MTANZANIA ALIYEOMBWA MAWASILIANO NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI, ASIMULIA ALIVYOMUELEZEA MAISHA YAKE

  Рет қаралды 110,782

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 241
@johnrickmwamselele1036
@johnrickmwamselele1036 Жыл бұрын
HABARI POA ,,MSILETE HABARI ZUMA TENA BIG UP
@ShimboPastory
@ShimboPastory Жыл бұрын
Mshkaji wangu sana, nafurahi kumuona akifika mbali, hongera kaka Gibson Kawago
@josafko2259
@josafko2259 Жыл бұрын
Hongera sana,izi ndizo habari tunazohitaji hata bundle likitumika,limetumika vizuri
@stellarutaguza8734
@stellarutaguza8734 Жыл бұрын
Hongera sana kwa ubunifu. Keep it up. Mungu abariki kazi ya mikono yako.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Big up sana kijana.. the son every parents wish to have. Sky is not the limit for you maan
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 Жыл бұрын
Hongera sana kaka. Uko vizuri sana. Hizi ndio habari tunataka watanzania. Zinachochea hamasa ya kuwa wabunifu na kuchapa kazi. Big up
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
He very clever guy be bless your future is bright keep going hard work always pay
@Expedito2512
@Expedito2512 Жыл бұрын
This boy is very intelligent. I taught him at Bosco Seminary in 2012
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
Thanks so much
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
Asante sana Mwalim
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz Жыл бұрын
Millard Ayo muwe mnatuletea habari kama izi ....Zina inspire sana .Acheni mambo ya kina zumaridi
@kassimali2273
@kassimali2273 Жыл бұрын
Hahahahhaha hutaki kwenda mbinguni kwani ww
@jacquelineulotu5279
@jacquelineulotu5279 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Habari kama hizi zinavutia na kitia Moyo sana. Zile nyingine ni Sheria tu "sukuma ndani" zikithibitika
@Glove233
@Glove233 Жыл бұрын
Daah umetixhaaa Sana brother salute ,Mwenyezi mungu azidi kukutangulia🙏
@omushaijaentare9351
@omushaijaentare9351 Жыл бұрын
Interesting but not easy..keep it up.
@kodilianakalunga445
@kodilianakalunga445 Жыл бұрын
hongera mwanangu tunakutegemea na mungu wa mbinguni akulinde
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 Жыл бұрын
Nakupongeza kwa dhati ya moyo wako. Wewe ni mbunifu smart. Presentation yako ni nzuri. Ukifanikiwa kulikuza wazo lako pesa itakufuata soon. All the best. Uko na attitude nzuri. Utaenda mbali. Keep it up.
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
Asante sana.
@anandemungure2500
@anandemungure2500 Жыл бұрын
Big up Brother. Our Genius in the Country.stay focused and blessed abundantly 🙏
@nyahirinyaitogati428
@nyahirinyaitogati428 Жыл бұрын
0ooo9
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
thanks much.
@anandemungure2500
@anandemungure2500 Жыл бұрын
@@GibsonKawago May Almighty God accomplish your goals and above all open up miraculous shining doors for your prosperity. Keep on push harder Brother 💪🤝😘🙏
@yoramdogezah8000
@yoramdogezah8000 Жыл бұрын
Nimependa sana hustling imekujenga kuwa mkubwa, Big up bro.
@aloycekarlum3702
@aloycekarlum3702 Жыл бұрын
Hongera Sana na Kila Kheri
@queenmariposa799
@queenmariposa799 Жыл бұрын
Namsikitikia huyo kijana mwingine aliyeweka mikono mifukoni, yaan unakutana na kiongozi mkubwa dunian na mkubwa kwa umri sawa na mzazi wako unaweka mikono mfukoni, attitude mbaya sana, kama ameajiriwa basi waajiri wake wampe mafunzo upya na kama amejiajiri basi ajitafakari.
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 Жыл бұрын
yeah yeah hiyo ni kweli huwezi kuwa mnyenyekevu kwa kuvimba vile mikono mfukoni
@emmanuelmwambona3438
@emmanuelmwambona3438 Жыл бұрын
Uko sahihi but hatutakiwi kumlaumu sana inawezekana hajawahi kufundishwa tafsiri ya kuweka mikono mfukoni hasa unapo ongea na mkubwa kwako. Vijana hawa wanatakiwa kufundishwa maswala ya presentation na maswala ya altitude.
@atuganilemsomba3028
@atuganilemsomba3028 Жыл бұрын
Yaani kanikera mno hii ni tabia mbovu aliyoinyesha na nidhamu yake ni mbovu hata kama amejiajiri
@petermposa6288
@petermposa6288 Жыл бұрын
Huyo dogo nimpumbavu kupita wapumbavu wote. Kwanza walioandaa hiyo event walitaiwa kuwachunguza tabia za watakaokutana na kiongozi mkubwa kama Makamu wa Rais. Ametuaibisha kwakweli kama viongozi wameona wamchukulie hatua huyu kijana
@floridawenceslaus498
@floridawenceslaus498 Жыл бұрын
Ais kumbe umenote hiko kitu? mwenyewe nimemshangaa
@producerema291
@producerema291 Жыл бұрын
Very interesting story.Good job
@jacquelineulotu5279
@jacquelineulotu5279 Жыл бұрын
Very smart Guy 👏👏👏👏👏
@samasob8233
@samasob8233 Жыл бұрын
You did your research Man. Very well prepared, u had leaflets and the most important, a business card goes a long way! Welldone!!!
@zakariakanyeka8024
@zakariakanyeka8024 Жыл бұрын
Bravo man. Keep it up Mnyalu
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
asante sana
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Hongera sana kaka but be careful
@ankaah1230
@ankaah1230 Жыл бұрын
kuanzia 25:27 - 26:15 kama wewe ni DIT Alumni gonga like hapa.
@peterfrancinsshelukindo9215
@peterfrancinsshelukindo9215 Жыл бұрын
Big up brother, absolutely you are a fighter. To have a vision is an art of seeing things in visible.
@adamzachariakinyekile6948
@adamzachariakinyekile6948 Жыл бұрын
mbunifu mwenzio hapa hongera sana brother,nimeishi mafinga na nimezaliwa mafinga kwa sasa nipo tunduma mzee wa helkopter songwe,ukipata muda karibu workshop kwangu nimekusiliza kuna vitu utajifunza pia japo mimi ni street engineer mimi elim yangu std7,ila naamini kuna vitu vitakusaidia katika ubunifu wako
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
🇮🇱Ndugu kama Taifa Tunawahitaji sana vijana kama ninyi. Viongozi wa TAIFA HILI, wakiwaTHAMINI Hakika Tanzania ITASONGA MBELE. Kwani CHINA walishushwa kutoka MBINGUNI!!!! jibu ni HAPANA. Vijana WABUNIFU WALIONWA na WAKATHAMINIWA (wakaungwa mkono) SIDO ni MIONGONI MWA vitengo ambavyo Leo kingekuwa na waTanzania wazuri sana ki-technology
@kiverenge5322
@kiverenge5322 Жыл бұрын
Hongera sana. Jitihada zako zitakulipa na nchi yetu pia.
@gilbertboniphace2539
@gilbertboniphace2539 Жыл бұрын
MWAMBA ALOWEKA MIKONO MFUKONI HUKU ANAONGEA NA KIONGOZI KAMA HUYO ETHICS ZAKE NI NDOGO SANA… TUMBO LINAMDANGANYA 😮
@officialtaslima5409
@officialtaslima5409 Жыл бұрын
Ni kiazi kinouma hajajua kwann katembelewa
@nzengamodeste4817
@nzengamodeste4817 Жыл бұрын
Huyu ataibiwa western country import bright brain 🧠
@godfreyngwenya6169
@godfreyngwenya6169 Жыл бұрын
Very smart guy and well articulated
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Hongera sana kijana kwa kujituma na ushukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutokata tamaa na kuangalia kitakachokufaa mbele.Pale ulipoamua kubwaga usanii na kushikilia elimu ya engineering hapo ndipo ulichukua uamuzi wa maana kwa sababu hiyo ni eternal heritage lakini usanii unachuja na kubakia historia. Hiyo field uliyochagua ni endelevu especially kwa dunia hii tuliyonayo.
@benedictodaniel1842
@benedictodaniel1842 Жыл бұрын
Mungu akujalie Gibson nakuombea Sana Besti yangu
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
asante sana.
@juliusisack4090
@juliusisack4090 Жыл бұрын
Amazing 🔥
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Waga is FIRE 🔥🔥🔥 , nakuombea UWE NA MAVIWANDA YA BETRI HAPA AFRICA , NA DUNIANI MUNGU AKUTANGULIE
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Very inspiring.
@philiptelatelaii4690
@philiptelatelaii4690 Жыл бұрын
God bless you Man.
@barakamkusa1489
@barakamkusa1489 Жыл бұрын
Hongera sana home boy naona mwanga mbele yako
@atuganilemsomba3028
@atuganilemsomba3028 Жыл бұрын
Matumizi sahihi ya talent ndio huleta mabadiliko katika mifumo umenifurahisha sana unatumia brain yako sawasawa .Mungu azidi kukupa maono makubwaa
@lytwilliam7050
@lytwilliam7050 Жыл бұрын
vijana wengine humu acheni wivu.muwe na +ve mind.mpeni hongera zake.ushoga my foot😕
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
Hii ni Brand ya Ilboru special school watoto wa sasa ni wajinga hi Wivu
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
What!!!
@barikibenson4678
@barikibenson4678 Жыл бұрын
Pia tusifurahi sana katika hili, awachelewagi kuwachukua ili mradi Africa tusiwai kuwa na watu kama hawa.
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 Жыл бұрын
Wakimchukua ni vizuri zaidi sababu hapa bongo uwa atuendelezi vipaji mfano wagunduzi wa silaha Mara nyingi wanaishiaga jela badala ya kuwapeleka majeshini
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu na afya ufanye vitu vikubwa zaidi Alafu mm najivunia wewe kumbe kwetu tunawatu wanavitu vikubwa🙏
@lutelute3798
@lutelute3798 Жыл бұрын
This is amazing 😍
@fralex_1276
@fralex_1276 Жыл бұрын
Fundi la wasafi hill GYPSON KAWAGO
@marygregory7566
@marygregory7566 Жыл бұрын
Nimekupenda bure, Mungu akukuze zaidi ..amina
@doricemmanuel6065
@doricemmanuel6065 Жыл бұрын
Vizur
@kalokola
@kalokola Жыл бұрын
Amazing Brother
@eddieuisso9670
@eddieuisso9670 Жыл бұрын
Well done Bro! But I ll advice to change it to a car Battery u ll make more money cos Tanesco wanakuja juu
@josembeyaa9032
@josembeyaa9032 Жыл бұрын
Hongera sanaa kaka yangu,Mungu na akusimamie sanaaa ili utimize ndoto zako,tunataka vijana wenye maono kama wewe bro.
@Lupi-ow6oy
@Lupi-ow6oy Жыл бұрын
Hapo ulimumudu(ulimteka) ulipoonesha unamfuatilia Kwa karibu Hadi kwenye hobbies.
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 Жыл бұрын
Safi sana kijana, tunataka habari kama hizi nyingi
@benancejohn1198
@benancejohn1198 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@ruheemtunguja2733
@ruheemtunguja2733 Жыл бұрын
So interesting kwakweliiiii
@kelvinmaxiOfficial
@kelvinmaxiOfficial Жыл бұрын
Outstanding 🔥🔥🔥🔥🔥
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
thanks
@queenmariposa799
@queenmariposa799 Жыл бұрын
Hongera sana kijana mwenzetu kitu kilichokutokea ilikua ni ndoto ya kwetu wote kukutana uso kwa uso na kiongozi mkubwa wa dunia, i hope ataku contact na kuna good future ahead.....
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 Жыл бұрын
Hongera sana mnyalukolo
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Wow!
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu Жыл бұрын
Congratulations Wanted Galage
@BenadetaSarungi-ox1eb
@BenadetaSarungi-ox1eb Жыл бұрын
Nidhani ni mimi tu ndiye niliyemuona huyo kijana jinsi alivyoweka mikono mfukoni wakati anaongea na kiongozi mkubwa hivi kumbe wengi tumeona pole zake
@jeremiahkisinza7095
@jeremiahkisinza7095 9 ай бұрын
Knowing how to deal with people ni kitu nimejifunza hapa, smiling, becoming genuinely interested in other people and talk in terms of other person's interests🙏🙏
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 Жыл бұрын
Kijanaa haki yk apendwe na kuobwa namba tumuone alompita kbl ya huyu alobwa naomba. Kijanaa ana bashasha na ukaribisho mzr tofauti na huyu mwenzie mikono mkononiiii haikupendeza.. Hongera kijanaa wetu kwa tabasammm lako zr la ukaribishaji mgeni wetu
@msafirikalinga6938
@msafirikalinga6938 Жыл бұрын
Hata mm nimemuona anaongea na mgeni mikono mfukoni
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 Жыл бұрын
Mimi kanikosha tuu mwanya tuu ndio ugonjwa wangu , hongera kazi nzuri
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Hongera sana kila lakheri kwako ufanikishe malengo yako
@iddikapiga5873
@iddikapiga5873 Жыл бұрын
Nimependa uthubutu wako Umeni inspire❤
@ankaah1230
@ankaah1230 Жыл бұрын
Hongera sana.
@mohamedmsangi3930
@mohamedmsangi3930 Жыл бұрын
Hongera sana
@blessedannethmilley5381
@blessedannethmilley5381 Жыл бұрын
So inspiring. So proud of you. Never give up,keep pushing forward to reaching your dreams and taking a shift as a challenge to even push harder. Big up bro, I am greatly inspired 💪🏽
@emmanuelmkelehe366
@emmanuelmkelehe366 Жыл бұрын
Congrats Gibson
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
teknolojia inaanzia hapa nyumbani lkn Sawa ngoja zikatengenezwe kama hizo Kisha tuletewe na KUUZIWA MILIONI kumi kumi 😂😂😂
@godfreyluhambati7014
@godfreyluhambati7014 Жыл бұрын
All the best brother
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Жыл бұрын
Hongera kijana,Ila huyo aliyeweka mikono mifukoni huyo Hana adabu Sana aonekana mmh! Yaani hata kujishusha kutoa hiyo mikono mifukoni viongozi wakubwa km hao😮mmh! Au mie ndio sijielewi?!
@charlesmbaga6088
@charlesmbaga6088 Жыл бұрын
Congrats 🍾
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Жыл бұрын
Huyu jamaa was like politician, alijua kumkonga nyoyo
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Жыл бұрын
Hongera sana mtanzania mwenzangu je bizaa zako zinapatikana wapi?
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
asante zinapatikana hapa Dar es salaam.
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Жыл бұрын
Sehemugan?
@godfreyjoseph4750
@godfreyjoseph4750 Жыл бұрын
@@GibsonKawago hongera Sana kaka
@twalibmgagi1652
@twalibmgagi1652 Жыл бұрын
@@GibsonKawago Naitaka hii bidhaa nielekeze namna ya kuipata
@JohnPrine-ut2ni
@JohnPrine-ut2ni Жыл бұрын
Congrats brother WAGA tunajivunia wewe.
@terrymc5593
@terrymc5593 Жыл бұрын
Gib cuter gbson🔥🔥🔥
@salimkassim6020
@salimkassim6020 Жыл бұрын
Inaweza ikawa fursa na pia inaweza ika majanga,,,, kua makini
@samirazuberi186
@samirazuberi186 Жыл бұрын
Ndio huyu mama anaunga mkono ushoga huko kwao
@kelvinmboya5846
@kelvinmboya5846 Жыл бұрын
Hongera brother ,, kweli umepambana keep it up
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
asante sana
@twalibmgagi1652
@twalibmgagi1652 Жыл бұрын
@@GibsonKawago Serious Mzee Naitaka hii bidhaa nielekeze namna ya kuipata
@KhubeybJandaal-uz4oo
@KhubeybJandaal-uz4oo Жыл бұрын
Acheke vizuri, kufirwa kwaja😅😅
@sautiyangu1
@sautiyangu1 Жыл бұрын
Waooh ndo vijana tunaohitaji kwa hili Taifa🙏🙏🙏🙏 @kimodomsafi
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 Жыл бұрын
Tanzania we have everything and Genius pepole They just need Government support
@babalao910
@babalao910 Жыл бұрын
Karibu unahamia USA
@Zayeed_tv
@Zayeed_tv Жыл бұрын
Lakini ukumbuke ana agenda ya ushoga huyo mama
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 Жыл бұрын
Akili ndogo
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Wenyewe hatujui kuwatumia watu kama hawa,tunao wengi,ila sijua kama baadhi ya Viongozi wetu wanakuwa na wivu au !!!!???? 😮😮
@iddmtili4614
@iddmtili4614 Жыл бұрын
Kuna jambo hujaliona hata muonekano wako tabasamu lako lilimfanya awe happy jamaa wakwanza alikuwa amejifanya mtu fulani mikono mfukoni kama yeye anahela kuliko mama hongera sanaa
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 Жыл бұрын
Hata Mimi nimeliona hili
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Umeona eee wazungu hawataki swaga huyo wa mwanzo kajifanya bonge la hb,kumbe mama hana mpango naizo mambo kwanza mzungu akiona hivyo anaona hufai check jamaa kavaa kawaida sn alafu mchangamfuu tabasam lake kutoka kwa moyo,
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Unajua amefikaje hapo huyo makamu wa raisi mmmm
@Allystor
@Allystor Жыл бұрын
Hukutani nao hao kwa bahati mbaya sisi tuliosoma Cuba tunawaelewa wamarekani vizuri sana.
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 Жыл бұрын
Tanzania ni chuo ambacho dunia inaweza jifunza kwetu sema viombo vyetu vya habari vinatushusha san kwa kutuonyesha tu wanyonge huu ni muda wa kukataa Tanzania tunajiweza
@herson9343
@herson9343 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@herson9343
@herson9343 Жыл бұрын
Vyombo vyetu vinatuelekeza kwenye umbea tu.
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
Jamaa mnyenyekevu anaonekana
@GibsonKawago
@GibsonKawago Жыл бұрын
Asante sana
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Жыл бұрын
@@GibsonKawago umetisha mzee baba Gibson a.k.a max hahaha
@suzanashiyo3755
@suzanashiyo3755 Жыл бұрын
@@GibsonKawago mungu huwainua wenyenyekevu name huwapinga wenye kiburi
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 Жыл бұрын
Kumbuka viongozi wa nchi za ulaya na marekani , huwa hawazarau watu kama viongozi wetu .
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 Жыл бұрын
Nyanda za juu kusin vipaj vingi
@user-se6le3ph1t
@user-se6le3ph1t Жыл бұрын
Huyo aliyeweka mikono mfukoni kaharibu sana.
@mgayamgaya
@mgayamgaya Жыл бұрын
Tunamuombea akawe baba makamu wa rais😊
@eastafricabrokerkiller8028
@eastafricabrokerkiller8028 Жыл бұрын
Wanted boy. Jamaa toka ilboru nakuona undeal na hizi mambo. Kwakwel mambo n mdogo mdogo.
@emmanuelchristopher9436
@emmanuelchristopher9436 Жыл бұрын
Big up my brother mungu akubariki maana umetumia akili sana maana unajituma sana keep going najua one day nitakuona sehemu pazr bro....🤸
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Kinyanambo. Njia panda ya Rungemba CDTI
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Nilisoma hapo
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
😂😂😂jamaa kashatusua sy mwenzetu tena 😂😆🤦🏽‍♂️ kamala karibu shemeji yetu
@moseswil8303
@moseswil8303 Жыл бұрын
Eti shemeji
@jonasrobina8629
@jonasrobina8629 Жыл бұрын
Story teach
@samgwazay1208
@samgwazay1208 Жыл бұрын
Huyu watampoteza, maana wazungu hawapendi kabisa ubunifu wetu.kaka huyu tumuombeee sana Mungu amuweke.
@shakren427
@shakren427 Жыл бұрын
wsnapenda faida
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Sasa serikali ione ni changamoto kutowawekea umhumu vijana hawa wa kitanzania inatakiwa serikali iwekeze budget kubwa ya hela wafanye vizuri zaidi.
@samirazuberi186
@samirazuberi186 Жыл бұрын
Huyu ndie aliekubaliana na samia kuunga mkono ushoga,, wapendwa mujue tu samia kaliingiza taifa kwenye ushoga
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 3,2 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 44 МЛН
HOUSE GIRL EP 46 || love story💞💕
23:17
BUSATI TV
Рет қаралды 10 М.
MAKONDA AMPIGIA MAGOTI MABEYO, BASHE AMNONG'ONEZA MAKONDA
3:32
Millard Ayo
Рет қаралды 159 М.
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 73 М.