niliota amenitembelea kwangu,Tena nikaota nipo nae k msafara ktk huo msafara gari yangu ndo ipo mbele, pia niliwahi kumuota magufuri,ananipa kipande Cha embe,nikachua kimoja,kingine akabaki nacho,pia niliwahi kumuota magufuri ananiulizia ninashida Gani,nikamwambia mtaji wabiashara,akanipa pesa za noti