Dr. Chris Mauki: Dalili 3 kwamba anakufaa kwa ndoa

  Рет қаралды 54,517

Chris Mauki

Chris Mauki

Жыл бұрын

Yamkini unajiuliza ni yeye au siye? nikae hapa au niondoke? Atanifaa au hatoni faa? Nimkubalie au nimkatalie? Na maswali mengi mengine kuhusu huyo unaye mpenda. Uta juaje anakufaa kwa ndoa? Hizi hapa dalili #DrChrisMauki #Dalili #Anakufaa

Пікірлер: 56
@julithabrighton5722
@julithabrighton5722 Жыл бұрын
Ambao hamjaoa au kuolewa mnapata madini ambayo mgodi wake ni adimu kuupata, msikilizeni na kuchukua hatua, Mungu anamtumia kuwasaidia kuwa na mahusiano bora yenye furaha na amani. Live long Dr Chris 🙋
@ibdpromedia3599
@ibdpromedia3599 Жыл бұрын
Point sana hii..
@kiloabdallah9367
@kiloabdallah9367 Жыл бұрын
duuh,kwel aisee binafsi najivunia, mungu ampe moyo huo huo maana anaponya jahaz
@user-py9ko4wj7y
@user-py9ko4wj7y 9 ай бұрын
Asante Mungu kwa kumleta huyu mtu na kulizaliwa tanzania,ajuwa tunakula chakula cha ubongo,Mungu akubariki wewe na familia yako
@gladysmwita1254
@gladysmwita1254 Жыл бұрын
Asante hi imenijenga sasa nlkua na struggle sana nauyu mjamaa huku
@user-xc4sr2sy1w
@user-xc4sr2sy1w 9 ай бұрын
Thank u Chris umenifumbua fikra Zang Mungu akubark sana
@rithamlacha5403
@rithamlacha5403 Жыл бұрын
Mwalimu wangu mzuri Mungu akupe umri mrefu
@FredGDangote
@FredGDangote Жыл бұрын
Hii topic ni kubwa daktari aki.ungegusia zaidi.Asante kwa elimu.
@christianbaba9971
@christianbaba9971 Жыл бұрын
Hongera kwa kuelimisha. Naomba kuelewa jinsi Kumuepuka mtu Mkorofi.
@johnmajiulaya
@johnmajiulaya 2 ай бұрын
😂😂kimbia
@naomypaul2761
@naomypaul2761 Жыл бұрын
Wow, Asante dokta kwa somo zuuri,nimekuelewa mno
@neymwitta7971
@neymwitta7971 Жыл бұрын
Thanks sana umetufumbua macho God bless you more and akutangulie
@queenmakere2849
@queenmakere2849 Жыл бұрын
Asanteee kwa somo zur doctor cris
@user-rq2ev4qr6b
@user-rq2ev4qr6b 10 ай бұрын
Shukran sana ama kweli mafundisho yako mazuri
@tumsimeexcellenceservicete9787
@tumsimeexcellenceservicete9787 Жыл бұрын
Chris you're a gift to world
@barakakamuga4474
@barakakamuga4474 Жыл бұрын
Tunazidi kupona Dr chris 🤝🤝
@user-cb4in8js3j
@user-cb4in8js3j 10 ай бұрын
Barikiwa sana mtu wa Mungu
@abukarosman2565
@abukarosman2565 Жыл бұрын
shukra sana dr mauki🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-cx2us8wu8l
@user-cx2us8wu8l 3 ай бұрын
Asante sana docta
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 Жыл бұрын
Asanteeee dr chris
@MariaZakaria-cg5px
@MariaZakaria-cg5px 8 ай бұрын
Thank's so much
@asmahtamla4749
@asmahtamla4749 Жыл бұрын
Shukran Sana kaka
@mtilimsita6675
@mtilimsita6675 Жыл бұрын
Bless you
@rehemampangala5544
@rehemampangala5544 Жыл бұрын
Asante
@julianalameck9045
@julianalameck9045 Жыл бұрын
Yes, I got it 🙌 thank you so much
@princekarani7836
@princekarani7836 Жыл бұрын
You’re blessed ✌️
@JenipherKavusha-ff9zj
@JenipherKavusha-ff9zj Жыл бұрын
Àsante kaka mi ntàkupigia unisaidie jambo
@ZawadiKilagalila-sd2tt
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
Thanks dr najifunza sanaa
@MariaZakaria-cg5px
@MariaZakaria-cg5px 8 ай бұрын
Asante sanaa
@prmakula930
@prmakula930 Жыл бұрын
Yeah
@Witnesswatson230
@Witnesswatson230 Жыл бұрын
Mauki ni mmoja tu Tanzania na dunia nzima 🫡
@tasianaabasy7245
@tasianaabasy7245 Жыл бұрын
Nilichelewa kuyajua mafundisho Yako haki nisinge kua kwenye 🔥🔥🔥
@claramrosso2566
@claramrosso2566 10 ай бұрын
Hahahaaa dr.chriss ume nichekesha eti mnakurupushwa wote mnakimbia
@agnesskilewo4098
@agnesskilewo4098 Жыл бұрын
I got it🥰be blessed Dr chris mauki🙏🙏
@solangesoso3100
@solangesoso3100 Жыл бұрын
I wish I knew this before 😔
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 Жыл бұрын
I got you, Dr chris.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😊😊
@veronicamahende3718
@veronicamahende3718 Жыл бұрын
Hizi zote nnazo na niko single
@epifaniamzumbwe5159
@epifaniamzumbwe5159 Жыл бұрын
😂😂😂
@mariamupandika
@mariamupandika Ай бұрын
🙏❤💘💘💖
@user-ql8iz6gq7d
@user-ql8iz6gq7d Жыл бұрын
Iam regretting Wish I knew this
@lidyaavua7871
@lidyaavua7871 11 ай бұрын
Ooh😢
@salmamussa8240
@salmamussa8240 Жыл бұрын
Mapemaa
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
Naaam
@nectormsangi7189
@nectormsangi7189 Жыл бұрын
no yko plz doctor
@LizzyGwao-tj3sf
@LizzyGwao-tj3sf 11 ай бұрын
Mi ndio naanza kusikiliza nisaidieni namba za uyu baba jaman
@user-ok8dl3rj2n
@user-ok8dl3rj2n Жыл бұрын
Hapa nimepata mwanga doctor
@user-rn9bn9mn8k
@user-rn9bn9mn8k 10 ай бұрын
Asnte xna
@thadeopius5803
@thadeopius5803 Жыл бұрын
Napat elim hapo
@janethurio2453
@janethurio2453 Жыл бұрын
Somo konki.
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
Kwe yaan 😔
@esthermichael3221
@esthermichael3221 Жыл бұрын
Chombo kwa hewa
@ayshameme8088
@ayshameme8088 Жыл бұрын
Wa nne na mm leo
@catherinebright2204
@catherinebright2204 Жыл бұрын
Nzuri Sana
@esthermichael3221
@esthermichael3221 Жыл бұрын
Nasubiri kusikiliza izo dalili
@frozinajoshua4282
@frozinajoshua4282 Жыл бұрын
Asanteee kwa mafundisho
Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana
11:10
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 193 М.
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,3 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 450 М.
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Chris Mauki
Рет қаралды 63 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 236 М.
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 4 kwamba anakuchezea tu
5:58
Chris Mauki
Рет қаралды 171 М.